UFUO | EP 01 - 06 |.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Kundi la wachawi lapambana kuupata ufuo, lakini watageukana wenyewe kwa wenyewe huku wanakijiji wakipambana saana kuondoa uchawi.
    Karibu sana kuitizama filamu hii bora na yenye mafunzo kwa jamii yanayo ambatana na burudani ndani yake 🌍 🙏.
    MAUDHUI YA FILAMU HII NI YA KUFIKIRIKA NA WALA SIYO YA KWELI.
    Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
    Follow us on TIKTOK 👇
    www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 27

  • @fpssatanzania2782
    @fpssatanzania2782 3 місяці тому +9

    🎉🎉🎉 Hongereni saana

  • @bongotamuonline3090
    @bongotamuonline3090 3 місяці тому +5

    Wa 3 leo ❤❤

  • @Masterstevemedia-kb5oc
    @Masterstevemedia-kb5oc 3 місяці тому +7

    good work

  • @MariamOmary-tt3fo
    @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +9

    Tunasubiria SEASON TWO bhana 🎉❤

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 3 місяці тому +5

    Mke wa mwanzo na wa pili tofauti macho yangu au vp jaman

    • @lizyjustin5153
      @lizyjustin5153 2 місяці тому

      Nilichoelewa ni kwamba yule mke wa kwanza ni ndoto tu ya sauda

  • @nyamburimakoye-ox1vl
    @nyamburimakoye-ox1vl 3 місяці тому +5

    congratulations

  • @daina8464
    @daina8464 3 місяці тому +6

    Kazi safi sana nmekuwa wa saba naombeni likes kutoka kenya 🇰🇪

  • @scarfacethesocialist9552
    @scarfacethesocialist9552 3 місяці тому +4

    Kaka chiebway... tunasubiri mzigo mpya

  • @Mwandola1
    @Mwandola1 3 місяці тому +6

    💚 🔥 nice like me

  • @NassoroKhamisi-gt4yw
    @NassoroKhamisi-gt4yw 22 дні тому

    Muko vizuri keep it up

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray 15 годин тому +1

    Ila butua ni mlevi kweli😂

  • @NassaraNassor
    @NassaraNassor 3 місяці тому +1

    Kaz kazi

  • @ImmaculateMkhambe
    @ImmaculateMkhambe 2 місяці тому

    Sema auuweehhh 😂😂

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 14 днів тому

    Tunataka kujua huo ufuo wa huyo mama unathamani gan?na yeye alikua nani mpaka mukataka ufuo wake?na ufuo huo unakauka baada siku kadhaa tu ila huo haukauki 😂😂kwan kapela vip?emu tudokolee kidogo mana sjawah kukuona kuwa mchawi ndio mara kwanza kuona mambo hayo kwenu🎉🎉🎉🎉ila mnaweza muko sirias na uchawi wenu kwakwel hongeren sana,ila musjekuupenda kweli uchawi hauna mana❤❤❤

  • @HalimaNziku-tg4tv
    @HalimaNziku-tg4tv 2 місяці тому

    Mchawi ho hohoho😂😂😂

  • @user-hn9hd3og8u
    @user-hn9hd3og8u 2 місяці тому

    Kazi nzuri alafu ndefu hadi raha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @subbyraibrahimu250
    @subbyraibrahimu250 3 місяці тому +1

    maadili wamekosea mtu mzuma anaishije na kibint kama hcho bla ndoaa

  • @MusaEnock-kx6vt
    @MusaEnock-kx6vt 2 місяці тому

    Kipala wanaman

  • @zaiboris9696
    @zaiboris9696 2 місяці тому

    😢

  • @eagleculturetv4692
    @eagleculturetv4692 2 місяці тому +1

    Iv yule aliyekutwa anaoga ni nani na yupo wapi maana nae alitambulishwa kama mama

    • @RahmaWazir
      @RahmaWazir Місяць тому

      Ile ilikuwa ni ndoto yule mtoto wa kike wa yule baba anaota so uyo binti anamaono Kila akiota yanatokea baada ya apo siku zinazofuata baba yake akajakumtambulisha kweli mama mpya

  • @user-hx9to8jv6l
    @user-hx9to8jv6l 2 місяці тому

    Iv hizo like huwa mnazifanyia nne kila sku naombeni like like mnakazi gan nazo

  • @user-tj5zs5dj3y
    @user-tj5zs5dj3y 3 місяці тому +3

    Ufuo ndo nini jamani

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 2 місяці тому

      UFUO NI SEHEMU AMBAYO HUCHIMBWA NDANI YA CHUMBA NA JUU YAKE HUWEKWA KITANDA CHA KAMBA NA HUOSHEWA MAITI YALE MAJI HUINGIA KWRNYE HILO SHIMO BAADA YA HAPO HUFUKIWA NA HTANDIKWA MKEKA JUU NA WAFIWA HULALA PALE HUO NDO UFUO ILA SIKU HIZI WACHACHE HUFANYA HIVYO MAITI NYINGI HUISHWA HOSPITALI AU MSIKITINI KWENYE ENEO MAALUM LA KUOSHEA MAITI.

    • @mememe5689
      @mememe5689 2 місяці тому

      Ni sehemu aliokoshwa. Maiti. Pale. Kwenye shimo la maji machafu yanayo Ingia. Ndo. Ufuo