Kwanzia now sitaongopa kitu chochote nitatembea na kibali mara mbili kila sehemu amen 🙏 sitaongopa mungu nijaze roho ya ujasiri sitaongopa kitu nitapita kila kona kwa kibali amen 🙏 I love you God forever ❤ ♥
Kwa jina la Yesu sito ogopa Tena siogopi magonjwa siogopi wachawi siogopi waganga siogopi mauti katika jina la Yesu na mwanzia Leo nimewekwa huru Asante yetu kwakunitoa mautini
Kuogopa ni marufuku katika maisha yangu sitoogopa tena katika jina la yesu kristo
Sitaogopa tena kwa jina la Yesu, nguvu ya Mungu iwe nami Daima na milele . AMINA
Siongopi kiza Siongopi wachawi Siongopi umasikini Siongopi chochote bwana najuwa yesu yupo na mimi kila sehemu ananilinda amen 🙏
AMINA mtume Mwamposa nabarikiwa.naponywa mi na uzao wangu na maombi nachojua mimi kukupenda .kukuombea katika jina la yesu ameen
Sitaogopa tena kwajina la Yesu Ameeeeeen Apostle
Amen amen sitaogopa bwana yesu asantee kwa neno lako mungu akulibde milele
Amen, yatosha sitaogopa tena chochote kwa jina la Yesu, marufuku ktk maisha yangu kuanzia saa hii
Nimarufuku kuogopa kwenye maisha yangu mungu nitienguvu nisiogope kwajina la yesu
Aminaaaaaaaaaaaaaaa mungu naomb unisaidie nipte mimbaa kupitia maombii ya rise and shine kwa ktumia Maji na upako
Amen niliacha kuongopa sitaogopa tena bwana kwa kuwa yesu yupo nyuma yangu kila siku amen 🙏 ❤
Amen papa pasta sitaogopa tena kwajila layesu kuogapa nimarifuko katika maicha yangu
AMEEEEEEEEEEEEEEEEE YESU NIPE UJASIRI JUU YAPITO NIRIRO NARO🙏🙏🙏
Sitaogopa kamwe kwenye maisha yangu katika jinalaYesu ameen
Amen, naomba kuogopa itoke kwa mwili wangu na nikue muvumilifu kwa kila jambo
MUNGU naomba uniondolee kuogopa kila kilicho dunian na kuzimu Amin
We mungu wangu nataka nikazidiwe na watenja kesho kaniangazie bwana nikainuke na kuangaza kiuchumi 🙏🙏ameni
Kuogopa ni marufuku katika maishaa yanguu katika jina la yesuu 😌🙏
Sitaogopa chochote kwa jina la Yesu. Mungu anipiganie
Kwanzia now sitaongopa kitu chochote nitatembea na kibali mara mbili kila sehemu amen 🙏 sitaongopa mungu nijaze roho ya ujasiri sitaongopa kitu nitapita kila kona kwa kibali amen 🙏 I love you God forever ❤ ♥
Sitaogopa kuanzia sasa ivi sitaogopa wachawi sitaogopa chochote kweny maisha yangu ee mungu wamwamposa nisaidie kweny kazi yang
Sitaogopa tena kwa jina la yesu ni naimani nitashinda 🙏
Naitwa Elvasi nipo mwanza nafuatilia vzr mbarikiwe sana nashiba neno mungu
Sitaogopa Tena kwa jina la Yesu kristo Amen
Siogopi chochote bwana Kwa kuwa mungu ni gome ya maisha yangu amen
Siogop chochte kwenye maisha in Jesus name
Sitaogopa wakina kaini, penina,Delila Wala jamani ktk jinala Yesu amen
Sitaogopa tena Mungu yupo pomoja nami
Ewe mungu wangu nakuomba uniondolee hofu🙏🙏🙏
MUngu niondolee roho ya hofu woga wote niondolee roho ya kujikatia tamaa mungu nipe ujasiri
Kuogopa ni marufuku ktk maisha yangu ,kuanzia leo sitaogopa ktk jina la yesu kristo
Naondoa hofu na kuogopa ktk jina la yesu mungu wngu amina
Siogopi chochote katika maisha yangu kwa jina la yesu
SIOGOPI CHOCHOTEE KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIEHAI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 AMEN
Sitaogopa katika jina la YESU katika maisha yangu
Mtumishi yani nabarikiwa na huduma yako mungu akubariki
Sitaogopa chochote Katika JINA LA YESU AMEN
mungu nisaidie kuokopa ni marufukuu
Mungu nimepeijasili
Amina Sina uoga ,ninayo jati
Amini napokea kwa jina la yesu
Na amini sitoogopa kitu chochote Tena kwenye maisha yangu...
Amina mtume kwakunitia moyo wa ujasir
Siogopi natumainiya Bwana Yesu christ. Na juwa nitapona, uniombeye.
MUNGU yupo na mm Amen
Marufuku kuogopa katika maisha yngu
Sitaogopa kwa jina pa Yesu
Naamin katika neno 🙏🙏🙏
Sintoogopa kwa jina la yesu
Amen siogopi Yesu nisaidie
Ngusa sitta kutoka kahama_shy ,sitaongopa tena kitu chochote kwa jina la yesu Amina
Naamini sitaogopa tena katika jina la yesu
Sitaogopa tena kwajina la yes Amina
Siogope namin yesu ataniheshimisha
Mungu naomba niondolee roho ya wogaa
Kuogopa ni marufuku kwa jina la yesu
Sitaogopa kila kitu tena kwa jina la Yesu Kristu.
Kwa jina la Yesu sito ogopa Tena siogopi magonjwa siogopi wachawi siogopi waganga siogopi mauti katika jina la Yesu na mwanzia Leo nimewekwa huru Asante yetu kwakunitoa mautini
Amen
Naomba mungu nipe ujasiri nisiogope chochote maana wewe upamoja nami
Sitaogopa tena katika maisha yangu
Kuogopa ni marufuku katika maisha yangu
kuogopa kwenye maisha yangu malfuku
Mwanangu faraja apone kwajina la yesu
Sita ogopa Tena kwa jina la yesu
Sitaogopa Tena Kwa jina la yesu
Leo nizamu Yangu kupokea upako Wa macho ya rohoni🙏
Nikweli baba mtume Boniface buldoza mwamposa nimwogope Nani mbele za mungu barikiwa mtu wa mungu napokea baraka zote
Kwa jina la yesu
Kuogapa nimarufuku katika maisha yngu
Naondoa roho ya kuogopa kwa damu ya Yesu
Sitaogopa tena sitokuwa na wasiwasi hofu kwa jina la yesu napokea uponyaji sasa hivi
Mungu nifungue kiimani.
Mungu nipe ujasiri
Amen amen 🙏
Sitaogopa chochote katka jina la yesu
Sitaogopaa ten sitaogopaa chochote Kwa Jin la yesu
Sotoogopa Tena hee yesu nasaidie
Kuogopa ni marufuku kwenye.maisha yangu
Siohopi umaskini siogopi ugonjwa siogopi wachawi siogopi wanadamu kwa jina la yesu kristo
Siogopi chochote katka maisha yangu
Kuogopa ni marufuku ktk maisha yangu
Kwanza leo hakuna kitu nitaogopa..... Mafundisho mazuri sana
Sitaogopaa ten Kwa Jin la yesu
Kuongopa ni marifu kwenye maisha yangu sitakuwa na hofu ktk maisha yangu
Yesu niondolee hofu kuanzia sasahivi
Kuogop ni marufuk kwenye maisha yang
MUNGU WA MWAMPOSA NIJAZE ROHO ISIYO NA UOGA. ASANTE YESU KRISTO. AMEN
Hofu itoke kwa jina la yesu
Kuogopa katika maisha yangu ni marufuku.
Kuogopa ni marufuku katika maishs yangu
Ctogopa kit chochote maishan mwangu nataka kushinda,wachawi wanafiki,umaskin ctowaogopa nahtaji kushinda
Sitaogopa😊
Sitoogopa kamwe mungu nisaidie
Nmeacha kuongopa kutoka leo ,sababu mimi ni mshindi,..
Hakika siwez kuogopa kwenye maisha yangu ni malufukuu siogop magonjwa siogop giza wala wachawi
Amen 🙏🙏🙏
Siogopi tena maishan mwangu nataka kushinda
Naomba ya mwaposa jmn nina shida sana
Naacha kuogopa kuanzia xx sitaogopa maisha ,masomo k
Kuanzia leo siogopi hata magonjwa yakija mungu ndiwe mponyaji
sita ogopa tenaa
Roho ya hofu naiondoke kwa jina la Yesu kuanzia sasa hiv