Mchomvu ni mchiz kichiz af ni mwana wawana nando maana hata host za mtaa hua anaziweza kutokana nayeye ni mwana af ni mchiz kichiz naukileta uchiz unakula mitama ya kutosha yani pale pale.......nakukubali brother Adam kuanzia flours/kurap/kubonga /comedian kimtindo hata hapo kwenye hio interview umeonekana we ndo prizenta
Adam❤

Wape mashavu Wanaa! Baba jooniii
Jonii ww atuna kipengelee kwako kwenye kuhost.mpe mashavuu uwo mdoliii apoo tujuwee uwezoo wake .ww tu uyowii mahavuu
Mwambaa uyuu