NAMLOGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 506

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 8 місяців тому +33

    Hujamaa anaitwa Mwambaa ukweli namwelewa sana anatupatia vitu hadimu sana 😂😂😂 👏👏👏

    • @WazirSiami
      @WazirSiami 8 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @joyse-t7b
    @joyse-t7b 13 днів тому +2

    Jot huna mbaya mungu ak blesses 🙌

  • @RajabuBurhani-j4n
    @RajabuBurhani-j4n 8 місяців тому +39

    😂😅😂 uyu nishai akifa anaondok na komedi yake

  • @naomilukani2279
    @naomilukani2279 8 місяців тому +29

    Nammiss Sopa, kipande
    Ila pia una team nzuri

  • @roniephones
    @roniephones 8 місяців тому +55

    Mwamba karudiiii🔥🔥🔥 bado sopa na kipande broo @joti

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 8 місяців тому +43

    Mwamba ndo kila kitu wangap wanaikumbuka ile ya mwamba kamvutisha bangi adunje😂😂😂😂

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 8 місяців тому +28

    😂😂😂😂😂😂 nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno kila ijumaa ❤

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 8 місяців тому +2

    nimecheka mpaka watu wamegonga mlango kuuliza vp salama huko . Asante Joti ❤kwa kunipa fufaha

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 місяців тому +10

    Hii kali bila kuongea na mtu hata MAMA yako.Jot safi❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FredrickDanford
    @FredrickDanford 8 місяців тому +32

    Saf Sana umemludisha mwamba saf Sana

  • @RosyAshy
    @RosyAshy 8 місяців тому +20

    Mwamba karibu tena , nilikumiss sana❤😊 big up joti kwa kazi nzuri love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 8 місяців тому +5

    Nishai mwamba namkubali sana ikifanya nae kazi uwa anafanya kweli

  • @kingcole60
    @kingcole60 8 місяців тому +3

    Nimefurahi kumuona Mwamba, I wish Sopa na Kipande warudi

  • @tumainimbunju596
    @tumainimbunju596 8 місяців тому +11

    Hahahaa KAUSHAA ikawa ni kipengelee...kaz nzr wakuu

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 8 місяців тому +2

    Heeee,, yule mwamba aitwaye MWAMBA karudi,, Nishai mrudishe yule bwana KIPANDE na yule mtu wa Dodoma aitwaye SOPA.big up full team🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MichaelGarama
    @MichaelGarama 8 місяців тому +73

    Wakenya mko wapi nipeni hta likes tano tu

  • @fursanindoto9626
    @fursanindoto9626 8 місяців тому +2

    Uyu mganga wa basi la njano anajua mpaka STOP na EASY 🙌

  • @mwanaharusirashidi6996
    @mwanaharusirashidi6996 8 місяців тому +35

    😂😂😂jamani huyu mwamba noma mpeni maua yake embu na mimi nipeni like jamani

  • @hailatyjuma
    @hailatyjuma 8 місяців тому +2

    Anajuaa knoma. like zako mwamba

  • @MathiasSanga-nj8nn
    @MathiasSanga-nj8nn 6 місяців тому +1

    Daaaaaah jotti mshedhii kwel

  • @KidogeDolie
    @KidogeDolie 2 місяці тому +4

    Kundizima ya nishai nimeshaa wapeya mauwa 🎉 namimi naombeni like😂😂

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 8 місяців тому +9

    Kari hiyo baba!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @mariammamushkachambo2123
    @mariammamushkachambo2123 8 місяців тому +2

    Broo jot nakupenda sana napenda kaz zko munguakupe maisha marefu❤

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 8 місяців тому +22

    From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😆🎉😊

  • @AnnaKilugya
    @AnnaKilugya 7 місяців тому +1

    Mwamba nakupenda I say..am from Kenya

  • @MagemeMagame
    @MagemeMagame 5 місяців тому +1

    Hapo sawa mwamba keonekan sema kapungua nakukubal sana bro😂😂😂

  • @J4MOVESWAHILI
    @J4MOVESWAHILI 8 місяців тому +8

    I wish siku moja niwe miongoni mwa team joti 🙏🙏 Mungu nisaidie

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 8 місяців тому

      😂😂😂hii comment yako leo sio mara ya kwanza kuiona, si umfate DM insta au tafuta mawasiliano, ukikomment kunawengine hawasomi comments

  • @AbelVictor-r6k
    @AbelVictor-r6k 8 місяців тому +4

    Kazi nzuri sana jamani naitaji like zangu

  • @drkaswalala
    @drkaswalala 8 місяців тому +3

    Naungana na wachache kati ya wengi wanaopinga Sanaa za kuhamasisha ushoga. Hii content Ina kila chembechembe hizo, Joti Mungu akukemee

  • @everlynkimaro40
    @everlynkimaro40 8 місяців тому +19

    WA pili hapa, nipeni Maua yangu 👌🏾👌🏾😂

  • @annaki318
    @annaki318 8 місяців тому +10

    Rogaaaa😂😂😂😂 Rogaaaaaaa. 😂😂😂😂😂 Rogaaaaaaaa😂😂😂 yaaani Leo mademu tunaokulaga vya wanaume vya bureee tunarogwaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Jotii lakiniiii jamaniiii nakupenda bureeeee kaka😂😂😂😂😂 Leo nimecheka jamaniiii.. nani mwingine kacheka kama mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @annaki318
      @annaki318 8 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @Karyma-g3n
    @Karyma-g3n 8 місяців тому +6

    Mwaka huu n mwendo w marogo ty Rogaaaaa 😂😂😂 mtakoma wenye mnapenda hela z bure 😅😅😅

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 8 місяців тому +3

    Wanaume wa kibongo acheni kuroga wanawake😂😂😂😂fanyeni kazi instead😂😂😂

  • @Alex-qo8ld
    @Alex-qo8ld 8 місяців тому +2

    This man joti is a big up

  • @ShabanZuber-x2p
    @ShabanZuber-x2p 8 місяців тому +2

    Bongeee la kriip..mzul San sichok kuiyangalia

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 8 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatariiii mwamba anadengua hatari 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤amekubali 😂😂😂😂😂😂😂

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 8 місяців тому +7

    Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😆😆

  • @manongichotile3495
    @manongichotile3495 8 місяців тому +2

    🎉🎉🎉😂😂😂daaah et nimependeza😂😂😂

  • @mtotowamkulima
    @mtotowamkulima 8 місяців тому +12

    Wa kwanza gonga likes

  • @bakarisuleiman7038
    @bakarisuleiman7038 8 місяців тому +6

    Mwamba it's been long time mzee hatujakuona nishai bhanaa hautendi haki

  • @KarimKasongo-m7u
    @KarimKasongo-m7u 8 місяців тому +2

    This guy ooh Mama Mia 😂😂

  • @rajabusaidi6692
    @rajabusaidi6692 8 місяців тому +1

    Duh mwamba miyayusho😊😊😊😊

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 8 місяців тому +2

    Team yenu Iko Vizuri sana, Ina Ushirikiano safi sana.
    Hizi Clip za Nishai kwa niaba ya Wote naomba ziwe nyingi zaidi kuliko zile nyingine za wazee.

  • @gideonmtunguja565
    @gideonmtunguja565 8 місяців тому +1

    Joti my all time favourite artist

  • @_loseyi
    @_loseyi 8 місяців тому +3

    Yani haya ni mahusiano yangu kabisa niliyotoka ,mambo yalikuwa hivi hivi %100

  • @omarzinga7046
    @omarzinga7046 8 місяців тому +2

    Khali ni mkali stamina rosa big up

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 8 місяців тому +3

    Joti una tisha sana 😂😂😂😂😂😂

  • @geralddeus2948
    @geralddeus2948 8 місяців тому +2

    Ngoma Kali sanaaaa mkuu

  • @FranceThomas-ug2ed
    @FranceThomas-ug2ed 8 місяців тому +7

    Nimechelewa broo jot broo una weza sana

  • @reubengapy2878
    @reubengapy2878 8 місяців тому +2

    Waooooooooo mwamba karibu sana

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 8 місяців тому +2

    Aise huyu jamaa nilimmiss kumuona😅😅

  • @NeemaWilliam-g4t
    @NeemaWilliam-g4t 8 місяців тому +2

    Na Kale kambwa kajinga jinga 😂😂😂

  • @mkambakusalimin7108
    @mkambakusalimin7108 8 місяців тому +2

    Hahahahhaaha😂 joti mjinga kweli dah

  • @joyse-t7b
    @joyse-t7b 13 днів тому +2

    Sinaga mbya naombeni likes n mm jmn

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 8 місяців тому +2

    Kama kawaida kila ijumaa joti legend😂😂😂

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 8 місяців тому +4

    Dah! Icho kikombe jmn mmenikumbusha mbali sn

  • @elishasaidi
    @elishasaidi 8 місяців тому +2

    Namkubali mwamba kinoma, Nishai ameyatimba

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf 8 місяців тому +2

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas

  • @majigeelieza5180
    @majigeelieza5180 8 місяців тому +2

    daaah mwamba umelidu kitambo sanaaa😂😂

  • @subiramumo8945
    @subiramumo8945 День тому

    Hii Kali jamani nimecheka Hadi mbavu zaniuma

  • @azizally5283
    @azizally5283 8 місяців тому +3

    Kitu kimekubali kwa mwamba😂😂😂😂😂😂

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 8 місяців тому +2

    Dah! Bora mwamba karudi ase.

  • @Edsonchima-fb6qb
    @Edsonchima-fb6qb 8 місяців тому +3

    Nam nipo 100 bora joti ❤❤❤

  • @sossyonmic
    @sossyonmic 8 місяців тому +5

    Watu wa Nakuru mpo hapa kweli

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 8 місяців тому +4

    alafu ukkta mwanamke ana vsingzio vingi ujuwe mpo wengi

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 8 місяців тому +2

    Mganga gan hajui mwene shida

  • @JRumanyika_Tech
    @JRumanyika_Tech 8 місяців тому +4

    Kipande alikuwa pw sana amepotelea wapi

  • @denisruvugo1764
    @denisruvugo1764 8 місяців тому +10

    Nimeingia ndani wao wametoka Nje 😂😂😂😂😂😂😂

  • @thierryngoye4956
    @thierryngoye4956 8 місяців тому +2

    King Mwamba is back

  • @MOMESSI-h5p
    @MOMESSI-h5p 8 місяців тому +2

    Mwamba karudi🙌

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 8 місяців тому +3

    Dah hii ya Leo kiboko😅😅😅😅😅

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 8 місяців тому +3

    Joti siku zote unakosea masharti ya mganga😂😂😂

  • @JosephAlex-pm7rp
    @JosephAlex-pm7rp 8 місяців тому +3

    Mwamba anajua please nami naombeni like zenu kama joti famili gonga like hapoo

  • @RaphaelStephenMyombo
    @RaphaelStephenMyombo 8 місяців тому +2

    Mwambaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @GodfreyMichael-j8y
    @GodfreyMichael-j8y 8 місяців тому +2

    Mwamba safi sana namkubali

  • @KIBADASDACHOIRTZ
    @KIBADASDACHOIRTZ 8 місяців тому +3

    NURU NJIANI - SDA Church Choir Kibada (Official Video

  • @ProshipLogistics
    @ProshipLogistics 8 місяців тому +3

    nakubali broo

  • @peterngalawa3511
    @peterngalawa3511 8 місяців тому +2

    😂😂😂😂Kuqmae hatareee dawa imegeuka

  • @aronngereza1563
    @aronngereza1563 8 місяців тому +7

    Mwamba amezingua mchongo..😅

  • @emanuelifrank5438
    @emanuelifrank5438 8 місяців тому +2

    Mganga anajua kingereza

  • @SleepyHat-wy5ph
    @SleepyHat-wy5ph 8 місяців тому +2

    Namkubali sana huyu jamaa

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 8 місяців тому +1

    Never disappoint jotiiii 😂😂🎉

  • @babamiltonkyando
    @babamiltonkyando 8 місяців тому

    Mwamba miss u bro let's do this SA to TZ we are watching

  • @TupoComedy
    @TupoComedy 8 місяців тому +3

    So poah ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😅😅😅😅😅😅😅

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 8 місяців тому +9

    Wa Kwanza kulike na kukomenti...likes zenu pls, Ramadan kareem

  • @stn4873
    @stn4873 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hahahahaha mwamba kalegeaaa😅😅😅

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 8 місяців тому +6

    Umenijibu poa kama Askari😂😂😂

  • @savioursimon458
    @savioursimon458 8 місяців тому +1

    Uwee nilimiss Mwamba 😂😂

  • @kevinlikhanga6350
    @kevinlikhanga6350 8 місяців тому

    Mwamba is back… great job!! Consistency is key! Umewazidi wote

  • @jenipheraron3566
    @jenipheraron3566 8 місяців тому

    Welcome back mwamba

  • @irenejoshua6936
    @irenejoshua6936 8 місяців тому +5

    Mwambq kapungua sana jmn

  • @HdAlly-ry4dc
    @HdAlly-ry4dc 7 місяців тому

    Kaka unajua m/Mungu akurinde na wanafiki

  • @DottoWache
    @DottoWache 8 місяців тому

    😅😅 bravo bravo joti😅😅

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 8 місяців тому +2

    Ya leo kali balaa 😂😂❤

  • @LaReinezuenaZuena-ih2kd
    @LaReinezuenaZuena-ih2kd 8 місяців тому

    Mwamba is back Wow

  • @dionistindwa7429
    @dionistindwa7429 8 місяців тому

    Nimeenda kwenye familia yao...nimeingia ndani..wao wametoka nje 😂😂😂

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂nimechek jmni🎉🎉❤

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 8 місяців тому +1

    Nishaiii😂😂😂 na kakicheko kake intro😂😂😂Anachekesha

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 8 місяців тому +4

    Hahaha muddy karud

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 8 місяців тому

    Joti bado Sopa na Kipande 😂😂😂😂😂😂😂 Mwamba welcome back