Hey dr,inategemea unga Wenyewe wa kupikia tambia umenunua pesa ngapi na umetumia kiasi gani,pia angalia matumizi mengine kama ya mafuta ya kupikia Kisha ufanye hesabu utajua Bei ya kumuuzia mteja wako.
Inategemea na kiasi unachotaka kuanzia kama ni packet ngapi za unga wa dengu (waeza Anza na packet 3 hadi 5) container za kuekea ama vifuko,na mafuta ya kukarangia. Unga unauzwa shilingi 60 ama 70 za Kenya,vifuko ni ksh 30 Kwa vifuko 70
Nimemiss hizi tambi aki…zimetokea vizuri so crunchy
Napenda
Thank you so much kwa somo nzuri.
Asante
thank you very much Carol.
❤❤
Unaweza kuniandikianatamani kupika
Umeweka nini
Mbona hukueka baking soda
Maji warm au baridi
Maji ya kawaida
Asante kwa somo zuri my dr...mi nilikua nauliza kilo ya tambi nimuuzie mteja bei gn?
Hey dr,inategemea unga Wenyewe wa kupikia tambia umenunua pesa ngapi na umetumia kiasi gani,pia angalia matumizi mengine kama ya mafuta ya kupikia Kisha ufanye hesabu utajua Bei ya kumuuzia mteja wako.
Nikitaka nazipataj
Samahan naitaj kifaa cha kutengenezea tambi kinauzwa bei gan
Ksh 1000 hadi 1500
18000 tandika sokon
Naitaji hiyo machine nipe namba
Nimeipenda
nicheki kama upo Tanzania 20000 tu
Naweza pata wapi kifaa
Kwa maduka ya vyombo
@@carolharo gharama yake ni bei gan
@@janethalan-zm7lg ksh 1000 hadi 1500
18000 tandika sokon
Samahan mi nauliza hii kwaupande wa biashara inaweza hitaji mtaji kiasi gani kwa vitu vyote yani itagarim sh ngapi?
Inategemea na kiasi unachotaka kuanzia kama ni packet ngapi za unga wa dengu (waeza Anza na packet 3 hadi 5) container za kuekea ama vifuko,na mafuta ya kukarangia.
Unga unauzwa shilingi 60 ama 70 za Kenya,vifuko ni ksh 30 Kwa vifuko 70
Please hiyo UNGA naweza Pata jumla? Na hiyo mashing? Pliz where can I get u through so that we talk more
DM me on my IG @ Caroline Haro
Plz naomba jina la mashine
Inaitwa machine ya tambi
Kwa kizungu nataka kutafuta on line
Sijui Kwa kizungu maybe ununue ukiangalia picha
Napenda
Napenda
Napenda