Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2024
- Je unajiona unakosa ujasiri? Je umeishi katika mazingira yaliyo athiri ujasiri wako? Hizi hapa tabia 9 ambazo ukizifuata zitakusaidia sana kuongeza ujasiri kwenye maisha yako.
#DrChrisMauki#Tabia#Ujasiri
Asante sana Dr Mauki napende mafundisho yako
Mungu akubariki kwa mafunzo mazuri tokea nimeanza kukufatilia nimeona mabadiliko makubwa sana naendelea kujifunza
Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri sana nimejifunza kitu Leo ubarikiwe DR
Dr Asante sana, nimepata mwanzo mpya hapa, na nimejifahamu kwanzia sasa
Nakupendaaa sanaa umeniwezishaaa njmemtekaaa kipenz kwa mbinu zile
Asante kwa somo zuri,,,tunajifunza vitu vingi, vizuri kwako,mungu akubariki sana
Kiukweli umenibadilisha Sana kaka ,,ubarikiwe Sana
Mungu akubariki sana DR unaendelea kunijenga kiakili najifuza vitu vingi sana kwa kutazama chaneli yako hivi naweza kuongea na we DR
Asant kwa kunielimisha Mungu akubaliki sana
Asante mungu akusaidie❤️🙏
Asante Sana doctor nimejifunza mengi Mungu akubariki sanaa
Ubarikiwe dr Chris mauki
amen asante sana
Asante...kwa kweli nimejifunza pakubwa.
Such a great lesson, it absolutely perfect ten,.!.so valuable,.
Asante kwa chakula kitamu Cha ubongo
Dr be blessed bcoz of things to say are really good to do it
Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿
Ahsate sana.karibu.sana kibaha japo utukusanye wamama wa kanisa la anglacan tupate .madini yako
Asante kwa somo
Somo zuri sana Dr.chris mauki ✊✊✊
Vzr
Asante kaka
Ahsante dr kwa somo nzuri kabisa
Inshu hpa kwenye kusimamia kitu unachoka mini lkn nataman kuwa mtu furan mim km mimi lkn Kuna vitu ambvyo vinanivunja moyo but na mshukuru mungu kwa yote pia huwa nakufatilia Sana na kunavitu najifunza
Asante sana nimependa somo la leo
Somo zuri Sana mkuu, ubarikiwe sana
Somo zuri sana
Asantee kwa wazo boss
Asante dr wng
Upo sahh sana
Asante Sana
Naomba no doctal naitaji kuongea na wew
Mawasiliano tafadhalii Dk
Dr Chris mauki nakufatilia sana mafundisho yako yananijenga sana unanisaidiaje na mm niwe kama wewe??
Asante sana Dr ubarikiwe
amen asante sana
Nashukuru,prof kwa ujumbe mzuri samahani nisaidie hapa mm ilishawahi kutokea ugomvi na jirani yangu ambaye nafanya naye kazi ofisi mmoja, na chanzo Cha ugomvi ni madharau masimango yy huwa ni mbea sana na Ana madharau sana Sasa yy no mtu wa mda mrefu apa mm Nina Kama miaka miwili Sasa kilichotokea baada ya mm na yy kuzozana ni kunisema vibaya kwa wafanyakazi wenzetu ,mitaani na Kila korna afu watu wananichikia Apo nifanye nn ebu nisaidie mtu ishi
Barikiwa kwa somo zuri
Thanks Dr for the good lesson
Nimeamini kuwa ww ni daktari umenitibu akili na Mungu akupe hekima na maarifa zaidi
Nafurshishwa saana masomoyako
amen asante sana
Ahsante
Safi sana 👍
Safi sana kaka ...
Asante Sana mungu akubariki nimebarikiwa Sana mafundisho yako naitaji nipate namba zako za cm nipo kigoma asante
Dr mauki naomba namba zako nataka ushauri pravite
👍vizuri
Dr leta tips za mwanaume kuchange dini kumfata mke na girl kuchange dini kumfata mme ni love au nn
Kwenye ndoa hatabadilika au hatabadilika plz
Nice
Good
Great
🙏
Tuko pamoja
Asant san dk kwa kukuuza ubong wang
Asante doctor
Ubalkiwe
Ninakuelewa kaka sasa mimi kwa upande wangu nilifanya maamuzi sahihi kwenye mahusiano kwa upande wa mwenzangu anasema alikosea.niishi vipi naye
Fatilia watu wanaokupenda,anaekubagua nawe mbague,,
SoMo zuli nime elewa na unanipa nguvu ya kupambania maisha yangu
amen asante sana
Yes kaka asante kwa somo zuri.. Pia wajifunze tabia hizi za kuacha 2021 ili wafanikiwe
👇👇
ua-cam.com/video/9dgU3JqI-nU/v-deo.html