EXCLUSIVE: MAISHA YA HAJI MANARA, KUZALIWA AMSTERDAM, WAKE WATATU, MSHAHARA MPYA, KUGOMBEA 2025 N.K

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Ulikua unafahamu kwamba Msemaji mpya wa Yanga Haji Manara hakuzaliwa Tanzania bali Uholanzi? nini kilisababisha akazaliwa huko? maisha baada ya hapo? Wake watatu? alivyoanza kazi ya Utangazaji na kusoma South Africa na China? mshahara mpya Yanga? anasemaje kuhusu kauli yake ya kitambo kwamba hawezi kuhamia Yanga hata iweje? unafahamu kuhusu mpango wake wa kugombea Uongozi mwaka 2025? hiyo ni sehemu ya maelezo machache sana kati ya mambo mengi aliyoyaongea kwenye hii EXCLUSIVE..

КОМЕНТАРІ • 280

  • @premierktg4323
    @premierktg4323 3 роки тому +8

    "Ushabiki Unahama"...@Haji Manara🙌🏻...Jamaa Anafalsafa Nzuri Sanaa Appreciate✊

  • @mwanakombobakari2451
    @mwanakombobakari2451 2 роки тому +1

    Mashaaalah,Mashaaalah, the best Interview, nimefurah sana , Haji Ni zawadi ya wa Tanzania toka kwa Mungu , Haji ni mkubwa sana mwenye kipawa kikubwa sana , Mungu akujaalie kheri zote ktk maisha yako kk Haji Manara. Allah akupe umri mrefu na uzima na hekma, Allah kuongoze vyema ktk kila hatua akuepushe na shari zote na mitihani. Kila jambo lako utakalopanga liende kama ulivyokusudia , Puuzia sana maneno ya watu wabaya ,songa mbele unaweza sana ndiomaana unapigwa vita nyingi usjali be strong .AAMIN AAMIN KHERI INSHAALAH.

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 роки тому +9

    Saaaaaafi sana Haji Manara. Leo nimejua jambo la muhimu sana ambalo sikulijua mwanzoni. Sikujua kama baba yako ni Sande Manara mchezaji wa kabumbu! Asante sana. Watanzania tunakupenda sana.

  • @Mwamy11
    @Mwamy11 3 роки тому +7

    Haji Manara ni smart 😎 salaam toka canada 🇨🇦

  • @chazyteshakimaro4659
    @chazyteshakimaro4659 3 роки тому +16

    Haji manara yupo mmoja tu ,🙌🙌🔥🔥🔥🔥

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Kumbe hatar sana ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 3 роки тому +8

    Mimi ni mpenzi wa Simba lakini nimeopenda sana interview hii namba has a historia yake Haji Manara.

  • @rahmamukhtar521
    @rahmamukhtar521 3 роки тому +22

    Wenye Akili tunajua Haji ni Precious Treasure,Hii ni best interview.Kuna zuzu Moja lilitaka kuchallenge uwezo wa Haji.Wazee wake waliwekeza,We wa kwa Mama Kimbo Buza unajifanya Ujuaajiii.

  • @tanganyikamarketingagency5007
    @tanganyikamarketingagency5007 2 роки тому +2

    nimecheka sana jamani nimejifunza mengi mashaallah, na mimi INSHAALLAH nitamuita mwanangu MILLARD JAPO bado sijaolewa lkn my future huby jua hili mapema hahahhah hongereni sana nimependa I WATCH THIS THREE TIMES

  • @barracksgabriell9152
    @barracksgabriell9152 3 роки тому +14

    Bonge moja ya interview manara yuko vizuri tuache maswala ya ushabiki hadi kwenye maisha ya kawaida haji nae anamaisha nje ya mpira maana mtu ukimwona haji tu unawaza simba na Yanga

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 роки тому +26

    Huyu mtu nampenda sana... Haji ni dume kamilifu....

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 3 роки тому +37

    Piga like kama unampenda semaji la dunia 👍👍

  • @julianakamese5268
    @julianakamese5268 3 роки тому +7

    Natamani mungu anipe mme mwenye busara Kama Haji manara,,nakpenda sana,ur very bright❤️❤️❤️

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 роки тому +13

    Nilikua naisubiri kwa hamu hii interview ahsante Millard Ayo

  • @sangjr8219
    @sangjr8219 3 роки тому +5

    Safi sana @hajismanara. Toka uwe mwananchi unaongea kwa busara sana

  • @zaizaitwaha6633
    @zaizaitwaha6633 3 роки тому +9

    Ila haji bwana una maono makubwa aman of abig dream u inspire so many young generation congratulation bigup

  • @violetmunuo5053
    @violetmunuo5053 3 роки тому +14

    nampenda sana haji manara🤩

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 2 роки тому

    Ayo Millard Ayo hongera sana broo big up unafanya kazi kubwa na yenye uboraa ubarikiwe ktk maishaa yako pia manara hongeraa uko vyema unaweza kufanya kitu chochote kwa uimara wako mashallah

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 роки тому +18

    Hongera Haji Manara na Millard Ayo pia 😎God bless us all

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 роки тому +4

    Haji Manara nakupenda sana resembling with my brother , the way you are, navyosema umefanana nae namaanisha mpk rang. He is an alibi no like you

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 роки тому +4

    Namkubali sana haji manara. Big up bro 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +33

    Semaji la DUNIA ndani ya millard ayo Tv

  • @hamzahassan2079
    @hamzahassan2079 3 роки тому +12

    Jambo bora sana.
    Mtangazaji bora
    Imefahana sana kwenye kipindi
    Hajii manala ni haruatani mzee

    • @hamzahassan2079
      @hamzahassan2079 3 роки тому +1

      Ubinadamu uko poA
      Ayoooooo
      Nakwambia Tena mtu Achekwi kirema Anachekwa uchafu sawasawa

    • @georgematahimba5242
      @georgematahimba5242 3 роки тому +1

      Nampenda sana HAJI lakini yanga siipendi kabisa

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 роки тому +3

    Hongera yako Al hajj hajji manara

  • @mustaphakitole9454
    @mustaphakitole9454 3 роки тому +1

    Keep it up Haji haya ni maisha mi binafsi nimekuelewa vzur

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +1

    Maswali na majibu ya ufasaha nice interview 👍👌 manara ana akili kubwa sana mungu akutimizie ndoto zako inshallah ❤ you all kwaajili ya Allah

  • @JR-db8yq
    @JR-db8yq 3 роки тому +11

    Great Interview! This is Haji a lot of people know nothing about him.

  • @williamkilembwe7189
    @williamkilembwe7189 5 місяців тому

    Baba yako ameshangaa sana. Kusema umezaliwa Ulaya. Muongo umezaliwa kariakoo

  • @MohammedAli-sd8ji
    @MohammedAli-sd8ji 8 місяців тому

    Mashallah bro

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 3 роки тому +13

    Msemaji wa viwango vya juuu haji mtoto wa mzee manala

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 3 роки тому

    Aisee

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 3 роки тому

    Nakuelewa Shekhe Manara
    Inshallah Shekheeee

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 роки тому

    Asante sana

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 роки тому

    Karibu sana Yanga tunakupenda huyo ndo Mungu

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 3 роки тому +8

    Uwezi kuzungumzia soka la bongo lazima umtaje haji manara anamchago mkubwa sana katika tasinia ya soka . Bugatti

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 роки тому +3

    Nimesoma na mama yako Rehema Zanaki Secondary form 3 Com III Mimi patsy mage Hudson robina princilla mauga Farida, mackeja janet mna ndio Wakati WA uja uzito wako. Alikua mchekeshaji Sana Rehema kuna comment aliitoa darasani sitakaa niisahau kuhusu uja uzito WA huyu Haji Ayo niunganishe na Rehema pse

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 8 місяців тому

    Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh Haji manara mimi naitwa Abdul Simba naishi Amsterdam Netherlands mwaka 43 ukitaka kupata uraiya wa Hollands kwako niraisi sana juu umezaliwa hapa unahaki zote

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 3 роки тому +14

    Bonge la interview! Quality 💯 Shout out to Millard Ayo

  • @johnluyego9353
    @johnluyego9353 3 роки тому +2

    Mmmmh! Sikuwahi waza kama Haji uko
    Smart kiasi hiki! We ni hazina na ni mkweli daima. Mungu akupe maisha marefu.

  • @saadysaidzahaze5980
    @saadysaidzahaze5980 Рік тому

    Maashaallah ❤

  • @christiamapendo9186
    @christiamapendo9186 Рік тому

    Naam semaji letu inshallah mwenyezi Mungu atazidi kukuwa na wewe

  • @rojaa_mwadime
    @rojaa_mwadime 3 роки тому

    Millard Ayo ni icon wangu kwenye interviews 🙌🏾

  • @alindabenjamin6672
    @alindabenjamin6672 3 роки тому +12

    Div 1 ya Point 7,, big up sn Haji

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Manara ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html

    • @musamgulila577
      @musamgulila577 3 роки тому

      Hapo tumedanganywa

    • @kassimabdu5677
      @kassimabdu5677 3 роки тому

      @@musamgulila577 Hajji alipata point 7, watu wa Dar na tuliomaliza muda ule tuna kumbukumbu nzur kwa hilo

    • @musamgulila577
      @musamgulila577 3 роки тому

      @@kassimabdu5677 hahaha danganya wajinga ...hii sio interview ya kwanza ya haji ...

    • @kassimabdu5677
      @kassimabdu5677 3 роки тому

      @@musamgulila577 mie simjui Hajji kwenye interview, nimezaliwa Kkoo, nimesoma Azania, namjua Hajji kama kijana mwenzangu tuliyekulia kkoo, najua na nakumbuka mzee wake alivyokua na furaha na raha siku ile ya matokeo ya mtoto wake... halaf mbona kuthibitisha hilo la matokeo yake ni rahisi sana? Au hujui nikuelekeze namna ya kufanya ili ujiridhishe?

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 9 місяців тому

    Kwa tanzania hapa hakuna msemaji wa mpira kama Haji manara.Ninakubari sana.

  • @costantinesebastian6508
    @costantinesebastian6508 3 роки тому +6

    Nmependa maneno yakuhitimisha asee.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому

    Nakukubali sana Manara

  • @lukasanga685
    @lukasanga685 3 роки тому +7

    Ndoto yangu kwel imetimia nilikuwa natamani haji manara kuja yanga leo imetimia

  • @jothamekisouke8199
    @jothamekisouke8199 3 роки тому +1

    Haji ametulia sana ktk hyo inter view

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +1

    Interview bakubwa! Penda sana Haji Manara❤❤❤👍

  • @wailesihalisoni7285
    @wailesihalisoni7285 3 роки тому +5

    Vizur sana haji

    • @ahmedmattar4661
      @ahmedmattar4661 3 роки тому

      Huyu kweli ni msukule amefanana kuanzia rangi ni ya usukule akili ni usukule ni msukule kweli

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html

  • @king-rr8oc
    @king-rr8oc 3 роки тому +4

    Ulipo tupo gonga like zangu

  • @istransportationcorp7916
    @istransportationcorp7916 Рік тому

    Semaji kuu la nchi 🇹🇿

  • @jothamekisouke8199
    @jothamekisouke8199 3 роки тому

    Mambo safii sana

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 3 роки тому

    Kweli mungu akupi kilema akakukosesha mwendo

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 3 роки тому +1

    Hii sauti niliimis sana da! Millard uko na kipaj brother

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 роки тому +1

    #settingIsAwesome

  • @anthonychipuga8551
    @anthonychipuga8551 3 роки тому +4

    Millard Ayo uki-host Interview hata ikiwa na masaa 10 kuajilia njiani Ni ngumu sana😄,Hongera sana unapangilia sana maswali nk. Kiasi kwamba interview ya lisaa inakuwa Ni kama dk 5😄...Well Done! Big Up sana Brother.

  • @sengakijumiletv8125
    @sengakijumiletv8125 3 роки тому +3

    Bado naendelea na DOZI ya Dawa nameza kutwa mara tatu Kila siku ili KUMSAMEHE NA KUMkubali Manara kuwa Yanga ipo siku nitapona.

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 3 роки тому

    Haji staaaa sanaaa

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 3 роки тому

    Interview To watch Iko Sawa Sana Bwa Wawili Wazuru

  • @neemahezron486
    @neemahezron486 3 роки тому +1

    Haji wetu

  • @majaliwambeura2300
    @majaliwambeura2300 3 роки тому

    Pamojasana

  • @shaurimwambange5940
    @shaurimwambange5940 3 роки тому

    Duuuuuuh aiseeeee unatisha hajj div1 ya point 7

  • @jan6703
    @jan6703 Рік тому

    Interview nyingine kasema amezaliwa Daressalaam hospitali ya Dr Khan

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 3 роки тому +3

    Manara ni brand kubwa hela unayo huwezi kosa milion moja kwenda kusafisha meno jamani wakina GIGY wakupe siri.

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 роки тому

      Nadhn kapenda yawe hivyo,kwa baadhi ya watu wanapenda meno ya namna hiyoo

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 роки тому

      Sasa mbona we mchokozi hivi !!!

    • @drimazonechoice9822
      @drimazonechoice9822 3 роки тому +1

      tatizo huna ndugu mwenye ulemavu wa albino ukajua maumbile yao..ni tatizo kubwa kumuona mtu anatoa madhaifu ya maumbile

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 роки тому

      @@drimazonechoice9822 wachana na huyu dada ..hana habari...ni maumbile ya albino sio kutopiga mswaki....

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 роки тому

      Mbona wewe unananuka

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 роки тому +4

    Kumbe Manara aka akili sana kuliko Mwijaku mropokaji mwijaku anasema manara hana Elimu kumbe ipo elimu

    • @alexjacobndagile8708
      @alexjacobndagile8708 3 роки тому

      Profile ya Mwijaku haiwezi kuifikia huyu jamaa.Ndio utajua Kuna watu warokopaji.

  • @ramadhanipadon3577
    @ramadhanipadon3577 3 роки тому +1

    Bugatiiiiii ✊✊✊✊

  • @sharifunyengedi6322
    @sharifunyengedi6322 3 роки тому

    Haji anazidi kuwa kijana ...kweli pesa hatari. Bora umekimbia njaa kule

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 3 роки тому

    Tuishi kwa Upendo, it is all matters my pipos

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 роки тому +2

    I appliciate your work

  • @johnluyego9353
    @johnluyego9353 3 роки тому

    The best interview i ever come across

  • @gidionrwechungura4763
    @gidionrwechungura4763 3 роки тому

    Ongera Sana Haji Manara Nilipenda Sana uchezaji wa baba yako alikuwa anaitwa Computer wakati anachezea Yanga

  • @almazula9063
    @almazula9063 3 роки тому +2

    Afadhali dogo kasema mwenyewe jinsi alivyokuwa cha utundu pale alipokuja Bunge p/school,Lakini mcheshi pia.

  • @perfecthilarymbewa5968
    @perfecthilarymbewa5968 3 роки тому +1

    sawa rais ujae nakubali harakati mwaisa

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 3 роки тому

    Jamaa amenifanya niipende yanga African namkubali sana semaji la dunia

  • @rhodakisena6428
    @rhodakisena6428 3 роки тому

    Manara Safi Sana

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 3 роки тому +4

    Interview tamu Sana hii lkn mb za kuunga nitamalizia nilipo ishia inshaallah nimeishia dakika ya 18 👊👍💪

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 роки тому

    Wowww hongera sana

  • @alexanderjustine1523
    @alexanderjustine1523 3 роки тому

    Jamaa anajua

  • @peterngassalah6454
    @peterngassalah6454 3 роки тому +4

    Aloooh mpaka nimeimaliza yote mmetisha watoto wa mwezi mmoja sema yanga oyee✊ haya mikia🐒 wakate kaclip aliko alikosema bhakresar ajanijua nikiwa msemaji wa simba maana wanataman akosee lakn lijamaa alikosei lipo makini kinouma daah bugati hatari😂😂

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 3 роки тому +3

    Millard eti ulizaliwa uholanzi wew jamaa ni moto

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 8 місяців тому

    😂😂😂😂ety miaka ya sabini acha uwongo ww walozaliwa sabini wapo lkn ww unatuongopea

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 3 роки тому +1

    Jembe!

  • @princess4217
    @princess4217 3 роки тому

    💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 3 роки тому +3

    Achana nao hao manara fanya kazi ulishe familia yako

  • @issamohamedissa8894
    @issamohamedissa8894 3 роки тому +1

    Semaji la Dunia

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 роки тому +1

    Huo Utundu NI WA kama yakeeee darasani ilikua hivyo hivyo

  • @waktiahmad2503
    @waktiahmad2503 3 роки тому

    Duuh safi sana

  • @samweljuma585
    @samweljuma585 3 роки тому +1

    Ndy maana ana mawazo mapana kumbe kazaliwa ng'ambo.

  • @saidiissa4673
    @saidiissa4673 3 роки тому

    Good

  • @alexismwinyi8472
    @alexismwinyi8472 3 роки тому +1

    Ongereni

  • @allymawazo7189
    @allymawazo7189 3 роки тому +7

    Mbingu na ardhi😂😂😂😂😂

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 3 роки тому +2

    Nimefurahi sana kusikia historia ya haji manara ,kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe.
    Hao wanaliokuwa wanambeza HS Manara sasa wajue.
    Yule ni mtoto wa kishua.Kusoma international school of Tanganyika si mchezo

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Kwel ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html

    • @georgemhalla8853
      @georgemhalla8853 3 роки тому

      Aisee kweli, Tanganyika sio mchezo, ndo shule ya kwanza Tz kwa ghali Zaid ada

  • @mituniissa9957
    @mituniissa9957 3 роки тому +3

    Wanajutaaaaaa

  • @jamesassanga9220
    @jamesassanga9220 3 роки тому

    Sijaelewa,umetoka Tanganyika international ( English medium) ,ukahamia bunge ( Swahili medium) Kisha mzumbe......,..?????

  • @issakara9403
    @issakara9403 3 роки тому +2

    Msemaji msomi

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 3 роки тому +1

    Hata nzi na paka wanazaliwa ulaya usitushughulishe wacha tuhangaike na tozo

  • @fridakakiko1217
    @fridakakiko1217 3 роки тому

    Pamoja umetoka simba nakukubali sana

    • @muttavenance1722
      @muttavenance1722 3 роки тому

      Nimependa kusikia ulisoma Mzumbe kwa watoto wenye vipaji maalum(Akili nzuri!)

  • @jerrylimbu1790
    @jerrylimbu1790 3 роки тому +6

    Haji umefanya maamuzi mazuri sana kukubali kazi yanga,ungechoka simba wangeongea sana

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 3 роки тому +2

    Haji ni bugati kweli..hahaa.Kuna watu wanadharau hawa watu wenye rangi tofauti ila haji ana wanyoosha kisawa sawa.

  • @nelsonmdeka2793
    @nelsonmdeka2793 3 роки тому +3

    Huyo jamaa anaezunguka zunguka anaharibu interview improve that millard

    • @3kings63
      @3kings63 3 роки тому +1

      Ushaondoka nyumbani kwenu

    • @josephk90
      @josephk90 3 роки тому

      Umeaathirika nini sasa? Huyo fundi mitambo.