Acha wawalete waone kama wanaume watavumilia upuzi wao kheri wanasema ladies but ladies wanavumilia alot of things eti majinuna but they still do the best 😅
Hii haiko sawa kabisa juu mwaume nitofauti na mwana ume vile hawa wanapenda kuita wakati kunawageni kujionyesha eti anawafanyikazi alafu haongei kwa heshima any waje
Not in saudi Arabia unless another country..saudi haiwezi juu wanaume hawaruhusiwi kuona ma bibi zao sasa atafanye job aje😢😢 haiwezi haiwezi nimewakataza
Hii itakua ngumu aki kwanza ati wanaume Ghai 🙆🙆 kimeumana Sasa ebu imagine mwanaume akifanya irekazi tunafayanga I don't want to imagine 😂😂😂😂 ningumu waturize kwanza
Hawa wanaume ndio watakufa wengi sababu wanguru hataitaji kujua utamu wa huyu Houseboy ,na huyu House boy vile ako na tamaa ataengia kwa mtengo akichovya siku ya pili akatae yenye kwisha ama ambelekwe gerezani sababu ya kuchovya asali ya waititu
😂😂😂aaaai warabu hawana kazi moja utaambiwa ni mtoto na ukifika huku unaambiwa uoshe hata gari acha wanataka vita warabu wapigwe tuu walete kesi nyingine
KG Mie naomba viongozi wetu wakae chini wafikirie tena, kama warabu wanawake hawaruhusiwi kuonana na wanaume warabu wasio wa familia so ikauaje mkenya mwanamume aje afanye kazi ya house to house. Not only that Kenyan men huwa na hasira ya haraka na warabu wanapenda Kelele, matusi wataweza. Wakitoka Kenya waongeleshwe coz akijam ampige mwarabu atafungwa, ladies huvumilia
Hiyo kazi kwa wanaume ni ngumu na ni mitihani, watakufa wengi ju kuna mitego za mama na wasichana, ju huyu mwanaume kufua, kupika, deki, na mbele wamama hawafui chupi zako za damu, mwanaume hatavumilia madharau na kunyimwa vyakula,
Kazi yenye tuna fanya uku wanaume hawata weza hao ndio wata toroka ku toroka ju ata siruali yao hua tuna osha atuna shida ssi kidogo tume tengeneza ita tusaudi Kenya kenye najua tuta rudishwa tu hio ni kitu najua zile vitu tuna pitia wanaume hawata weza😂😂😂😂
Wewe watauawa wote, nyumba yenye hutakiwi kuoana watu utafanya kazi anje, niliona mu bangali akitoloka kazi juu bibi wa huyo nyumba alitakanga wa afanye mapezi, na aliogopa akatolokahuku huku pia wanaume hukemboi, but pia kwa hizi nyumba, mwanaume huleitwa kufanya job like kuosha ac, veloder, ukuta, saa hio nilazima mjifungie kwa room, so Hawa wezi kukaa ni lisaa limoja ama masaa mawili
Weee kg wanaume awawezi vumilia upuzi ya hawa waiguru kuitwa kila mara tahari tahari wah heri sisi wanawake twavumilia kwakweli ata kama tuko na vichwa ngumu but tuko best
Wanaume wetu wa kenya they hv to be careful ju hkuna vle wanataka wakenya wetu waume waje kufanya hii kazi jst think of it maybe there is a hidden agenda there
iyo ni kitu wanaume hawataezana kbs wee kaz za nyumba uku ni ngum sn iyo kuitwa itwa tyr ni kazi alaf ndio upate mahali pa wazee sio kutusiwa kupigwa ni mwanaume gn kenya atakubal kupigwa na mwanamke
Am a lady here working lakini waitito ajaribu Tu kupita karibu unaambiwa toka enda Kwa room, au boy child unaambiwa toka enda Kwa room ndio itakuwa boy child kufanya Kazi za ndani 😢😢😢.mmmmm
Huyo uhuru. Sasa anataka wanaume wetu waje kuwawa huku wapate kupungua huko kenya ajinafas hii kazi ya huku ni ngumu inafaa tu wanawake siryas wasikubali kuja
Hmna shida nawaje waoshe vyoo wafue vichupi vya mdm na pia watandike bed za maboss na mm tutawachatisha usiku tuwaeke buzy na kuwaomba pesa waone km ni rahisi
Mi mgeni hapa,nko Saudi, mwanamme hawezi,ju hata hawa watu wakienda chooni hawaflash,so mwanamme ataweza kuflash kinyezi cha mtu kila Siku?ni noma c tunavumia mambo mengi sana,hadi mshahara n kidogo sana bt kazi n mob
Kg hio kitu haiwezekani kma tu dereva anaweza fanya hapo miaka miwili naasiwai ingia hata jikoni siku moja itakuaje kue na houseboy agent waache urongo mm niko huku miaka kumi sai na waarabu hawawezi kabisa kukubali
Wataweza ama nimasifa TU,wasione ladies wanamaliza contract Tena waongeze waone ni rahisi tutaona,siwanasema ladies Huwa wanafanya mapenzi na boss Wala hawataki kujua sababu mm mutatolewa kwa tv munapigana na waiguru ndio tuone kama utakuwa umetongoza waiguru nangoja waje sikio natega macho kuangalia mitandao nione wataweza kuvumilia watu weupe mutanyamba kwa suruwale
Hio ni kitu haiwezekani juu sheria za dini zitazingatiwa kama driver tu anakaa mbali na maboss hata kuingia ndani huwa sirahisi mimi mwaka wa saba sasa na sijui huko ndani kuko vipi tusidanganyane kazi za ndani ni za wanawake
My friend msijaribu kudanganywa utakua ukifika unambiwa leo ni wewe unaenda kuchunga kondoo,kesho ukija unambiwa shambani, kazi ninyingi kuchoka ninyie kazikwenu kama mtakuja ujiamini kufa kupona😂 lakini fulus zingie
Watavumilie kuokota bads chini😂trust me wanaume wawezi fanya hizi kazi wacha wakuje 2 za wanaume kila 5 second umeitwa na unaenda bio 😂huku kazi za nyumba wawachie 2 vichuwa ngumu 2 kaa sisi 😂😂😂
ATI wanaume wakamu saudia Arebia kufanya kazi ya hao😂😂tu waiguru wataaza kusema wanatongoza vipuzi vyao😂😂 wanaume mpoo 😂 haya job ndio hio sisi nasi wanawake twende Canada kwn Iko nn😅😅😅
WAKENYA WAKENYA WAKENYA WANAUME MUSIKUBALI SAUDIA KAZI ZA NDANI NOO NOO PLEASE TUNA WAPENDA WAKENYA WENZETU MUSIKUBALI WAARABU WABAYA SANA MUTAUWAWA HIO NI TRIKI WAKENYA WANAUME MUSIKUBALI SAUDIA KAZI ZA USAFI NDANI MUSIKUBALI
Acha wawalete waone kama wanaume watavumilia upuzi wao kheri wanasema ladies but ladies wanavumilia alot of things eti majinuna but they still do the best 😅
😂😂😂😂Weee nahizi kazi za huku mwanaume Kweli ataweza Kila time njoo unipe hii aki 😂😂😂
KG hapo hujasema kitu cc wenyewe madereva hatuingii ndani kwao itakua hao waume
Exactly hilo ndilo swali langu
Kumbe hii kitu ni ukweli 😅 anywhere ladies wamechoma sana Hadi bosses wameamua ni houseboy sasa😂😂
Hehehe hakuna cku waarabu watakubali waume kufanya job za ndani
@@SaidOmari-sx4ixkabisa
@@zahraabdul9652 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watawagongea
@SnowrineKhatsika Hawa wanawake watapata utamu kwa wanaume wa African na sio uongo siezi advice mtu aende Saudi for being houseboy
@zahraabdul9652 kabisaaa they have to say noo kama sisi tunakapitia na n ju ya kuvumilia
Bado wanaitisha commission ama ni free na kama ni free mnitumie huyo agent watu Kenya wanatafuta jobs
Heri ukatatwa mshaara kuliko kuuliwa hiyo kazi ni mbaya
Nyinyi hamjui kasongo amechoka ,anataka kuondoa Gens atawale Kenya peke yake 😂
Umeona mbali amechoka na maandamano
Ukweli magolo ameona hii ukweli@@Asiaha-l7q
Kasongo amekaa chini akajiuliza vile anaeza maliza maandamano kenya
😂😂😂😂😂
Wanataka kutuulia hawa watu,1 wanawake wao ni wakware, 2matusi kwa wingi sioni kama ni nzuri hio
Nashaka beranongo🙆🙆🙆🙆
Akuna mwanaume anawezana na hawa warabu kama sisi wanatusumbia ingekua ni mwanaume atamchapa tu😂😂😂😂
Akii wasijaribu kabisaaa
Yeah wacha wanaume wapelekwe Saudia nasi tuende Dubai na Qatar 😊
@@Trizah-254-e Hutu tufukuswi twetu hatutawezana walai🤭😂😂
Mutakuja kufuanga chubi ikiwa na mess 😂😂😂😂 jaribuni tu muonr
😂😂😂😂
Hahaha wataweza jamaniiiiiiiii eti wanaume kwanza huo mshahara kwa wanawake ni kidogo sana😢😢
😂😂😂😂 wanakuja lini
Uwangoje airport 😂😂😂
@PMNTV1 🤣🤣🤣🤣tulia nawakaribisha
@@userkemmy Aya basi mimi nimekimya basi bora utembee hapo kwangu angalau uniachie kasub na comment mengine ni mbele😂
Hii haiko sawa kabisa juu mwaume nitofauti na mwana ume vile hawa wanapenda kuita wakati kunawageni kujionyesha eti anawafanyikazi alafu haongei kwa heshima any waje
Kasongo anataka vijana wakuje uku ndio wapige waarabu ndio wawawe😢😢😢
Baha kutseka 😂😂😂😂😂😂 shaka ninongo taukoga kwera haya navadze ela vafunge kufuli zohisia funguo vampe mlungu
Watakufa waume zetu
Wacha tuone kama wataweza😅😅😅kwanza hizi makelele na kusumbuliwa taali bisuraa😮😮wataona moto
Huku hata driver ameitwa na boss ndani ya nyumba wasichana wanakaa ndani,kwani watashinda kama wamevaa abaya
Not in saudi Arabia unless another country..saudi haiwezi juu wanaume hawaruhusiwi kuona ma bibi zao sasa atafanye job aje😢😢 haiwezi haiwezi nimewakataza
Hawa warabu Wana maudhi msikubali hamtaweza .msijaribu.
Wataweza kweli taal.suraa jibi.mhhhh
Our kenyan men with nyash...watakufa waishe😅😅😅😅
Hapa kuna kamchezo, chungeni ombeni sanaaa kumezukwa weee.
bona kenya tunashinda gani wanaume wetu😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna mharabu atakubali mwanaume kwa hao yake.unless awe gardener huko nje ndani hawezi ingia
Gen zs chungeni sana na huyu kasongo anaweza kua kama amini Dada 😂😂😂mtachijwa
hao wanataka kuua vijana..kell za mwarabu😊😊😊
Amen 🙏 na kadama tunaenda inji gani
Mjitafute maisha ni kusaka bahati yako unampata job eti wauliza mwaenda wapi 😂😂😂
@@zahraabdul9652 🤣🤣🤣eiii vanee 🤔 itabidi tuongeze contract ju wueeh
Wuuuuuiii vijana wetu watafanywa ma bibi msikimbali kufanya kazi za ndani.
@joicewan1157 walai
Hii itakua ngumu aki kwanza ati wanaume Ghai 🙆🙆 kimeumana Sasa ebu imagine mwanaume akifanya irekazi tunafayanga I don't want to imagine 😂😂😂😂 ningumu waturize kwanza
Mwanaume ana weza kukaa na upwiru miaka miwili 😊😮
Vp wanawake wa Saudia kufanyiwa kazi na wanaume 😮😮hii ni mpya kweli
Kwa nyumba haiwezekani
Hawa wanaume ndio watakufa wengi sababu wanguru hataitaji kujua utamu wa huyu Houseboy ,na huyu House boy vile ako na tamaa ataengia kwa mtengo akichovya siku ya pili akatae yenye kwisha ama ambelekwe gerezani sababu ya kuchovya asali ya waititu
Gerezani ama
Kaburini😢😢
Wanaume wetu mtauliwa kifo cha ujungu sana,hawa ni wauwaji
Mnaenda kuwawa tu nyinyi wote
Wanataka watoto wa kiume wachinjwe bure maana hawa wanawake waarabu wanashida sana
Wacam watumiwe warebo na hao maboss wawatogoze,sisi hutumiwa kijana mtu ako almost uji,,,,,😅😢
😂😂😂aaaai warabu hawana kazi moja utaambiwa ni mtoto na ukifika huku unaambiwa uoshe hata gari acha wanataka vita warabu wapigwe tuu walete kesi nyingine
Alfu shida ya Hawa wanawake wanaweza repiwa and when the man will no Wawa n kunyongwa tu
KG Mie naomba viongozi wetu wakae chini wafikirie tena, kama warabu wanawake hawaruhusiwi kuonana na wanaume warabu wasio wa familia so ikauaje mkenya mwanamume aje afanye kazi ya house to house.
Not only that Kenyan men huwa na hasira ya haraka na warabu wanapenda Kelele, matusi wataweza.
Wakitoka Kenya waongeleshwe coz akijam ampige mwarabu atafungwa, ladies huvumilia
Huu niuongo
Ndio maombi yetu ayo pia iwe sio ukweli😒😒
Iko huko Oman wabagali wanafanya wamama waigiya kwa rum kisha huyo boy yuwafanya usafii
Wanataki kuwauwa hiyo ni dili ya ruto anataka kupunguza vijana
Weeeeh ache nilime malenge
Hio nimitiani wanataka kuchinja watu wamekosakuchinja
Hiyo kazi kwa wanaume ni ngumu na ni mitihani, watakufa wengi ju kuna mitego za mama na wasichana, ju huyu mwanaume kufua, kupika, deki, na mbele wamama hawafui chupi zako za damu, mwanaume hatavumilia madharau na kunyimwa vyakula,
Hapo sidhani kama wataezana na mkenya mwanaume
Hio itaanza mwaka gani
Kazi yenye tuna fanya uku wanaume hawata weza hao ndio wata toroka ku toroka ju ata siruali yao hua tuna osha atuna shida ssi kidogo tume tengeneza ita tusaudi Kenya kenye najua tuta rudishwa tu hio ni kitu najua zile vitu tuna pitia wanaume hawata weza😂😂😂😂
Mwanaume mkenya atakuja kurokotea waiguru suruali vile wamezoea kutupa ovyo ovyo kila mahali
Wewe watauawa wote, nyumba yenye hutakiwi kuoana watu utafanya kazi anje, niliona mu bangali akitoloka kazi juu bibi wa huyo nyumba alitakanga wa afanye mapezi, na aliogopa akatolokahuku huku pia wanaume hukemboi, but pia kwa hizi nyumba, mwanaume huleitwa kufanya job like kuosha ac, veloder, ukuta, saa hio nilazima mjifungie kwa room, so Hawa wezi kukaa ni lisaa limoja ama masaa mawili
Wanaume hawawezi KAZI y nyumba Saudi watarudi wenyewe wasema wanataka ladies
Weee kg wanaume awawezi vumilia upuzi ya hawa waiguru kuitwa kila mara tahari tahari wah heri sisi wanawake twavumilia kwakweli ata kama tuko na vichwa ngumu but tuko best
Wanaume wetu wa kenya they hv to be careful ju hkuna vle wanataka wakenya wetu waume waje kufanya hii kazi jst think of it maybe there is a hidden agenda there
Kuna kitu mmeshahau hapo, mwanamke mwarabu hakuna mwanaume wa nje anafaa kumuona uso yake. Kwa hivo hiyo kitu haileti. Wasifikilie gulf ni kama Kenya.
C waarabu wote😀🤣wengine wazurura bila mitandio kila mahali bila hofu
@kgchippy 🫢😂😂
Kg Niko na rafiki yangu anafanya Oman m tz na anafanya house boy, @@kgchippy
Naona wakenya wakiitiwa kifo Tu mikononi,,,Mimi huosha Hadi magari,,,na si kutrain
Sithani ka kuna mwanaume atafumilia muarabu 😂😂haya wcha tuone tahari tahari all the tym.
Labda watachagua vidada(vichakula)😀🤣
iyo ni kitu wanaume hawataezana kbs wee kaz za nyumba uku ni ngum sn iyo kuitwa itwa tyr ni kazi alaf ndio upate mahali pa wazee sio kutusiwa kupigwa ni mwanaume gn kenya atakubal kupigwa na mwanamke
Siezi kubali my brother hati akuwe house boy saudia arabia hata kama ni shida
😂😂sasa mm naona n kama Hawa watu wanatafutie wanaume wakenya makosa coz pia Hawa wanawake n visirani sana ,sasa guys wakenya watafumia ,😅😅
Wachunge vijana wasaud niwabaya kwanza hawatolipwa hizi pesa wanawadanganya pengina alf moja
Am a lady here working lakini waitito ajaribu Tu kupita karibu unaambiwa toka enda Kwa room, au boy child unaambiwa toka enda Kwa room ndio itakuwa boy child kufanya Kazi za ndani 😢😢😢.mmmmm
Kazi ni kazi kweli but mimi upande wangu sioni kama hio job inawafaa,uchafu iko huku mkenya boy hatavumilia.hio ni temptations tu
Very true Hawa watu ni wachavu
Wana recruit masenge kwa waarabu nini? No, no!
Hakuna kitu kama iyo Kwanza maboy hawa ruhusu kuingiia nyumba ya mwarabu
Kuko ni kuchimbira kadalu, alafu uthua nyoka Kg wanaume hawaezi kazi za House boy kwa mwarabu.
Kutoka lini mwanamke mwarabu aruhisiwa kua na mwanaume mwingine kwa nyumba
If driver akija tunafunga mlango cleaning jobs??????
Hii iko kutoka zamani,mm nilifanya kazi na Bangali na Hindi walikua house boys mwaka 2007 Saudia.Kwa hio wakenya msiogope ni kawaida tu
Huo ni upuuzi, mwanaume aende kufanya kazi ya nyumbani uarabuni na mshahara wa 1300 riyal?
Huyo uhuru. Sasa anataka wanaume wetu waje kuwawa huku wapate kupungua huko kenya ajinafas hii kazi ya huku ni ngumu inafaa tu wanawake siryas wasikubali kuja
Wanaume wt wataishia kupelekwa jela,
C afadhali jela watatoka warudi makwao, ahje wakinyongelewa desart uko😢😢
N mwanaume gani atashinda jikoni kuosha vyombo na kufulia mwarabu hadi chupi za ndani atumwe tumwe kama mtoto mdogo hio niuongo
Sacrifice za wanawake jimetosha Sasa anaitaji za wanaume
😂😂😂unajua nacheka kwa nni hii n maajabu😅😅😅 saudia wanawake hawaonani ña wanaume je itakuwaje hzo nazo n temptetions
Hmna shida nawaje waoshe vyoo wafue vichupi vya mdm na pia watandike bed za maboss na mm tutawachatisha usiku tuwaeke buzy na kuwaomba pesa waone km ni rahisi
Mi mgeni hapa,nko Saudi, mwanamme hawezi,ju hata hawa watu wakienda chooni hawaflash,so mwanamme ataweza kuflash kinyezi cha mtu kila Siku?ni noma c tunavumia mambo mengi sana,hadi mshahara n kidogo sana bt kazi n mob
Wacha waje wazalishe wasichana wa saudi😂😂😂
Hahajaja iyo nigani tena ati men
Wana wake ni wakora ni WA njanja
Kg hio kitu haiwezekani kma tu dereva anaweza fanya hapo miaka miwili naasiwai ingia hata jikoni siku moja itakuaje kue na houseboy agent waache urongo mm niko huku miaka kumi sai na waarabu hawawezi kabisa kukubali
Jp waarabu wataua vijana wetu coz hata Kuna Hawa maboss wanaenda black people na hata wengine hawana mabwana
hakuna jinsi hawa maboss watakubali...labda iwe inje...not ndani...lkn kuna tricky kuweni chonjo..
Wataweza ama nimasifa TU,wasione ladies wanamaliza contract Tena waongeze waone ni rahisi tutaona,siwanasema ladies Huwa wanafanya mapenzi na boss Wala hawataki kujua sababu mm mutatolewa kwa tv munapigana na waiguru ndio tuone kama utakuwa umetongoza waiguru nangoja waje sikio natega macho kuangalia mitandao nione wataweza kuvumilia watu weupe mutanyamba kwa suruwale
Hio ni kitu haiwezekani juu sheria za dini zitazingatiwa kama driver tu anakaa mbali na maboss hata kuingia ndani huwa sirahisi mimi mwaka wa saba sasa na sijui huko ndani kuko vipi tusidanganyane kazi za ndani ni za wanawake
Hakuna msaud atakubali mwanamume kwa nyumba yake hio sidhan
Hakuna kitu kama hiyo mwarabu hawezi kubali kitu hiyo
hakuna kitu kama hiyo msaudi hawezi kubali hiyo labda wapeleke mashoga
My friend msijaribu kudanganywa utakua ukifika unambiwa leo ni wewe unaenda kuchunga kondoo,kesho ukija unambiwa shambani, kazi ninyingi kuchoka ninyie kazikwenu kama mtakuja ujiamini kufa kupona😂 lakini fulus zingie
haiko sense wanaume watawezana navitoi via saudi
Wanaume wa Kenya wafue ma pante navenye wanakuwaga wachafu apana hata kama ni machine
Watavumilie kuokota bads chini😂trust me wanaume wawezi fanya hizi kazi wacha wakuje 2 za wanaume kila 5 second umeitwa na unaenda bio 😂huku kazi za nyumba wawachie 2 vichuwa ngumu 2 kaa sisi 😂😂😂
Hizi ni kama cleaning jobs hautakua peke yako ukifanya job utakua na wenzako, mkimaliza mwachukuliwa na gari mpaka accommodation sio mbaya
ATI wanaume wakamu saudia Arebia kufanya kazi ya hao😂😂tu waiguru wataaza kusema wanatongoza vipuzi vyao😂😂 wanaume mpoo 😂 haya job ndio hio sisi nasi wanawake twende Canada kwn Iko nn😅😅😅
They will not imgn hawa ka fundi wakikam wasichana wanafinjwa
WAKENYA WAKENYA WAKENYA WANAUME MUSIKUBALI SAUDIA KAZI ZA NDANI NOO NOO PLEASE TUNA WAPENDA WAKENYA WENZETU MUSIKUBALI WAARABU WABAYA SANA MUTAUWAWA HIO NI TRIKI WAKENYA WANAUME MUSIKUBALI SAUDIA KAZI ZA USAFI NDANI MUSIKUBALI
Wanaume wanaeza osha surwali enye iko na period huku??
Saudi akuna kitu kama hiyo can't happen kama maintenance ndio wakija ni mbio kujificha sasa how about house boy
Watawesa kuosha panty ya waiguru na waititu Tena apige pasi😂😂😂