- 51
- 30 515
KIJUKI PROJECTS
Приєднався 30 гру 2019
Channel hii Ni kwa ajili ya mafunzo ya UJASILIAMALI wa kutengeneza biddhaa mbalimbali za viwandani ikiwemo sabuni za aina mbalimbali, chaki, mafuta ya kujipaka nk.
Gundua fomula 3 za kutengeneza sabuni ya maji nzito kama uji,
Gusa link hii kuona wajasiriamali walivonufaika na na kitabu cha ujasiriamali pamoja na program ya ujasiriamali
ua-cam.com/play/PLTw7VwVxEIoEY0fy-i_wr1xCRRb7gRRDJ.html&si=LceseXHobRUl9pnP
ua-cam.com/play/PLTw7VwVxEIoEY0fy-i_wr1xCRRb7gRRDJ.html&si=LceseXHobRUl9pnP
Переглядів: 967
Відео
jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani, zawadi kwa watano 5 tu
Переглядів 1385 місяців тому
mirejesho ya wanafunzi wetu gusa link hii chini kuona video za jinsi walivofanikiwa ua-cam.com/play/PLTw7VwVxEIoEY0fy-i_wr1xCRRb7gRRDJ.html&si=C1L2XAaZrFaYxMaE
njia rahisi sana ya kupiga muhuri/nembo kwenye sabuni
Переглядів 616 місяців тому
njia rahisi sana ya kupiga muhuri/nembo kwenye sabuni
jinsi ya kutengeneza crips za ndizi tamu hatari
Переглядів 6 тис.8 місяців тому
jinsi ya kutengeneza crips za ndizi tamu hatari
shuhuda kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS 0742250034
Переглядів 1588 місяців тому
shuhuda kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS 0742250034
mrejesho wa sabuni ya mche kama jamaa kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS
Переглядів 3339 місяців тому
mrejesho wa sabuni ya mche kama jamaa kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji nzito kama uji, Siri yafichuka
Переглядів 5 тис.9 місяців тому
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji nzito kama uji, Siri yafichuka
Njia mpya ya kutengeneza sabuni ya mche kama jamaa bila kutumia mashine, wala umeme.
Переглядів 7269 місяців тому
Njia mpya ya kutengeneza sabuni ya mche kama jamaa bila kutumia mashine, wala umeme.
mrejesho wa sabuni ya maji nzito kutoka KIJUKI PROJECTS 0742250034
Переглядів 4411 місяців тому
mrejesho wa sabuni ya maji nzito kutoka KIJUKI PROJECTS 0742250034
Mrejesho wa sabuni ya kuogea ya karafuu kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS
Переглядів 39711 місяців тому
Mrejesho wa sabuni ya kuogea ya karafuu kutoka kwa mwanafunzi wetu KIJUKI PROJECTS
Box la kugandishia sabuni [soap mould]
Переглядів 13011 місяців тому
Box la kugandishia sabuni [soap mould]
Bila kemikali hii huwezi kutengeneza sabuni ya mche
Переглядів 78911 місяців тому
Bila kemikali hii huwezi kutengeneza sabuni ya mche
Hatua ya nne katika utengenezaji wa sabuni ya mche
Переглядів 14011 місяців тому
Hatua ya nne katika utengenezaji wa sabuni ya mche
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche kama sabuni ya jamaa
Переглядів 41511 місяців тому
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche kama sabuni ya jamaa
Shuhuda ya mwanafunzi wetu sabuni ya magadi kutoka KIJUKI PROJECTS
Переглядів 28211 місяців тому
Shuhuda ya mwanafunzi wetu sabuni ya magadi kutoka KIJUKI PROJECTS
Shuhuda ya jiki kutoka KIJUKI PROJECTS
Переглядів 14511 місяців тому
Shuhuda ya jiki kutoka KIJUKI PROJECTS
Hatua ya kwanza katika utengenezaji wa sabuni ya mche
Переглядів 25811 місяців тому
Hatua ya kwanza katika utengenezaji wa sabuni ya mche
Njia mpya ya kutengeneza sabuni ya mche ukiwa nyumbani kwako bila kutumia mashine Wala umeme
Переглядів 8 тис.11 місяців тому
Njia mpya ya kutengeneza sabuni ya mche ukiwa nyumbani kwako bila kutumia mashine Wala umeme
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE KAMA JAMAA
Переглядів 3 тис.Рік тому
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE KAMA JAMAA
mrejesho wa darasa la sabuni ya maji KIJUKI PROJECTS
Переглядів 40Рік тому
mrejesho wa darasa la sabuni ya maji KIJUKI PROJECTS
NJIA MPYA inayotumiwa na wajasiriamali wabunifu kukata sabuni kwa umaridadi sana
Переглядів 342Рік тому
NJIA MPYA inayotumiwa na wajasiriamali wabunifu kukata sabuni kwa umaridadi sana
[DARASA BURE] Hii ndio program ya zamani ya MJASIRIAMALI PLUS,
Переглядів 113Рік тому
[DARASA BURE] Hii ndio program ya zamani ya MJASIRIAMALI PLUS,
shuhuda sabuni ya magadi, karibu ujifunze kwetu 0742250034
Переглядів 54Рік тому
shuhuda sabuni ya magadi, karibu ujifunze kwetu 0742250034
[DARASA BURE] hatua ya 3, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche
Переглядів 166Рік тому
[DARASA BURE] hatua ya 3, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche
[DARASA BURE] Hatua ya 2, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche
Переглядів 165Рік тому
[DARASA BURE] Hatua ya 2, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche
[DARASA BURE] hatua ya kwanza, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.
Переглядів 327Рік тому
[DARASA BURE] hatua ya kwanza, jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.
hatua ya 4 katika utengenezaji wa sabuni
Переглядів 53Рік тому
hatua ya 4 katika utengenezaji wa sabuni
Asante sana nimeweza kupata kitabu changu nilihisi ni utapeli kumbe ni watu makini Asante
@@fredyjulius9920 hongera sana, endelea kupiga kazi
Unaishi kijuki sehemu gani
Kaka asantee Sana nimekipata kitabu nimekipenda kinamambo mengi ya kutusaidia asantee Sana ubarikiwe 🙏
Zinakaa muda gan bila kuharibika
He kitu gani kitatangulia
@@ImaniFabian-x5d kutangulia vp, sjaelewa vzr Ŵeka swali lako vzr ili nipate namna ya kukusaidia
Ahsante kaka nmepata kitabu ni kizur na kwa gharama ndogo sana Mungu akubarik
@@TupeligweMwaisaka hongera sana, endelea kupiga kazi
Umesema mafuta ni litre 20 vipi kuhusu maji?
Hongera pia
Je nikitaka kitabu nakipata kwa shingapi? Kitabu cha utengezaji wasabuni
Nakufuatilia sana sasa shda malighafi
Nicheki kupitia whatsapp nikutumie namba za wauzaji 0742250034
Naomba nitumie namb ya wasap kwani naitaj kitabu na Niko mosh
Nitafute kipitia whts up namba hii 0742250034
Kaka naomba unisaidie sehemu wanapo huza sodium laundry sulphate nimetafuta sana
@@Diamongproduct kariakoo machinga complex
Yakwangu mbona haiwi transparenti hivyoo
@@ElvisElidaima angalia malighafi ulizotumia pamoja na vipimo na fomula za utengenezaji Kama unahitaji kujifunza zaid nitafute whatsapp 0742250034
Mwalm Mimi nimwanafunzi wako sls naipatajeee singida hamna
Njoo whatsapp, lakin zaid unaweza kwenda sido singida au ukaagiza kutoka mkoa jiran
Asante kaka kwa darasa maji kiasi gan
Kwema maji kipimo kipi na sodium kipo gani
Very good lesson though I failed to know how to get further knowledge
@@shaibumillanzi8785 whatsapp 0742 250 034
Ni aina gan yandizi inafaa
Uko wapi
@@JamilaManji masomo ni online
Nahitaji kitabu cha sabuni za miche na za maji
Kitabu utakipata kupitia whatsapp Nitafute kwa whatsapp namba hii 0742250034
Na je nn kinasababisha sabuni ya maji kuwa nyepesi?
Je kati ya sabuni ya magadi na sabuni ya unga ipi inatoka sana?
Zote zinatoka kwa sababu sabuni hutumika kila siku, utofsuti unakuja kutokana na maeneo kuna maeneo wanapenda sabun sabun za kawaida Kwa maelezo zaidi nutafute kwenye whatsapp namba hii 0742250034
Ukiitaji kitabu unapataje
Kitabu ni softcopy kwa mfumo wa pdf Unakipata kupitia whatsapp Nitafute kwa namba hii 0742250034
Kitabu ni softcopy kwa mfumo wa pdf Unakipata kupitia whatsapp Nitafute kwa namba hii 0742250034
Huwezi kumtumia Mt katabu kabisa kuliko kuingia mtandao ?
Kitabu kipo nitafute kwa namba hii whatsapp 0742250034
Maji kiasi gan na sodium silicate kiasi gan pia griselin kiasi gan asant
Napataj kitabu hicho?
Nitafute kupitia whatsapp 0742250034
Safi mkuuuu itapataje kitabu mkuu weka namba za cm
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Itapataje hivyo vifaa
Mbona nitrosol ni ngumu kuipataa
Maji kiasi Gani mbona husemi
Vipimo vya maji na sodium slicate ujasema ni kias gan
. As😊
Ahsante kwa somo zuri. Kitabu Cha matengezo ya sabuni ni sh.ngapi?
@@VerveMathew gharama ya kitabu ni 10,000 Whatsapp 0742250034
Mbona sodium silicate maji huja sema unaweka kiasi gani kwa Mafuta 20lt?
Wasiliana nasi kwa namba hii WhatsApp 0742250034
Asante kaka bei ya hizo marighafi na chupa kaka
Kitabu nakipata wap
@@CharlesChevar nitafute kupitia Whatsapp namba 0742250034
Naomba ya simu tafadhali
@@monicakingu8244 nitafute kupitia namba hii WhatsApp 0742250034.
😢naomba kitabu Niko singida
@@monicakingu8244 nitafute kupitia namba hii WhatsApp 0742250034
Hujasema unaeka maji kiasi gani kwenye caustic soda na sodium silicate kiasi gani
Ndizi zirivyo iva au
Tumia ndizi mzuzu zilizoanza kuiva
Asante kwa mafunzo. Napataje kitabu
Nitafute kupitia Whatsapp namba 0742250034 Kisha tutawasiliana na kukupatia maelekezo stahiki
Video Ipo vizuri ila Sauti ipo chini sana
vipimoo jmn
Asante sana
Je hayo mannish kwenye sabun unafanyaje
@@OmaryMohamed-jz3qe unatengeneza jina unalihitaji mwenyewe, karibu kwenye mafunzo upate Whatsapp 0742 250 034
Napataje namba yenu?
@@JosephAnatory nitafute kupitia namba hii WhatsApp 0742250034
Ahsante kwa somo zuri.
Safi sana,
Safi sana