MCHOMVU ALIVYOMCHOKOZA JCB/AKITAMBULISHA ALBAM YAKE YA FUNDI MITAMBO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025
  • Rapa JCB alipata nafasi yakufika mjengoni kwenye XXL kuja kutambulisha albam yake mpya ya Fundi Mitambo ambapo amezungumza mambo mengi ikiwemo kuhusu muziki wake.

КОМЕНТАРІ • 76

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 5 років тому +9

    Yap big up hampendi majungu hipohop umejbu vizur pumbavu wandishi wapenda bifu

  • @amirysaimon9488
    @amirysaimon9488 5 років тому +7

    Hahahahahaha unaniuriza swar hiro kwan mimi mwanamke JCB, yupo Makini Sana 😂😂

  • @mosesnassary6720
    @mosesnassary6720 5 років тому +15

    Kiukweli JCB ukimkuta kitaa anavyoishi na watu frsh dah respect kwake

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 5 років тому +4

    Jcb yuko k vant hatar🤣😂😂😂wananguuu eeeee noma sanaaaa

  • @nyash2542
    @nyash2542 5 років тому +2

    I just enjoy the show no paparazzi just true one on one XXL not xx you no what I mean Mchomvu chunga namba za ma hip hop ukue mpole.All the from K.S.A 254 for life 👏👏👏

  • @clementkasanka4326
    @clementkasanka4326 5 років тому +3

    atuendi sambamba na tramp makondo wakati kichwani tupo full bando ....maisha yetu watengwa

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 років тому +6

    Jamaaa yuko makin na anacho ulizwa,,,namkubali sana JCB.

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware 5 років тому +6

    Ila #JCB kaisha kinoma yaani Sijui tatzo nini mzee, ila fresh nakukubali sana mzee big up nakuelewa sana ila Unatakiwa kufanya Collabo ndio itakuwa poa zaidi.

  • @khalfajohn3633
    @khalfajohn3633 5 років тому +5

    Noooooomaaaa niggah yupoo real saaanaa #Wahuniiiii eeeeeh

  • @printcity7004
    @printcity7004 5 років тому +4

    JCB i respect what u doing bro.. album arusha huku inapatikana wapii

  • @rasdarkvanbraize
    @rasdarkvanbraize 5 років тому +4

    👐🏻 ww Umeniuliza kwan mm Mwanadadaa😆😂

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 5 років тому +5

    JCB Namuelewa sana. Heshima ndio kila kitu

  • @anthonyaron7914
    @anthonyaron7914 5 років тому +5

    JCB nakukubaliii sanaaaa

  • @kennethmasha5507
    @kennethmasha5507 5 років тому +11

    Sasa kwa ambao hamjui HIP HOP hii ndio definition yake

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 5 років тому +2

    😂😂😂😂😂kwani mi mwanadada

  • @meshackdauda4315
    @meshackdauda4315 2 роки тому

    Mwamba wa Kijenge juu

  • @Chaotic-c2p
    @Chaotic-c2p 8 місяців тому

    Jcb mon amour ❤

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri8949 5 років тому +4

    TheRealMc

  • @kevinkevoo3154
    @kevinkevoo3154 2 роки тому

    Weee uyu mzee was vijiti

  • @aboutrikajamal7567
    @aboutrikajamal7567 4 роки тому +1

    Maalim nash

  • @litoabdi6395
    @litoabdi6395 5 років тому +3

    Namkubali jcb

  • @kiroiyakisajoni4540
    @kiroiyakisajoni4540 5 років тому +3

    A R stand upppppp

  • @alloycemillinga1673
    @alloycemillinga1673 5 років тому +3

    Hahahahahahhahahahahahahah 😂😂😂😂😂 kwan mimi ni mwanamke?? Kwel Hip Hop revolution

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 5 років тому +4

    Jcb ft lord eyes
    Hamnaga hiyo ngoma?

  • @mohamednaaman188
    @mohamednaaman188 5 років тому +5

    Jcb watengwa Og

  • @nickminja704
    @nickminja704 5 років тому +2

    weus wann sasa ndifu ni ndifu tyu

  • @michaelfratern2705
    @michaelfratern2705 4 роки тому +1

    Jesus came back dunia sio yakwetu nimekubali

  • @bonifacewilliam9340
    @bonifacewilliam9340 5 років тому +2

    JCB💥💥💥💥💥💥

  • @laumlimbila4337
    @laumlimbila4337 5 років тому +4

    Jesus come back, jcb

  • @Gmafic
    @Gmafic 5 років тому +5

    JCB jicho nyanya kudadadekii

  • @ceciliasemindu2397
    @ceciliasemindu2397 2 роки тому

    Mwanangu tupa tupa

  • @juvenalymnyama735
    @juvenalymnyama735 5 років тому +1

    JCB Mnyama sana uyu jamaa namkubal mno

  • @adamidrisa9232
    @adamidrisa9232 5 років тому +2

    daa hii midemu hii

  • @reubenpaulomabula6098
    @reubenpaulomabula6098 2 роки тому

    JCB Respect

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 5 років тому +3

    Hahaha hiphop for real

  • @samwelmashauri9414
    @samwelmashauri9414 5 років тому +3

    Mama saiv hupo church

  • @chikanunoizmekah8540
    @chikanunoizmekah8540 5 років тому +5

    Fundi mitambo C.E.O WATENGWA

  • @wingodnkya7763
    @wingodnkya7763 5 років тому +2

    HUYU JAMAA NI GOD FATHER WA HIP HOP

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 5 років тому +6

    Wcb 4 life clouds mnazngua tu,cz mna ukanda sana,,yan mna uarusha mwing..

    • @sebastianalbert8956
      @sebastianalbert8956 4 роки тому

      ally baruan kwli utafikili arusha ndo kuna hip hop tyuuu??? Mbona mwanza pia vichwa vipo vingi tyu vya hip hop

  • @meshackdauda4315
    @meshackdauda4315 2 роки тому

    Mwamba WA kaskazn

  • @mikarospius8084
    @mikarospius8084 5 років тому +4

    Jcb mpaka ale ganja Wala msibishi

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 5 років тому +2

    🔥🔥

  • @boblion262
    @boblion262 5 років тому +1

    Sio usela wanaongea real shit alaf media hazifagilii real shit

  • @meshackdauda4315
    @meshackdauda4315 2 роки тому

    High smoker

  • @meshackdauda4315
    @meshackdauda4315 2 роки тому

    Domo la mamy baby kubwa UKIONA HIVYO ZAGA KUBWA MBAYA

  • @tanzaniawildlifeprideoftan5070
    @tanzaniawildlifeprideoftan5070 5 років тому +5

    Nachambia bendera ya inchi nisio ipenda sekendo na agenda zina sema nimepinda woyooo jcb ngoma zako ngumu

  • @boblion262
    @boblion262 5 років тому +1

    Maswali yak waki

  • @nelsonmeleck5841
    @nelsonmeleck5841 5 років тому +2

    Jcb

  • @ayubuvedasto3898
    @ayubuvedasto3898 5 років тому +1

    P1

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 5 років тому +4

    Huyu mkushi namuelewa kinomaaa kote anagengeshaa kwenye HIP HOP yupo kwenye Movie ni kwereee GIZA LA MCHANA ulikill man SIZA ninaniii

  • @winfredykahwili1513
    @winfredykahwili1513 5 років тому +1

    JCB mnyamaa

  • @kayfx2594
    @kayfx2594 5 років тому +3

    jcb

  • @fahmimohamed3332
    @fahmimohamed3332 5 років тому +3

    Watu wa Arusha mnapenda kujisifu basi hamjui chochote kuusu mziziki

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 років тому +4

    Nani huyu Toka nizaliwe ndo kwanza Leo namuona🤔msanii huyu 🙄

    • @kennethmasha5507
      @kennethmasha5507 5 років тому +1

      Hadija Abdallah huwez kwasababu sio muziki unaoupenda dada,lakn huyo ni miongoni mwa ma godfather kwenye huu upande wetu,yani kama vile hao unao waona ww wakali kwenye muziki unaoufwatilia na kuupenda ww

    • @IbrahimMohamed-of3sl
      @IbrahimMohamed-of3sl 5 років тому

      huijui ukisia pah?

    • @emmanuelmollel7977
      @emmanuelmollel7977 5 років тому

      A town pioneer..

    • @ntegwas
      @ntegwas 5 років тому

      Hadija Abdallah roho mbaya

    • @deodatusnchimbi7633
      @deodatusnchimbi7633 5 років тому

      ulikua mtoto Bado

  • @idrisahamza1023
    @idrisahamza1023 5 років тому +5

    Dem mbaya huyo hana swaga mbadilisheni

  • @fahmimohamed3332
    @fahmimohamed3332 5 років тому +1

    Kuma nyinyi mnazingua

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 5 років тому

    Vuteni Bangi Arusha ,Hiphop Ipo ..... Rock City

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 5 років тому +1

      Huyui kitu wewe kuhusu hip-hop...kaa kimya.....Arusha ndo representative of real hip-hop

    • @christopherdiu7851
      @christopherdiu7851 4 роки тому

      Duuuh umekanyaga waya mzee baba

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 3 роки тому

      @@nacebamr4722 njoo nikugonge Basi

    • @nacebamr4722
      @nacebamr4722 3 роки тому

      @@aloyceiluminata3650 umewah kupelekwa kwa morombo? unajua nn kitachofatia ukishafika?

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 3 роки тому

      @@nacebamr4722 acha ushoga

  • @daudkazima3569
    @daudkazima3569 4 роки тому

    Jcb