REV. DR. ELIONA KIMARO: JIEPUSHE NA KIGEUGEU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 15/11/2023.
    KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
    "A SENSE OF PURPOSE"
    NENO KUU
    UNAFANYA NINI HAPA?
    WHAT ARE YOU DOING HERE?
    NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
    1 Wafalme 19 : 9
    UNAFANYA NINI HAPA?
    NENDA KWENYE KIWANGO CHAKO
    FROM TEST TO TESTIMONY
    ( JIEPUSHE NA KIGEUGEU )
    Mithali 24 : 21
    Malaki 3 : 6
    2 Wakorintho 1 : 17
    Zaburi 51 : 10

    Mithali 24 : 21

    21 Mwanangu, mche Bwana, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;
    Malaki 3 : 6
    6 Kwa kuwa mimi, Bwana, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana wa Yakobo.
    2 Wakorintho 1 : 17
    17 Basi, nilipokusudia hayo, je! Nalitumia kigeugeu? Au hayo niyakusudiayo, nayakusudia kwa jinsi ya mwili kwamba iwe hivi kwangu, kusema Ndiyo, ndiyo, na Siyo, siyo?
    Zaburi 51 : 10
    10 Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
    Mhubiri : Rev. Dkt. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    UA-cam: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 30

  • @qatarrarre30
    @qatarrarre30 Місяць тому +1

    Niombee mchungaji Nina hyo tabia aswa kuwaza wasana na upande wa mausiano😢😢 Remember me on prayers

  • @JohnMmary
    @JohnMmary 12 днів тому +1

    Be blessed ..Rev docter Eliona Kimaro

  • @user-vd4qj7pc3k
    @user-vd4qj7pc3k 20 днів тому +1

    Ahsante mtumishi kwa mafundisho mazur Ila mimi nateseka na kitu kimoja tu toka 2013 nafanya kazi za ndan tu lkn sijawah kulipwa nimekuja kuondk mwaka huu kwa maumivu mengi lkn mahubili yako yameniponya nulikata tamaa Sana na nilishindwa kusameheee lkn namshukuru MUNGU sana

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 5 днів тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @Millie-q6x
    @Millie-q6x 9 місяців тому +3

    Msomi kamili Dr.Kimaro,mwalimu bora,very humble.
    Tunakupenda sana 🇺🇸🌎🇺🇲

    • @JoviethPastory-fd9tk
      @JoviethPastory-fd9tk 8 місяців тому

      Yaan sijui niongee nn juu ya mahubir yako ninayoyasikiliza kweli mungu ana watu wake duniani anaowatumia nawe ukiwemo baba mchungaji

  • @jaredombati2876
    @jaredombati2876 9 місяців тому

    I appreciate your teaching also made my life born again in Jesus Christ, you are a real prophet from God thank you so much may the Lord give you good health to spread the gospel

  • @lucykandie1109
    @lucykandie1109 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki mchungaji umesaidia maisha yangu pa kubwa

  • @user-th5xz1fg5t
    @user-th5xz1fg5t 9 місяців тому +1

    axnt can mchaga mwenzang mung akulinde

  • @user-xd7oz7kp4p
    @user-xd7oz7kp4p 9 місяців тому +1

    Nimeelewa sana sana kuhusu kigeugeu barikiwa sana 🙏

  • @vumiliaandrea400
    @vumiliaandrea400 9 місяців тому

    Mungu akubariki Kimaro wangu.ninakukubali sana.neno unalofundisha linanibariki sana.ubarikiweeee.

  • @kiwangochristian67
    @kiwangochristian67 8 місяців тому

    Amen

  • @mrsurassa4690
    @mrsurassa4690 9 місяців тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi kwa neno lililo hai.

  • @ruciawinchislaus9424
    @ruciawinchislaus9424 4 місяці тому

    Mungu akubariki saaana

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 9 місяців тому +5

    Pastor Kimaro, wewe Ni Kati ya wachungaji Bora Tanzania, maana unamadini yaliotofauti na wengine, umependwa kutoka mbinguni mpaka duniani, ashindanaye na wewe hakika Ana shindana na aliye ju. Mimi pia Ni Kati ya wanaokukubari kwa viwango vya ju. Hakika unalo neno la kuiponya nchi, wengi wao maarifa mengi walio nayo.

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 9 місяців тому

      Hakika

    • @user-yz5zn4tr6i
      @user-yz5zn4tr6i Місяць тому

      AMEN ❤❤❤❤❤❤

    • @leahogutu9818
      @leahogutu9818 25 днів тому

      Mchungaji Kimaro Mungu akubariki sanaa wewe ni tunu katika nchii kuna mengi ninajifunza kwakoo Mwenyezi Mungu azidi kukuinua 🙏

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 9 місяців тому

    Hakika kwa kupitia mapito ya kunikatisha tamaa ndipo nilitambua huyu mtumishi,na toka nimeanza kufuatilia vipindi vyako mtumishi Kimaro sijajutia na nimezidi kuona uwepo wa Mungu katika maisha na uchumi wangu Mungu akubariki sana wewe na familia yako na mama Shayo. Mndumii awaringye mfirii yoose

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 9 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 9 місяців тому

    Asante Mungu umenihudumia Leo,nimeielewa Sana.

  • @amosziro7054
    @amosziro7054 8 місяців тому

    Somo limenijenga limeniinua kiwango cha imani

  • @elianzammari1421
    @elianzammari1421 6 місяців тому

    Mchungaji mm kwanzia Leo naachana na maswala ya kilimo siokwangu Asante Sana umenisaidia kitu

  • @valentine467
    @valentine467 9 місяців тому

    Ubarikiwe snmchiugaji kimario

  • @lakiagreen2930
    @lakiagreen2930 9 місяців тому

    Amina

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 9 місяців тому +2

    Inakuwa mwalimu ukistaafu unaanzisha gereji,😂😂😂

    • @user-yz5zn4tr6i
      @user-yz5zn4tr6i Місяць тому

      😅😅😅😅😅😅😅😂😂AMEN

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 8 місяців тому

    Kanyoo indobirita tine

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Місяць тому

    Vʉvomba kɨki apa? Unafanya nini hapa?

  • @ammimateo8163
    @ammimateo8163 9 місяців тому +1

    Gat tleh dirieee?