Mi niko oman for the last 9 yrs.. different bosses....ha kuna nnchi unaeza saidika from all gulf countries kukiko oman... Oman is a safe gulf country....tena embassy wetu wanassidia sana kukiko saudi...
Thumb up bro .... I really appreciate the effort and dedication you have Kenyan girl in oman Bro kg that guy I know na awezi kundanganya so mpe kongelo zangu much love
Mimi nko OMAN but si wabaya kama Saudia tutashukuru Mola juu waliaza pesa nikidongo mara kazi ni mingi sisi tumesoea juu iyo office analipia jina ndio ilinileta OMAN.🇦🇪🇰🇪🙏
KG we have able officials n wao husaidia embassy as well. As that guy has requested let them do some investigation . Sisi wakenya tuko oman huwa na group ya kuchangishana so after investigation lkn hopefully sio acting.
Exactly bro wakenya wengine wamekosa adabu kabisa kindly address this issue pamoja na wale vijana wamepelekwa Qatar na Dr mutua wanatuma videos saying walienda kua dumped Qatar na mara wanalipwa 750 Qatar riyals kindly can you make a video and clarify this because my cousin is already working in a guest house and his pay is 1200
And you're very comfortable asking him to address the issue, 1200 qr, if you deduct food from that salary plus some minor things what will you save???? In Quest house?????
@@kgchippysana aky Mimi nilikuwa naumwa Kila wakati na nika mwambia boss siwezangi na hii hali ya baridi nili fanyiwa shopping ya guo za baridi siku iyo iyo full kuanzia makofia Hadi kwa socks nzito zenue kuvuiya baridi Sasa mtu kama haelewi ndo mambo mengine Yana jitokeza
Kg mm nilirequest umuanike huyu tapeli mkubwa ambaye anajiita Austine Kiptoo halafu anatutumia fake documents atleast utasaidia Wakenya wengi nko na evidence na kila kitu
Omani ninchi moja hatali sana hasa kwakina dada zetu ila wanakuwaga hawasikii, ila kwasisi ambao tunaijua OMANI nihatali sana kwaunyanyasaji nawakati mwingine wanawalazimisha kufanya ngono nakuzirusha mitandaoni , ninchi moja yakikatili sana OMANI
Wakatili ni ninyi wenyewe mmekosa haya umalaya wao ndio unawawasha mnachafua nch ya wenyewe mbona sisi tulio tulia tupo na hatujawah ona hayo manyanyaso uyasemayo wewe?
Kenya embassy in oman wanachunguza kesi yako ile kweli wanaona yahitaji msaada huishugulikia maraiyo iyo zingine aishhh ni drama tuchunguze kwanza ukwel tutaiupata
Mi niko oman for the last 9 yrs.. different bosses....ha kuna nnchi unaeza saidika from all gulf countries kukiko oman... Oman is a safe gulf country....tena embassy wetu wanassidia sana kukiko saudi...
Omani ni ichi nzur sana tuko huku na tunaishi vizur kbs 🎉🔥🔥🔥🔥
Tuko twaishi vizuri chamuhimu tufanyiwe mpago wamishahara ya omani ni Duni tunaishi poa sana
Thumb up bro ....
I really appreciate the effort and dedication you have Kenyan girl in oman
Bro kg that guy I know na awezi kundanganya so mpe kongelo zangu much love
🫡👏🏾👏🏾
Wakenya wameamia Omani mhhh utasikia mengi Wame chafua Saudia sasa Wana amia Omani
True
😂😂😂😂😂😂
Here jails await...no joke...
Baridi sikali sana lakini maisha wahuku wanataka moyo sana sikururi vile
Mimi nko OMAN but si wabaya kama Saudia tutashukuru Mola juu waliaza pesa nikidongo mara kazi ni mingi sisi tumesoea juu iyo office analipia jina ndio ilinileta OMAN.🇦🇪🇰🇪🙏
Oman is a nice country,gulf nzima, Oman wako caring na humble, watu waache kuchafua hii zanzibar yetu
KG we have able officials n wao husaidia embassy as well. As that guy has requested let them do some investigation . Sisi wakenya tuko oman huwa na group ya kuchangishana so after investigation lkn hopefully sio acting.
Thus our prayers too
Na hiyo group iko wapi maana Mimi pia Niko Oman
Good job sir
Kumbe wakenya mnajijua kuwa nyie ni waongo eehheee?.
😂😂😂 kweli kg tunajulikana sisi n waongo tunafanya madrama ili tutoke kwa maboss wenye walitutoa kenya
Na yaaribia yule mwenye yuko serious ateseka cha ukweli aoneka ye pia hali kadhalka😌😌
@@kgchippy eeeeh aki kuna mwenye alijifeintisha weee nakwambia kg aki wakenya tumekua na uongo sana
Kwanza mimi naitaji msaada nipewe namba ya embassy
Ndio mwingine yupo a'annaumwa,ajenti ku
Heri,wamereta embasy
Exactly bro wakenya wengine wamekosa adabu kabisa kindly address this issue pamoja na wale vijana wamepelekwa Qatar na Dr mutua wanatuma videos saying walienda kua dumped Qatar na mara wanalipwa 750 Qatar riyals kindly can you make a video and clarify this because my cousin is already working in a guest house and his pay is 1200
Guest house Qatar? 🙆🏽♂️🙆🏽♂️na alipwa Qr.1200 ohkey
And you're very comfortable asking him to address the issue, 1200 qr, if you deduct food from that salary plus some minor things what will you save???? In Quest house?????
Ata wa house to house analipwa mob🙆🏽♂️
Good job highlighting the plight of our gals with facts on the ground.
Hio Embassy ya Oman tunawashukulu kwa kushugulikia watu wetu, but sisi pia tujalibu kubadilisha tambia zetu za uongo juu tunahalibia wengine
100% facts
Chipande hogera sana tuna kupenda sana
Mm kwenye nko kg nibaridi wah
Gulf yote saii ni kabaridi
Oman is the best country
😂😂😂 wacha ncheke juu apo kwa baridi 😂
Hakuna baridi?😳
@kgchippy aii mm sidi yenye nko kuko n jua kama ya January kenya
Vile uku niko kuna baridi@@WanguiGithua
Haha baridi si Kali kwani uko side gani@@WanguiGithua
Where is this Embassy, and they were demanding money for her to be helped ,😢😢
Check location on google
Embassy ya kenya haina musaada maana niafata wakati office yangu iliyoko Oman ikinidhulumu hawakunisaidia walinirengesha kwa hiyo office
Saa hii kuna baridi sana
Na yachangia maradhi pia😌
@@kgchippysana aky Mimi nilikuwa naumwa Kila wakati na nika mwambia boss siwezangi na hii hali ya baridi nili fanyiwa shopping ya guo za baridi siku iyo iyo full kuanzia makofia Hadi kwa socks nzito zenue kuvuiya baridi Sasa mtu kama haelewi ndo mambo mengine Yana jitokeza
Oman we pay for our expenses
Usione MTU ywateseka ukadhani hajielewi.sio kila boss ni mzuri.kama ulipata Bahati bac mshukuru mungu.ila usiongee vibaya.
Na mtu akidai kurudi home lazima ajilipie ticket
Kg mm nilirequest umuanike huyu tapeli mkubwa ambaye anajiita Austine Kiptoo halafu anatutumia fake documents atleast utasaidia Wakenya wengi nko na evidence na kila kitu
Ebu kuja messenger KG CHIPANDE 😳🙆🏽♂️
Kweli kg
🫡
Ati wauze shamba home!! Si huo ni ujinga alidhani anakuja kwa raha, kila jambo ni subira na uvumilivu na kuwa karibu na Allah
😂😂
Nikama aujapatwa na shida ww mpaka uamue kuuza kitu chako😢
Ukitaka kurudi kenya...ukienda embassy...wasafirishwa bila shida
Hawakulipishi hera yeyote ama kukueka uko
HATUTAKI WENYE. KUCHSFUWA NCHI. YETU KAENI. MA KWENU. NA. UWONGO. WENU
Oman ni ?
Jamani🫢
Kwanza mm nipewe number ya oman
Oman is good
100%
@@cashflow4319 very good indeed
I'm oman 10 years Good 👍
Connect me please
Ni kubad oman sio kama saudi, mjue hawa wanaitisha pesa walitumia. Saudi unaregeshwa kenya na sponser fwaah. Iman utalipa expenses zooote
Omani ninchi moja hatali sana hasa kwakina dada zetu ila wanakuwaga hawasikii, ila kwasisi ambao tunaijua OMANI nihatali sana kwaunyanyasaji nawakati mwingine wanawalazimisha kufanya ngono nakuzirusha mitandaoni , ninchi moja yakikatili sana OMANI
Wakatili ni ninyi wenyewe mmekosa haya umalaya wao ndio unawawasha mnachafua nch ya wenyewe mbona sisi tulio tulia tupo na hatujawah ona hayo manyanyaso uyasemayo wewe?
God help us in gulf 😢
Aache uongo Oman is a such a nice county
🤯🤯🤯🤯🤯
Embassy Kenyan hawasahidi lasima ubambane kwani wangapi wamekufa Saudi na kuna embassy pia hata oman wako hiyo sio wewe usitoe Mbaka . Watu wajifunze
Kenya embassy in oman wanachunguza kesi yako ile kweli wanaona yahitaji msaada huishugulikia maraiyo iyo zingine aishhh ni drama tuchunguze kwanza ukwel tutaiupata
😅
Naoba naba ya ebasi ya oman inkes kuna eza tokea lolote
Ntaeka kwa comment apo
@kgchippy please weka number
@@kgchippy please tupee hiyo number
Jiungeni na group ya KIO ya kina Martin @@TRENDINGMOMS