MASHINE YA KUZALISHA ICE CREAM NA GHARAMA ZAKE, HIKI NI KIWANDA KIDOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @DouglasGKimaro
    @DouglasGKimaro 3 місяці тому

    Ile ya koni naipata wapi?

  • @magrethcharles-wu2by
    @magrethcharles-wu2by 8 місяців тому

    Mm nahitaji kujua namna ya kutengeneza kifaa koni

  • @Halimahissa-t4f
    @Halimahissa-t4f 3 місяці тому

    Nahitaji ni bei gani?

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  3 місяці тому

      Bei zote zimetajwa hapo fanya maesabu ya change ya dollar utapata bei kamili

  • @MerinaJoseph-gf8uy
    @MerinaJoseph-gf8uy 8 місяців тому

    Mm naitaji shingap

  • @JuliusMakuru-e5h
    @JuliusMakuru-e5h 4 місяці тому

    Naitaji mashine naipataje

  • @sheylahgodson
    @sheylahgodson 5 місяців тому

    Napataje

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  5 місяців тому

      Iyo hadi kuagiza China

  • @nyaganyie.finias2152
    @nyaganyie.finias2152 6 місяців тому

    Habari ndugu hizo gharama kwa dollars means Kuna gharama za usafirishaji Hadi Tz au gharama hizo no from Tz?

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  6 місяців тому

      Izo ni garama za kununua mzigo tu, hapo bado ya kusafisha

    • @japharyharuna1265
      @japharyharuna1265 4 місяці тому

      Kwa tz sawa ni sh ngap

  • @NayratDarwesh
    @NayratDarwesh 8 місяців тому

    Habari ndugu ntaipataje mimi iyo mashine

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  8 місяців тому

      Izi zipo za kuagiza China pia kwa hapa tz kuna watu wanazitengeneza jaribu kutafuta sido au veta

  • @jeffowinostv3981
    @jeffowinostv3981 10 місяців тому +1

    Naweza pata aje hio machine

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  10 місяців тому

      Zinapatikana kuanzia za kuagiza hata za hapa hapa nyumbani, pia unaweza kupata kwa mtu

  • @Johana-s6r
    @Johana-s6r 3 місяці тому

    Naitaji iyo mashini nitaipata aje

  • @mohamedsaide3405
    @mohamedsaide3405 8 місяців тому

    Nataka mashine ya kufungasha

  • @mohamedsaide3405
    @mohamedsaide3405 8 місяців тому

    Nahitaji mashine ya kubaing

  • @CecyliaMinja
    @CecyliaMinja 9 місяців тому

    Shingp nahitj

  • @VelonicaPetro
    @VelonicaPetro 6 місяців тому

    nahitaji naipataje

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  6 місяців тому

      Izi hadi kuagiza kutoka china

  • @MerinaJoseph-gf8uy
    @MerinaJoseph-gf8uy 8 місяців тому

    4:02

  • @MerinaJoseph-gf8uy
    @MerinaJoseph-gf8uy 8 місяців тому

    Shingap