AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 466

  • @amosmahwago6496
    @amosmahwago6496 Рік тому +160

    Ukisikia fungu la kukosa ndio hilo, hakuna kinacho sumbua hapo ni tamaa iliyopo ndani ya wadada wa siku hiz, uaminifu hakuna ukute mshikaji alijiweka hali ngumu ili aangalie upendo wa kweli upo wapi, ni bora ametumia njia hiyo japo inauma kwa Mwanamke ambaye ulikuwa unamuwazia kwenye future yako, lakini ni bora kujua uchafu wake mapema kulikoni maumivu ukiwa kwenye ndoa, Big up sana @kiredio kwa kufanya kazi kwa uaminifu,

    • @davicekombe4932
      @davicekombe4932 Рік тому +8

      Uko Sahihi kabisa kaka yani siku izi hakuna mapenzi ya kweli tena kama unavyosema jamaa kajimake kwa muda ili amnunulie demu wake gari lakin the end of the time mtu unategemea utatajwa kumbe dem anakuja mtaja mtu mwingine je kama angekurupuka na kumpa gari si ingekua ni pressure kila siku na ugomvi usioisha ndani ya nyumbaa dah ladies punguzeni tamaa jamani

    • @gedrickgerazi210
      @gedrickgerazi210 Рік тому +8

      Dah kweli Nimecheka sana yaani dem unashindwa kumjua boi wako mwenye hela

    • @dreamer123.
      @dreamer123. Рік тому +8

      Hahaha huyo atakuwa nao wenye hela kibao....😅

    • @gedrickgerazi210
      @gedrickgerazi210 Рік тому +1

      Hakika ila Si wakumpa gari ila udsm 🙌🙌😂

    • @immanueljoseph7190
      @immanueljoseph7190 Рік тому +2

      Dah imekatika kama umeme!!??

  • @murielchikoko1165
    @murielchikoko1165 11 місяців тому +8

    Umalaya umezidi kashajiona mzuri kila bwana wake akome😂😂😂😂😂

  • @KingoBoniface
    @KingoBoniface Рік тому +12

    Daaaaaaaah uyo mwanake hatari malaya uyo hafai kbs 😂😂😂😂😂😂😂😂😂, kiredio hongera sana unafanya kazi vzr sana

  • @qinakimaka5308
    @qinakimaka5308 Рік тому +44

    Daaaaah nimeumia sana kama mimi ndio nimekosa hiyo gari, unaweza ukafa wallah. Daaah wanawake tujifunze kutulia hujui nani atakuja kukutoa kimaso maso. Uksikia fungu lakukosa ndio hii jaman.

    • @edgarndoleki8827
      @edgarndoleki8827 Рік тому

      Pole sana kama ni wew kwer

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Рік тому

      Na hakuna atakae kuja kukununulia gari aiseee,

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 Рік тому

      😂😂😂😂uyu mtangazaji eti kumamake daaaaa amejisahahu kama Kuna camera

  • @aliaboud9202
    @aliaboud9202 Рік тому +6

    Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni jamaniiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu demu anaachwa na wote

  • @7Ammy69
    @7Ammy69 Рік тому +13

    Katika kazi zako hiiii ndio nimeikubal sana 🎉

  • @ShijaBugumba
    @ShijaBugumba Рік тому +9

    Yote Tisa inshallah kumi mapenzi shikamoooo

  • @nadomkalikwanza5550
    @nadomkalikwanza5550 Рік тому +33

    daah huyo manzi anaweza kwenda kujinyonga ebu mfuatilieni 😂😂😂

  • @Zenygoldsuperwoman
    @Zenygoldsuperwoman 5 місяців тому +1

    Hamupendi ndo maana kataja jina lingine nakuondoka ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂clip hiyi nipeipenda duuui wadada wadogo mambo makubwa

  • @johnmdee7963
    @johnmdee7963 Рік тому +8

    😂😂😂 nmeipenda hiyo kwanza mapenzi shikamoo

  • @ShanaHaruna
    @ShanaHaruna 8 днів тому +1

    Mbona sisi waaminifu atupati bahati hizi🎉🎉🎉🎉

  • @Moses.Waszczykowski
    @Moses.Waszczykowski Рік тому +40

    USIKUTE BENN NDO ANAMLETEAGA SANA AHADI ZA UWONGO ZA KUMNUNULIA GARI ILA HUYU DADA USHUHUDA HUU HADI KWA WAJUKUU😂😂😂

  • @SteveneJohn-w2j
    @SteveneJohn-w2j Рік тому +1

    Kiledio sijui nita kupataje wewe nikupe pongezi yan ninge kuwa na namba zako kila mwisho wa mwezi nakutumia mshahala kwakazi nzur yani nime fulahi sana huja kosea hata kidogo yani pongez kwako kaka 🤸🤸🤸🤸👍👍👍asante kiledio wee kiledio weweeee🙂🕺🕺

  • @Officalnaph
    @Officalnaph Рік тому +5

    maigizo yako mazuri kijana hongera unajua kuzipanga

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 Рік тому +1

    Hii ishu sio kiki huu ni uhalisia kabisa coz reaction za hawa watangazaji baada demu kuondoka is genuine, kwakweli hii mbini nimeipenda san ni rahisi kumjua gal anaekuchiti na asokua na mapenz kwako

  • @fridakimwanya1158
    @fridakimwanya1158 Рік тому +2

    Duh umekosa ivi ivi hahah benny popote ulipo mpo wengi kwa uyu dada😂😂😂

  • @Kokafamil
    @Kokafamil 3 місяці тому +1

    Huyo jamaa alie shikilia kifeni hafiki mbinguni dah 🙌🏽🙌🏽 anampepea kabisaaaaaaa 😂😂

    • @FocusNyari
      @FocusNyari 2 місяці тому

      huyo ni mr uky kweli mbinguni hafiki huyoo

  • @KimbinyikoLimited
    @KimbinyikoLimited 3 місяці тому +2

    Huyo ni Malaya mm ndyo maana wanawake weupe siwapendi coz wengi wao ni malaya siyo waaminifu rangi yao inawadanganya kwamba wao ni wazuri na hawanaga mtu mmoja yani ni malaya.

  • @Jovina-x6s
    @Jovina-x6s Рік тому +1

    Inauma Sana..lakn kapata funzo lake,,tulia na mpnz 1tu hayo mambo ya kuruka ruka tuwaachie wasio na malengo ya kuwa future wife💞,,jamen tuacheni ss wadada wa udsm sio sote vicheche jamen malaya wapo kila sehem huyo asituchafulie wengine kila mtu na tabia yake.......Ila dah! Kakosa gar😂 +💔

  • @mathiassakwa1551
    @mathiassakwa1551 Рік тому +4

    Kiredio msenge sana et Kumamae😂😂😂

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Рік тому +83

    Udism malaya wakutosha sana,Hongera kiredio rudisha gari langu yard kaka! Vijana tunajitolea sana kisa hizi nguruwe lkn hawanaga akili kabisa

    • @KHABISIBRAH
      @KHABISIBRAH Рік тому +4

      Mbona usinipe mm nifate tu iringa

    • @najimafaustine1881
      @najimafaustine1881 Рік тому +5

      Pole sana

    • @Linner-f7s
      @Linner-f7s Рік тому +5

      Nipende mm kaka😂😂😂😂

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 Рік тому +4

      Si ujege huku baba

    • @nnieraudhwa8611
      @nnieraudhwa8611 Рік тому +1

      Kama ni wewe seriously polee sanaa kaka but Kila kitu huwa ni mipango ya Mungu amini katika yeye na atakupa mwanamke anae kustahili🙏🙏

  • @KidawaSilayo
    @KidawaSilayo Рік тому +13

    Kuna la kujifunza kwa wanawake wasiotaka kutulia na mwanaume mmojaa😢❤

  • @dinaalfani
    @dinaalfani Рік тому

    Mmh.kiredio honger sn njoo na huku ukomeshe wachepukaj jmn n ayb kw kwel

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 Рік тому +3

    Hongera kiredio kwa kazi nzur unayo ifanya watu wafunguk macho hakun ku cheatiwa tena maybe kwa wale ambao manapend wenyen kiredio uyu hapa anaraisisha kila tu honger ❤❤❤❤❤❤

  • @ibraahmfw1147
    @ibraahmfw1147 6 місяців тому

    Hii ni "Big project"... Safi sana Bro... MADEM WAZINGUAJI MNOO 😂😂😂

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy Рік тому

    Kutoka Kilwa,aisee ukusikia mtu ana Digree 10 ndo kama huyu Kiredio jiulize kama gari angelipeleka mwenyewe alishabugi pia kuwapanga alio watuma kua wasiseme nani katoa mpaka aseme mwanamke mwenyewe Gooooood Kiredio umetoa somo aisee

  • @Zlfa-y2p
    @Zlfa-y2p 3 місяці тому +1

    Umalaya kuoitiliza😂😂 kiredio safi sana ni shabiki wako omani

  • @khatibuahmad6400
    @khatibuahmad6400 Рік тому

    Daaàah kiredio umempa manz mtihan mmoja mwepes San na mgumu pia kakosa ndiga kizembe ivi. ivi 😂😂😂

  • @MaryamSuleiman-xs5ph
    @MaryamSuleiman-xs5ph Рік тому +1

    Inavoonekana huyo kaka alioileta hyo gar hpo anampenda huyo dada .. na huyo dada akipambana hyo gar inakuw yake 😂 xx ajifikirie hpo kwny kupamban na huyo sponsor wke😂😂😂

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 Рік тому +14

    Nimehisi mm roho imeniuma😢😢😢😢😢😢 ndio maana mm nakuaga na wanaume mmoja Tu hata usingizini ukiniamsha namtaja 😢😢😢😢kakosa ndinga naumia mm😂😂😂😂😂

    • @abuumayunga3349
      @abuumayunga3349 Рік тому +2

      😂😂😂 Unakuaga na WANAUME MMOJA?.. NDIO NYINYI NYOTE

    • @GsmtzUnlock
      @GsmtzUnlock Рік тому

      Elewa neno wanaume 😂😂😂😂

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 Рік тому

      Hahahah mbona kama keyboard imekusaliti vile "wanaume mmoja" au sio😂

    • @ibn__ibn
      @ibn__ibn Рік тому

      WANAUME MMOJA ..it's plural 😂😂
      We ni walewale wakina ..irine magari😂

  • @ShanaHaruna
    @ShanaHaruna 8 днів тому

    Na ukute ndiyo aliyekuwa anamsomesha Dah! INAUMA SANA NIKIFIKILIA UAGA NALIA....😭😭😭😭😭

  • @sein.208
    @sein.208 Рік тому +7

    Yaani ndiyo kamaliza chuo alafu akili ziro hatari

  • @dr_gainstz
    @dr_gainstz Рік тому +1

    Hio kmmk ya mwisho umesahau kuitoa mbonaa😅😅😅😅

  • @zalhahmustaph7219
    @zalhahmustaph7219 Рік тому

    Ndio mana mm surprise czitak hta kuziona kabsaaa 😄😄😄

  • @JoycePeter-lm4nf
    @JoycePeter-lm4nf 17 днів тому

    Hapa hawezi sahau maisha yake yote wallah😅😅😅

  • @oshenifrank614
    @oshenifrank614 Рік тому +16

    #kiredio hii kityu sijawahi ona Kwene channel yoyote Toka niache kumiliki smart Leo ndo Kwa mara ya kwanza naona kwako big up broo

    • @Keyjop
      @Keyjop Рік тому

      Ooh! Wana Fanya saana wa Nigeria mpendwa 😂😂😂

    • @SarahChambo-p9e
      @SarahChambo-p9e Рік тому

      Kenya wamejaa kibao wakina kiredio wanavunja hadi ndoa za watu kiredio ameiga tu

  • @doreenogola
    @doreenogola Рік тому

    Hujui kazi yako kijana unamkubalia kushika simu mbona

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 Рік тому +13

    sasa kama umlfanya nae challenge nashindwaje kumjua nyie msitifamye watoto sisi mmeskia..japo mm ndo ningekua mzazi wa huyo binti kaul ingekua n bora ache vyet uko lkn bira gar asirudi nyumban 😂😊😂😊😂

    • @teddyemmanuelyemailteddyemmanu
      @teddyemmanuelyemailteddyemmanu Рік тому

      😂😂😂😂😂

    • @Officalnaph
      @Officalnaph Рік тому

      Ni uongo ni usanii

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Рік тому +1

      Yan hata mm nilijua naweza sn ivo ikiwa wanaume wameshamtumia sn alafu ameishiwa t kupata hela ya Chipsi leo kashaoata gari mtego umemnasa mame inakwambia asa ukija huku uje na gari laaa sivyo huku ucje umbwa ww😂

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 Рік тому +1

    ametajwa BENNY wakacheka kwanza😂😂,,

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 14 днів тому

    Machaliii mbona waruwaru hvo manzese,,

  • @philipocharles8507
    @philipocharles8507 Рік тому +4

    Uskute ben ni mme wa mtu😅

  • @bahatkisam8367
    @bahatkisam8367 Рік тому +2

    Kaeni chin mle iyo keki 😂😂😂😂 na maua yenu😂😂

  • @chrisstemba
    @chrisstemba Рік тому +2

    Aaah kumamakee msenge huyo ukute uyo beny ni mpiga tofali anaacha ndinga

  • @wilonderby
    @wilonderby Рік тому +5

    Dah na unakuta mwana alikua yeye ndo boom mpaka anamaliza Chuo aise nimesikitika kama kiredio aisee 😔 kiredio kabaki kujilaumu Tu maskini dah.

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 5 місяців тому

    umalaya mbaya sana aisee unaweza kupoteza vitu vingi

  • @deomaster77
    @deomaster77 Рік тому +16

    Yani kiredio kaumia utadhani yeye ndy alikuwa anapewa hilo gari😂😂😂

    • @issaadinaniissa6487
      @issaadinaniissa6487 Рік тому +1

      Hapana we kama mwanaume utahisi anachohisi mshua huko home au kazini anapambana kwa ajili ya huyo mwisho anadhihirsha alivhokua anamficha cku zote

    • @restjaca82
      @restjaca82 Рік тому

      Itakuwa mume wa mtu alafu awajazoeana we angemzoea asingebabaika

  • @Bern2204
    @Bern2204 Рік тому

    Mzee kiredio hivi hyo mishe unafanyia ngapi nkutumie doo afu uongee na mdada nione kama tuko wengi ama la boi

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +5

    Huyo msichana hamtaki huyo jamaa ndo maana kaacha kila kitu na yeye anampenda ben😂

    • @MASAWE302
      @MASAWE302 Рік тому

      Ben mwenyewe ametajwa kashaka na yeye yupo Rehan

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 Рік тому

      Ben mwenyewe utakuta muuni zaid yake😂

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow Рік тому +7

    Ningekua mim najijua nnamabwana wengi ningeondoka ata singeotea

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 4 місяці тому

    Jamani umalaya uuu jamani apana kaaaa ebu nitulie na mume wangu pengine anaweza nijalibu kama Ivo bule😂

  • @medyelira
    @medyelira Рік тому +2

    Ukute bro alkuwaga hajionyeshi anapesa mbele ya dem🤣🤣🤣kamtaja sponsor BEN ye hana huo mdaaa. Ndo ujifunze🙄

  • @southernkid6932
    @southernkid6932 Рік тому +3

    Mimi tokea jana nilijua tu lazima atakosa tu ikifikia time unaona kabisa mpaka mwanaume anajitoa ivoo anajua kabisa kitacho tokea

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 Рік тому +1

    Haka kamalaya kanaongea... Aibu naona Mimi mamake 😂😂

  • @rusiabyaombe5494
    @rusiabyaombe5494 Рік тому +3

    Aaah weee moyo wangu mimi nimeumia kama ni mimi vile

  • @JimmyVictoria-j3l
    @JimmyVictoria-j3l Рік тому +15

    Daaaaa ndo maana halisi ya uaminifu, adi moyo umepasukaaaa 💔💔💔

  • @SalmamathiasatanasSalmamathias

    Wanaume na wanawake wote malaya tuu sikuizi, ubahatishe saana kupata mwenzi atakaetulia kwenye mahusiano

  • @mwanaSalim-re4pn
    @mwanaSalim-re4pn Рік тому +3

    Mmmh kwan tamaa za waume wengi za nni mwanamke mzima

  • @yohanadioniz
    @yohanadioniz Рік тому +1

    Oiiiii atafutwe aliyetoa ndinga afanyiwe interview...

  • @yusuphchiputa4809
    @yusuphchiputa4809 Рік тому +1

    Au alikua na mabahasha wenye Hela wengi daah..😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Рік тому +4

    Duuuh kidada Kikware balaa dah 🙌🇶🇦

  • @Mudi-i8d
    @Mudi-i8d Рік тому

    tatizo ni malaya sana anamabwana wengi asa apo alikuwa ajui na bwana gani aliemtumia gari

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Рік тому

    umetisha kiredio

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri Рік тому +1

    Nliwambia nyie mtajavunja mahusiano ya watu na ndoa pia mumeona🤣🤣🤣😜😜

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha Рік тому +1

    Duh shd sana

  • @faridakhalifa5231
    @faridakhalifa5231 5 місяців тому

    Yaan mungu anipe mwanaume kama huyo ningemuheshimu San jmn

  • @suleimansalim8408
    @suleimansalim8408 Місяць тому

    Yn mwanangu ww Kiredio ni noma 😅😅

  • @asiakise2072
    @asiakise2072 Рік тому +1

    Eti mwanaume anakupenda na kukununulia Hadi gar anawapa kiredio akuletee😂😂

  • @silamwamlima2758
    @silamwamlima2758 Рік тому

    Hiyo nimeipenda

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Рік тому +2

    uhun mbay😂😂😂😂 kakos tako la nyani 😂

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 11 місяців тому

    Uaminifu kitu cha msingi sna😂😂😂😂

  • @thomasisombe3243
    @thomasisombe3243 Рік тому +1

    Du! Hatari hapa uhakika wa wachumba umepatiwa dawa yake kiredio

  • @prospermmary1388
    @prospermmary1388 Рік тому +1

    Mm ndo ben na sikutaki tena 😂😂

  • @SophiaSalvatoryLucas
    @SophiaSalvatoryLucas 3 місяці тому

    😂😂msifanye hamjaskia kama kiredio katukana

  • @MaryBeauty-ck8ne
    @MaryBeauty-ck8ne 3 місяці тому

    Jamani Kuna watu Wana bahati iv mm nipate mtu wa kunipa gali bdo nachet kama ameweza kununua gali ni bingo anampa ila Wanawake muwe na uruma na wanaume jaman

  • @ConsolataJohn-u1k
    @ConsolataJohn-u1k Рік тому

    Ben popote ulipo kumbe wew ndo unapendwa ungepeleka gar wajamen mdada ametoka amelooooowaaaa

  • @SteveneJohn-w2j
    @SteveneJohn-w2j Рік тому

    Hakuna kuskitika kiledio iyo bonge la kazi yani ponge kwako kaka

  • @jabirkhamis5301
    @jabirkhamis5301 Рік тому +3

    Nimecheka ki KU###### "ETI KWENYE MA BOYFRIENDS ZAKO UNASHINDWA KUMJUA MTU MWENYE HELA MWANANGU"😂😂😂😂😂😂😂

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 Рік тому

      Hiki kisa kifatilie vizuri unaambiwa huyo jamaa mwenyewe anaishi life la kawaida sana tu kama bwege halafu sio kwamba anamkwanjaa saaana

  • @jafarjenje5621
    @jafarjenje5621 Рік тому

    naomba part 2 yake kaka

  • @jombilozoo
    @jombilozoo Рік тому +4

    😂😂😂 kazi nzuri kiredio 👏👏🔥🔥

  • @ludarkiller2902
    @ludarkiller2902 Рік тому

    Wadada mizinguo sana ,huyo ben hata hio gradu yake wenda hata hana mpango nayo ,

  • @jaeleeomarion1226
    @jaeleeomarion1226 11 місяців тому

    Aaaa sas mbona hua zinaishia njian broo tunatak tuone mpak destiny

  • @yahayamjenga1996
    @yahayamjenga1996 Рік тому +5

    Kaka achana na content zako zote, shikilia hapa hapa unafanya kazi ya kijamii 😂

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 Рік тому

    Kiredio we noma nimekubali kaka Malaya kabisa huyo dada hapo kachanganyikiwa

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress Місяць тому

    Duh...waiz ni weng kwel

  • @ramatzrama5714
    @ramatzrama5714 Рік тому

    😀😀😀😀dah hii imeenda

  • @FoxJr-lh4fe
    @FoxJr-lh4fe Рік тому +1

    Dash kafeli sana uyo dem

  • @stevenjosephy4739
    @stevenjosephy4739 Рік тому

    mpenzi wake kamtaja mpenzi wake 😂😂

  • @ZawadiTesha-o1q
    @ZawadiTesha-o1q Рік тому

    Na kwa beni kashaharibu pia😂😂😂😂

  • @sophiemtitu9921
    @sophiemtitu9921 5 місяців тому

    Wadada muwage mnatulia khaaaa

  • @jaymalebo2159
    @jaymalebo2159 Рік тому

    Kuma make mademu wa sikuu izi daaaah😅😅😅😅😅

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 5 місяців тому

    Unapokuwa na neema hueezi kujua kuwa unayo neema mpka inapoondoka hy neema ndipo unakuja juta kuwa ulikuwa na neema kwahy Siku zote awali ni awali hakuna awali mbovu. Tamaa na Ujinjga mara zote ni majuto

  • @michaelmchome6067
    @michaelmchome6067 9 місяців тому

    Kiredio umetukana apo mwisho😂😂😂

  • @merceleky9436
    @merceleky9436 3 місяці тому

    Et kiredio anachekelea Yuko sasa eeehh eheee kwaiyo daaah yeyeyeyee

  • @whitemusic1419
    @whitemusic1419 Рік тому

    Jina la movie tafadhali,

  • @saudaAngalia-hn6ul
    @saudaAngalia-hn6ul Рік тому

    Amuwez kutuza sil za watu jamn

  • @Jonah_lee.
    @Jonah_lee. Рік тому

    Eti kirediooo 😂😂😂😂 tamaaa mbaya sana

  • @victorwilliam9987
    @victorwilliam9987 Рік тому

    kwenye dakika ya 5:15 dada alikua anamkana jamaa, alianza kusema ssssssss alaf yaaah inamaana kwenye mahesabu kichea chake alitaka kusema simjui lakini ndani ya iyo sekunde akaona akubali tuu😅😅😅

  • @SilviaNshale
    @SilviaNshale Рік тому

    Kusema kweli wadada tujifunze kitu 😂

  • @shapdullayo837
    @shapdullayo837 Рік тому

    Wadada wengine.. tupunguzeni Umalaya!

  • @abdul-hamidali6534
    @abdul-hamidali6534 Рік тому

    Kwani hawa wanaume wanaohonga magari huwa wanakutana na utamu wa aiana gani