Asante lakini ingependeza uwe unaandika majina ukiwa unaongea sasa hiyo silesi sijui ndo inatamkwa ivo kama nilivyoiandika? utakuta mwingine anaenda dukani anasema nataka stress tuandikie majina walau tuscreenshot nakuomba Jamani kama cmc wengi tulikuwa tunaita semsi😢ndo ntaenda dukani niseme nataka Mc wanicheke
Karibu sana kwenye ujasiriamali wa kutengeneza bidhaa za kijasiriamali 0783 500 971 Mwalim Almasi, ujasiriamali ni ajira
Nahitaji kujifunza
@user-nh9fl5tv9u karibu 0783500971
Asantee kaka kwa somo zuri❤❤❤🎉🎉
Shukran pia
Nashukur San Kwa Daras lako nimelkelew❤
Ahsante kwa kunifuatilia na karibu sana
God bless you 😇🙏
Ameen .. Thank for watching
Asante saana broo
❤❤
Shukran
Vipimo je
Whatsapp darasani 0783500971
Daa kweri simuni ajra Asante kaka😢
Umeonaee
Where to get detergent
Regarding soap powder, there are formulas and raw materials as well
0783500971
Kitabu bei gani
10000pdf WhatsApp 0783500971
Naipataje lebo kaka
Unaenda kwa desgner au tuwasiliane 0783500971
Mm nahitaji kitabu n shingap na ninaipataje niko kwanza
Tuwasiliane 0783500971
Mm nahitaji kitabu n shingap na ninaipataje niko
Tuwasiliane kupitia whatsapp 0783500971
Sasa iyomuchangamyiko wote nitaweza kuyitowq wapi mimi naishi burundi bujumbura
0783500971 karibu tuwasiliane kupitia whatsapp
Napataje kitabu Niko arusha
Tuwasiliane 0783500971
Mimi nataka kujifunza naenda wapi
Karibu tuwasiliane 0783500971
Asante lakini ingependeza uwe unaandika majina ukiwa unaongea sasa hiyo silesi sijui ndo inatamkwa ivo kama nilivyoiandika? utakuta mwingine anaenda dukani anasema nataka stress tuandikie majina walau tuscreenshot nakuomba Jamani kama cmc wengi tulikuwa tunaita semsi😢ndo ntaenda dukani niseme nataka Mc wanicheke
Ndio maana hapo nimeweka mawasiliano ya simu jiongeze, namba nlizokuwekea kwenye video kazi yake nini
Maduka gan yanapatikana ayooo material
Ungesema na mkoa ulipo
@@lodnessEnterprises779Nipo daresalam je vinapatkana wapi na maduka gani mfano
0783500971
Kariakoo au mbagala
Uko wapi kk
0783500971 unaweza kunitext WhatsApp nikupe maelekezo ya namna ya kujifunza maana nafundisha online
Ungekuwa unaficha Sura lakini maana watu si poa😢
Sawa
Bidha nizipate wapi
Karibu 0783500971
Mambo hivyo bidhaa unazotengnezea vnptkn kweny maduk gn
Maduka ya ujasiriamali 0783500971
Ninaomba majina ya matilio
Tuwasiliane WhatsApp 0783500971
zasaizi kaka vitabu unauza bei gani vya ujasilia mali
Ikiwa upo tayari na unahitaji kitabu nitext WhatsApp nikupe utaratibu wa bei na jinsi ya kukipata kitabu cha ujasiriamali 0783500971 WhatsApp
Material za kutengenezea unapatq wapi broo
Wewe upo mkoa gani
Mm bas nataka hayo majina ya izo kemikali
Sawa
@@lodnessEnterprises779 ntumie hayo majina juu nko Kenya
Sawa nimekwekea namba za WhatsApp hapo ili kurahisha mawasiliano kwa hiyo nitext na hizo namba whatsap
Samahan naomba kuulza kwahyo hapo haina haja ya alka2
Kama hautoridhika na uzito huo kuna haja ya alkatu
Parfarmu ipi ndo inafaa kuchanganya
Pafyum ya mafuta ni better than na ukitumia ya maji basi jitahidi kuiweka mwanzo wa mkorogo ili kupata matokeo bora zaidi
Na mimi nataka unisaidiye kutengeneza iyo savon liquide
Yapo maduka ya kijasiriamali huko huko.0783500971
0783500971 karibu tuwasiliane kupitia whatsap
Rebo unaitengenezaje
Tuwasiliane Whatsapp kwa maelezo zaidi 0783500971
Hicho kitabu nitakipataje
Tuwasiliane 0783500971 WhatsApp
Mimi nipo Dar napataje matirio
Tuwasiliane 0783500971
Vifaa vinapatikana maduka yapi? Nipo dodoma
Maduka ya kijasiriamali 0783500971
Nisaidie hivyo vitu kuandika unavyo tumia nijaribu
Karibu sana kwenye Ujasiriamali tuwasiliane 0783500971
Mimi nataka kitabu ni sh,ngapi na nitakipataje nipo kigamboni
0783500971
Tuwasiliane whatsap
CMC inawekwa wakati gani
Wakati wa kuweka pafyum...
jifunze zaidi 0783500971 Whatsapp
Ndio ya Lita 20 vpimo vinakuaje
Ndio maana nimekuwekea namba hapo
Cmc ina wekwa kwenye sabuni
Kwani hapo umeiona
Namba yako naipataje ili nipate kitabu
0783 500 971
Hiyo ni lita ngapi umetumia!
Lita 26
Iyo chumv yyt inafaa au mawe tu
Ya mawe nzuri zaidi hapo. Ukiikosa unawezatumia ya kawaida
Nahitaji kitabu nakipataje nipo magomeni dar
Karibu sana kwenye ujasiriamali...
Nakutumia zaidi tuwasiliane 0783500971
Kitabu ni bei gan mwalimu
10,000/= kinajitosheleza vipimo
Marighafi naipata wap
Tuwasiliane WhatsApp 0783500971
Unapatikana mkoa ganii
Dar, Arusha, Mbeya
Kuingia darasa la sabuni ni bei ganii
0783500971 tuna SMS WhatsApp Nikupe utaratibu
Unapatikana wapi
Whatsap 0783500971
huo mjiti mbele umefungia nini
Chupa ili mti usikwaruze jaba
Umeweka chumvi baada ya hapo ukaeka ciles na maji
Kuna kitu umeongeza bila kusema ni nini
Kipi
Hata ukianza kuweka sulphonic acid na sless nayo ni Sawa
Naomba kitabu Cha kutengeneza sabuni
Pia nakipataje hicho kitabu
Nitumie sms whatsapp kupitia 0783500971