Alla awa rehemu jamii islam.awjaali kaull tabith.wapokee kitabu chao kwa mkono wa kulia.na awasamehe dhambi zao.na awa weke mahalapema.nasi tulo haii tukija mbele ya haki atujalie hivyo hivyo.ishaala amin
Pia usisahau hakuna rais aliepigwa kofi nchi hii toka ipte uhuru zaid ya rais mwingi pia aliempga kofi alifungwa gerezani baada yakutka gerezani kijana aliupga kofi mwinyi alikufa
Allah akupe umri uzidi kueneza Qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah
Kumbe ushakula chumvi Sheikh wetu 😂mashallah Allah akuzidishie umri mrefu wenye kher na barka
Alla awa rehemu jamii islam.awjaali kaull tabith.wapokee kitabu chao kwa mkono wa kulia.na awasamehe dhambi zao.na awa weke mahalapema.nasi tulo haii tukija mbele ya haki atujalie hivyo hivyo.ishaala amin
Allah akujaalie kila la heri mwamba mazinge ilike❤
Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah SWT siku kiyama tuwe pamoja mwenyezi atujalie janah
Ameen rabil alameen atujaalie sote
Mwenyezi mungu akulinde
Shekhe wangu ALLAH akuweke nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Allah akupe umli mlefu
Ustadhi shafii, salaam aleikhum waramaturah wabarakatu, karibu kenya kisii
Sema Masha Allah sio useme mtoto wangu kichwa hujui unaweza kumhusudu
MaashaAllah he still looks so young though
Tumnasihi tu shekh wetu awache kuapa ovyo.
❤❤❤MANSHALLAH habibi ❤❤
Hata uwe wa mwisho lkn utakufa😂sheikh mazinge jmn nakupenda bure kwa ajili ya allah
ALLAH .TUMTAJE BWANA WETU MLEZI WETU KWA HERUFI KUBWA ALLAH ATUJAALIE SOTE INSHAALLAH AU TUWE TUNAANZA NA HERUFI KUBWA TUKITAKA KUMTAJA ALLAH
Ila shekh mazinge mungu kampa nuru toka nikue namuona iviivi cmuoni kukonga kabisa
Naam
Aamiin ❤
Mashaallah
Labda Mazinge anamhusu Nyundo
Mawaidha na u comed
Kivipi?
Wewe Una Mudharau Ustadh Mazinge Kumuita Comedy Wewe UME leta watu wangapi katika dini ya ALLAH huyu ambaye Amesilimisha watu ambao wengine ni WAlimu
Mashaaallaah
Mazinge wew nibingwa wa kichangisha nimeserenda 😂😂😂😂
Allah akber
Allah Akbar
❤❤❤❤❤❤
Kupgwa kibaosyo tatzo atamtumemuhamad kapgwa mawe
Mwisho wa siku maokoto😅
mazinge anaogopa kufa
Pia usisahau hakuna rais aliepigwa kofi nchi hii toka ipte uhuru zaid ya rais mwingi pia aliempga kofi alifungwa gerezani baada yakutka gerezani kijana aliupga kofi mwinyi alikufa
Kwel aisee hii sikusikia
Ustadhi shafii, salaam aleikhum waramaturah wabarakatu, karibu kenya kisii
Walykum salam warahmatullahi wabarakatuh shukran ndungu nitakuja
@@ustadhshafiionlinetv walahi karibu. Uwape vitu za chuma. Mola anijalie uwezo kiasi niwalike, bado mimi mchanga sina uwezo wa kuwalingania.
@@mangeraalbert7982InshaAllah utafanikiwa kwa uwezo wa Allah watakuja kila kitu nia
Ust Asalam aleikum warahmatullah taarah wabarakatu Ust naomba namb za ust Mazinge@@ustadhshafiionlinetv