MashaAllah ,nimejifunza vingi toka kwako,ila kwenye pishi hili niliharibu vipi sijui dada ,bas nikaweka mafuta ila mafuta ya alizet yanaharufu bas ukila vina harufu 😢 ,nikashindwa kujua nitumie mafuta gani ,kingine nilitumia vipimo hiv ,icing sugar 500mg ,ngano 500 na mafuta 250 en more k ila 500mls haikufika ,sasa vikawa na sukar nyingi ,msaada da @dija shaban 😊
Mpishi wetu tuandikie Ingredients zote kwa description box ni rahisi zaidi.
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Jazzaka Allahu Kheir ❤
Mapishi mazuri sana, kazi nzuri sana
Asante ntajaribu
Mashallah
Mashaallah shukran jazaqallahu kheir
afwan
Jazzakallaahu kheir ❤❤❤❤
Ameen
Obrigado por compartilhar essa delícia 😋✅👍 meu like pelo maravilhoso conteúdo 🤩
O
😊
M
Mashaallah nampenda mapishi yako.allah akuhifadhi mikono yako.❤
Ameen kipenzi shukran
Shukrani kwa katai za biashara yummy 😋
karibu love
Nice one habibty .....ur of great help with biz ideas...Allah bless u 💕😘
Allahuma ameen shukran love
Your new subscriber from tiktok. Tamu sana
Thanks for coming
Thanks for the recipe🥰
where's the recipe ?
MashaAllah ,nimejifunza vingi toka kwako,ila kwenye pishi hili niliharibu vipi sijui dada ,bas nikaweka mafuta ila mafuta ya alizet yanaharufu bas ukila vina harufu 😢 ,nikashindwa kujua nitumie mafuta gani ,kingine nilitumia vipimo hiv ,icing sugar 500mg ,ngano 500 na mafuta 250 en more k ila 500mls haikufika ,sasa vikawa na sukar nyingi ,msaada da @dija shaban 😊
Piah hizi cup ukipimia unaweka mfumo ama chajaa hadi kilima
Unaweza kutumia siagi uliyeyusha
Kama hauna oven pls tutolee yamkaa
Mashaa allah da didah shukran nimeanza kuziuza mtaani kwangu
Hongera sana na Mungu akutilie Barka zaidi
@@HadijaSheban .habari.uko salama .naomba namba zako.nina shida .nataka kujua biskuit .za unga kl 3/.vipimo
Which flour self rising flour ama any
Kwa Tanzia ntaviizaje sasa.Maana hela za Kenya sielewi.Hiyo mia nne
Naomba kuuliza dada mfano unga kilo moja unaweka sukari kiasi gani na mafuta kiasi gani
Naomba queen cake za biashara plzz
Backing powder??? Hatuweki?
Moto ni juu na chini?
Mashallah😊
Tabarakallah
PIA nilitumia zaid ya dakika 50
Masha allah dada pishi ni tamu nimejaribu kupika alhamdulillah vimetoka vizuri but naomba uni add ktk group lako la telegram
Karibi sana group sahio limepoa ntafungua jipya
Sawa mamy inshaa allah
Naomba kuulizaa,hayo mafuta ya uyo tunayapasha Moto af tuyaache yapoe,au tunayatia yakiwa baridi
hapana hatupashi moto
Nimekupenda bule niunge basi
Mung akulip dad
Ameen my love shukran sana kwa hio dua
0:01 Mmmm They look absolutely delicious 🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤
No baking powder
yes
Maji hujaweka kabisa???
Tuonyeshe kupika njugu coated za biashara dada
okey sawa love
Unga ni kilo ngapi ⁉
sikiliza video
Kama nikitumia sukari ya kusaga iko sawa ama mpaka icimg sunger?
Ni sawa pia
20 kwa mia nne au elfu 4
400 ya kenya
Kma huna icing sugar siwaeza Fanya na skari ya kawaida
sijawai fanya na skari ya kawaida
Kama huna oven unaweza tumia nini
mkaa ila nitaleta video
Sister Hadija samahani nilikuwa nauliza auwezi kutumia sukari ya kawaidi coz nipo Burundi ice sugar ni mziki kuipata uku aipatikani kabisaaaa…..
saga sukari yako
ama utumie ile sukari ina chenga ndogo ndogo
@@HadijaSheban thanks sis
Mafuta umechemsha ama ni barid?
yakawaida tu