Hongera Lema kwa mtazamo wako sahihi wa kuangalia vyama kuwa na wajibu wa kujali "values" njema na "culture" nzuri kama mambo muhimu kurithisha vizazi vijavyo! Unazo hoja nzuri sana!
Mh. Lema asante sana kwa kutufumbua macho kumbe hiki chama kilikuwa kimesha kufa kimya kimya!!! laaa aisee, eee Mungu sikiliza maombi yangu nakuomba umjalie mh. Lisu awe mwenyekiti ili haya mambo yaweze kuisha nakuomba Mungu umuumbue huyu Nkulunzinza wa Tz asiweze kupita kabisa naomba umuinue Lisu.
UBARIKIWE LEMA TULIWAHI KUONANA WAKATI FULANI MACHAME KWENYE MSIBA WA MZEE LEMA NAKUKUBALI SANA UKO VIZURI SANA UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI SANA MBOWE NAMPENDA NA KUMUHESHIMU ILA KWA SASA AKIACHE CHAMA KWENYE MIKONO YA LISU NI MIKONO SALAMA
Sijawahi Kifuatilia Mwanasiasa Bila Kuchoka Kama Hotuba Hii Ya Lema Leo, Ameongea Vizuri Sana Na Kama Wajumbe Watakuwa Wamemsikia Vizuri Basi Mbowe Bora Aachie Ili Aondoke Kwa Heshima Kuliko Kuabika Kwenye Sanduku La Kura
Mungu akubaliki lema
Huyo ndio utumishi wa Mungu
UPO VIZURI SANA LEMA
Lema upon sahihi sana.
Mh; Lema ni Mtumishi wa Mungu wa kweli
Hongera Lema kwa mtazamo wako sahihi wa kuangalia vyama kuwa na wajibu wa kujali "values" njema na "culture" nzuri kama mambo muhimu kurithisha vizazi vijavyo! Unazo hoja nzuri sana!
Ameenda against ukabila ❤❤❤❤❤❤❤ one of the best ❤❤❤❤❤❤
Ur very genius brother!Mimi ni CCM lakini kwahili uko very direct
Bro, you nailed it big up
G LeMa umetoa hotuba ya kiwango acha Mbowe anataka ushahidi Gani Kwa Lisu walienda kwenye harusi
Hongera mtumishi Lema,
Mungu akubariki KWA spicy nzuri mno mno....
Asante KWA uzalendo wako, si jambo dogo hilo,, umejitoa kweli kweli ..
Uko sawa lema
Safi sana Lema..Conflict of interest imewakamata vzr mwalim na Kigaila.
Ahh ! Umeyapanga dogo. Uko vizuri .
Nimeipenda;
Ukiona mtu anatoa pesa kwenye kazi isiyo na mshahara, ujue kuna mahali atachukua mshahara
Hongera Sanaa kwa hotuba kubwa sana ya kiutu uzima umebarikiwa ku Homilia wewe ni mwalimu wa Hotuba nzuri.
Huyu anajua sana
Mh. Lema asante sana kwa kutufumbua macho kumbe hiki chama kilikuwa kimesha kufa kimya kimya!!! laaa aisee, eee Mungu sikiliza maombi yangu nakuomba umjalie mh. Lisu awe mwenyekiti ili haya mambo yaweze kuisha nakuomba Mungu umuumbue huyu Nkulunzinza wa Tz asiweze kupita kabisa naomba umuinue Lisu.
Mwenyekiti ni shetan kamili kwa chandema 100%
Kaka unaweza sana uko poa good idea
Mimi nilijua usipo msapoti Lisu basi nisingeamini Kila unachosema ila Kwa kuwa umefanya hivyo lazima nitakuwa nakusikiliza.
Safiiii lema tunampenda mbowe lakini kwa wakati huu sisi tunaitaji lissu awe mwenyekiti
Uko sahihi lema😊
Mbowe apumzike Kwa Maslahi ya Chama na Watanzania ✌️
Safi sna Leme umekuwa mkweli kuliko
Ushahidi upo Mwenyekiti Mbowe anawaita Wajumbe kwa ahadi wakimpingia kura atawashika mkono
A good dancer knows when to leave the stage
Excellent
Saluti sana lema huo ndo ukoma wa siasa twende na lisu tuache masiala.
Umeandika historia kubwa katika siasa za nchi
UBARIKIWE LEMA TULIWAHI KUONANA WAKATI FULANI MACHAME KWENYE MSIBA WA MZEE LEMA NAKUKUBALI SANA UKO VIZURI SANA UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI SANA MBOWE NAMPENDA NA KUMUHESHIMU ILA KWA SASA AKIACHE CHAMA KWENYE MIKONO YA LISU NI MIKONO SALAMA
Sijawahi Kifuatilia Mwanasiasa Bila Kuchoka Kama Hotuba Hii Ya Lema Leo, Ameongea Vizuri Sana Na Kama Wajumbe Watakuwa Wamemsikia Vizuri Basi Mbowe Bora Aachie Ili Aondoke Kwa Heshima Kuliko Kuabika Kwenye Sanduku La Kura
Safi sana 🙏
Mh Mbowe tunakuomba upumzike kwa amani
Uyu nyumbu kwa maneno ayo ameongea point sana ila kwakua ugomvi wa panzi ni furaha kwa kunguru endeleeni kuminyana.
Mimi sio chadema ila hotuba uliyoitoa imenigusa
Sisi ni wasikilizaji….
Maneno magum na mazuri ambaye hajakuelewa ana matatizo ya akili
Ww ni mtu na nusu na kuombea uwe karibu mkuu na mwenyekiti baada ya Lissu akili kubwa mno umeweka mamb sawa
Asikiaye na Afahamu wakati uliokubalika ndo huu sasa
Mbowe akishinda ujuee Polish wamehujumu uchaguzi wa tundu lissu
Lisu ,hoyee
You can preach bro😅
Ukomavu wasiasa na mtazamo chanya ktka siasa lema uko vinzuri sana mkuu
Duuh