Jinsi ya kufanya 'finishing' ya kisasa katika nyumba yako | Lazima kujua kabla hujajenga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 2 роки тому +3

    Napenda sana vitu vizuri, ila pesa nimekosa. 😭😭

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 роки тому +3

    Fundi yuko vizuri sana. Big up

  • @salmasaif7820
    @salmasaif7820 3 роки тому +2

    Mashaallaah shabani nimekumbuka hongera sana msalimie mama Alli

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Mnajua sana kazi canghui yote tisa namba ya simu tunaitaka ya huyo shabani

  • @jabirypheri3781
    @jabirypheri3781 Рік тому

    Fundi Shabani yupo vizuri naomba namba yake ya mawasiliano.

  • @bienvenuejuma9539
    @bienvenuejuma9539 3 роки тому

    Asante sana kwa fundi shabani naomba nipate namba zake mana napenda anijengehe nyumba yangu tafazali sana naomba namba zake za simu

  • @tausdagira5030
    @tausdagira5030 2 роки тому +1

    Fundi fedha iyo sio pesa.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 3 роки тому +1

    Safii sanaaaa

  • @anyengaabwe1782
    @anyengaabwe1782 Рік тому

    Anapotowa maelezo unatakiwa kuionyesha ili nasisi tuvutiwe nakujaribu kumpa kazi fundi

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Рік тому

    Video mbaya

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому +1

    Nice

  • @shufwaaofficialtv1306
    @shufwaaofficialtv1306 3 роки тому +2

    Nyumba nzuri sana

  • @zainazaina8711
    @zainazaina8711 Рік тому

    Assalam allaikum nilikua namuuluza fundi kama Una kiwanja cha 30by60 na nahitaji nyumba kama hiyo lakini ya vumba vitatu inawezekana na gharama yake ni help ngapi

  • @donkilima2542
    @donkilima2542 2 роки тому

    Please ndugu zangu ninaweza kupata aje number ya Engeneer Shabani luwasa, tafadhali, ninamuitaji kwa sababu ya ujenzi wa nyumba, Mungu awabariki

  • @raysamiya3760
    @raysamiya3760 2 роки тому +1

    Fundi Shaban naomba utupatie number yako y cmu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому

    Tunaomba namba ya simu tunapenda sana finishing yenu

  • @husnaalrwahi7864
    @husnaalrwahi7864 Рік тому

    Naomba namba

  • @hofumlewa8531
    @hofumlewa8531 Рік тому

    Za jionih naomba namba ya shabani

  • @KevinMghala
    @KevinMghala 5 місяців тому

    Fundi naomba kujifunza ujenzi napenda

  • @hofumlewa8531
    @hofumlewa8531 Рік тому

    Anapatikana wapih

  • @pasemnyari6769
    @pasemnyari6769 2 роки тому

    Naomba no ya fundii kipindi Cha tarehe 24/08/2022

  • @jumannemlimakala6442
    @jumannemlimakala6442 3 роки тому

    Kwamajina Ninaitwa jumanne Nitapata namba ya simu ya shabani

  • @millerjames61
    @millerjames61 3 роки тому

    naomba namba za fundi

  • @rukaiyaramadhani4879
    @rukaiyaramadhani4879 Рік тому

    Fundi uko wapi

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 Рік тому

    natafuta hela nikulete mombasa unifanyie finishing kwangu...

  • @anyengaabwe1782
    @anyengaabwe1782 Рік тому

    Shida tu nimoja mnatowakipinsi ila huonyeshi mwonekano waeneo ili tuweze kumuhitaji fundi,ilonishida sisi tunaitaji kuiona kaziyake namwonekano

  • @shom1229
    @shom1229 3 роки тому

    Tupatie namba fundi

  • @kidrajuma4092
    @kidrajuma4092 3 роки тому +2

    kipindi ni kizuli sana lkn mda wa nusu saa ni mdogo tunaomba mda uongezwe

  • @anyengaabwe1782
    @anyengaabwe1782 Рік тому

    Jitahidi mtangazaji onyesha image

  • @lgdnce3052
    @lgdnce3052 3 роки тому

    yani ukiomba namba hupewi

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 роки тому +1

    Naomba namba ya Fundi Shabani

  • @hajiabdallajuma9412
    @hajiabdallajuma9412 3 роки тому

    Asalam alaykm nipe namba ya cm yafundi shaban

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 3 роки тому +1

    Mnajengabeigani

  • @jammerman860
    @jammerman860 3 роки тому +1

    What's the builders number pleaae

  • @mch7434
    @mch7434 3 роки тому

    Find aka wapjamen

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 3 роки тому

    No ya shaban

  • @mch7434
    @mch7434 3 роки тому

    Npenamba yako fundi

  • @stella88244
    @stella88244 3 роки тому

    Naomba number ya Shabani plz