Acha unafiki kama una ijua dini na kweli ndoa yako iko sawa..mbona ana muacha mkeo hafanyi stara..ana vaa mavazi ya hovyo tuu na kichwa wazi..jiangalie sana M.mungu atakupa fundisho huta sahau katika ulimwengu huu
Zuchu usikasirike! M/Mungu ana uwezo na kila njia kwa namna anavyotaka kufikisha litakalo kwa mja wake, huenda Mwijaku kawa sababu ya wewe kupata jambo la kheri na kukunusuru na shari ili usije chekwa na waliokutangulia ukaonekana wewe ndo bure kabsa🙄🤣
Heri baba ya huyu mwendawazimu angevaa mpira asingemleta huyu mjinga duniani sijawai ona mtu akimchambua mwanamke na mwanawe nkt mwijaku mdaku Sasa anadhani anafurahisha kumbe anatukera nashuku huyu hajapashwa tohara
Acha kujifanya unajua sana,
He speak frankly
Buni kazi Yako Wacha kula Kwa mgongo WA wenzio utaolewa
Acha unafiki kama una ijua dini na kweli ndoa yako iko sawa..mbona ana muacha mkeo hafanyi stara..ana vaa mavazi ya hovyo tuu na kichwa wazi..jiangalie sana M.mungu atakupa fundisho huta sahau katika ulimwengu huu
Kujua dini na kufata dini ni vitu viwili tafauti.
Mohamed anaruhusu umbea! Na kufitinisha watu! Hii inakaaje kuhusu Imani?!
Zuchu nlikuishimu lakn umejisaau dadangu kando na ubora wako wa uimbaji ila zina mtoto wakiislam tena kudanga na mtu asiejuaa vungaa zipuu 😂😂😂😂
Yes true
Kumbe Mwijaku aijuwa dini
Hamo angalia nyoka huyo😅😅
Nyoka ibilisi wa kuzimu!
Nikweli mwijaku hujakosea na zuchu hapo kapata rlimu nzuri tuu nikweli zinaa mbaya
Zuchu usikasirike! M/Mungu ana uwezo na kila njia kwa namna anavyotaka kufikisha litakalo kwa mja wake, huenda Mwijaku kawa sababu ya wewe kupata jambo la kheri na kukunusuru na shari ili usije chekwa na waliokutangulia ukaonekana wewe ndo bure kabsa🙄🤣
Kweli upo sahii alivo kujibu ni asila tuu
Heri baba ya huyu mwendawazimu angevaa mpira asingemleta huyu mjinga duniani sijawai ona mtu akimchambua mwanamke na mwanawe nkt mwijaku mdaku Sasa anadhani anafurahisha kumbe anatukera nashuku huyu hajapashwa tohara
Kweli kabisa maneno yako hakuna cha sifa wala chochote..
Ww hauzin acha unafiq
Kwer kaka mwijaku wambie
Kwema gea
Ila Mondi nae ametangaza kwa namna yake
Hii interview kimekuletea kihama 😅😅😅
Jinga limesoma kweli
Huyu jamaa ni mnafiq
Mnafiki huyu
huyu mzee ni mjinga na hio kichwa yake inkaa panga
😂
Ni zaidi ya mnafki
@@sarahsulubu8587😊😊
Huyu simjinga kaongea point mjinga ww unoongea ivo
Amekosea nini mwijaku ?wabongo mna lana ovyoooooo