Noma sana legendary. Yaani sauti kama wimbo wa studio. Hakuna tofauti. Naomba tu hilo tamasha liandaliwe vizuri na sounds ziwe vizuri. Wasifanye blayback na watumie muda mwingi kuimba kuliko kusema "pega kelele" na kuwanyoshesha mikono watu.
Big up, Mnanikumbusha Kitambo kidogo hua nikisikiliza hizi nyimbo najisikia Nasikilizia Muziki sio sasa Matusi kilakona, Mungu Awabariki Sana Muziki konk
Mziki haujaharibia nyakati imewakataa kwa sababu wengi wenu mlishindwa kwenda na hitaji la muda. Msipondee mziki wa sasa kwa sababu unafanywa na waliokuwa na mashabiki wenu. Tunawapenda sana na mnapojumuika na kuunda umoja mtafanya pia mashabiki tuamke na kuanza Kuja kwenye show zenu
mm ni music producer sikufka apa bila kusikiliza tune zenu mwaka 1999,2001....2010 ninyi ni walim wangu napenda milichofanya na kujenga mpaka sasa kumekuas pakubwa sana bili ninyi mm nisingekua apa nawapenda sana na ni legancy kwa tanzania nawaheshm mno tuko pamoja tunakuja
Mziki wa zamani kweli.nyny ndy mmeufanya mpk umekubalika maana nikikumbuka kipind bongo flavour inaaza ulikua unaonekana mzik wa kiuni ingawa ulikua na Maudhui mema na maana kubwa xx huu mziki ungeanza kwa mfumo wa nyimbo za sasa usinge toboa kwa 7bb ya kujaa kwa matusi wazazi wasingekubali waimbe watt wao tunakubali nyimbo za leo kwa 7bb ya vinanda na bit lkn sio kufundisha mema unafundisha mabaya sanaa
Daah big up sana tanzania legendary artists we always remmbr u and love u🇹🇿💫💥👌
Hii kitu nilikua nilikua naiwaza sanaa ije itokee siku moja. thaaanks God
Acheni bangi mnaweza
Hawa ndio waliimba mziki, big up, hadi hivi sasa huwa nasikiliza nyimbo za zamani tu
the best of all times
tbt ya kishua kikweli Tunawatambua had huku Kenya🇰🇪
Oyya awa jamaa kama unawakubali ttujuane
Noma sana legendary. Yaani sauti kama wimbo wa studio. Hakuna tofauti. Naomba tu hilo tamasha liandaliwe vizuri na sounds ziwe vizuri. Wasifanye blayback na watumie muda mwingi kuimba kuliko kusema "pega kelele" na kuwanyoshesha mikono watu.
Ukitaka liwe zuri snaaa wa watafute. Masta j.. NA p faki hapo itatisha sanaaa
@@زيتونتنزانيا Hao wataenda kufanya nini?
Weweeeeeee
Hawa ndio wasanii sasa sauti nzuri sana big up
unyama saanaa aisee'' mlikuwa mnaumiza sanaa aiseee daaaah💪💪💪
Jamani mlikuwa wapi?👍👍👍👍👍
Mko vizur sana wakongwe mmetulia Sanaa...nilitaman sana kumuona prof jay Mungu ampe uhau ligendary wetu....
Mwenye hajui Hawa wasanii basi hajui muziki
Kiukweli nimejickia raha sana sana sana sana sana sana sana sana sana nkikumbuka enzi za dedication
Nakupenda bibu kizee.chicha limemkolea hizo nyimbo zimenifurahisha sana ningekuwa bongo ningeshuhudia.
Picco umetisha Mwanangu
Miwani like fundi kuchomea.
Woooh wooh duuh mmenikumbusha mbalii sana ma legendary😍
Mpaka leo huwa nasikiliza nyimbo zenu,hizi zingine hazina nafasi
Adi lahaaa
Nomaaa sana I wish ninge kuwa tz
Big up, Mnanikumbusha Kitambo kidogo hua nikisikiliza hizi nyimbo najisikia Nasikilizia Muziki sio sasa Matusi kilakona, Mungu Awabariki Sana Muziki konk
Mmefanya vizuri kk zangu nmewamiss sana
Nakupali wasani wazamani sana wazinikuhimba apenda amini sana azindi kuhimba ndofurayangu
Talent never fades!
Noma saaaa enzi izooo
Picco ,,PNC, mbonakama vile bado wapya 💪💪💪💪💪 Walioweng bado Wanavipaji vyao vyazaman
Dah kweli kilikuwa na vipaji kweli
Wapya kabisa
Daaaa nimejikuta nakosa la kusema nimekumbuka mbali sana
Mmetisha Yana ninawapenda bureeee
Daah kumbe mpogo aisee , nouma sana
Hizo nyimbo tulishawadanganishia watoto wakike Sana enzi hizo dah mmenikumbusha mbali sana
This is LEGENDARY 🔥🔥💪💪
Tz imejaaliwa na vipaji sana 🔥
Ahsante, mmenikumbusha mbali acha tu.
Solid ground family The best all the time.:-
Muhogo mchungu kabeba mbuzi
Ichi kipande kiliniuwa sana.
Mnanikumbusha vitu vizuri...nice
Oya wanajua kinoma ooooh my g can't wait
Ouwoooooooh oooooooh kitambo sana love sana hii song
Nakubali Sana tena Sana ni zaid ya burudani
Ooooh tamu sana itakuwa hii..kawafundisheni madogo utam wa Bongo flavour
Hatariiiiiiiii nitakuja, muziki ulikua zamani jamani
Legendary tunawahitaji na nitauzuria la msingi tujitokeze kusaport bongo fleva
Bushi party. Daah!
Shukran kunikumbusha. Mziki halisi uliopendwa na wote kwokote!
That's is the music ma pipooo!!!I can't wait 14-5-2022🔥🔥🔥🔥🔥
Balaaaaaaa 💥💥💥💥💥💥💥,, 🔥🔥,, I wish ningekuwa dar
Hongereni mnatakiwa mzunguke mikoani mtapata kitu kizuri na washabiki tutapata kitu kizuri
Noma maze
Da jamani mnatisha sauti nzuriiiii
Nakubali ❤
Long time nikiwa na mtoto mmoja
💖💖💖💖💖💖🔥🔥🔥💪💪💪Murudi
Nashauli mfanye kila wilaya hapa dar.
Safi sana
👋👋👋Daaah Sio POA... I Wish Niwepo Kwa Kweli...✊✊ Old is Gold🎧🎤📻
Amina nakukubali sana
PASHA saut mzur broh na EP yako inafanya poa #DEDE ni 🔥🔥🔥
KEEp the good Music alive 🎻🎶🎻🎶 🎻🎻
Wabongo wanaakili sana ni serikal tu ndo hatuna
Homgereni sana mmenikumbusha mbali
Mziki haujaharibia nyakati imewakataa kwa sababu wengi wenu mlishindwa kwenda na hitaji la muda. Msipondee mziki wa sasa kwa sababu unafanywa na waliokuwa na mashabiki wenu. Tunawapenda sana na mnapojumuika na kuunda umoja mtafanya pia mashabiki tuamke na kuanza Kuja kwenye show zenu
Mmetisha mpaka nimejikuta nasasahau kama kunawasanii wengine kma akina mond ,
Jamaniiii Hadi raha
mm ni music producer sikufka apa bila kusikiliza tune zenu mwaka 1999,2001....2010 ninyi ni walim wangu napenda milichofanya na kujenga mpaka sasa kumekuas pakubwa sana bili ninyi mm nisingekua apa nawapenda sana na ni legancy kwa tanzania nawaheshm mno tuko pamoja tunakuja
Mziki wa zamani kweli.nyny ndy mmeufanya mpk umekubalika maana nikikumbuka kipind bongo flavour inaaza ulikua unaonekana mzik wa kiuni ingawa ulikua na Maudhui mema na maana kubwa xx huu mziki ungeanza kwa mfumo wa nyimbo za sasa usinge toboa kwa 7bb ya kujaa kwa matusi wazazi wasingekubali waimbe watt wao tunakubali nyimbo za leo kwa 7bb ya vinanda na bit lkn sio kufundisha mema unafundisha mabaya sanaa
Aisee ni nomaaaa.
Huu ndio ulikua mziki saluti kwa malegenderi ni vyema sana
Mmenikumbusha zamani du safi sana endeleeni kuwa wamoja
Jaman hata kingilio naona km ndogo kwa show
Safi aise
Dah Mnanikumbusha Primary School Asee Mziki Ulikuwa Mziki😄
bush party’s... Pnc . joslyn nomaa sana
Noma sanaaaaq
Dis is real music we wait for it coming soon 🔜legendary music
Noma san
Wasanii wa zamani waimba bhana, talented
Nimekubali uwimbaji wa zamani
Amazing sanaaaa
Big up kwa malengendary wote nawakubali mpaka kesho🔥🔥🔥🔥🤸🤸
nakupenda san cctaa
Nawpenda sana jamani nimefurahi sana dah izo ndio nyimbo nzuri
PNC 💯pasha Yuko vilevile
Tumekubali
Wananikumbusha mbali sana hawa jamaa....walikuwa na mziki mzuri saaana hakukuwa na matusi wala nini.
Hii ni zaidi.....wasanii wasahi wakiimba live sauti zatoka tofauti
Daaa mpo vizuri rudin tu kundini
Pico,,,,pasha,,,Amin na wengne woooot mpo vizr
Karibuni sana
Nakupenda bibi kizee 🤩🤩
🔥🔥🔥🔥 AAA old is gold
Dah umenikumbusha mbal sana😢😢😢
DAAH nmefurahi Sana,JAPO hzo nyimbo naziskia NILIKUWA shule ya msingi🤣
Tume wamiss sana vimiziki vya sasa havieleweki havina ujumbe mfike na mikoani wa jameni
Old is gold forever wakongwe muko vzr bado
Daaaah mpaka nasisimkaaaa
Nimefurahi sana jaman mmenikumbusha mbali sana mpaka nimelia kwa furaha!
Amalila gawe galiheihi
Fire
Kazi mmefanya kubwa sana ongera kwenu mziki ulikuwa zamani sasa hivi nimatusi tu
Jaman naomba Mungu ningekuwwpo dar mbn ningekuja Mana nyimbo zote taaam🥰🥰🙏
Hii kubwa ✌️
Firee
Nyie ndo mlikuwa najua, zaman hizo hakun kuchez na hela za mama zetu
Ebana Pico ni noma Sana
Nyie ambao hamuelewi ni watoto wajuzi kausheni
Pasha pasha pasha , pico pico pico Sound ground family wimbo wao wa happy Birthday utaishi milele na milele