Ee Mungu nakemea roho ya kisirani na uchungu Naomba baraka zako juu ya ngu na familia Mwaka 2025 ni mwaka wa amani , wa maendeleo na familia yangu amina
Mimi nitawaza juu ya vision yangu. Sitapambana tena wanadamu ambaye Mungu mwenyewe aliweka mpaka na makerubi KULINDA bustani ya EDEN. UPANGA WANMOTO UWAKAO KUWILI KUMDHIBITI BINADAMU. MIMI NI NANIII NIWEKEYE KIBURI CHA OVYO . NISAIDIE EEEH MUNGU NISONGE MBLE. BASI!!
Kwa kifupi kanisa la KKKT ni kama halina nidhamu na viongozi wao hawaheshimiani na hata waumini wao pia ni kama wamelogwa. Nimeona Katoliki Padre akienda tofauti husimamishwa na hakuna kitakachotokea. Tatizo la kanisa hili ni kujali maslahi binafsi kuliko Mungu.
Mngu akuinue kwa kiwango cha juu umenisaidia Sana kupitia u tube sbb nipo Qatar hatuendi makanisani lkn Nashukuru Mngu maana naenda kanisani kupitia mitandao
Amina mtumishi barikiwasana
Ee Mungu nakemea roho ya kisirani na uchungu Naomba baraka zako juu ya ngu na familia
Mwaka 2025 ni mwaka wa amani , wa maendeleo na familia yangu amina
Akubariki Mungu Mwenyezi. ..kweli km Mungu kamshindwa kiumbe alichokiumba sembuse mimi nihangaike nahuyu kiumbe? ? woiiiiiiiii. .....
Amina Amina Amina 🙏🙏🙏 Mungu akumbariki zaidi mchugaji
Barkiwa Sana baba mafundisho yako yananibariki Sana mungu akupe Marshall marefu
Umeukonga moyo wangu ba aaa barikiwa sanaa
Baba Mungu azidi kuuinua nakuutunza utumishi wako
Mungu akubariki mchungaji nakufata nikiwa saudia arebia mungu azidi kukupaka utukufu milele
Kweli haina haja ya kushinda a na mwana damu milele Mungu niumbie moyo
Aimeen 🙏🙏🙏 sana kwa ibada njema
Wewe ni jembe la mbinguni mungu akubariki
Unanibariki Sana pastor
Ameeeeeen barikiwa sana kwa ufunuo huu muchunganji kwa kweli Roho yangu haitambichana na mwana ndamu tena🙏🙏🙏
Amina nimebarikiwa mno Roho yang hatashindana na mwanadam daima Mungu akubariki Mchungaji Kimaro
Amen mimi naendelea mbele Hilo ni neno langu Asante Sana mtumishi Mngu akubariki
Asant mchungaji kimaro Mungu azidi kukupa mafunuo Zaid ili nizid kufunguliwa🙏
Barikiwa sana mchungaji kwa huu ufunuo wengi tulikuwa tunakosa na tunamchukiza Mungu lakini tumeomba kwa Mungu wetu na atusaidie Amen
Bwana yesu atukuzwe milele kweli mchungaji roho yangu aitapambana na mwanadamu milele aminaaaa
Ubarikiwe baba nataman siku Nije dar nifike kanisan hapo unitamkie neno la kutembea nalo kuingia 2024
Ubarikiwe mchungaji
mungu akubariki sn mchungaj, hakika umekua baraka kwa wengne
BRO KIMARO MUNGU ATUVUSHE THANKS NENO LA WAKATI
Nabarikiwa sana na mahubiri ya Rev Kimaro kila siku nayaona Mapya.
Mchungaji kwa nini kila nikitenda mema nalipwa mabaya 😢
nakupenda mtumishi unanibariki sana MUNGU akubariki sana
Axnte mtumish kwa Neno zuri
Amen asante Mtumishi nimeponywa kwa neno lako.
Mimi nitawaza juu ya vision yangu. Sitapambana tena wanadamu ambaye Mungu mwenyewe aliweka mpaka na makerubi KULINDA bustani ya EDEN. UPANGA WANMOTO UWAKAO KUWILI KUMDHIBITI BINADAMU. MIMI NI NANIII NIWEKEYE KIBURI CHA OVYO . NISAIDIE EEEH MUNGU NISONGE MBLE. BASI!!
Kwa kifupi kanisa la KKKT ni kama halina nidhamu na viongozi wao hawaheshimiani na hata waumini wao pia ni kama wamelogwa. Nimeona Katoliki Padre akienda tofauti husimamishwa na hakuna kitakachotokea. Tatizo la kanisa hili ni kujali maslahi binafsi kuliko Mungu.
MUNGU akubariki kwa hekima iyo
Iwen na busara kama nyoka ,lweni wapole,lweni wataratibu ahsante sana mama yangu ahsante mtumushi ahsante kwa jina langu hili Ahsante Mungu wangu
Ubarikiwe sana Mchungaji na Mungu akubariki
Ubarikiwe mchungaji Eliona kimaro,nakupata kutoka songea,ubarikiwe baba kwa somo nzuri
Veronica Sadi amina mtumishi
Mngu akuinue kwa kiwango cha juu umenisaidia Sana kupitia u tube sbb nipo Qatar hatuendi makanisani lkn Nashukuru Mngu maana naenda kanisani kupitia mitandao
Be blessed Baba. Sitashindana na wanadamu Milele.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na injili yako.naomba no yako
mchungaji kimaro nakuelewa sana
baba unaeleweka barikiwa mtumishi wa bwana
Roho yangu atashindana na mwanadamu Yesu ilo ndilo Ombi langu❤❤❤❤
Asante Bwana Yesu.
Najiunganisha na madhabau hii Mimi na familia yangu
Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele 😍
Amen ❤
nabarikiwa mtumishi wa bwana
Beautiful sermon! God bless this man of God.
Amen 🙏 🙏 🙏
Akubariki mungu
Amen kubwa baba 🙏🙏🙏
Balikiwa Sana mchungaji kimaro
Ubarkiwe sana
Amen
AMEEEEN AMEEEEN
All blessing. God bless the Rev.
Aminaaaa
AMEEEEEEEEEN
Aamen🙏🙏
Tumebarikiwa sana
Amen
Barikiwa baba mchungaji
kristo akubariki ninapenda kufuatilizia Vipindi vyako kwenye morning Glory na vingine
Bro KIMARO MUNGU ATUVUSHE THANKS NENO LA WAKATI
Amina mch
Mathayo10:16-23
Amen,
AMENI
Yan km umeniona
Amina
Amen
Amia MCHUNGAJi
amina kmwe sitoshindana na mwanadmu kmwe mungu nsaidie
Amen amen
Bwana yesu asifiwe.kwakweli roho yagu haitashindana na mwanadamu