Nikweli kabisaa hata mtoto wangu alikuwa ana ipenda sn sonaa pia ilikuwa nzuri 🔥🔥🔥👌💪 Uendelee kupendana mnaendana sn, Ze buu punguza kushindana na mzazi mwenzio imeandikwa tuwatii waume zetu ❤
Mi naona toa mahar umuoe ndoa takatifu then muweke malengo yenu hasa ktk kipato chenu mshirikiane saaana muweke pesa mezan mpange bajeti Kwa pamoja then mwanaume aendelee kubaki na nafas yake
Zebuu uwe unaomba msamaha Kwa baby wako pia fedha ni muhimu wekeni utaratibu Ili Kila mmoja asimuelemee mwingine kwani wote mpo kazini isiwepo fedha ya zebuu au ya kp ila iwepo fedha ya familia
ici KP ndugu angu! Umekubal mke wako anyolewe kabisa??? Mbona kama mmekuwa wote wanaume??? i say zebuu unazidi kuwa mrembo ukiwa umeacha nywele zako, ila ivi!!! Duh!!!
Mimi nimetoka singida juzi yan nikawa naangalia sonaa kwenye cm yangu lkn wadogo zangu wakawa wanasema dada huyu ni kp na zebuu jaman mmewajuaje😂😂😄😄kumbe wanawafuatilia sana mko vzr jaman
Zebuu anakosea yan kla ktu afanye mwanaume na ada ya mtoto pekeake zako hela unapeleeka wap,alaf mwsho wa sku mmetengana unadai mgawane paspas et mmetafta wote wakat hela zako unakalia,ila siombei muachane n mfano2
Wanaume wa siku hizi wanakimbia majumu 😂 lakini hapo kusaidiana pia ni Sawa ila siyo wanawake wengi wanapenda kutoa pesa zao pesa za mwanamke usitegemee kua ni pesa ya matumizi tafuta namna ya kumfanya mwanamke wako aweze kukupa sapoti pia lakini usimfosi 😮
Mtangazaji nakupenda ukijisriri unapendeza sana Masha Allah
Nikweli kabisaa hata mtoto wangu alikuwa ana ipenda sn sonaa pia ilikuwa nzuri 🔥🔥🔥👌💪 Uendelee kupendana mnaendana sn, Ze buu punguza kushindana na mzazi mwenzio imeandikwa tuwatii waume zetu ❤
Nawao watupende bc
Mashallah KP apo umeweza,ukikwaza usifikirie tu yale mabaya ya mtu bali fikiria yaleazuri...hivyo ndio mtaishi walai,Mola Awaongoze❤
Mashallah siivyo mtoto wakike umependeza asikwambie mtu mtt wakiislamu anajulikana popote alipo❤msauri tu huyo zebuu asuke japo nywere tano
Ndio mwanamke nywele jaman
Mimi hapa😂😂😂 kuomba msamaha hapana kwa kweli
Nawapenda sana tuu kbx ZB na kp ❤❤❤😂🎉 ila nimeomba number ya zb na Sheilla
Nawapenda sanaaaaa jman kp & zebuu,,,fanyeni kweli basiiiiiiiii
Kwel kabisa lazima umuheshimishe kwa kutoa matumiz, mana hata yy ana kuheshumisha kwa kukuagiza hata kama umechoka lazma umuheshimishe
Nawanatumana Kama punda wake👈👈👈👈
N kwel zebuu wanawake sio rahisi kuomba msamaha.nawapenda sana nyie
Da nimependa sana maneno yariozungumzwa
❤
Mama gush ni kali sana❤❤
Urembo wa mwanamke ni nywele Zebuu hukupendeza kabisa .
Kbs
Mhhh uyu dada mbona kama ana isha tuuu
Ni vzr ukamsaidia mmeo kunnua vtu vya ndani nawapenda sana
Minawapenda mukowapamoja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ila ukibandilisha vibaya😢😢😢😢😢😢😢😢
Good working stability
Wow that's good ❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂 mimi kabisa huyoo nasema haya basi yaishe nisamehee
Mtangazaji upo vizuli❤❤❤
Mithali 23 kumi na tatu kp xio yeremia 3,33
Kwakweli hata mm hiyo tabia ninayo d
Zebuu jaman nakupenda na kp🎉🎉🎉
Zebuu kakonda sana
Me pia nimeona hvyo amepungua sana
Apana kwa sababu kanyola
@@user-hl5cu1xv5h itakuwa we umenena
Oaneni inshallah Allah atawabarik zaid
😢Kp yupo okay na hio kipara ya mkew dah, msichan mzim unayoaj kwamfn
Maisha nikusaidiana zebuu acha ubaya mazali mnafanya kazi pamoja namatumini msaidiane zebuu acha mkono wabirika
Hela ya mwanaume ndio ya mahitaji ndani ya nyumba
Sahihi atamimi siwez kuomba msamaha
Kuomba msamaha ni lazima
Zembuu ako sawa❤❤❤ i love you guys
Yah.
Kp bila zebuu.
Movie hainogiiiii😅
Tatizo Tanzania in nmkiunbv Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umetukwaza san nakioara dd atukufurahi lakini uko muzuri saaaaaaaaan
Mwanamke kuomba msamaha ndyo msingi. Mwanaume ndo hawezi kuomba msamaha ila atakufanyia vitendo vya kukuonesha kuwa anajutia alichofanya. Zebuu muombe msamaha mwenzio
Kp siyo Yeremia ni Mithali 23:13 Usimnyime mtoto wako mapigo, maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Japo naombaga msamaha ila huwa najikuta mjinga kabisa nikiomba msamaha
Zebuu mdogo wangu kuna vitu nyengine inapashwa ununuwe ili kumzaidia mumeo kilakitu kumzaidiana
ila kweli 😂😂😂 ata mi msamaha mmhh inakua ngum kwangu😅😂😂
Mi naona toa mahar umuoe ndoa takatifu then muweke malengo yenu hasa ktk kipato chenu mshirikiane saaana muweke pesa mezan mpange bajeti Kwa pamoja then mwanaume aendelee kubaki na nafas yake
Mimi binafsi kuomba msamaha kirahisi siwezi mpaka niombe msamaha tumeshabishana sana 😅 hahhahaha
Zebuu upo kama mm siwez kuomba msamaha mpaka niseme haya bas nisamahan 😂😂
Sipedi kunyolewa kwa mwanamke. Tafadhali zebbuu badilika
Ni kazi hii please kuna movie inakuja na inastahili hivyo.... See more
Zebuu uwe unaomba msamaha Kwa baby wako pia fedha ni muhimu wekeni utaratibu Ili Kila mmoja asimuelemee mwingine kwani wote mpo kazini isiwepo fedha ya zebuu au ya kp ila iwepo fedha ya familia
Heeee mm navyokimbilia kuomba msamaha hata kama sijakosea mimi😂😂😂😂
Mwoga mwenzangu hahahahaaaaa😂😂😂😂😂
@@ngusakalima9899 wee acha tu mapenzi yatatuua 🤣
Zabuu na kp lakini usiwe una nyoa hivio
Zebuu kuusu urembo wa nyumbani mfano kununua panzia vyombo kapet nk ni vinakuusu weye shost punguza ubaili
Basi vaa mtandio ufiche hicho kipara unapendeza ukivaa mtandio
𝗡𝗮𝘄𝗮 𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗵𝗮𝘄𝗮💙💙💙💙💙
Ze buu Mungu awabaliki na k p hakika mnapendezana sanaa
Mutoto mupechakura ale ashibe rakini usimunyime kiboko 😂
We zebuu jaman nakupenda na mmeo👩👧👩❤️👩
Nimeipenda San haya mahujiano
Mbona umekonda sana Zebuu halafu vaa mtandio ufiche hicho kipara unatisha kweli
😂😂
😂😂😂
Wazee wa kazi hawana dogo🎉🎉🎉
Zebuu na kp nimependa sana video zenu😂❤
Yeremie 33:3 haisemi Ivo acha uongo
Dah hatar
😅😅😅we zebuu muongo mwanamke ni lazima uombe msamaha mwanaume ndio mgumu kuomba msamaha ila anafanya vitendo😂😢
Nawapendasan jamani mnapendeza sana k .z
Mithali23:13 usinyime mtoto wako mapigo,maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa
Ukweli kabisa ukimpiga mtoto pia utamuepusha na laana
Kasema kweli pia mana hauta muua
Eeee bc Kp wachilia mzigo tumesubiri sana duuh😊
Good penda sana nyie mungu azidi kuwapigania katika kazi zenu❤🎉
Zebuu nakupenda sana lakini kipara hakikupendezi
ici KP ndugu angu! Umekubal mke wako anyolewe kabisa??? Mbona kama mmekuwa wote wanaume??? i say zebuu unazidi kuwa mrembo ukiwa umeacha nywele zako, ila ivi!!! Duh!!!
Mimi nahisi hicho kipara ni maandarizi ya movie mpya😅😅😅
Kabisaa
Ndio
Penda sana nyie jamaani mungu azidi kuwasimamia katika kazi zenu ❤❤🎉
Daah Ila mwanaume yuko saihi maana nyie wanawake ikiwa kwenye mambo mengine mnasema aki sawa ila kwenye pesa daah
Mimi nimetoka singida juzi yan nikawa naangalia sonaa kwenye cm yangu lkn wadogo zangu wakawa wanasema dada huyu ni kp na zebuu jaman mmewajuaje😂😂😄😄kumbe wanawafuatilia sana mko vzr jaman
Ni kinanani awa
wote 😂😂😂na mm nimkorofi
😂😂😂😂❤❤❤😂😂 inatosha jamani.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂nawapenda bule
Zebu ujinga acheni uwo mme wako hakuna vya hela apo
Zebuu ungejitanda mtandio
Usiwe unakata nyele dada. Nyele ni urembo wa mwanamuke
Zebuu anakosea yan kla ktu afanye mwanaume na ada ya mtoto pekeake zako hela unapeleeka wap,alaf mwsho wa sku mmetengana unadai mgawane paspas et mmetafta wote wakat hela zako unakalia,ila siombei muachane n mfano2
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Mithali 23:13
👌👍❤️❤️❤️🎂
Ndo maana anapenda hela
Nawapnd xan
Achieni kitu plz
Mdumu daima wapenzi
Af 20 y nn kuogesha bwana? ipo sku atachoka mazr atayasaau af ataenda kogeshwa kwa Ashura Tabata 👌
Kuomba msamaha, ni kawaida kwa mwanamke
Matangazaji acha kukaa upande mmoja kutetea unaenda against media ethics
Uliza kp
. na mapenzi ya malikia wa majini na binadamu itaendelea?
Mnapedeza sana
Zebuu usiwe nakata nywele unajubunguza umei mwana mke hakati nywele niurembo Kwa Sisi Wana wake
Usimnyime mtoto kiboko
Wanawake waki kogomani wanajuwa thamani yandowa
Zebuu acha ujeuri, uo sio msamaha😂😂😂
na muogeshe mumeo na mlishe Kama anapenda shaur yako
Zebu usinyoe nywele plc kipnz
Nimeifata hadi mwisho
Punguza ujeur mwanamke ni kujishusha
Wanaume wa siku hizi wanakimbia majumu 😂 lakini hapo kusaidiana pia ni Sawa ila siyo wanawake wengi wanapenda kutoa pesa zao pesa za mwanamke usitegemee kua ni pesa ya matumizi tafuta namna ya kumfanya mwanamke wako aweze kukupa sapoti pia lakini usimfosi 😮
Anaweka mazoeya kwenye ndoa badilika zebuu
Hapana, kwenye kupiga watoto hapana. Waelekezeni kwa upole maana vichapo huwajengea hofu watoto hivyo hata akili hudumaa.
Kuomba msamaa inatokana naroho ya mtu
Ipo usimnyime mtoto kumpiga katika Biblia