MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MO NA BABRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 сер 2021
  • Aliyekua Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Sunday Manara amejitokeza mbele ya Vyombo vya Habari kwa Mara ya kwanza baada ya kuondolewa katika Nafasi Hiyo Siku chache zilizopita

КОМЕНТАРІ • 45

  • @user-cc8le8bx5s
    @user-cc8le8bx5s Місяць тому +4

    Usihuzunike sana kakaangu Julia yanga kulabata

  • @hosseamelikioli9410
    @hosseamelikioli9410 2 роки тому +3

    Genius master mind super man . Experience speak . Haj mamara viva 💪💪 God bless you

  • @frankkiunsi2655
    @frankkiunsi2655 Місяць тому +1

    Upo sahihi bro.

  • @ndiopebinamu7447
    @ndiopebinamu7447 Рік тому +2

    Yanga babalao simba mamalao

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 2 місяці тому

    Manara uko sahihi

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 2 місяці тому +3

    Mmmh sasa hivi msemaji wa vijiweni kwa sasa
    Baada ya kufoka ikawaje😂😂😂😂

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 2 місяці тому +1

    We kazee kalaleeee
    Huna jipyaaaaa kamlinde mkeo hukoooo

  • @simonmush7708
    @simonmush7708 Рік тому

    😅 uko vizuri kaka

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 2 місяці тому +2

    Haji Manara upo sahihi
    Simba tunataka revolution tunataka transparent

  • @user-qw4pm2xe4j
    @user-qw4pm2xe4j Місяць тому

    Umesema kweli

  • @VictoNyese
    @VictoNyese 2 місяці тому

    Manara ulibezwa maneno yako leo wanakukumbuka

  • @tumainirichard5678
    @tumainirichard5678 2 роки тому +1

    Rich people will use and dump you wakikuchoka just like that ndo walivyo. Siyo mpenzi wa mpira but I can feel vile walivyo m disappoint pamoja na kwamba alijitoa sana simba

  • @user-wu1bm2by6z
    @user-wu1bm2by6z 2 місяці тому

    Au sio

  • @christophermakunzo4232
    @christophermakunzo4232 Рік тому

    Kwa wingi wa maneno hayo lazima ufukuzwe...

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 2 місяці тому

      Sawa swali baada ya kufukuzwa simba tuko wap

  • @izacklugongo654
    @izacklugongo654 2 роки тому

    Haji mm nimekuelewa vizili sana ila ninaushali kwako ,,,,,,?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 роки тому

    Msema pekee yake hakosei uzuri wake kwamba MO yeye hakujibu

  • @nebatymwashiuya7588
    @nebatymwashiuya7588 2 роки тому

    Utakuaje maarufu unanuka shida tuu

  • @SamuelMatalu
    @SamuelMatalu 9 місяців тому

    Chawa!

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 2 місяці тому

      Ukimskiliza manara vzr utagundua anguko letu simba lilianzia wapi ila kama kichwani nikiaz uwez kugundua

  • @user-uf4sj1uy9p
    @user-uf4sj1uy9p 9 місяців тому

    Haji.Manara mbona wewe muongo usiokuwa na kumbukumbu.Senzo kaondoka Simba sababu Morison na ndiyo kilicho muondoa Tanga.Achakudanganya Watu.

  • @mengimagimbi483
    @mengimagimbi483 2 роки тому

    Pambana Bradha maisha ndivo yarivywo tazama ungo yupo wap?

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 7 місяців тому

    Haji nimekuelewa

  • @BakariAzizi
    @BakariAzizi 3 місяці тому

    Simba niykwako iko moyoni namin ipo siku utarudi moyo wako unaonekana wap ulipo ulikua unawapa hamasa sna wachezaj cham alikua kila sku anazaliwa upya

  • @bullahsambiga5662
    @bullahsambiga5662 2 роки тому +1

    Ulikua unatukashif San yanga leo kikwap

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 2 місяці тому

      Ukiwa uji kichwani unakua na mawazo mgando ulitaka asifanye kaz!

  • @user-qw4pm2xe4j
    @user-qw4pm2xe4j Місяць тому

    Hakika wewe mkweli

  • @nebatymwashiuya7588
    @nebatymwashiuya7588 2 роки тому

    Wamemwaga mchuzi Sio makelele hayo

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 Рік тому

    Sasa huko yanga umepewa kazi gani? Mbona wamekuacha wamemchukua Ally Kamwe?

  • @AyubuHamisi-sh2fg
    @AyubuHamisi-sh2fg Рік тому

    Hili Kuma ndo linaharibu mpira uongo kila kukicha

  • @festomartin6170
    @festomartin6170 4 місяці тому

    Kama unachosema Haji ni ukweli mtupu, basi itawachukua muda mrefu sana Simba kufanya maendeleo ya mpira

  • @nebatymwashiuya7588
    @nebatymwashiuya7588 2 роки тому +1

    Kweli wewe bwege huna adabu mo kakubeba Leo unaonekana mtu umeanza kujiona bora

  • @johsonsamson5291
    @johsonsamson5291 3 роки тому

    Mimi shabiki wa yangu ila manara wewe ni nimpambanaji

  • @BenjaminiMiyay
    @BenjaminiMiyay 2 місяці тому

    Dodoma tanzania

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 9 місяців тому

    Huyu ni mgonjwa wa akili tunaita Ana narcissistic personality disorder plus super gonorrhoea Ana o habitation Muhimbili
    . Inabidi aende Somalia akatibiwe

  • @ericsallu5331
    @ericsallu5331 2 роки тому

    Haji story teller unataka uonewe huruma...umeshatoka kaa kimya wataka urudishwe SIMBA.???

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 2 роки тому +1

    MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA, HAJI USIWE MNAFIKI, ULIYOMSEMA SENZO ALIPOTOLEWA NI YAPI NA LEO WASEMA NINI,? ACHA UBABAISHAJI MPIRA SASA UMEKUWA NA WEWE KUWA, FUATA TARATIBU ZA KAZI ACHA DOMO KAYA HATUKUUNGI MKONO NG'O, KAFIE MBALI NA SHIDA ZAKO.

    • @oktaviangaspar5602
      @oktaviangaspar5602 2 роки тому +1

      Manara Hana tofauti na mwanamke wa baa Kila mwanaume wakwake. Mtoto wa kiume unakuwa dizaini hii ukimpa hela atamkana hata baba ake huyo kenge

  • @lyegojaphet1964
    @lyegojaphet1964 2 роки тому

    Bwana usituvuluge smba ni clabu kubwa ulifikili utakaa milele hapo kimekuuma kuondoka smba