Mauaji ya siri yasababisha wachawi kugeukana na mwishoe kuleta madhara kwa wana kijiji. Aibu na fedhea ndio malipo yao. Karibu kufatilia tamthilia hii nzuri zaidi kwasasa.
Nitakuwa mnafiki Kama nitashidwa kukupongeza kwa uwezo wako binafsi wa kuuvaa uhusika Chibu, Hakika nimefuatilia kazi zako kadha kwa kadha njee nahiii uliyovaa uhusika mkuu kiukweli brother unaweza sanaaa character za mjini ucheza vizuri, kijijin unacheza pouw, uzee unacheza pouw umetisha brother mungu azidi kukufungulia njia zaidi naamin Tutafika mbali Kaka. Asante. Keiy Madini that's my name from mbeya Green city chunya migodini
Nitakuwa mnafiki Kama nitashidwa kukupongeza kwa uwezo wako binafsi wa kuuvaa uhusika Chibu, Hakika nimefuatilia kazi zako kadha kwa kadha njee nahiii uliyovaa uhusika mkuu kiukweli brother unaweza sanaaa character za mjini ucheza vizuri, kijijin unacheza pouw, uzee unacheza pouw umetisha brother mungu azidi kukufungulia njia zaidi naamin Tutafika mbali Kaka. Asante. Keiy Madini that's my name from mbeya Green city chunya migodini
Hongera yako kwa kuliona hilo py mimi nimeona kabisa mshikaji anaweza sana asee bila kuwasahai B Ndiro na B Migomba Bg Up sana kwao🎉
@Oledokorati
Habari zenu....nimewai wa kwanza kwanza leo naomba likes zangu jamani
Ss iyo dawa asiivue na siingize ata tone la maji ! Kwaiyo asioge ata ..sijaelewa apoo🤔
Mbona umewaza kama mm😂😂 nimeitafuta hii comment 😂😂
@@fatumabakari2640 😂😂😂 hao ndio waigizaji wetu banh
😅😅😅😅
B migomba anapend ku act uchawi kwl.alfu mbn kwny movie za kichawi hua mko watu wanene hvyo😂😂😂😂
Hakuna mchawi mwembamba 😂😂😂😂wote Wala nyama za watu
@@saumbliz8983 kwl kabisa🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Hao mabibi wawili nawakubali kinoma yani Chibu wafikishie hili🎉
Mm wa kwanzaa ebu naomba likes zenu
Chibuu taratibu baba mbona mambo ni 🔥🔥 😂😁😂
Wakwanza leo from kenya 🇰🇪
Wapili mimi kutoka kenya
Hongera kaz nzur chibu ila fny utoe epsode nyengin siku zshakua nying tangu upost
Ila huyu mama mweupe (mchawi) ni mrembo ❤
Aunt yangu huyo mwacheni
@@rajfamilytherajs6415 kweli?
Mashallah ❤❤❤🎉🎉🎉pongez kwako chibu
namwona mzee wa mimi siyo mbea nadhani mnajua sina tabia za umbea umbea
Jama unajua sana brave kwako
Kazi nzuri❤❤❤
Tibwa tibwa n'yaa😅😅
Tunaisubiri numbers 3 🎉🎉🎉🎉from burundo respect❤
Wapi tipwa tipwa mvivu wa nyaa
Bii ndiro kazi kwakoo
Umetisha sanaaa
Kweli wachawi wabaya sana
Huyu mama mwenye nyumba noma mno❤
Unakua mnene af mchaw unaonekana kama lijinga😂😂
😅😅😅😅😅 we kiboko
Hongera sana chib
Iyo mwapendooo mbona kama kinyumbani kabisaaa bi ntiroo mmatumbi nini!?😂😂😂😂
Kipara kanikumbusha bibi mwenda
Chibu Your good job take gift 💫💫💫
Mama Mwenye nyumba n mwangaaa
Kumbe ww nae noma chibu
Naependa ❤❤❤
Chiba umeweza
Inapenya Iyi congratulation bintule
Umo uchawi uchawi tu inatia raaaaaa chibu 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muendelezo jaman
Sema mwanangu nimekubar Sana🔥🔥🔥
Nomaa next plz
Chibudenga Noma sana 🔥🔥🔥🇲🇿
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
Good job ❤❤❤🎉🎉from burundi
Bi migomba nae😂😂
Nyumba ya Kupanga lawama nahama Dar es salaama
❤❤❤much love😊😊
❤❤❤❤❤
Sema chibu uko sawa yaan unajua🎉🎉🎉
Good job ❤
Mashalahaaa pongezi kwako.chibu
#b #migomba ana mikwala sio poa hata kidogo 7:12 😂
Kazi nzuri chibu, iyo ep 3 sijui itakuajee?🔥🔥
Kaz nzuri Sana ....🥰♥️
Much appreciated
Kiparaa xinaga tabia za umbea umbea😂😂😂😂🤣🤣🤣
Waaaaaaaaaa waja anengeneke
So anengeneke ni aneng'eneke
Kipara hanaga tabia za umbea umbea mama Mwenye nyumba muelewe bhana 😂😂😂
Job xaf
Hii Ni balaa kk umemaliza
Hongeren san kazi nzur san
Courage 🎉
Nomaaaaa
Migomba uchawi unakpendeza hta kama hna utafte tafadhali bibi kwani wakpendeza Toka BIG BOSS Hadi hku
Nimechelewa leo kuwa wakwanza 🤦 ila siyo mbaya by moment music tz
Kazi nzuri sana
Kazi nzuri sana ❤❤🎉
❤❤❤
🔥🔥
Motoo
Uwakika
Hatar
😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤😂😂😂
Walemb
together 😂
Nice movie❤❤❤
❤
🔥🔥🔥
👏👏👏👏❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂
😂😂😂😂😂😂tamu
😂😂😂❤❤❤
👏👏👏👏
8:26 8:29
Nice
❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂🎉🎉🎉
🎉🎉
❤❤❤❤
😂😂❤😊
🙏🙏🙏❤❤🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nice
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤