𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐋𝐎𝐊𝐎𝐋𝐄 / 𝐉𝐔𝐌𝐀 𝐋𝐎𝐊𝐎𝐋𝐄 𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐌𝐙𝐔𝐑𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐈𝐊𝐑𝐀𝐌

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 327

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 роки тому +93

    WANAO SEMA JUMA KAPATIKANA GONGA LIKE HAPA🤣🤣🤣

  • @inyambwanasomo9640
    @inyambwanasomo9640 3 роки тому +19

    Kila siku kusema yawatu leo sema yako tukusikie mbona umekaa kama ulonyeshewa na mvua🇰🇪

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 3 роки тому +29

    Juma lokole nilikuwa nakupenda lakini Naona Una dharau,usimdhalilishe mwenzako hivyo following from Germany 🇩🇪🇰🇪☺️❣️

  • @kyanaelisabeth8556
    @kyanaelisabeth8556 3 роки тому +27

    Ndo uache kuropoka na mpe heshima mzazi mwenzio. Nimefurahi leo umevuliwa nguo na mtu akujuaye vizuri mchana kweupe.👌🏼🇺🇸🇺🇸

    • @fatumasuleymanashurambinda6880
      @fatumasuleymanashurambinda6880 3 роки тому +2

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍😍😍😍Waliyo soma chuo cha thaqeb tanzania mwanza kilmahewa sokoni tukutane hapa 😊😄

    • @elk9189
      @elk9189 3 роки тому

      Sikutaki we naule lupuwa baba levo✍️✍️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️

  • @annantete8406
    @annantete8406 3 роки тому +16

    Juma bwana ety nasemaga tu linapita akiiii leo umenyabika alf mwanamke nimempend anamcha makavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @official-meshack6604
    @official-meshack6604 3 роки тому +12

    Juma umbea wote leo kimyaaa hahah tena bila kukataa hahahha kumbe kakopeshwa ukweli... Haya nipeni hata like kumi

  • @Steve-dg8gl
    @Steve-dg8gl 3 роки тому +4

    Jamani dida,juma ricardo,aisha na wote mliokuwa kwenye kipindi mmefanya vyema..Mbarikiwe sana

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому +9

    Juma leo hana la kusema mdomo kimyaaa leo😃😃😃

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 3 роки тому +6

    Uyu mdada ana Akili kuliko hata juma lokole.

  • @graceyates1488
    @graceyates1488 3 роки тому +3

    Aiseeee
    Kumbe upo vizuri kichwani wewe. Kusema ukweli nimekuheshimu na nimeelewa upo vizuri kikazi..💕 na milele nimekupenda sanaaaa.

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 роки тому +5

    Rekardo momo masha Allah elimu yaonekana baraka laahu fiika

  • @mariamibrahim3162
    @mariamibrahim3162 3 роки тому +4

    Jumaaaaaaaaaaaaa Leo kawa mdogo km pilton nimegundua kitu juma anamueshimu aliye kua mkee wke KBS

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 3 роки тому +13

    Nani kasikiya kama mimi kuwa Mama Akram anasauti kama ya zuchu

  • @furahavictoria4133
    @furahavictoria4133 3 роки тому +6

    Lokole am from Kenya but usimdharau mzazi mwenzako si poa dida hoyeee

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE 3 роки тому +10

    Mmefanya kitu kikubwa Sana, kheri wapatanishi, Mungu muumba wa mbingu na nchi akutangulie na awabariki Sana

  • @user-jo2em4jg9q
    @user-jo2em4jg9q 3 роки тому +2

    Juma sasa uache kudhalilishanga mabibi wa Diamond. Kiboko yako hiyoo sasa Juma👏🏽👏🏽

  • @frankyjohnmwikombe
    @frankyjohnmwikombe 3 роки тому +8

    Wapi mzee wa mahusiano(mwijaku)

  • @rukyiakimolo4564
    @rukyiakimolo4564 3 роки тому +1

    Juma juma asanteni kwakusamehana Allah awajalie mwisho mwema

  • @abdulkhalim5564
    @abdulkhalim5564 3 роки тому +7

    Wambea lakwenu haraka mwalizima na kulitilia dua liishe salama . Kichwa cha habari " Lokole Apata Muhahoo Ahahaa"

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому

    Subhanallah 😳 Astaghfirullahu laadhwimu Mama Tiffah( Zari)mkewe lUkamba secy ( Hanani) Njooni mumuone mrusha vijembe Enstergram leo zamu yake 😄kama mwenye akili timamu ajirekebishe aachane na umbeya wa Enstergram Maana aibu ya leo ya mahari laki tatu tena ya mkopo daah Astaghfirullahu laadhwimu Aibu sijui kwanini ulimuanza wakati unajua yako anayo mengi tena mazito ama kweli mbeya wa Enstergram kapatikana buy the way muelewane yaishe kila mmoja ampe heshima mwenzie maana istoshe nyie wa zazi ikibidi mrudiane mumlee Ikram ili mumpe malezi bora ya wazazi wote wawili iwe kheri inshaallah 👏

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 3 роки тому +8

    Mbea kapatikana leo

  • @ndaganoanastazia2658
    @ndaganoanastazia2658 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣bwana mwenye surualiiii 😂😂😂😂 vous êtes adorables et rigolo 👀👀👀

  • @FatmaAli-oy7yu
    @FatmaAli-oy7yu 3 роки тому +2

    Wapi katika dini imesema mahari ibaki, alafu dida munaitikia tuu, SubhanaAllah

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 роки тому +1

      Wote hawa hawajui chochote wapo wapo tu.

    • @aminamwangile4020
      @aminamwangile4020 3 роки тому

      M mwnyw nimeshangaa mtu kusema hvyo wao kuitikia ye angesema tuuu sheria ya dini yetu kama huna yote ruksa kutoa nusu

  • @nasserribery2936
    @nasserribery2936 3 роки тому +1

    Bonjour wasafi un peti coucou à juma bonne journée est bon Ramadah

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 3 роки тому +2

    She's so beautiful

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 2 роки тому

    nawakubali sana mpo.vizuri sana

  • @farhadhassansaid8830
    @farhadhassansaid8830 3 роки тому

    Mbea leo mdomo umejaa mate, Juma ujue mke anaeza kukupa laana unafaa umrudie Allah na umuombe mkeo msamah sai

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 3 роки тому +5

    Is thecapology from the heart mzee baba?u av a lovely n humble wife😍😍

  • @happykumburu8222
    @happykumburu8222 3 роки тому

    Kapatikana,leo mnenguaje.

  • @nasryathabit6863
    @nasryathabit6863 3 роки тому

    Juma oyooooo baba ikram

  • @didahadam9530
    @didahadam9530 3 роки тому +3

    Hana haya juma duuuh kusema ya watu leo uso chini

  • @marieassoumani5143
    @marieassoumani5143 3 роки тому +1

    Iles son super 😘😘

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 3 роки тому +9

    🤣🤣🤣🤣Mmbea kapatikana mbona kama kamwagiwa maji ya barafu🤣🤣

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 3 роки тому +3

    Hahahaha lokole kanywea maliza pesa uyo 🤣🤣😂

  • @siwajalikayanda1969
    @siwajalikayanda1969 3 роки тому +4

    Hehehehe Dida umenichekesha sana eti tuizoom picha

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 роки тому

    Hahahahaaaa hahahahaaaa haloo chamaneno anadaiwa laki3 🤣🤣ulipe haraka saan,, et yupo hapo kbs 🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn aaah

  • @aishaalawi64
    @aishaalawi64 3 роки тому +1

    Mrudiane bwana mmependeza juma na aisha🥰

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 роки тому +2

    Warudiane Walee mtoto wao

  • @duncanmwanzi808
    @duncanmwanzi808 3 роки тому

    Kumbeee !

  • @samiramawby8252
    @samiramawby8252 3 роки тому

    Jamani mmekuwaje hiki kipindi mjue watu wanaweza hata kufanya watu wapigane mnawaitaje kuwasuluhishia mitandaoni vikao fanyeni majumbani

  • @asiasemtibua2991
    @asiasemtibua2991 3 роки тому

    ✌✌

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 3 роки тому

    Mchaga og mzee wangu umepowa nakukubali

  • @zuhurayasini4717
    @zuhurayasini4717 3 роки тому +2

    Juma mludie mkeo bhana

  • @jackierama1817
    @jackierama1817 3 роки тому +19

    Juma kapatikana 😁😁

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 роки тому

    Juma Umbea leo nyweeeee!!!!
    Sema sasaa!!Mbona kimyaa,kiki za kina Diamond zimekuharibu sana,kupiga picha na I.T.M,
    Utatamkaje Jambo baya la mzazi mwenzio Kama unavyofanya umbea na washakunaku wenzio?

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 Рік тому

    Juma nimemwepesi wakuomba msamaha sana mmungu amjaa lie sana

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +1

    Leo muosha ameoshwa, alipe mahari ya mama ikram, haraka iwezekenavyo. Uso umemshuka kama mbuzi wa skukuu

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому +1

    Jumaa ni mzushiii mahari ya mwanamkee hukabidhiwa mwenyewe mwanamke bitwin ya muowaji na muolewaji tuu huna haki ya kumkabidhi mwengine yeyootee ni haki ya mwanamkee sasa unasema umezikabidhisha kwa wenginee? Mkabidhi mwenyewee mkononiiii pumbaavu wee umepata mke mzuriii na tena mwenye akili ya maisha ilaaa mzowea udalalii kazi ya duka humshinda

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 3 роки тому +1

    Aibu ya mwaka mahari umpe mwenyewe sio watu ovyooo

  • @neemaponera2037
    @neemaponera2037 3 роки тому +3

    Mzazi mwenzio muheshimu

  • @user-ud3fg1hw8v
    @user-ud3fg1hw8v 3 роки тому

    Juma Leo ziiiiiiiiii

  • @ashuraalli1561
    @ashuraalli1561 3 роки тому

    Alikuwa mwembabaaaa 😃😃😃🙆🙆juma uyooo 🤣😂😂...

  • @fatumasuleymanashurambinda6880
    @fatumasuleymanashurambinda6880 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Waliyo soma chuo cha thaqeb tanzania mwanza kilmahewa sokoni tukutane hapa😄😄😄😄😄😄😄

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 3 роки тому

    Patamu apo😍😍

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 роки тому +1

    Nyoooooo shenzi type😏😏😏😏

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 роки тому

    Juma Punguza mdomo....Fikiri kwa makini kabla hujaongea....Tutakuvisha kidera😆🇰🇪

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 роки тому +1

    Hahahahaaaa dida weee mbavu zako taratibu mam

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 3 роки тому +1

    Juma be a man!!

  • @jackiemish4082
    @jackiemish4082 3 роки тому

    Ameezwa leo😂😂😂

  • @marciawambui1965
    @marciawambui1965 11 місяців тому

    Aah dida is too funny😂😂😂

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 роки тому +2

    Duh juma umepoteza dodo

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 3 роки тому

    Swafi sana

  • @dismasstanslaus5985
    @dismasstanslaus5985 3 роки тому +5

    Ila huyu mwanamke anaakili

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Місяць тому

    Iyooo miwani kama range

  • @ericraphael9653
    @ericraphael9653 3 роки тому

    Juma kwiyo umekosea ongera kwa kuomba msamaa

  • @julejule4477
    @julejule4477 3 роки тому +1

    Ajiumauma juma uyoooo 😂 😂 😂 ungetukanwa ww ungechukulia poa

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 3 роки тому +2

    Juma don't forget where you came from be nice to her she's a good mother

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho 2 місяці тому

    Unazalau Sana we kaka

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 роки тому

    Msisingizie uongo dini ya kiislamu. Mume anabakisha mahari mnafik. Semeni kila kitu lakini neno la dini ya kiislamu usilisemee uongo. Wewe Juma fii nari futa kwa ku staghafiru.

  • @petermbai1084
    @petermbai1084 3 роки тому +6

    Juma weka bangi chini tuongee

  • @zakiahussein9206
    @zakiahussein9206 3 роки тому

    Mbeaaa leo sisemi kitu😂😂

  • @hadijahatib5948
    @hadijahatib5948 3 роки тому +2

    kiukweliiiiiiiii ajirekebisheeeee

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 роки тому +6

    Juma 🤣🤣🤣 kapatikana

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 роки тому

    Juma kumbe anaeshima maskn amemuomba msamah maskn anamwambia jmn nisameh au unataka nikpgue magoti ? Niwanaume wachache wanaokubr makosa yao nakujishusha Mungu awabariki

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 Рік тому

    😜😜😜😜Juma nakupenda

  • @dominarwechungura3984
    @dominarwechungura3984 3 роки тому

    Maisha yanaendelea mlee mtoto 🙏🙏

  • @leeldavid3712
    @leeldavid3712 3 роки тому +14

    Juma today you got your recommended doze🤣🤣🤣🤣dume suruali aibu iyooo ,koma umbea na dharau😏😏😏

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 роки тому +2

    Handsome boy wangu naona katulia tulii uko nyuma, mawani yamekaa mahala pake 😍😘 antingisha tu mguu💗😊🧐

  • @meerahskitchen.loosingweig2535
    @meerahskitchen.loosingweig2535 3 роки тому

    Juma kanywea kumanina

  • @lizzienabiswa
    @lizzienabiswa 3 роки тому

    Umepatikana

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 3 роки тому +2

    Juma kakalishwa...... 😂😂😂😂

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +5

    Kidini hakuna kitu kama mahari lazima ibaki, huo ni uongo

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 3 роки тому +1

      Watu hawajui dini hawan mda w kuisoma lakini likija swali l dini mtu ht kma halijui atajifanya analijua

    • @somoeally9592
      @somoeally9592 Місяць тому

      Nimeshangaa kweli

  • @ancyrom6929
    @ancyrom6929 3 роки тому

    Dida daah ati kwahivyo huma unaedaga kwa misiba ya familia zake

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +1

    Juma lipa deni la wenyewe

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 роки тому

    Dida mmbea😂😂bwana mwenye suruali

  • @zakzak6502
    @zakzak6502 3 роки тому +1

    Ndiyo ujifundishe usiropoke ovwe

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 3 роки тому +1

    Juma mkono utaungoa uwoo

  • @user-xh7vw4kk7o
    @user-xh7vw4kk7o 3 роки тому +3

    Juma rudiyana basi tuta fulahi

  • @wizahenry8846
    @wizahenry8846 3 роки тому +1

    Dida umewaweza na mmefanya jambo la kheri kwenye mwezi huu wa ramadan

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому

    Ubaya wenu nyie watangazaji mwapenda kulazimisha vitu sana, yani mwalazimisha watu wakumbatiane kama ni mimi weeeee

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 3 роки тому +2

    Wajina huyo binti bado anakupenda

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 3 роки тому +1

    Miwani mimgine jamani niyakuchomea magate

  • @signalboy4260
    @signalboy4260 3 роки тому +4

    Juma kawa mdogo ghafla aisee 😂😂 ila nashukuru Mungu kila ki2 kipo vizuri

  • @rosemaryisdory9861
    @rosemaryisdory9861 3 роки тому

    Jum hajielewag

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 3 роки тому +1

    Jumaaaaaaa 😅😅😅😅

  • @samiatobby1432
    @samiatobby1432 3 роки тому

    Juma kapatikana

  • @Kasweetie_254
    @Kasweetie_254 3 роки тому

    Leo juma kapatikana ,umbea huo kwioo

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hy picha ndio imenichekesha👐

  • @umutonijowelia8794
    @umutonijowelia8794 2 роки тому +1

    Nahamia Tz as soon as possible🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bonifasimashimba8576
    @bonifasimashimba8576 3 роки тому +1

    Duu mbona mshenga simuoni kweli wataachana