Ujasiri, ni uwezo ama msukumo katika mwili na akili ya mwanadamu, ambapo msukumo huo unamwezesha mwanadamu huyo kiishida hofu na kuushida uoga na kuufanya mwili na akiri ya mwanadamu huyo kuwa huru kwa kufanya jambo mbila kuhofia wala kuogopa kitu, mtu wala hali yeyote.. Natumaini umepata kitu.
Asante sana mweshimiwa Wang u
Powerfully message
Nashukuru sana ndugu yangu
Brave!!!umetxha xana broooo
Karibu sana
❤❤❤
Ujasili means what ? ..chief
Ujasiri, ni uwezo ama msukumo katika mwili na akili ya mwanadamu, ambapo msukumo huo unamwezesha mwanadamu huyo kiishida hofu na kuushida uoga na kuufanya mwili na akiri ya mwanadamu huyo kuwa huru kwa kufanya jambo mbila kuhofia wala kuogopa kitu, mtu wala hali yeyote.. Natumaini umepata kitu.
@@goalhall hujahariri kazi yako mkuu jitahidi kuzingatia matumizi ya R na L ili usibadilishe maana ya neno katika kiswahili
Ahsante sana kaka kwa maoni hayo nitafanyia kazi
Karibu zaidi na zaidi