Njia mpya ya kutengeneza sabuni ya mche ukiwa nyumbani kwako bila kutumia mashine Wala umeme

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 49

  • @kijukigoldenproject9023
    @kijukigoldenproject9023  11 місяців тому

    UTARATIBU
    Ukihitaji kitabu utalipia kwa namba hiyohiyo ulioiona nimeweka hapo ni
    Tigo-Pesa 0711 383 621
    jina kinganije kinganije
    Kisha baada ya kulipia utatuma majina ya muamala uliofanya kupitia Whatsapp namba hiyohiyo
    Kisha utatumiwa kitabu Cha ujasiriamali kupitia Whatsapp yako hapohapo
    BONUS utakazopatiwa Bure baada ya kupata kitabu chetu
    1. Utapatiwa Kitabu Cha ubuyu wa Zanzibar na pilipili mbalimbali kibiashara Bure,
    2. Utaunganishwa program nzima ya MJASIRIAMALI PLUS na utapata mafunzo kwa video kwa vitendo ya masomo yote Bure
    3. Kisha utaunganishwa na group la wajasiriamali wengine kwa ajili ya kuendelea na mafunzo, kuleta mrejesho wa bidhaa ulizotengeneza Kisha kama zinahitaji marekebisho utarekebishwa na mwalimu ili kutengeneza bidhaa nzuri Kisha kama utakua na maswali au changamoto au unahitaji ushauri utakua ukiuliza
    Mwalim KIJUKI.

  • @LinusLuoga
    @LinusLuoga Місяць тому

    Nakufuatilia sana sasa shda malighafi

  • @willamatika4125
    @willamatika4125 3 місяці тому

    Asante kaka kwa darasa maji kiasi gan

  • @CosterSiwale-u4b
    @CosterSiwale-u4b 14 днів тому

    Umesema mafuta ni litre 20 vipi kuhusu maji?

  • @NeemaGodson-g1d
    @NeemaGodson-g1d 4 місяці тому

    Maji kiasi gan na sodium silicate kiasi gan pia griselin kiasi gan asant

  • @chaulaproduction2037
    @chaulaproduction2037 8 місяців тому

    Ahsante kwa somo zuri.

  • @SarahKiputo
    @SarahKiputo 8 місяців тому

    Asante sana

  • @MichaelNguma-k3p
    @MichaelNguma-k3p 5 місяців тому

    Mbona sodium silicate maji huja sema unaweka kiasi gani kwa Mafuta 20lt?

  • @estherbony3251
    @estherbony3251 5 місяців тому

    Vipimo vya maji na sodium slicate ujasema ni kias gan

  • @HelenaMathias-j2q
    @HelenaMathias-j2q 5 місяців тому

    Maji kiasi Gani mbona husemi

  • @willamatika4125
    @willamatika4125 3 місяці тому

    Kwema maji kipimo kipi na sodium kipo gani

  • @ceciliamaarifa8427
    @ceciliamaarifa8427 6 місяців тому

    Hujasema unaeka maji kiasi gani kwenye caustic soda na sodium silicate kiasi gani

  • @ShabaniMsuguta
    @ShabaniMsuguta 9 місяців тому

    Sodiam siliget unaweka kiasi gan

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  9 місяців тому

      Tumia kilograms 2, ukihitaji mafunzo zaidi NITAFUTE kupitia Whatsapp 0742250034

  • @NeemaGodson-g1d
    @NeemaGodson-g1d 4 місяці тому

    Napataj kitabu hicho?

  • @JosephAnatory
    @JosephAnatory 8 місяців тому

    Napataje namba yenu?

  • @VictoriaAlex-n4l
    @VictoriaAlex-n4l 2 місяці тому

    Naomba nitumie namb ya wasap kwani naitaj kitabu na Niko mosh

  • @doctorkaimu.
    @doctorkaimu. 9 місяців тому

    Uzima upo?? Nasikia kuna buster kwenye kutengeneza sabuni za Miche kama vile Chokaa, soda Ash, chumvi nk. Unasemaje kuhusu hilo na unachanganya kwa vipimo gani?? Kwasababu kanuni ya sido pekee haina faida. Majibu yako ni muhimu kama hutojali. Shukrani.

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  9 місяців тому

      Safi vp hali?
      Kuna fomula hua tunatumia katika kutengeneza sabuni na kuiongeza mara dufu bila kuathiri ubora wa sabuni
      Tiwasiliane kupitia Whatsapp namba 0742250034

    • @shamsaseleman-i2e
      @shamsaseleman-i2e 6 місяців тому

      Habari nipo dar kitabu nakipataj

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  6 місяців тому

      @@shamsaseleman-i2e nitafute kupitia Whatsapp namba hii nikupe maelekezo 0742250034

  • @Daud48
    @Daud48 10 місяців тому

    Mbona mi nikitengeneza katika matumizi inawai kuisha sijui nafeli wapi nisaidie

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  9 місяців тому

      Wasiliana nasi kupitia Whatsapp namba 0711 250 034
      Ili tukusaidie sehem unapokosea

  • @KARIMUMANOLE
    @KARIMUMANOLE 11 місяців тому

    Kwaiyo Iko KITABU kukipata unalipia Kwa hiyo namba Yako ya cm then unamtumia MWENYE kulipia watsup au ikoje cjaelewa vzr

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  11 місяців тому +1

      UTARATIBU
      Ukihitaji kitabu utalipia kwa namba hii ya tigo
      Tigo pesa 0711 383 621
      jina kinganije kinganije
      Kisha baada ya kulipia utatuma majina ya muamala uliofanya kupitia Whatsapp namba 0742 250 034
      Kisha utatumiwa kitabu Cha ujasiriamali kupitia Whatsapp yako hapohapo
      BONUS utakazopatiwa Bure baada ya kupata kitabu chetu
      1. Utapatiwa Kitabu Cha ubuyu wa Zanzibar na pilipili mbalimbali kibiashara Bure,
      2. Utaunganishwa program nzima ya MJASIRIAMALI PLUS na utapata mafunzo kwa video kwa vitendo ya masomo yote Bure
      3. Kisha utaunganishwa na group la wajasiriamali wengine kwa ajili ya kuendelea na mafunzo, kuleta mrejesho wa bidhaa ulizotengeneza Kisha kama zinahitaji marekebisho utarekebishwa na mwalimu ili kutengeneza bidhaa nzuri Kisha kama utakua na maswali au changamoto au unahitaji ushauri utakua ukiuliza
      Mwalim KIJUKI.

  • @NeemaGodson-g1d
    @NeemaGodson-g1d 4 місяці тому

    Huwezi kumtumia Mt katabu kabisa kuliko kuingia mtandao ?

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq 11 місяців тому

    Online bei gan

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  11 місяців тому

      Inategemeana na darasa unahitaji
      Wasiliana nasi kupitia Whatsapp namba 0742250034

  • @monicakingu8244
    @monicakingu8244 6 місяців тому

    😢naomba kitabu Niko singida

  • @frodualdserugendo
    @frodualdserugendo 9 місяців тому

    Naweza kupata kitabo Nicholas namuna gani

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  9 місяців тому

      UTARATIBU
      Ukihitaji kitabu utalipia kwa namba hiyohiyo ulioiona nimeweka hapo ni
      Tigo-Pesa 0711 383 621
      jina kinganije kinganije
      Kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe kupitia Whatsapp namba 0742 250 034
      Kisha baada ya kulipia utatuma majina ya muamala uliofanya kupitia Whatsapp namba hiyohiyo
      Kisha utatumiwa kitabu Cha ujasiriamali kupitia Whatsapp yako hapohapo
      BONUS utakazopatiwa Bure baada ya kupata kitabu chetu
      1. Utapatiwa Kitabu Cha ubuyu wa Zanzibar na pilipili mbalimbali kibiashara Bure,
      2. Utaunganishwa program nzima ya MJASIRIAMALI PLUS na utapata mafunzo kwa video kwa vitendo ya masomo yote Bure
      3. Kisha utaunganishwa na group la wajasiriamali wengine kwa ajili ya kuendelea na mafunzo, kuleta mrejesho wa bidhaa ulizotengeneza Kisha kama zinahitaji marekebisho utarekebishwa na mwalimu ili kutengeneza bidhaa nzuri Kisha kama utakua na maswali au changamoto au unahitaji ushauri utakua ukiuliza
      Mwalim KIJUKI.

  • @OmaryMohamed-jz3qe
    @OmaryMohamed-jz3qe 8 місяців тому

    Je hayo mannish kwenye sabun unafanyaje

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  6 місяців тому

      @@OmaryMohamed-jz3qe unatengeneza jina unalihitaji mwenyewe, karibu kwenye mafunzo upate Whatsapp 0742 250 034

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 9 місяців тому

    Grop lako unaunga kwa utalatibu upi

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  9 місяців тому

      Nitafute kupitia whatsapp namba hii 0742250034 au nipigie kwa namba hiyo

  • @monicakingu8244
    @monicakingu8244 6 місяців тому

    Naomba ya simu tafadhali

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq 11 місяців тому

    Madalasa yapo

    • @kijukigoldenproject9023
      @kijukigoldenproject9023  11 місяців тому

      Ndio Madarasa yapo kupitia Whatsapp
      Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0742250034

  • @CharlesChevar
    @CharlesChevar 6 місяців тому

    Kitabu nakipata wap