Maa shaa Allah nice try hizo i guess ni curry leaves you put in all lentils curries after cooking it u take a dmsll pan with ghee heat the oil put the curry leaves with spices that u like pour ontop of the curry en it gives the perfect smell plus taste tip,check indian videos gor more ideas,lastly they use it sldo kwa chsutos zao su viazi vya slices hope this helps .....😊
Hongera Sana dada Humo kwenye hizo umefanya unaweza weka na zabibu kavu, karanga zilizokaangwa, na matunda yyte makavu na nuts utazopenda ww km hivo nmesema karanga korosho lozi/almonds etc
Hivyo vibati vyote unaweza tengenezea shape nyengine za hizo chauro kwa kutumia mchanganyiko huohuo ama unaweza tengenezea shape tofauti za coocokes (Vileja)
Masha Allah nitajaribu niwapikie watoto hiyo waeza tumia pia kwa Bajia za dengu na hata kwa pilau yaleta harufu nzurii
Asante nitajaribu kwa pilau sijawai weka
Waeza siaga dengu kwa kisiangi na utumie kupikia ama lzm ununue hiyo gram flour ?na pia waeza tumia unga wa ngano instead ya unga wa mshele?
Maa shaa ALLAH
♥️♥️♥️♥️
Maa shaa Allah nice try hizo i guess ni curry leaves you put in all lentils curries after cooking it u take a dmsll pan with ghee heat the oil put the curry leaves with spices that u like pour ontop of the curry en it gives the perfect smell plus taste tip,check indian videos gor more ideas,lastly they use it sldo kwa chsutos zao su viazi vya slices hope this helps .....😊
Thanks very much
Wawooooo ajab❤😅
Ila Dida😋, must try
utapenda
Mashaallah Mashaallah
Tabarakallah
Wow io mashine inauzwa bei gan
cheki vyomb centre
Assalamu aleikum daa dida nimefurahi siku ya leo kwa mameno yako 😂😂😂😂 MASHAALLAH barakallah kwa kazi yako
waalykhm mussalm Daa zuu nimefurahi vile umefrahii
Nice ntajaribu
ok love
Hongera Sana dada
Humo kwenye hizo umefanya unaweza weka na zabibu kavu, karanga zilizokaangwa, na matunda yyte makavu na nuts utazopenda ww km hivo nmesema karanga korosho lozi/almonds etc
Asante sana kipenzi
❤
♥️♥️
Insha Allah nikirundi kenya nitajaribu kupika pia mm nione
InshaAllah
inshaAllah Lazima nijaribu hii 🤤
Limro Kwa curries,wali,mboga mvoga bajia,viazi,nyele
Asanteni
Asant
karibu tena
nitakipawapi hichi kifaa cha kuitengeza hii cripcy
❤❤❤❤
So nikama chauro sindio ❤
eeh
Assalam Aleikum.dida hivyo vibati vinatumika sana kuweka shape biscuits (vileja)
wslam shukran kipenzi
Hivyo vibati vyote unaweza tengenezea shape nyengine za hizo chauro kwa kutumia mchanganyiko huohuo ama unaweza tengenezea shape tofauti za coocokes (Vileja)
Asante sana kipenzi❤️❤️
😋😋😋😋😋❤❤
Wahooo uzadushirireho ingredient mukinyarwanda
❤️❤️
Unga wa Michele unaweza kupata dukani?
After the oil what is the white stuff u put n after the turmeric?? Salt or ?
yes pinch of salt
Ukifanya hizo unaweka na karanga zinavutia zaidi
Mambo
poa sana
Daaah mie nmejarib juzi wakat naanza kupika sas dengu ilivoingia2 kw mafut yakaruka yameniunguz mkon sai nauguz kidondaa😢😢
pole my love ilikua ueke polepole
Hicho kidude chaitwaje
Hizo naziona hapa nyumbani kuna hata homos na ndegu yenyewe ana fry pia
oooh
Ni lazm kuweka unga wa mchele dada
Mama dida
Yees mamaa
Hi dear unga wa Michele naeza pata wpi..nko msa
kwa maduka hapo town kipenzi markiti nomesahau jina
Naeza pata unga wa dengu wapi Nairobi
islii wanauza ama supermarket unaitwa gram flour