Sisimizi mwenye tatuuu 😂😂😂😂makalio ya nyoka waganga wote wangekua kma mwakatobe kukatisha tamaa kwa masharti ingekua raha sana 😂😂😂😂😂nawapenda xnaa❤❤❤❤❤fromu kenya
Jamani muchunganji wa yinagani wakwenda kwamuganga jamani uyu jamaa ana chezana mungu mungu amusayidiye kwa kweri ariye penda point yangu nawomba like zangu
Chibu nakubali saana kazi zako, hakika kundi la CLAM ni hatari 🎉❤🇹🇿
Mwakatobe aki hio part ya uganga na uchawi ndio inakufaa kabsaa😂😂😂
Sisimizi mwenye tatuuu 😂😂😂😂makalio ya nyoka waganga wote wangekua kma mwakatobe kukatisha tamaa kwa masharti ingekua raha sana 😂😂😂😂😂nawapenda xnaa❤❤❤❤❤fromu kenya
😅😅😅mwqnaukomeee ila.mwqkatobeeee nyokooo😂😂😂😂makaliooo yq nyokq au machoziii ya sisimizi
Wa kwanza nipate like jaman hata kumi jaman😂😂 makalio ya nyoka
Mganga analaana huyu 😅😅nenda mwana kwenda makalio ya nyoka🎉🎉
Mganga hana adabu😂😂😂
😂😂😂😂😂 mwakatobe we mweu kwl🎉🎉
😂😂😂😂mchungaji watamuweza kweli ngoja tuone mnafanya vizur sana
Naomba kujua mwimbaji WA huyo Wimbo WA Kuna mkumba mkumbe WA kumnganga
We mganga mie unanimaliza na kicheko😂😂 nimekuoenda2 bure❤❤❤
Sisimizi mwenye tatoo dah
Makalio yanyoka KAZI hipo
Hii mmezingua
Hahahaha😢😅😅 makalio ya nyoka una yaonaje,💛💛💛
Nimeicheki Leo kwakuwai jmn
Kwa apo kwenye uchungaji cjapenda Mimi kama mkristo, Mungu wetu sisi Huwa haziwakiwi,
Yani mwakatobe upo sawa masharti ni kuzingatiwa ila Atarii weehh umetosha Kwa wote 😂😂🎉🎉🎉🎉Mwaonaje wadau❤❤❤❤
Anafaaa kabisa wakalete na machozi ya sisimiziii😅
Mchawi anamatako hivo😋😂😂😂😂
Makalio ya nyoka kabisa😂😂😂😂😂😂
Huu jamaa mwakatobe ni balaaa
Mwakatobe huwa unaua kote kote😂😂😂
Wakwanza kutoka Burundi naombeni hata like 5 plz
Basi hata Mimi jaman like hata moja tu
Bwana YESU asifiwe iwe milele Amina au tumsifu Yesu kiristo
Jamani muchunganji wa yinagani wakwenda kwamuganga jamani uyu jamaa ana chezana mungu mungu amusayidiye kwa kweri ariye penda point yangu nawomba like zangu
Mwakatobe ni mpuhuzi sana heti makalio ya nyoka
Hilo neno jisaidie nami nitakusaidia limeandikwa wapi mbn waongo jamani😮
Daaaah hii noma san mwakatobe huwa hunaga mbambamba 😂😂😂😂😂😂
😂😂eti mkalio ya nyoka😢lov from Burundi
Wakwanza mm nipen like zangu
Hii y leo mbona inaonekana tofauti hyu shahidi si n mficha nyoka thn upara n nazani unanijua sinaga umbea mbona ama mm ndio naona tofauti
Mwakitobe we mshenzi sana sisiminzi mwenye tatuu
Mwaka tobe Leo kasema ukweli kumbe simuchawi 😅😅😅😅😅❤❤❤❤
😂😂😂😂😂waganga bhana,wanajua tatizo haliwezekani, wanabki kukupa mashariti magumu
😂😂😂😂makalio hayo vp mwakatobe 😂😂
Sisimizi mwenye tatuuuuuuu😅😅😅😅😅😅
Eeeeee Mwakatobe sisimizi. Tenamwenye Tatu duuuuu😂😂😂😂😮😮
Hakika neno la mungu nimakubwa kuliko uchawi
Musharibu muchungaji tena awomba dawa😂😂😂 awo angekemeya😂😂😂
wachawi wana mitulingaaa😂😂
Dah mwakatobe jmn😅😅😅😅
Mwakatobe wey ni 🔥🔥🔥🔥🔥📛
Nimechekaaa mwakatobe eti makalio ya nyoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂Mwakatobe sababu. Unajuwaatayeye pia ninyoka etimakalio yanyoka😂😂
Baba Mchungaji wapi pameandikwa jisaidie Nami nitakusaidia😅😅😅
mwakatobe ujawah kuwa na mashalti mepesi kwa wadada 😂😂😂🖐️
nampenda mwakatobe😂
Kumekucha
Kazi safy ila mwakatobe aky ww makalio ya myoka tena
Mchugaji feki
Ila Mwakatobe 😂😂😂😂😂
Wanapendana Sana Yaani mwakatobe mwaka wake
😁😂🤣🤣🤣jamani naomba connection niweze kukutana na mwakatobe
Hahaha 🤣😂 kumbe nyoka iko na makalio na sijui
Makalio ya nyoka mm ninayo anaetaka aje achukue
Goo job mwakatobe
Wapi inasema ikusaidie nami nitakusaidia
Kalio la nyokaa😂😂😂😂😂
Kamleteeee sisimizi mwenyeee tatuuu iviii mwakatobe mzimaaa kweliii😅mbonaaaaa ivoooo😂
❤❤
Hiki kikundi cha Clam kinajielewa sana
Makalio ya nyoka Tena mganga ametisha😂😂😂😂😂😂
Daaaah hatari sana makalio ya nyoka
Tako la nyoka duuh
Kali sana
Mwakatobe anakiwashaga😂😂😂😂
nenda mwna kwenda hahahah mganga miyeyusho huyu
Sjachelewa sana 😂😂😂🎉🎉🎉
Safiiii sanaa🎉🎉🎉❤
Ukiyapat makalio ya nyok uyapost nam niyajuw😅😅😅😅
Makalio ya nyoka hahahahahhaah 😂😂😂😂
Nyoka zina makalio siku hizii😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mwakatobeee❤😂😂😂
Ivi hizo like huwa mnakula au niaje
Makalio ya nyokaaaa😅😅😅ila.mwakatobeeee
Kitabu gani jaman kilichoandikwa jisaidie nam ntakusaidia
Sisimizi mwenye tattoo hii imeenda😂😂😂
😂😂😂😂hapo kwa makalio ss,,much love from.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣
Mwaka Tobe unatisha san
mwakatibe 😂😂 nataka ulimi wa simba,😂
Baba mchungaji Chibu
Aki waganga waaaaah 😳 makalio ya nyoka yatatoka wapi sasa 😂 😂😂😂😂😂
Huyunimuchungaji gani amepegwana wachawi akakimbilia kwawanganga kuaomba nguvu zagiza kweli 🤭🤭 nimechanga Sana 🤦🤦naninaumia kweli 😭😭🤭🤦🤦🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
At kaniretee makalio ya nyoka khahagaaaaaa
Hilo adiko jisaidie NAMI nitakusaidia kama lipo mtu anipe nimpe zawad
😂😂😂😂😂😂sasa hivi nyoka ina makalio??
Mwakatobe n atal et makalio ya nyoka😂😂😂😂
Chefuuuuu😂😂😂😂
Ety makalia nyok pumbavu zko😂😂😂😂😂
Vizuri vyaja vyenyewe
Mchungaji hamna kituuuu hakujiandaas
Clam fire 🔥🔥🔥🔥🔥
Duuuh makalio ya nyoka duuh😂😂😂😂😂😂 nyoka ana makalio
Et mwana yesu asifuwe milele amina
Kwan nimekuwa wamwixh mimi leo kalike bc hta km ni tano2
Wanacuma kisanvu usiku hahahaaaaaaaaaa
Ila mwakatobee dah😂😂😂
Hhhh hatariiii lkn salama
Nyoka anamakolio kweli
Kazaa
Makalio ya nani vile 😂😂😂
makalio y nyoka tn
Kula chuma icho 😂😂😂😂😂❤❤❤