Toka namfuatilia Lema,nilikua sijamwona na kumsikiliza akiongea point na facts kama Leo,big up Godbless Lema!. ahsante Sana Kwa hotuba nzuri,lakini kikubwa nilichogundua Lema ww ni genius Sana,kutoa hutuba ya namna hiyo bila kuandika inahitaji uwezo mkubwa wa akili ya kuzaliwa!.
UBARIKIWE SANA Godbless tafakuri pevu sana iliyojaa mantiki kuu ya mabadiliko. You are a true revolutionary leader!
Lema you're a real man of God
Nabii wa Mungu Lema. Lissu anatosha kuivusha CHADEMA
Nakubali sana lema we ni noma
Umeongea point sana. Tukiharibu vyama vya upinzani. GNZe watajitokeza kama Kenya.
Wewe ni mtu mwema,,,Mungu akawe pamoja nawe daima.
Tunakupenda sana
Toka namfuatilia Lema,nilikua sijamwona na kumsikiliza akiongea point na facts kama Leo,big up Godbless Lema!. ahsante Sana Kwa hotuba nzuri,lakini kikubwa nilichogundua Lema ww ni genius Sana,kutoa hutuba ya namna hiyo bila kuandika inahitaji uwezo mkubwa wa akili ya kuzaliwa!.
Uko vizuri sana. Chukua cheo cha Katibu Mkuu wa CDM
Mwamba wa kaskazini tunakuelewa sanaa
Well said
Katibu mkuu wa chadema ajaye
Shida vingozi wetu ni vigeugeu hawataki ukweli
Kadiri ya chama kinavodumu ndivo kitakavyoaminika cdm jitahid kuimarika mnakaribia kuchukua nchi kwani mnatoa political education kwa undani
I stand with lissu mpk siku ya kufa
Nimekupenda lema sana
Wewe ni kiongozi
Pendaga sana lema.
Ahsante sana Lema mwisho wa ccmumefika
wajumbe pigeni kura Kwa kuangalia soko La nje msiangalie solo la ndani
Mi nataka kuchangia 12,000/- ya mwaka kabisa leteni utaratibu
Mbowe akirudia kuwa mwenyekiti tutaandamana hatuoni mwelekeo wa chama chini ya uongozi wake kiufup apumzike tu Kwa amani sera zake zimepitwa na wakati
Makofiiiiiiii👍
Big up ee
Ndiyo maana hakupata urais
Napenda Tanzania cos hakuna ukabila
Hotuba ya yako mheshimiwa inatia machozi
Huna jipya lema
😢Sad Soka
Soka amekufa..?
Watu kama ww wamekuwa bidhaa adimu sana,ww ni kamanda mpambanaj
Wambie ukweli na waelewe
Duh huyu jamaa sio wa kawaida... ni best influencerkiukweli. Maneno yake ni kuntu kwelikweli kama ni mpinzani mnaweza kurudi nyuma kabisa