LISSU AMJIBU MBOWE | WENJE, HECHE NA LEMA WALITAKIWA KUFUKUZWA CHADEMA, ASIMULIA MAMBO YA NDAANI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 137

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 6 годин тому +12

    Lissu moja 👍

  • @RaymondKanyama-y5b
    @RaymondKanyama-y5b 21 хвилина тому +2

    huyu mshenz anavutia kumsikiliza very smart

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 8 годин тому +29

    Huyu jamaa anafaa kuichalange ccm kuliko mbowe

    • @inno5044
      @inno5044 6 годин тому +2

      Ili kuichallenge ccm, anafaa kuanza na ccm wa ndani ya chama

  • @Classiccaptures
    @Classiccaptures 2 години тому +2

    Kazi nzuri sana kikeke! Lisu ni mmoja tu

  • @honestthomas1549
    @honestthomas1549 8 годин тому +7

    Safi sana Kikeke kwa mahojiano haya mazuri.

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 54 хвилини тому +1

    Mwenyekiti Lissu

  • @IsaacChiwinga
    @IsaacChiwinga Годину тому +1

    Lisu is very potential thus deserves to be a new chairman for CHADEMA party

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 Годину тому +3

    Lisu ndie kiongozi , mbowe ni mfanyabiashara ndani ya chama

  • @mkatavitv1014
    @mkatavitv1014 8 годин тому +3

    Hatari sana

  • @michaelmabula7444
    @michaelmabula7444 9 хвилин тому

    Mbowe na Lissu
    Bora Lissu

  • @kassimomary216
    @kassimomary216 7 годин тому +9

    Lissu ndio chadema yenyewe...imani yangu hawezi kupoteza uchaguzi huu

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 2 години тому +1

    Safi sana Lisu ni mkweli sana sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +2

    Mohamed Rashid ahsante sana kwa hoja yako❤🎉

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 годин тому +5

    Mbowe pole sana
    Wakati haukubali tena kaka angu

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 5 годин тому +5

    Mimi siku zote nasimama na huyu jamaa

  • @ibrahimGaspar-y5s
    @ibrahimGaspar-y5s 7 годин тому +2

    Namkubali Lisu❤

  • @Paulo-v8y4p
    @Paulo-v8y4p 53 хвилини тому

    Huyu jamaaa nomaaaa sanaa

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 8 годин тому +7

    Chairman lissu..

  • @MasanjaThobius-d1n
    @MasanjaThobius-d1n 7 годин тому +7

    Ni muda wako sasa umefika kuwa mwenyekiti

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla 7 годин тому +2

    Simba🦁

  • @KarisBaya
    @KarisBaya 8 годин тому +9

    Mwenye kiti mtarajiwa anaongea sasa.

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 7 годин тому +1

      Anajua kuongea zaidi ya kutenda hiyo ndio sifa kubwa aliyonayo Lisu.

  • @georgerwebembera1565
    @georgerwebembera1565 6 годин тому +5

    He survived for this. Calling

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 6 годин тому +2

    Maswali mazuri kikeke ila ungemwacha amalizie usimkatize

  • @allannahum9717
    @allannahum9717 8 годин тому +8

    Lisu for chairman

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 Годину тому +1

    Swali linaonyesha dhamira ya Lisu pale ulipo muuliza kuna uwezekano pakaja wagombea wengine kinyume na Mbowe na Lisu majibu yake Lisu ameeleweka kama yeye hayuko tayari

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +2

    Tunahitaji sera kwa manufaa ya wananchi pia

  • @AdilOmary
    @AdilOmary 24 хвилини тому

    ❤❤❤❤

  • @piusdp7328
    @piusdp7328 7 годин тому +2

    Lissu anaweza kuleta challenge kidogo

  • @ZenjiBlueberry
    @ZenjiBlueberry 5 годин тому +2

    Chama kimekua kikubwa au kwasababu mnazodoana😅😅

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 47 хвилин тому +1

      Makonda na Gambo wanatifuana hadharani ni chadema? si viongozi ndani ya CCM?
      Ni hivi: 1. Chama kimekua 2. Ni chama cha demokrasia si cha kiimla kinacho kataza watu kuongea ili kuficha maovu kama ilivyo ccm 3. Wanaogombania ni viongozi wenye nguvu ndani ya chama , ni kama ilivyokuwa kipindi cha Lowasa, Membe kulikuwa na mtifuano mkali. Unakumbuka Mchimbi aliongea nini baada ya Magufuli kushinda?
      Kwa hiyo si kweli na si vizuri kuwa wanafki penye ukweli. Ukweli unaiweka nchi huru.

  • @devaxtz
    @devaxtz 7 годин тому +2

    Tatizo lako kikeke unauliza swali kabla hajamaliza kulijibu vizuri unauliza lingine yan unamkatisha sana Bado hajafunguka vzr unauliza swali tena yan unazingua mara nyingi anapokua anataka kujibu swali vzr unamkatisha haikai poa punguza haraka haraka za maswali uliza ujibiwe vzr

    • @japhetmayige3410
      @japhetmayige3410 6 годин тому +1

      Kuna mambo huwa analenga kusikia.. muda pia si rafiki, ukimwachia Lisu ajieleze anayo mengi, interview ina muda pangwa, ukiisha basi tena.

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 5 годин тому

      Anafkiri yupo bbc

    • @andreamandari7089
      @andreamandari7089 Годину тому

      Yaaan anazingua sana kama hajakomaaa bhana

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina Годину тому +1

      Lisu hamalizi kuongea huyo,ukimuuliza swali majibu yake ni marefu sana,kwahiyo lazima aende na muda

  • @FedrickNgonyani
    @FedrickNgonyani 23 хвилини тому

    Lissu na mbowe njaa kali,mnafanya mipasho tu

  • @joshuamolleli3471
    @joshuamolleli3471 32 хвилини тому

    Mbowe achague kimoja chama kife au lisu ashinde chama iiendelee

  • @deohank5995
    @deohank5995 7 хвилин тому

    Tatizo na uzuri ni kuwa wapigakura ni walewale watanzania!

  • @gilbertngowi2072
    @gilbertngowi2072 4 години тому

    Lissu for chairman's

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 6 годин тому +1

    Safi lisu we ndio mwenyekiti unaefaa kwa mtu mwenye akili zake timamu sio ushabiki anajua kua we ni kiongozi africa wachache wamebaki machawa na machumia tumbo we upo na maskini mtetezi wa wanyonge mungu akuride na madui mpaka ndoto zako zimetimia za kulitumikia taifa lako🇹🇿✌️❤️❤️❤️❤️🚣🚣🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣🚣🚣🚣🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣🚣🚣🚣🚣‍♂️🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 години тому

      Jiongelee wewe,, Akili gani uluiokuwa bayo wewe? Huyo ndio kidampa wa kwanza km ujui """ Hadi uamuzi wa kugombea kwa nini ajajiamulia mwenyewe mpaka kasukumwa na TZ DIASPORA, ndio kaamua kukubali kugombea?

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 6 годин тому +3

    Unamkatisha sana wakati ajamaliza swali

    • @kelvinterevael6401
      @kelvinterevael6401 14 хвилин тому

      Yan hii kitu mimi pia sijaipenda,yani seems mtu anataka kueleza jambo flani hajamaliza anaingilia kati

  • @JOACKIMTEMBA
    @JOACKIMTEMBA 7 хвилин тому

    Lissu ni SIMBA

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 5 годин тому

    Leo LISU kaongea kwa Ustaarabu,nimezoea kumuona Akipayukapayuka.!

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 2 години тому +2

    Kikeke uliza swala alafu kua mpole ujibiwe acahana na u ccm katika kuuliza maswali

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 хвилини тому

      Mr. Kikeke ni professional kwenye kazi yake siyo ki Bongo Bongo…. Usimfundishe ukamharibiya kazi yake… huo upole wenu ndio unakuchewelesheni .

  • @elishahenry9257
    @elishahenry9257 8 годин тому +8

    Wachaga hawataki kukiachia chama,,,,, lisu kapiga kama magufuli alikaa muda mrefu akikataa kua atagombea kaja kukubali muda ambao mbowe hajaandaa mtu wake

  • @SundayYohana-h4m
    @SundayYohana-h4m 6 годин тому +1

    Kikeke hauna utulivu wa kuuliza maswali lisu hajajibu unauliza swali lingne n do nn xaxa.

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 6 годин тому +1

    Kikeke uwezo wa kuhoji umeshuka unauliza shwali lile lile mara nne. Hukujiandaa kumhoji mtu makini

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +1

    Mambo ya Abdul 😮wote tumeyajua

    • @lifeonearth94
      @lifeonearth94 6 годин тому

      Ndo nan huyo

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 33 хвилини тому

      ​@@lifeonearth94Lissu anadai ni mtoto wa Rais wa sasa(Dokta Samia).

  • @AbdallahHussein-of7wd
    @AbdallahHussein-of7wd 3 хвилини тому

    Lissu anaongea vzr lakn kuna time anakosea kuukosoa Sana uongozi wakati na yy alkuwa mjumbe WA kamati kuu ya chama so maamzi yote ya kichama yalitokana na kikao na yy n mjumbe

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 8 годин тому +9

    Hata personality tu ya Lisu ni ya kiongozi mkuu.

    • @JCMaxima
      @JCMaxima 7 годин тому +1

      Hamna kitu! 😅😅 Personnality yake Lisu ni ya Street boy, na sio ya Kiongozi! 🤷🏾🤣🤣🤣

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 7 годин тому +1

      Watu wengine wanaangalia mtu anaeongea sana badala ya anaongea nini na kina faida gani. Lisu ni mlalamikaji na muongeaji zaidi ya mtendaji.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 32 хвилини тому

      ​@@ashaali7154Kivipi dada angu, nifafanunulie na mimi nielewe?

    • @victorcharlesmwakikoti7764
      @victorcharlesmwakikoti7764 Хвилина тому

      ​@@ashaali7154 Ulimpa kazi yako akaongea ikamshinda ?

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz Годину тому

    Baada ya Lema kuongea Jana.. nimegundua kumbe ni mkakati wenu wa muda mrefuu.

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 37 хвилин тому

    Tupo na Lisu

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 5 годин тому

    Usimalize maneno, tunza umoja na ushirikiano maana kuna leo na kesho

  • @eliud21savage48
    @eliud21savage48 2 години тому

    Lissu ni chadema

  • @Goofyplayz-fj3ce
    @Goofyplayz-fj3ce 7 годин тому +1

    Kikeke wewe umeishi Uingereza. Party Leadership Contest, yaani mapambano ya kuwa kiongozi wa chama, ni kitu cha kawaida.

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 7 годин тому

    Unaposema majibizano kikeke ,Kumbumbuka nyinyi ndio mnahoji vitus vya ndani

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 27 хвилин тому

    Kikeke unapomuhoji Lisu usisahau huyo hachanganywi kwa maswali

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 годин тому +1

    👊✌️✌️.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 34 хвилини тому

    Kikeke anahoji utadhani kakalia dumu la asali

  • @negusnegesti1813
    @negusnegesti1813 2 години тому

    😊

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 5 годин тому +2

    👍👍🇹🇿✍️✍️✍️

  • @KichereSabora
    @KichereSabora 7 годин тому

    Hadi sasa sijaona mtangazaji anayeweza kuuliza maswali magumu.

  • @LusajoCornelius
    @LusajoCornelius 7 годин тому +1

    Yani kikeke unauliza swali kwa ajili ya nini? husubiri jibu unauliza tena!!

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 32 хвилини тому

      Anajaribu kutunza muda, Lissu ukimuachia anaweza kuongea hata masaa 2.

  • @ahmedalkithri9208
    @ahmedalkithri9208 3 години тому

    Ani huyu salim anarudia maswali yale yale yalioulizwa sa sijui hajiongezi au kakurupushwa anii

    • @bernardndemba2253
      @bernardndemba2253 2 години тому

      Amekutana na kichwa na uzuri wa Lisu kila anachoongea ni cha kweli

  • @maulidathuman1779
    @maulidathuman1779 5 годин тому

    Akili ndogo inahoji akili kubwa kikeke Hana utulivu kusikiliza

  • @latifaIdassi
    @latifaIdassi 5 годин тому

    Kikeke ana umboye ndani yake!

  • @imranJoho
    @imranJoho 7 годин тому

    Hata swala ndugai

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 7 годин тому

    Hakuna mpinzan kama uyu jamaa uyu ni mwamba mbowe mpiga dili kitambo 😅😅😅

  • @DavidNicholas-c9i
    @DavidNicholas-c9i Годину тому

    Mbowe angemuachia huyu jamaaa

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 години тому

    Lisu.anakubalika

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Годину тому

    Ulifikiri ukigombea wewe utaleta mtafaruku mkubwa kwenye Chama kwasababu ya nini?, uwe mwazi ili ijulikane usitugubike blanketi tusijue kinacho endelea ndani ya Chadema.

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 5 годин тому

    Lissu habar ya mjn

  • @SulePonda
    @SulePonda 3 години тому

    Better than Mbowe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому

    Chama hicho hatari

  • @iddysonyo1356
    @iddysonyo1356 Годину тому

    chadema nichama kidhaifu Sana eti mwaka wauchaguzi wao wanazodoana na kutoleana Siri, kunawakati walimkataa slaa kisa lowasa walishindwa kugundua lowasa ulikua mpango wa ccm saivi Tena wanakipunguzia nguvu chama

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 30 хвилин тому

      Ndio demokrasia hio ndugu yangu binafsi naona hawafanyi makosa kabisaa.

  • @misambo7539
    @misambo7539 2 години тому

    Lissu anavyojibu huchoki kumsikiliza

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin 25 хвилин тому

    Tunaenda na wewe lisu!

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 7 годин тому +3

    TUNDU LISU NI SAWA NA RAIS WA UKRAINE ZELENSKY NA ATALETA MACHAFUKO TANZANIA FIKRA ZAKE KWA MACHO TU HAYUPO TANZANIA

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 7 годин тому

      Kama akii Amna awezii wepo Tanzania kama akii ikiwepo na yeye yup Tanzania

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 6 годин тому

      Machafuko ni nini ? Hii ni Nchi ya Amani.

    • @maulidathuman1779
      @maulidathuman1779 4 години тому

      Huna akili kaka

    • @trueprophet7627
      @trueprophet7627 4 години тому +2

      machafuko yameshanza kuletwa na ccm kwa kukataa uchaguzi huru wa wananchi

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 2 години тому

      Mpuuzi wa mwisho ww mchumia tumbo

  • @hassanmbwambo8097
    @hassanmbwambo8097 7 годин тому

    Chairman leo nimekuwa upande wako

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 5 годин тому

    Kikeke acha upumbavu wewe uliza maswali yenye mashiko bwana hicho kichwa ni hatari na kinaakili sana .

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 Годину тому

    The only survival in the jungle.A wounded Lion 🦁....Mungu yupo aisee

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 Годину тому +1

    King Kikeke, huyo jama tumepata kumsikiliza saaaana hapa Belgique zamira yake ni mbaya sana na Tanzania. Anajuwa sana fasi gani tulikuwa tunakutana nae mtaa unaitwq Matonge (Bruxelles). Ata ukitizma majibu ya maswali yako, unaona kama kuna kitu kimehificha nyuma ya paziya.
    Hao wanamuunga mkoni Lisu,wa orodheshwe, ili wawe kwenye storia ya wale waliunga mkono matayarisho ya uchafuzi wa inchi. Kwakuwa ndo plan ya Lisu

  • @SakayaDona
    @SakayaDona 6 годин тому

    C lisu kasababisha yatoke kwa mdomo wake.. c mngemalizan huko ndan

  • @elreina
    @elreina 5 годин тому +1

    Ukitazama Vizuri Sioni Kama Kuna Vita Hata Kidogo kuhusu Lisu Na Mbowe, Kwa Sababu Ni Kama Walikaa Mezani Pamoja Na Mbowe Wakajadili Ni Namna Gani Ya Kuwafanya watu wapay attention kuwafuatalia hii ni Plan Lissu Na Mbowe Wote Wanælewa kila na hakuna kitu hapo kinachoitwa majibizano ni namna wanajaribu kuweka attention tu, lakini CHADEMA Bado Nipo Na Nyie

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 34 хвилини тому

      Mkuu kwa saga linaloendelea wala hakuna kukaa pamoja aisee, hawa Lissu na Mbowe ni kweli wapo kwenye vita vya kisiasa wala hakuna kukaa pamoja.

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 годин тому +1

    Kama muliona yanatokea mbona hamukuongea ki chama badala ya kufanya kampeni ya kumgeuka mwenzenu kama wasaliti.

  • @pastorlazarosamwelkilala5795
    @pastorlazarosamwelkilala5795 4 години тому

    TAYALI MME GAWANYIKA

  • @AbbySanga-m8j
    @AbbySanga-m8j 8 годин тому +5

    Lissu ni jembe

  • @khalifamkali4286
    @khalifamkali4286 7 годин тому

    Nina hasira kama lisu..... siwezi tu kuongeaa

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 5 годин тому

    Mkiifanikiwa mnaweza mkaongoza serikali ule maimamo went wewe na mwenyekiti wako wa sasaikitokea tena corona na nyini miwahi kusapoti watanzania kukaa lockdown hamuoni kuwa mtawaangamiza watanzania walio wengi maskini ? Na kama mtaweza kugawa huduma zote yaani kukidhi mahitaji ya kila siku hizo ela zitatoka wapi ikiwa marehemu raisi John magufuli aliamuru tusikae lowdown jkwa kuhofu ugumu wake ?

    • @japhetmayige3410
      @japhetmayige3410 51 хвилина тому

      Suala la "pesa" kwa mtawala wa nchi usiulize itatoka wapi. Pesa anayotoa raisi sio yake au chama, bali ni hayo makusanyo ya kila mwananchi. Hata hio pesa ya goli la mama ni hizo mnachangia ushuru wa kila manunuzi, hata ukinunua vocha umechangia. Suala la fedha usiwaze kabisa, nadhani ni muhimu kuona sera, namna gani wata-manage pesa zetu!

  • @Ibrahimkitela
    @Ibrahimkitela 7 годин тому

    Ww ni genge la lema , heche na msigwa , hoja zenu hata hazina mashiko , huwezi ongea vitu ambavyo na ww ni mmoja wapo wa kiongozi ndani ya chama, maovu yote unayajua na mlishilikiana , sasa nani atakuelewa ww , ngoja upigwe uhame na kuhama

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 32 хвилини тому

      Viongozi wa CCM walipo tifuana kwa lengo la kujivua gamba.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому

    Chana kifutwe Ni chama cha biashara na si cha raia😢

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 2 години тому

      Uanze kufutwa ww na familia yako mchumia tumbo

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 30 хвилин тому

      unajitahidi sana kuwa Yuda, ila maisha yako yataishia kaburi tu

  • @shaabansulaymaan4478
    @shaabansulaymaan4478 7 годин тому +3

    Ujinga tu
    Yan kwamba chadema tunatrend kwa sbb gan
    Press conferencees na interviews za za kuanika mambo mifarakano ua chama hadharan n ishara kuwa chama hakijakomaa,

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 7 годин тому +1

      Wewe usiwe chiziiii kwani adii ccm wame uzaa bandalii walikuambia milaa kukuambia lisuuu ungee jua boyaa ww una fichajee lushwaa iliii iyendee lee chadema iwe kama ccm Kila m2 kiongoziii mwiziii jitambue ww chama Cha wana chama na wana nchiii una fichaa una taka ajue nani

    • @shaabansulaymaan4478
      @shaabansulaymaan4478 5 годин тому

      @@RomanMwinyi
      🤣😂😅🤣
      Kwenye vichwa vingine kuna tope cjui
      Umereply nn sasa

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 27 хвилин тому

      Gambo na Makonda ni chama gani? Mpina ni chama gani? watu mnapenda uongo ili iweje? Siri ya mbowe au chadema inazodolewa?
      Au mnataka watu waumie kama Ngorongoro?

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 7 годин тому +1

    Huyo risasi zimemeathiri hayupo timamu msameheni bure . Ni msaliti tu . Siri zao za kupindua chama zilivuja ndiyo maana hata kama walitaka kurolewa . Aache maneno maneno. Msaliti pamoja na hao wenzake wanaobwabwaja hovyo. Hswafai kabisa hawa

    • @johnmshuta5133
      @johnmshuta5133 7 годин тому +1

      Wew ndo unafaa mama njoo tukupe chama

    • @allymnyenye8109
      @allymnyenye8109 7 годин тому +1

      Sio kosa lako upeo ndio ulipoishia

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 7 годин тому +1

      We chiziii au shogaa mbona una ojaaa

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 годин тому +2

      Hamna hoja zaidi ya kutukana matusi tu ushabiki wa kijinga.

    • @willegamba1479
      @willegamba1479 6 годин тому

      Kwa hiyo leo demokrasia imegeuka hathari za risasi,? Haaya tushajua timu gani wewe

  • @BUZAFILAM
    @BUZAFILAM 6 годин тому

    ua-cam.com/video/Ol6U5FsNdqk/v-deo.html

  • @saarungu3564
    @saarungu3564 6 годин тому

    Lissu ni vurugu tu.hana lolote .

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 21 хвилина тому

      Anzisha chama chako ukiona Lissu anakuvuruga! CCM, ACT au huko unakoshabikia umeanzisha wewe? Hata hiyo ofisi unayo itumikia na kukulipa posho ya kupiga propaganda ni ya watu, wewe si fala tu.

  • @AdilOmary
    @AdilOmary 24 хвилини тому

    ❤❤❤❤