Padre Dkt Kamugisha: "Mungu wetu anakumbuka"/Umedondoshwa haujasahaulika/ Yesu nikumbuke

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mt Yohana Muzeyi Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu ' UMEDONDOSHWA LAKINIHAUJASAHAULIKA'' hii ni sehemu ya pili ya mafundisho haya.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

КОМЕНТАРІ • 2