Mwijaku Amvua Nguo Juma Lokole! "Situmiagi Tundu La 7 | Anataka Kuniingiza Kwenye Dhambi!"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 193

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 5 років тому +47

    Brother mwijaku.. Leo umenifurahisha uyo jamaha ni shogaa kweli nishoga kbisa tunamjua

  • @KATIBUSTAR
    @KATIBUSTAR 5 років тому +88

    Yani mwijaku akimuongelea mke wake rahaa tupu wanaume jifuzeni kusifu wanawake wenu igeni kwa mwajiku

  • @Caromartial
    @Caromartial 5 років тому +30

    Mwijaku umejua kunichekesha😂😂,jamani lokole

  • @nastehamuktar50
    @nastehamuktar50 5 років тому +13

    Kweli kabisa mwijaku uko right kabisa thank u

  • @gracegilbert2882
    @gracegilbert2882 5 років тому +22

    me napenda vile mwijaku huwa ana msifia mkewe

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 5 років тому +1

    Mwijaku wew sio mtu mzuri usijifanye unasifia wanawake lakini nyuma unawaebisha wew shetani mojakwa moja nidhahiri motoni itaenda

  • @blasskameta944
    @blasskameta944 4 роки тому +3

    Kwakwel umenifurahisha mwijaku

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 років тому +6

    🤣🤣🤣 tundu la 7 Juma kapata kiboko yake xaha xaha Mwijaku nyoko kweli

  • @zamoyonikibella4484
    @zamoyonikibella4484 5 років тому +5

    Imani ya dini haipo kwenye hilo tu mdogo wangu mwijaku ebu angalia hiyo cheni hapo shingoni je dini inaruhusu? Amelaaniwa mwanaume alievaa mavazi ya mwanamke na hiyo cheni pia ni vazi là wanawake ...kwa hiyo wewe na Juma nani Shoga? Au wenyewe mnajuana? Halafu jaribu mdogo wangu kupunguza mambo ya udaku kuongea ya wenzio ya kwako huyaoni wacha kabisa fanya yako

  • @danamickle9739
    @danamickle9739 4 роки тому

    Mxiuuuuuuuuuuuuuuu....ebu mwache juma wetu

  • @jamilapeter3210
    @jamilapeter3210 4 роки тому +1

    Hahaha kaka hongera piga kelele kwa mwijaku ake eeeeh

  • @Directorhernrypro
    @Directorhernrypro 4 роки тому

    Hua nakuelewa sana mwijaku

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 років тому +10

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tundu la saba 🤣🤣🤣

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 роки тому

    Ooooooh jumbe Juma lokole ni shoga ooooooh ndio maana haposti watoto kumbe n shoga

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 4 роки тому

    Naku support 100/ mdogo wangu tenaa walaa usijaribu hataaaaa robo kumsogeleaa pale alipo kharaaaam tupuu zinazo mnig'hiniaa so plzz na haoo wanao kuhoji na kukusogezea hataa hilo jina lakee wakomeshee

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 років тому +2

    Kaumuluthwi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu mwijaku ki Arab chake sikiamini kabisa 😂😂😂😂😂tundu la saba 😂😂😂😂

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 4 роки тому

    Inalillahi wainailayhi rajiun Mola akuongoze ampemwishomwema

  • @princespider5854
    @princespider5854 5 років тому +3

    Like za waschana wanaosifiwa na mwijaku

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 роки тому

    Leo nimekukubali bro

  • @azizjafary852
    @azizjafary852 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nakubal utaki ushogaaaaa mamae @ Big up kaka mwijaku

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 7 місяців тому

    Mmmmmh hamna kitu hapo wakawaid a tu

  • @sabinamakwi2657
    @sabinamakwi2657 2 роки тому

    Kaka unanifirahisha sana ukimsifia mkeo najisikia poa

  • @sayunmartin588
    @sayunmartin588 4 роки тому

    😂😂 sana mwijaku.umeongea kitu Cha ukweliii 🤝🤝..... Wap lokolee🙉🙉

  • @wemapingu8937
    @wemapingu8937 5 років тому +5

    Mwijanku hongera kwa kumsifu mkeo

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому

    Noma sana daaaa tundu la saba😄😄😄😜

  • @jumaomar128
    @jumaomar128 4 роки тому +3

    😂😂tundu la saba 😂😂mung tunusur nalo

    • @vailethvalentine4487
      @vailethvalentine4487 4 роки тому

      nilikuwa cjui kama mwanadam anamatundu 7 mwijaku amenifanya nihesabu matundu yangu

  • @munirahassan2220
    @munirahassan2220 5 років тому +3

    😂😂😂😂😂😂Mwijaku umenifulaicha San ❤️❤️❤️💕

  • @HamisiSimba-tj2zy
    @HamisiSimba-tj2zy 4 місяці тому

    Daa kaka umeongea vitu vyamana Sana Juma choko

  • @hassanzuberi9019
    @hassanzuberi9019 5 років тому +6

    Daaaah huyu jamaaaaa ,🤣🤣😂😂🤣🤣

  • @mumranjuskaranja8216
    @mumranjuskaranja8216 4 роки тому

    Wawaaa mwijaku kweli a napeda mkewe Sana..

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 років тому

    Saf sana mwijaku umenifuraisha sana.

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 Рік тому

    Mwijaku na mkewe wote miguu vijiti vya kiberiti

  • @mariamsayari7880
    @mariamsayari7880 5 років тому +16

    😂😂😂huyu kaka kanishinda tabia😂😂tundu la 7

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 5 років тому +2

    Wallahi wewe mwijaku khabithi subhanallah wewe alafu dayuthi umlete mkeo watu wapige picha miguu huna akili mambo mengine ficha ya mkeo ni yako basi niletee mimi niifanyie kazi

    • @saeedmohammed1067
      @saeedmohammed1067 5 років тому

      Sie eti na yeye, anamsifu mke wake kwenye mtandao, dayusi kwisha kazi

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 4 роки тому

      Anakurupukia kutoa hukum bure yeye anaona anapo sema kumleta mkewe akaguliwe ndio kumsifia mpeni pole tu!

  • @hassanjuma2688
    @hassanjuma2688 5 років тому +1

    Haya juma shoga kwake motoni.
    Wewe nawe Dayyuti kwa kauli ya mtume Dayyuti ni jitu liso na wivu na mkewe yani kumuanika mke mitandaoni mara kwa mara na Dayyuti mahala pake ni motoni mtume kasema.

  • @kwizerazenab814
    @kwizerazenab814 4 роки тому

    Iyomigu unasema Sasa ushawapima mingu wanawake wote ukajuwa wanamigu mibaya wako njo mwenye migu mizuri?

  • @justinamarwatv8415
    @justinamarwatv8415 5 років тому

    We mwijaku we ukweli unauma ukitajwa Tu unaumia sana unauakika gani na wewe unafanya nini

  • @jumanneazizi8494
    @jumanneazizi8494 3 роки тому

    Mwambie kweli choko uyo

  • @fatumamkuzi1475
    @fatumamkuzi1475 4 роки тому

    Huku na pitwa kumbe 🤣🤣🤣🤣
    Tunndu la 7🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️ acha ni cheke tu

  • @tizokarim1490
    @tizokarim1490 4 роки тому

    Iyo imekuuma

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 4 роки тому

    Yaani cjui hata nisemeje ok cc wageni tume toka mbinde

  • @seziholiness9860
    @seziholiness9860 4 роки тому

    Ndio maana nimbea Ivo Mungu anavumilia maovu mengi ....dunia jamani

  • @tizokarim1490
    @tizokarim1490 4 роки тому

    Iyo imekuuma una jipya we una pesa gan umiliki mke mzur

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 роки тому

    We kaka maashaallah kweli unajua kusifu we kweli dume

  • @akilihabibu4203
    @akilihabibu4203 4 роки тому

    Kwahiyo mwijaku unasema huwezi kujifunza ushoga kumbe Ni mtaaram wa (u------).umefuzu. Daa! Hungera sana

  • @angelrichard8211
    @angelrichard8211 4 роки тому

    Ila Mwijaku una Sura ya kike jaman nisamehe kama nimekukosea sijaongea kwa ubaya

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 4 роки тому

    Bro tundu la Saba uliesabu ha ha ha

  • @nastehamuktar50
    @nastehamuktar50 5 років тому +5

    Wow this man loves his wife wow

    • @frenchygigi
      @frenchygigi 5 років тому

      Too bad he has married a 2nd wife really disappointed

  • @shebynizedaudi336
    @shebynizedaudi336 4 роки тому

    me ua situmie tundu la saba hahahaha mwijaku umetisha

  • @reginakennedy3498
    @reginakennedy3498 5 років тому

    Sipendi mtu anaeongea na mtu huku anatafna tafna kitu aaah! Ovyoo unawezaje kusem mtu anaenda jehanam. Wwje?

  • @kakamkuu1400
    @kakamkuu1400 4 роки тому

    Wewe mwijaku mbona kama haujielewi? Unamsifiaje mkeo kwenye uma?

  • @djungabahati3103
    @djungabahati3103 5 років тому

    Toka

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 4 роки тому

    Mmmmmh mwijaku wajifanya wajuwa dini Sana eeee??na menina yuwapi😄😄😄

  • @mishecktemba9275
    @mishecktemba9275 5 років тому

    I like this guy...he is an actor

  • @Aminamohamad255
    @Aminamohamad255 3 роки тому

    Na kupenda bure

  • @irinekatumwakatumwa6606
    @irinekatumwakatumwa6606 5 років тому +1

    Hahahaha.... Mwijaku bana!!! Eti tundu la saba

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 5 років тому +8

    We xi unaxemaga unataka pepo xaxa mbona hata mwanamke wako hajistili

  • @joharijumajohari6417
    @joharijumajohari6417 5 років тому +1

    Safiiiiiiiiii sana mwijaku

  • @annamfugwa2872
    @annamfugwa2872 4 роки тому

    😂😂😂😂Mwijaku sio mzima wewe eti tundu la saba

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 4 роки тому +1

    Mwinjaku 🤣🤣🤣 💪

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 Рік тому

    Mwijaku usimuhukumu mtu yyt kua huyo anaenda motoni hio ni siri ya allsh wewe sio mtoa hukumu za waja mbona wewe ni kuadi wa wasanii na watu wanalijua hilo kujifanya unajua dini na unafiki umekujaa kazi yako kuomba kisaikolojia

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 5 років тому +8

    Atakufa na lahana uyo ,,,nimtu wa Kiki tu ana lolote ,,, ndomana nasemaga
    Tz Amna mastar ,tofahuti na WCB tu wengine niwanawake tu

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 4 роки тому

    Nime Cheka mm jamani eee

  • @mamayaoharistar4599
    @mamayaoharistar4599 4 роки тому

    Mwijaku shikamoo humfwati Shoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @yassirtz9703
      @yassirtz9703 4 роки тому

      Mwijaku nakupenda saana natamani nikuone tupge napcha

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 5 років тому +4

    Kabisa mwijaku

  • @meirenatus5683
    @meirenatus5683 4 роки тому

    shogaaa jumaa

  • @fekechezidg2036
    @fekechezidg2036 3 роки тому

    😅😅😅😆😆😆

  • @elizasizya4285
    @elizasizya4285 2 роки тому

    😁😁😁

  • @agnesriwa5795
    @agnesriwa5795 4 роки тому

    Namuelewaga kinyama

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 5 років тому +1

    Kwaio utatuonesha miguu ya mkeo ili kumjibu huyo umuitaye shoga ili ufurahishe vyombo vya habari na watanzania
    Mm naisi na wewe utakua ni zaidi ya shoga
    Maana mwanaume rijali hafikirii vitu vya kipuuzi vya kumuasi mungu kwa ajili ya watu

    • @racheljaphetic9260
      @racheljaphetic9260 5 років тому

      Seriously ni ukweli, yeye akisema wengine anaona raha, akiguswa anapanick, kweli kunya anye kuku, akinya bata kaharisha 😁

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 5 років тому +1

    Yani wanaume wote wangekuwa wanasifu wake zao kama kaka mwijaku ,Wa Allahi ndoa hazingevunjika

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 5 років тому +1

    Broo mwijakuu naomba utuzibitishie Kama kwelii jumalokole anatoa ndogo

  • @muuelano6794
    @muuelano6794 5 років тому +3

    Mm sio mtumiaji wa tundu la saba

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 5 років тому +4

    Mwijaku ndoto zang ili zitimie tuonane alfu npge pch na w nakukubal sn mwijaku

  • @patrickolafu665
    @patrickolafu665 4 роки тому

    Aaaaaah

  • @zulfaabdallah3217
    @zulfaabdallah3217 5 років тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kwizerazenab814
    @kwizerazenab814 4 роки тому

    Mrembo wako sio wawote bimana siwote walimuona wakaona nimzuri lakini si vizuri kumtukana mwenzako ivo unauhakika jamani wa tz acheni ivo muwe naadabu

  • @jumbebakari128
    @jumbebakari128 5 років тому +2

    Kumbe nae anaumia mbon kila siku awasema kina uwoya ili nalo choko

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 5 років тому +7

    Ata mung anasema msifie mkeo

  • @josephsuzana2153
    @josephsuzana2153 5 років тому +2

    Asee huyu jamaa😂😂😂

  • @dianaluigi4620
    @dianaluigi4620 5 років тому +1

    Hahaaaaa mwijakuuu weeee

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 років тому

    Tundu la saba.balaaa

  • @zarinasuluhu2547
    @zarinasuluhu2547 5 років тому

    Juma kapata kiboko yake hahaha

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому

    Kamuludhwi 🤣🤣🤣tundu la saba

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 4 роки тому

    He he he mbavu zangu

  • @wahidaperis7801
    @wahidaperis7801 5 років тому +2

    Una masifa mengi wajifanya mjuwa dini sana we mwenywe apo uja kamlika una mapungufu yako ,mwanzo shingoni umevaa chain ya nn mtoto wa kislam ww

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 5 років тому +2

      Mwijaku umeongea kweli juma lokole nishoga

    • @nimojama7388
      @nimojama7388 5 років тому

      Mwanaume ana ruhusiwa kuvaa chain ya silver ,kidini ni sawa

    • @nimojama7388
      @nimojama7388 5 років тому

      Kuvaaa silver ,ki dini nisawa mbona

    • @wahidaperis7801
      @wahidaperis7801 5 років тому

      @Ali Ali mwenzangu njoo unitoe maanake zimejaa sio mchezo ntakupata wapi vile

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 5 років тому

    Hhhhhhh tunduu la sabaaa

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 років тому

    Mkewe mzr sana

  • @chadiapetite4924
    @chadiapetite4924 5 років тому +1

    🤣🤣🤣 mwijaku u sooo funny

  • @bakhresaalwatan6696
    @bakhresaalwatan6696 4 роки тому

    Mwijaku anajua kuongea si haba

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 років тому

    MWINJAKU NA JUMA LOKOLE NI SAWA NA KENGE KUMUONGELEA MJUSI...WOTE WALE WALE

  • @khadijahussein3492
    @khadijahussein3492 4 роки тому

    Hiyo tundu la saba ndio gani...niambieni wenzangu

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 5 років тому +1

    Eti tundu la saba😂😂😂😂

  • @kibokohassani895
    @kibokohassani895 5 років тому +5

    Huna akili wewe unajifanya mtu wadini wakati nawewe una makosa iyo cheni shingoni wajifananisha nani wema awu adija kopa

    • @salehabadsalehpur796
      @salehabadsalehpur796 5 років тому

      Huwa napenda mtu wa kawaida ambae anajua Uwepo wa Mungu na Utukufu wake kuliko Kiongozi wa Dini. Cheni na mengine ni ujana tu ALLAH amuongoze yeye na sisi. AMIIN

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂 yaan uwa wanifraisha hhhhh

  • @princessuda9155
    @princessuda9155 4 роки тому

    Mwambie uyo

  • @veemetty1595
    @veemetty1595 5 років тому

    Seven what. . ????

  • @nyoninyonii6956
    @nyoninyonii6956 5 років тому

    jamani tundu lasaba

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 4 роки тому

    Asha kujisifu saaana kizuri hakusifiwi

  • @naitwai
    @naitwai 5 років тому +1

    Ongeza speed ,storage na memory space ya simu
    👇👇👇
    ua-cam.com/video/l04JcHms-lQ/v-deo.html