MMEALIBU CHAMA AMTAKI USHAULI WALA KUTAFAKALI WANACHAMA WANAONA NINI KATIKA CHAMA CHAMA KIMEKUFA HICHI WAUNI NINYI WATU TUMEPITEZA MALI ZETU DHAMANA ZETU TULIJITOA KWA DAMU NA JASHO MWISHO WA SIKU MMEJIMILIKISHA CHAMA NA KUJIONA MUNGU WATU ILA MATOKEO YAKE YATAKUWA MABAYA SANA
Tukiwambia chadema nichama cha kihuni hamuelew,,,eti mchukue Inch mnagombana wenyew ,,,,wehu nyieee mtaishia kuchukua ujumbe tu kwa majimbo ya mbumbuka,,,,, very shame m agombana mbatuletea wananchi ovyo kabisaaa
nyie wapumbavu nchi inaamaafa nyie mnailaumu serikali kariakoo watu wanakufa ungetakiwa uwe kariakoo unaokoa ww unalilia kura tu acheni ushamba mm sipendi mnaboa xna
Hao chadema ni wahuni na ccm ndio haifai kabisa ccm ilikuwa Ile ya magufuri. Waafrika inatakiwa wakoloni walidi tena kututawala kwa sisi wenyewe hatuwezi kujitawala kabisa ni uhuni mtup
Swala sio wewe kuwepo kwenye kugombania ila una group lako ila brother unavyozidi kujitetea unazidi kukuza tatizo kwa nini msiyamalize ndani kwani kiongozi wakuu wako wapi Mh Lisu Mh mbowe maana bila hao hali itakuwa mbaya
CHADEMA IMEKUFA YOOOOH 😂😂😂
LEMA RUDI TU CANADA 😢😢😢😢😢
2025 nikesho sasa mnaanza kupigana wenyewe tena
Chadema kwisha mzeeeee
Kumeanza kuchangamka😂😂😂😂😂😂 mwenyekiti yupo tangu nikiwa mdogo ila gusa nafasi yake utakiona cha moto😅😅😅😅😅😅😅
Kwani Kipindi kile uchaguzi wa mwenyekiti waligombea wangapi? Na je uenyekiti wa ccm Huwa wanagombea wangapi 🤣🤣🤣
Acha uchonganishi mpuuzi ww
Kwanini headline ya habari na kilicho ndani ni vitu viwili tofauti. Kabisa na hii n media kubwa Andikeni uhalisia achani upotoshaji
Hivi mnajua 2025 ni kesho tu
Wameferi hawakuwezi baba watasubiri sana we neo lema og mwingine wa kubumba
Uwa nasema kila wakati kuwa hawa jama ni miyayusho
RIP CHADEMA 😂😂😂😂 umelalaaaa yooooh
Umelala people's umelalaaa yoooh...😂😂😂
Msigwa was right
Msigwa was broke
CCM ni Dude kubwa mnoooo...😂😂😂
Kumbe Msigwa alisema ukweli jamani kweli chadema imeharibika
Chadema imeisha sasa kwa mwendo huu yaani siamini dah
Yani chadema iishe huku wagombea wa chadema wanaogopwa kuliko hata chui, ni mpumbavu tu ataamini hio.
Mtahangaika sana
Yaani mnatandikana magumi wenyewe kwa wenyewe kabisa!!.. Daaaah! Kura yangu nitampa nani sasa??
Ccm ameshaingia hapo ndani
Huyu jamaa 1/2 1/2 alaf soon mtamuona kwenye kijani na njano.
Lema hana busara za kuwa kiongozi 😢😢Bora arudi zake Canada kujiunga na familia yake
Arudi wapi??!! Kafukuzwa huyooo😆😆
Thanks.mwamba
Sijatosheka na Maelezo ya Mheshimiwa Lema, kwa hiyo Sina haki ya kuchangia hoja.
Wewe lema. Mambo yako kila mtu anayajua chanzo cha mauwaji na utekaji unahuska kwa sehem kubwa
Chadema ni kubwa kuliko wanao ropoka ropoka na kimejengeka vilivyo umechoka kalie kipolo mbali
Mtego uo tukutane 25 chadema milion watu 40 nchi nzima awa wajuu acha watangane lkn sisi bado yuko imala
Mimi huwa nasema hichi ni kikundi cha wapiga pesa ila huwa sieleweki
Mi niliwambia chadema wanaongoza chama kihuni watu wakabisha basi mwiteni na rema ni msaliti
Mbona mnaandika vichwa vya habari visivyooana na maudhui jamani? Huu si uungwana!!!!!
CCM is the best
Tatizo lenu, chadema kila MTu msemaji ndo shida
Wewe na Team yako ni Vibaka tu!! .... Mmelifuta Jina la Kuyar ili asigombee!!! Shame on you Lema!
Hamuwezi kukaa mkamaliza shida zenu.Pia waliofanya fujo walimkosea sana,lakini msifukusane.Mnatukumbusha mbali akina Selasini walimfanyia Mrema fujo kubwa kupigania kuzima taa na nk wakiwa mkoani Tanga mnaokumbuka mpo.Hayimsye NCCR imekufa .Chadema nanyi mmelianzisha,baada CUF kufilia mbali.
Mtakoma mbwa ninyi
Hayawakowapi waliokuwa wanafatamkumbo,,,,, hilinigengelawahuni
Aisee sikutegemea habari kama hii
Hauna baya kaka
Alivyo fanyiwa msigwa alikaa kimya kwake kelele atulie
Mmeanza kutafunana wenyewe na bado ,,,japo,,wewe hua nakuelewa vyema
Damu za watu zinalia
Kwisha chadema
Chademma
MMEALIBU CHAMA AMTAKI USHAULI WALA KUTAFAKALI WANACHAMA WANAONA NINI KATIKA CHAMA CHAMA KIMEKUFA HICHI WAUNI NINYI WATU TUMEPITEZA MALI ZETU DHAMANA ZETU TULIJITOA KWA DAMU NA JASHO MWISHO WA SIKU MMEJIMILIKISHA CHAMA NA KUJIONA MUNGU WATU ILA MATOKEO YAKE YATAKUWA MABAYA SANA
Tukiwambia chadema nichama cha kihuni hamuelew,,,eti mchukue Inch mnagombana wenyew ,,,,wehu nyieee mtaishia kuchukua ujumbe tu kwa majimbo ya mbumbuka,,,,, very shame m agombana mbatuletea wananchi ovyo kabisaaa
Wahuni watupu
hiki ndicho chama cha upizani kwelikweli. ndiyo maana ccm wanakiogopa sana
@@TabuMasanja-y5f hawakiogopi wao chadema ndio wanakiogopa
Mbona ccm wanagombana wenyewekwa wenyewe mbona hamsemi
Darasa la matusi
Bado hamjachukuwa dola mkichukuwa mtauwana twendi tuona pano vuja
nyie wapumbavu nchi inaamaafa nyie mnailaumu serikali kariakoo watu wanakufa ungetakiwa uwe kariakoo unaokoa ww unalilia kura tu acheni ushamba mm sipendi mnaboa xna
Mbona ww unapakuliwa hapo huendi kuokoa
Mbona wewe unanyofolewa Malinda aujafika kariakoo
HAPO BADO HUJASEMA
Hamjasema nyoko zenu nyinyi...ccm itabakikuwa LIDUDE FULANI HIVI LIKUUUUBWAAAA🤣🤣🤣
Hao chadema ni wahuni na ccm ndio haifai kabisa ccm ilikuwa Ile ya magufuri. Waafrika inatakiwa wakoloni walidi tena kututawala kwa sisi wenyewe hatuwezi kujitawala kabisa ni uhuni mtup
HAHAHAHAHAHAA, REST IN PIECE CHADEMA, LONG LIVE CCM,
Huna Akir weeee labda mbowe afe ndyo chadema itakufa shenzi ww
Demoklasia bongo
Wasafi bwana.kwenye ubaya faster tu washapost ila wanapokua wanalia na chaguzi aaah kimya kama hawaoni yaani
Bongo Mungu endelea kutupigania
Ubaya ubwela
Acha uchawa kwani hiyo si habari??!! Mnataka isemwe ccm na vyama vingine chadema ikisemwa mnavimba...ubaya ubwegeeee😅😅
Swala sio wewe kuwepo kwenye kugombania ila una group lako ila brother unavyozidi kujitetea unazidi kukuza tatizo kwa nini msiyamalize ndani kwani kiongozi wakuu wako wapi Mh Lisu Mh mbowe maana bila hao hali itakuwa mbaya
Hii panya cjui huwa inaongeaga nn porojo tuuu blaa blaaaa nyiiiingi
Panya rodi😂😂😂
@mamboshepea8888 hao n panya road aiseee
@@Ibrahim-ne3in 😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂kiukweli hata mm huwa simuelewi anaunga unga stori tu
Mshanunuliwa umbwa nyiee
⁴⁴⁴43⁴⁴⁴