HELA ZIKO HUKU RAFIKI ZANGU/MASANJA AWEKA WAZI HATUA ZOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • HELA ZIKO HUKU RAFIKI ZANGU/MASANJA AWEKA WAZI HATUA ZOTE.
    KUMEKUWA NA WIMBI KUBWA LA WATU KUTAMANI KUJISHUGHULISHA NA MAMBO YA KILIMO SASA MFATILIE MASANJA AMBVAYE AMELIMA KWA MDA MREFU NA HAA ANAKUWEKEA WAZI HATUA KWA HATUA KUHUSIANA NA KILIMO CHA MPUNGA MAENEO YA KAPUNGA WILAYANI MBARALI MKOA WA MBEYA FATILIA UJIFUNZE ZAIDI

КОМЕНТАРІ • 599

  • @mamesititus4651
    @mamesititus4651 3 роки тому +1

    Mr. Masanja Mimi niko Marekani my No is +18164893199 tuwasiliane nihoji kuhusu hicho kilimo

  • @rehemakazumba4423
    @rehemakazumba4423 5 років тому +69

    KAMA UMEELEWA KAMA MIMI GONGA LIKE👇

  • @rosecruzy6666
    @rosecruzy6666 4 роки тому +20

    Wangapi wameelewa kama mimi big up masanja such a good soul🔥🔥🔥

  • @rosecruzy6666
    @rosecruzy6666 4 роки тому +6

    Jaman nime subscribe kabisa wewe ni genius👏👏

  • @njauson5965
    @njauson5965 5 років тому +32

    Hongera sana Ndg!na shukran sana kwa elimu nami najipanga kwa ajili ya msim ujao

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +1

      Njau Son Sawa karibu sanaa

    • @felixmagulu6142
      @felixmagulu6142 5 років тому +1

      Hongera sana brother Mgaya, Huko kwetu usangu ni zaidi ya Mererani, Ni kuanzia hapo Kapunga, Ubaruku hadi madibira ni utajiri tu.

    • @godfreymagoso5334
      @godfreymagoso5334 4 роки тому

      @@Feelfreechurch ni zaidi ya asante mtumishi,,,,, shukrani sana

    • @aliymajala5678
      @aliymajala5678 3 роки тому

      Brother nahitaji kuja shambani Niko Iringa town

    • @mwashimgeja7311
      @mwashimgeja7311 11 днів тому

      ​@@godfreymagoso5334mm 4:07 4:10 k 4:15 k 4:18 4:20 4:20 4:21 kkkkk

  • @m-musicstudios2023
    @m-musicstudios2023 5 років тому +5

    braza mimi n mwanafunzi wa chuo npo mwaka wa mwisho kaka nashukuru kwa darasa umeniongezea idea nyingi nashukuru kaka kwa somo hili natamani hata siku moja nipate nafasi ya kukaa na wew ili kuendelea kujifunza mengi kutoka kwako natumai siku moja nitapata hiyo nafasi ila ahsante kwa darasa na endelea na moyo huohuo ilui wengine tujifunze kutoka kwenu

  • @dauddavid8168
    @dauddavid8168 3 роки тому +1

    Bei ya kupanda ni shingap mkuu

  • @thomasminzi1609
    @thomasminzi1609 Рік тому

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁,,😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁,, Jaman mkoaa w Mbeyaa,, unavivutio vingii,,, karibun sanaa wageen ,,, asaa pande za Mabarali Kama,, Helaa zipoo ukuuu jamn

  • @isayachihota8264
    @isayachihota8264 3 роки тому +5

    'Inspiring!' Can you pls put english subtitle to this video!

  • @aliymajala5678
    @aliymajala5678 3 роки тому

    Nahitaji kuja huko brother nahitaji kuja shambani Niko Iringa Mjin hapa 0785278779 place

  • @localvocals7206
    @localvocals7206 4 роки тому +22

    Daaaah nimechelewa kinyama, brother unafanya bonge la kazi yani. Yani mi nimeona una share siri za mafanikio kinagaubaga kabisa. Mungu akupe nguvu uendelee kutema vitu.

    • @fredyshaltiely2209
      @fredyshaltiely2209 4 роки тому

      du ..?wewe noma mungu azid kukupigania ktk kaz yako

    • @mcluciana4554
      @mcluciana4554 4 роки тому

      Kaka umenishawishi Mno hongera sana sana Namba Yangu 0655408252 nibeep tuyajenge Barikiwa mno

    • @daudiame4758
      @daudiame4758 3 роки тому

      Mungu akubari zaid kwakushea nawengine maujanja

  • @deodatuselias412
    @deodatuselias412 8 місяців тому

    Habali mtumishi huwa nakufuatilia Sana nikijana ambae Ninandotonyingisana naomba muongozo mtumish naomba unishikemkono

  • @haikamsechu8039
    @haikamsechu8039 5 років тому +4

    Una maaakili wewe kaka. Mungu endelea kumtunza, mkandike ma info aendelee kutubariki.

  • @pinielalphayo4111
    @pinielalphayo4111 4 роки тому +2

    Nimekutunuku shahada ya uzamivu ktk kilimo Kutoka chuo cha Sokoine University of Agriculture SUA, Hongera sana

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 4 роки тому +5

    Data yang imeenda kihalali,,,,,,,
    Asante mtumishi

  • @tukumbwikemwakatundu2052
    @tukumbwikemwakatundu2052 8 місяців тому

    Ana roho nzuri lakini pia mlimaji uwe na roho ngumu ya kupambana hadi kieleweke. Ina hitaji kujitoa kukubwa na kuvumilia sana magumu.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Рік тому

    Siwezi kuelewa maana wewe unawakamua baadhi ya watu kwa kigezo cha sadaka then unakuja kuwekeza mashambani na kusema kilimo kinalipa, aidha watu wa sadaka wengi wanatumia sadaka kwa kuwekeza mashambani, anafanya higyo elionora, askofu wa efatha n.k hivyo tunataka mtu from scratch ndiye atueleze kilimo kinalipa

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 роки тому +5

    Hongera sana kaka Mtumishi! Nakukubali sana kakaangu, endelea kubarikiwa!

    • @SaidiMadunda
      @SaidiMadunda Місяць тому

      Masanja mbongo mwenye akili utampata wapi? Akusimamie

  • @haidhautumwahawezikuisha8779
    @haidhautumwahawezikuisha8779 День тому

    Soko lipo la uhakika lakini?

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 5 років тому +9

    Nisaidie mamba ya muwekezaji tunashuru kwa elimu ya Burr ubarikiwe mungu akupe umri mrefu zaidi

  • @zedec4690
    @zedec4690 2 роки тому +3

    shukrani bro

  • @wilsonmasolele428
    @wilsonmasolele428 Рік тому

    Nissidieni aina bora ya mbolea inayotumika na hiyo dawa inayotumika baada2 ya kupanda

  • @monabangaseka1064
    @monabangaseka1064 4 роки тому +5

    Napenda kilimo inshallah 🙏

  • @michaelkalokola2597
    @michaelkalokola2597 Місяць тому

    Uko vizuri kaka napateje conection yako

  • @carloskomba5869
    @carloskomba5869 3 роки тому +2

    Nimejisikia raha sana kwa jinsi ulivyo ichambua future yangu

  • @simonsonda5363
    @simonsonda5363 4 роки тому +2

    Brother masanja hivi ktk kulima unaweza kuivisha vizuri lakini wakati wa kuvuna zinakuwepo issue za uchawi watu wanavuna mpaka mpunga wako naomba unisaidie kujua hili

  • @injilichoiraicnjiru3407
    @injilichoiraicnjiru3407 2 роки тому

    Kukodisha hizo heka 15 Zina garimu kama pesa gapi am mtu awe namutaji wa pesa gapi

  • @kisinzaemmanuel6318
    @kisinzaemmanuel6318 5 років тому +6

    Asante bro Masanja tuko pamoja kuijenga nchi

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 10 місяців тому

    Wewe mwenyewe jifunze kwani bado Una kilimo cha kizamani

  • @ManenoMmbucwa
    @ManenoMmbucwa Рік тому

    Safi Sana brother naitaji ukupita kusoma sms hii naomba unisaidie namba yako

  • @Makavelu6776
    @Makavelu6776 4 роки тому +2

    dhuuu hayo maelezoo huwezii kuyapatahata kwa graduate wa sokoine university

  • @noelmalle4519
    @noelmalle4519 3 роки тому +1

    Hayo mashamba ya huko pembeni ya wawekezaji wao hawalindi ndege?

  • @bakariomary4772
    @bakariomary4772 5 років тому +3

    Aisee Braza Masanja mm ni moja kati y wadau ambao wanaamini ktk kilimo ila bad sijaingia huko lakn naamin one day kuanzia mwishon mwa mwak huu naweza kufanya kitu

  • @abbasimdimu73
    @abbasimdimu73 4 роки тому

    Tunawasiliana vipi mchungaji nasisi tujiunge huko

  • @mathayomarco9172
    @mathayomarco9172 Рік тому

    Masanja,nikiwa na milioni 5 naweza kuingia kwenye program hii?

  • @deodatuselias412
    @deodatuselias412 8 місяців тому

    Nataka niingie kwenyemchongo wakilimo

  • @josephatmtweve6534
    @josephatmtweve6534 Рік тому

    Naomba namba zako napenda Sana kilimo hicho nijifunze kaka

  • @abdulkarimjuma8460
    @abdulkarimjuma8460 4 роки тому +1

    Asante Brother endelea kutuelimisha zaidi🙏🏽🙏🏽 unatupa hamasa vijana wenzako

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 10 місяців тому

    Namba yako mtumishi please!!!

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 4 місяці тому

    Maua yako makandamizaji natamani kuungana na ww

  • @moneyeanga2479
    @moneyeanga2479 Рік тому

    Shalom nauliza mashamba yapo mbeya sehemu gani

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 3 роки тому +1

    Kwa Mimi ninayekuwa na mtaji wa eka moja tu ya mpunga Nifanyeje bosi?

  • @christophermwandemange796
    @christophermwandemange796 Рік тому

    Namba ya simu plz, ya Mtumishi naihitaji

  • @hassanyamii6922
    @hassanyamii6922 4 роки тому +2

    Asant braza nimejifunza meng kupitia wewe

  • @HellenKakore
    @HellenKakore 3 місяці тому

    Uko vizuri naomba namba yako

  • @DorothMtwale
    @DorothMtwale 8 місяців тому +1

    Kilimo nakielewa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @happydavid6708
    @happydavid6708 3 роки тому

    Yaani umenikumbusha kapunga kwetu duu

  • @nicholaussayenda9384
    @nicholaussayenda9384 3 роки тому

    Pastor sijasikikia cost za mbegu

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 Рік тому

    ASANTE SANA MTUMISHI WA BWANA

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 роки тому +1

    Mi mpunga nafahamu procedure zake ila kilichonifurahisha ni #StandYaUbungo

  • @abiusjohn1973
    @abiusjohn1973 Рік тому

    Masanja unatisha masanja mutajishigao

  • @EliasKasangu
    @EliasKasangu 8 місяців тому

    Masanja ni mbolea ipi mnatumia

  • @bightenabednego4580
    @bightenabednego4580 5 років тому +7

    Bro nimekufatilia, nimekuelewa! Kwa Neema za Mungu, mwakani msimu ujao tutakua pamoja

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Рік тому

    HUKO NI WAPI MASANJA?

  • @ernestclemence6076
    @ernestclemence6076 3 роки тому +1

    Braza Elimu unayo toa nikubwa mmno Mungu akupe MAISHA marefu

  • @mrmea1935
    @mrmea1935 4 роки тому +4

    Asante sana kwa kushare bro, lkn waombe dereva wa fuso wawe makini sana

  • @HeadFundi
    @HeadFundi 11 місяців тому

    Masanja kwakweli unapambana

  • @charlesthomas6279
    @charlesthomas6279 4 роки тому +1

    Kilimo ni kizur br..changmoto ni mtaji,lkn pia tunaangalia na mazingir ya kilimo pia..kw mfano kama ww hutegemei mvua..kuna watu kilimo hicho ili kiende lazima kuwepo na uwepo wa vvua

  • @aggreyyilima1917
    @aggreyyilima1917 Рік тому

    Kaka bonge la mchongo

  • @Kidunu1030
    @Kidunu1030 9 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Mwanawane sante

  • @mariamalhashmi-zj7hp
    @mariamalhashmi-zj7hp 8 місяців тому

    Heka moja shng ngapi

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 місяці тому

    Ninaomba namba yako

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 роки тому

    Tafuta mashine ya kupandia

  • @majaliwagibson7295
    @majaliwagibson7295 4 роки тому +5

    Nimekuelewa kaka Umenigusa I will personally find you

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 3 роки тому

    Nitafute shamba ekali kumi

  • @benogeofrey5596
    @benogeofrey5596 Рік тому

    Daah saaafi kwa upendo huo

  • @yohanakadunda6837
    @yohanakadunda6837 4 роки тому

    Mi naimani mtu ukipata mafanikio kidog una ambiwa mengi sahiv una ishi dar una ambiwa una uza madawa lakin ungekua kijiji ungeambiwa una ela za kichawi ...mm naamin

    • @yohanakadunda6837
      @yohanakadunda6837 4 роки тому

      Bt mi naamini broo uyo ongoe uko sahihi kabisa yan alie elewa ameelewa wajinga wana imani za kijinga kwer yan mwishi naweza kusema NAPENDA SANA KAZI YAKO MASANJA NA NATAMANI SANA KUFANYA KAZI NA WEWE

  • @athumaniahamadi3812
    @athumaniahamadi3812 Рік тому

    Mawasiliano yatatusaidia

  • @kalasaid8215
    @kalasaid8215 5 років тому +1

    Hakika utabarikiwa kwa hili sio wote wanaweza kufanya ulichofanya ungeweza kukaa kimya na kufanya mambo yako ila moyo wako ni mzuri unataka tupate wote na si ww tu..MUNGU AKUONGEZEE KAKA

  • @joramrevelian404
    @joramrevelian404 3 роки тому +1

    Kweli toa pesa ingiza pesa jamani msimjaji mtu anautajiri wa nguvu za Giza wakati hamjajua historia yake na maisha yake ongera kaka kwa kazi nzuri

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +2

    nikweli kabisa mkuu ubarikiwe kwa kazi izo za kilimo.

  • @cykadanys4490
    @cykadanys4490 3 роки тому

    Bei ya viwanja huko ni ngapi

  • @fabiankidowe7958
    @fabiankidowe7958 3 роки тому +1

    Broo nashukuru kwa elimu hiyo nifanyia kz

  • @claudemofi3193
    @claudemofi3193 Рік тому

    Kaka mimi na kwelewa sana

  • @anzatv8628
    @anzatv8628 5 років тому +1

    Masanja, kiukweli napenda sana, uhamasishaji wako.
    Mungu akutie nguvu zaidi.
    Mimi nimezaliwa Mbarali, yote unayoongea ni ukweli mtupu

  • @godifreyedison2044
    @godifreyedison2044 2 роки тому

    Vp kuhusu bei ya mbegu

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 3 місяці тому

    Ni wapi huko

  • @m_farmers_limited8509
    @m_farmers_limited8509 4 роки тому +1

    Asante kaka ila kichwani kwangu nafikilia kilimo ila bado sijapata mtu wa kusimamia kilimo nachokitaka

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 4 роки тому +1

    Nakukubali sana ndg ktk KRISTO YESU, ila hukusema garama za mbegu ya awali kabisa

  • @mariammwasile4792
    @mariammwasile4792 3 роки тому +1

    MUNGU akubariki sanaa maana hio sir sio wote wanaweza kusema nakufatilia sanaa niko omani nikilud ishaallah

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 7 місяців тому

    Mwana hapo umepiga jiwe tunduni mm ni mchizi wako tulicheza filam ya itunyama mwaka 2006😢Baobab bagamoyo

  • @EliyaIzack
    @EliyaIzack 6 місяців тому

    Huko. Ni wapi

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 роки тому

    Naomba number zako baba

  • @stevenobillo7100
    @stevenobillo7100 4 роки тому

    Nahitaji shamba huko masanja connection plz......0753653269

  • @theresiaswai6801
    @theresiaswai6801 4 роки тому +4

    i really appriciate you brother,you are a genius and thanks for the knowledge

  • @corethamtelekesya178
    @corethamtelekesya178 4 роки тому +1

    Masanja mbegu inapatikanaje?

  • @abdulymaeda2697
    @abdulymaeda2697 8 місяців тому

    Usangu apo

  • @omariochumu935
    @omariochumu935 4 роки тому +2

    Brother, brother ,brother wewe ni genius

  • @kayamaledavid919
    @kayamaledavid919 3 роки тому

    Nitakutafuta mkuu

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 5 років тому +2

    Nimekuelewa xna @mkandamizaji
    Unajua kupambna mwanawane, amini xna mungu akibariki natamni kuja huko

  • @mariamobedy9898
    @mariamobedy9898 4 роки тому +1

    Yaani nimepata somo saaafi Asnte mchungaji

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 5 років тому +6

    Thanx for your time brother and your education about farming

  • @nickolascmniko4366
    @nickolascmniko4366 5 років тому +4

    Dah hii biashara naijua vzuri sema seem niliyopo maji ndo tatzo

  • @leonardmwacha1177
    @leonardmwacha1177 3 роки тому

    Bei sasa masanja

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 5 років тому +1

    Ni kiwa ndani ya Dubai..wanipa moral... masanja ubarikiwe Sana.... wanibariki na Mungu akubariki pia nafatilia yote ufanyayo

  • @Crownvalz
    @Crownvalz 5 років тому +1

    Dah nimenunua shamba Ruvu huko heka mbili yani nimelimankila kitu nikakata tamaa ila nimeangalia hii video kesho naingia shambani aiseee dah m inspired

  • @jonathanliwa1955
    @jonathanliwa1955 3 роки тому +1

    Nmekuelewa brather nakukubali sana

  • @noahsgtv3438
    @noahsgtv3438 Рік тому

    Asantee

  • @esterchalle6611
    @esterchalle6611 5 років тому +2

    vp nataka nakuwa mmoja ya watako kuwepo kwenye tour

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 3 роки тому +1

    Asante sana kaka maana mpango wangu naona umekaa kwa mstari mwakani namimi natia miguu