REV. DR. ELIONA KIMARO: GOD WILL USE YOU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @evelynndowo3272
    @evelynndowo3272 7 місяців тому +2

    ❤Mchungaji mungu azidi kukupandisha nabarikiwa sana na mafunzo yako ni baraka kwetu❤

  • @jescaasante8185
    @jescaasante8185 Місяць тому

    Amina baba mch ubarikiwe kwa neno nami naomba Mungu anitumie nifanye kazi yake kwa nguvu ili nimsaidie ktk kazi yake.

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 місяці тому

    Naamini Mungu mbeba riziki hataniacha

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 23 дні тому

    Niite NAMI nitakuitikia nitakuonyesha mambo makuu magumu sana usiyoyaweza,ee mungu nitumie nami nitatumika bwana

  • @tracychesoli2900
    @tracychesoli2900 5 місяців тому +1

    Amina Tangia pasaka nilianza kufuatilia mahubiri yako na yananibadilisha na kunitia moyo

  • @schoollife5813
    @schoollife5813 5 місяців тому +1

    Wewe mtumishi mafunzo yako ni baraka sana kwa wanaokusikiliza hii ni mbegu ubarikiwe sana

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 місяці тому

    Mungu nipe nafasi ya usaidizi🙏🙏🙏🙏

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 4 місяці тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 barikiwa mtumishi wa mungu nabarikiwa sana tena sana

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 місяці тому

    Haleluyah 👏👏👏, naenda kuanzisha jambo langu

  • @MbazingwaMchangila-nz9cs
    @MbazingwaMchangila-nz9cs Місяць тому

    Shalom Mchungaji, Nimekuwa nikisikiliza mahuniri yako mara kadha,Mungu wetu azidikukupandisha viwango na viwango ktk Utendaji wa Kazi yake,Mahali popote pale; kwani yeye ndiye Ngome imara kwao Wote wamtumikiao katika Roho na Kweli Amen,

  • @rahyanadam8328
    @rahyanadam8328 4 місяці тому

    Nabarikiwa sana! Mungu akutunze mtumishi

  • @emmybasley9293
    @emmybasley9293 10 місяців тому +2

    Ameeen🙏🏾

  • @LeahNicodem
    @LeahNicodem 25 днів тому

    Amina

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 10 місяців тому +1

    Mungu nitumie

  • @clintonnjiku3616
    @clintonnjiku3616 Місяць тому

    ❤nineota ndoto nipo kanisani
    Alarm nikaokota kitu cha thaman nyuma yanng kukawa nawat wenye silaha wakikitaka ichokitu kilikua cheupe kinangaaaa minikagoma kuwap ila ibada ilipoisha nilikabizi kwa pande napande akamwonyesha msaidiz wake nikamwambia ni siri alaf nilipoanza kurejea nyumba ni kukawa na wake wat wenye silaha wakinikimbiza ila niliwashinda kisha nika stukaa

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 місяці тому

    👏👏👏👏👏👏Amen Amen

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 10 місяців тому

    Naomben namba ya sadaka nataka kupanda Yerusslem

  • @JanethUrassa-nx2ly
    @JanethUrassa-nx2ly 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi , Kwa somohili limenibariki sana

  • @volontekambale8514
    @volontekambale8514 10 місяців тому +1

    Mch Mungu aku bariki zaidi sana Volonte From DRC Beni

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 6 місяців тому

    Amen amen amen nabarikiwa nikiwa saudi Arabia

  • @claratemba44
    @claratemba44 10 місяців тому

    Asante sana sanaa

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 10 місяців тому +1

    Amen Mungu akubariki saaana pastor nimekuelewa nitafanyika kuwa baraka

  • @kagogosalama6576
    @kagogosalama6576 9 місяців тому

    Amen nkuskisa mchungaji

  • @jacobfaustine7866
    @jacobfaustine7866 10 місяців тому

    Mch Kimaro, una akili sana na bila Shaka Mungu amekujaza. Nimekuelewa sana baba Mch. Hakika Kuna jambo kubwa mno unalitimiza. Neno ni gumu sana lkn unalirahisisha mpaka nmeelewa sana. Barikiwa sana.

  • @UpendoKimaro-r2d
    @UpendoKimaro-r2d 10 місяців тому

    Mungu ni2mie na me baba

  • @zachariapanga
    @zachariapanga 10 місяців тому

    My Pastor Rev.DR.E.Kimaro, your message is real fact from our Heavenly God, be blessed!

  • @NuruNgole
    @NuruNgole 10 місяців тому

    Amen. Ninatanua mipaka yangu

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 8 місяців тому

    Amen

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 10 місяців тому

    Mungu wetu tunaemuamini azidi kukuinua kwaajili ya utukufu wake

  • @webermary899
    @webermary899 10 місяців тому

    Nitumie Bwana

  • @harold3863
    @harold3863 10 місяців тому

    Baba umefanyika balaka kwangu toka nianze kukufutilia mungu akubariki mtumishi wa bwama

  • @VicktoriaKadara
    @VicktoriaKadara 8 місяців тому

    Amina
    Amina

  • @JuliethMnyawami
    @JuliethMnyawami 10 місяців тому

    Nakuelewa mno be blessed

  • @nasrasuleiman9759
    @nasrasuleiman9759 10 місяців тому +1

    Be blessed father

  • @OlimpiaKimario-xt4ue
    @OlimpiaKimario-xt4ue 10 місяців тому

    Mungu akubariki sana

  • @JoviethPastory-fd9tk
    @JoviethPastory-fd9tk 9 місяців тому

    🙏🙏

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 10 місяців тому

    Amen Amen Amen

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 10 місяців тому

    Amen