DOGO MTANZANIA ATENGENEZA KITUO CHA RADIO KIGOMA, KINASIKIKA LIVE MTAANI "TCRA MNISAMEHE KWA HILI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @issamanyota
    @issamanyota 2 роки тому +25

    Dah hongera sana Dogo kigoma fm ...watu kama hawa ni genius blessed from GOD ... watu kama hawa wapewe support sana 👐🇹🇿🇹🇿

  • @joysoka3575
    @joysoka3575 2 роки тому +16

    Dah kuna watu wamejaliwa vipawa nimetafakari adi kichwa kimechoka duh utundu wote uwo na wala ajatumia umeme yan duh mungu mkumbuke uyu kijana afike mbali awe faida kwa watanzania na kwa familia yake amen

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +4

    Mashallah hongera sana kijana mzuri Allah akuzidishie inshallah from (Kenya)

  • @MRST_1662
    @MRST_1662 2 роки тому +14

    Wowww that amazing! That crazy amazing, he’s a Genius. I hope someone will see him one day, and amshike mkono na hopeful atakamilisha ndoto zake. Coz we need people like him. Coz the have lots potential in life and nation, Africa, world as whole! Ndo Wakina Tesla wajao hao kama wakiwezeshwa. All the best buddy!👏🏿🙌🏿👍🏿🇹🇿🇨🇦

  • @imeldasamwel539
    @imeldasamwel539 2 роки тому +83

    Jaman jaman mpaka nimelia mm 😭😭😭😭🙏🙏🙏dar huyo dogo wachukue haraka iwevyekanavyo sna mengi Zaid ya hongera sana

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 роки тому +9

    Sina hata cha kuongea niseme tuu hongera mdogo wangu pambana ipo siku tanzania itakujua wee ni nani kama sio dunia kwa ujumla... Hongera sana sana sana sana tena saaaaaanaa.

  • @muzihiljabili340
    @muzihiljabili340 2 роки тому +53

    Ewe ya rabi tujalie vipaji vyetu viwe vya kheri na vyenye kusaidia jamii 🙏🙏🙏

  • @farajafaraja3494
    @farajafaraja3494 2 роки тому +33

    Huyu dogo ni tajiri, tajiri wa akili nyingi, mungu akuongoze na kukusimamiA

  • @denisjr11media21
    @denisjr11media21 2 роки тому +10

    Kanifurahisha sanah uyoo yani tayarii anamilikii kituocha radio alafuu tayarii ameshajiajiri ni mtangazaji wa kituo chakee .. talent ya kiwango cha juu sanah

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 роки тому +4

    Mwenye Enzi Mungu akubariki sana na usiachie hapo sky is not a limit you can go beyond!👍

  • @fredntibigerayo7890
    @fredntibigerayo7890 2 роки тому +14

    KWELI!! hawavumi lakini wapo. Mungu akupe afya, utafanya makubwa zaidi

  • @frankbinadola5816
    @frankbinadola5816 2 роки тому +60

    More talent,more creativity Allah bless self effort 🙏🙏🙏

    • @machalilajulius688
      @machalilajulius688 2 роки тому

      Kwamba cmart 4n huwez okota jalalani hahah daah talented boy good idea

  • @mohammediddi5385
    @mohammediddi5385 2 роки тому +118

    He’s talented boy
    1/technology
    2/presenters
    3/journalists
    Tanzania 🇹🇿 got talent

    • @omaradan3442
      @omaradan3442 2 роки тому +1

      Kizungu Mingi Ukasau Namba (3) 😂😂Chizi tu weweee ?

    • @mohammediddi5385
      @mohammediddi5385 2 роки тому +1

      @@omaradan3442 😳😳

    • @omaradan3442
      @omaradan3442 2 роки тому

      You Fokin edited 😂😂😂😂stop capping Nigga

    • @jsamtz4460
      @jsamtz4460 2 роки тому +1

      Umeamua uongee cha st......

    • @mohammediddi5385
      @mohammediddi5385 2 роки тому +1

      @@jsamtz4460 nothing

  • @Ashelymhangazo
    @Ashelymhangazo 2 роки тому +9

    HAKUNA KIPAJI KAMA HIKI TANZANIA, VIONGOZI MPO WAPI MUANGALIENI KWA JICHO LA 3 ,SIO WA KUMUACHA AMEONYESHA UWEZO WAKE TANGU ZAMANI, naumia sana kumuona bado yupo katika mazingira hayo bila msaada wowote wa juu😰😪😪

  • @nth3512
    @nth3512 2 роки тому +8

    Sasa huu ndo ubunifu, hapa nakubali MASHA ALLAH BAARAKALLAH FYH

  • @jsamtz4460
    @jsamtz4460 2 роки тому +5

    Hiyo ni 87.5 Kigoma Fm. Hongera sana Zuberi

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 роки тому +6

    Hadi raha yani, Mungu azidi kukusogeza mbele na kukubariki🙏💪

  • @wycliffeaoro9865
    @wycliffeaoro9865 2 роки тому +125

    This young boy is genius, any relevant authority in his region to give him special approach as one way of building his skills to the next level, big up boy from mombasa 🇰🇪

    • @hoseamgabo4886
      @hoseamgabo4886 2 роки тому +3

      😂From Mombasa tena

    • @mosseskanini255
      @mosseskanini255 2 роки тому +1

      Wakenya ni machoko kwel nyie na vipaj wap na wap🤣🤣

    • @ghatilucas7709
      @ghatilucas7709 2 роки тому

      Wakenya mna shobo mbaya mnakera eti a boy from mombasa🙄Mombasa ya nyokwe☠️

    • @gracejulius3966
      @gracejulius3966 2 роки тому +14

      Hamjamuelewa Wycliffe Aoro, hajasema huyu kijana mbunifu anatoka Mombasa Kenya bali yeye Wayclif ndo anampa big up akitokea Mombasa.

    • @wycliffeaoro9865
      @wycliffeaoro9865 2 роки тому +3

      Grace julius, thanks for the interpretation

  • @dianashautiel7099
    @dianashautiel7099 2 роки тому +27

    Eee Mungu ifunulie macho serikali imuone huyu Mtoto katika viwango vya juu! Anazidi tuliomaliza madgree na madgree, Mtoto wa la sita wa Maskini.🙏

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 2 роки тому +18

    Ulaya uyo dogo angeshatoboa maisha na wenda ikawa exposure Ila hapa bongo daah😢

    • @rebecashao798
      @rebecashao798 2 роки тому

      Kwel kabisa. .serikali ya bongo sijui wanakwamwa wap kuinvest kwa vijana kama hawa

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 роки тому

      @@rebecashao798 yaani hata mimi na shangaa kwakweli

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 2 роки тому +9

    Dogo wew ni Zaid ya talent 🙌🙌🙌🙌

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 2 роки тому +78

    Africa Africa Africa amuka amuka 😭😭 nasikitika kuona huyu kijana hajasaidiwa na serekari na vipaji alivyonesha tangu zamani

  • @uzungupoint
    @uzungupoint 2 роки тому +53

    Daaah! Yaani katengeneza jiko la kutumia umeme wa jua, angekuwa anatoka familia yenye mali au Taifa lenye kujali vipaji vyake tungesahau kabisa matumizi ya gesi na mitungi kuripuka kila wakati na kuua watu daaaah! Oooh MUNGU wa AFRIKA tusamehe sisi wanao ndiyo maana hatujali vya kwetu.

    • @khalfanseiph491
      @khalfanseiph491 2 роки тому +7

      Tatizo kumuendeleza mtu kama huyu ni changamoto sana inabidi tumuombe mungu sana

    • @fatumasirakwi3700
      @fatumasirakwi3700 2 роки тому +1

      @@khalfanseiph491 Changamoto kivip

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому +4

    Mashallah upo vizuri sana mdogo wangu mungu hazidi kukuinua zaidi na zaidi

  • @lancemulaki5132
    @lancemulaki5132 2 роки тому +15

    Big up kijana pambana dogo hulu Bashu wa TAMISE kafanyake. Hamna aja yakwenda schl

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Yan tanzania tupo vzr jaman
    Tukiwezeshwa hatuna umasikin hata
    Mungu ibarik 🇹🇿 yangu
    Inshallah Utafika mbali kijana

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 2 роки тому +18

    Tatizo litakuja Kwa TCRA watampiga marufuku hadi wampe masafa na wampige faini! Habari za hivi punde NI kuwa Mkuu wa Wilaya ametembelea Studio yake Leo 27-06-2022 na Waziri wa Habari na Mawasiliano ameagiza TCRA wa waende na kuona NI jinsi gani wanaweza kumsaidia!

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 2 роки тому

      Hajafanya ubunifu katumia FM car transmitter acheni kuhemukwa

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 2 роки тому +5

      @@Commentsplus
      Wewe unaweza??? Au unadhani ubunifu ni nini??? Wivu tu unakusumbua, na nyie ndio mnakuwaga wachawi, ww umefanya nn....

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 2 роки тому

      @@Commentsplus fm car transmita inakuaje emb elezea

    • @magafootball6569
      @magafootball6569 2 роки тому

      @@Commentsplus wabongoo wivuuu sanaaa kumamayeeee

    • @abdalahsambala6667
      @abdalahsambala6667 2 роки тому

      @@Commentsplus matako we fm car transmete r gan inafika meter 150

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 2 роки тому +1

    Mdogo wangu usikate tamaa. Nakuona mbali sana. Cha muhimu weka nguvu zako katika ubunifu wako. Utakuja kuwa mtu mkubwa hapa nchini na nje ya nchi. Mungu akulinde sana.

  • @winterkasela9033
    @winterkasela9033 2 роки тому +16

    Daaa! Hawa watu wa kigoma ni watu hatari kwa akiri nimewakubali

  • @wandibaitonge8832
    @wandibaitonge8832 2 роки тому +1

    Waafrica tunaakili ya kuzaliwa lkn tunapotezwa na hii elimu ya vyeti na kuachana na elim ya ubunifu na kubakia masikini na tegemezi hongera mdogo wng hakika hiki nikitu kikibwa sana mungu aendelee kukupa baraka uendelee zaidi na zaidi

  • @malikijuma2759
    @malikijuma2759 2 роки тому +10

    genius ni mtu mwenye matumizi mazuri ya akili,hivyo huyo ni genius sio wale wanangu wa degree holder .

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +1

    Kijana hongera sana nakuombea kwa Mungu ufike mbali sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +11

    Mashallah, hongera sana kijana Wetu wa kitanzania

  • @kingelishathomasonline4842
    @kingelishathomasonline4842 2 роки тому

    So amaizing talented boy,tunaomba serikal imsupport kijana mwenzetu 💥💪

  • @edwriter
    @edwriter 2 роки тому +25

    Uyu jamaa ni Genius🙌

  • @totoclass2470
    @totoclass2470 2 роки тому

    Hongera bro mwenyezi mungu hakujalie upate Itaji lako

  • @alimondbenson1751
    @alimondbenson1751 2 роки тому +27

    Najivunia kuzaliwa Kigoma,najivunia kuzaliwa TANZANIA, mungu ibarika Tanzania

  • @angeloelia8224
    @angeloelia8224 2 роки тому +1

    Good job 👍 Kijaanaaa wetu from kigoma

  • @faza4023
    @faza4023 2 роки тому +20

    Sasa Pikipiki veta muda wote inafanya nini huko? Wanataka waseme walitengeneza wao au, dogo kwani kasema alikwama? Wanashindwa kutengeneza za kwao na dogo atengeneze za kwake? Mpk mtangazaji anasema imechukua muda means huko veta wanaduaa tu au ndiyo figisu watu washaingilia. Boxer na mchina hawatauza tena? Kwann hawakuacha dogo amalizie mwenyewe na Kwa maelezo yake sio kwamba alikwama, si watengeneze za kwao basi

  • @mhadajr1122
    @mhadajr1122 2 роки тому

    High confidence intelligent daah bro umenienspire xana kutokukata tamaa kweny ubunif

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 2 роки тому +7

    Alafu mabeberu wanatuita sisi hatuna akili watu weusi huyu ni engineer mkubwa sanaaa ningekua na uwezo ningekusupport kwa uwezo wangu wote ila mm pia uwezo wangu bado upo chini natokea kenya 🇰🇪

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 2 роки тому +1

    Hogera kakagu kazi nzuri sana ❤️ mbarikiwa

  • @rizikikasongo4388
    @rizikikasongo4388 2 роки тому +7

    The boy needs a proper support bcs he has a beautiful talent. Guys go and support this boy

  • @agnesisimon3154
    @agnesisimon3154 2 роки тому +1

    Hongela mungu akuongoze ktk maisha yako yote ili malengo yako yatimie

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 роки тому +34

    Dah!!Kipaji kinapotea tu bure,ungekuwa ulaya wewe kijana kipaji kingeendelezwa.Ila nakutakia kila la kheri,njia za mafanikio zifunguke kwako!!!

  • @abdallagakweli6366
    @abdallagakweli6366 2 роки тому

    Ukijaliwa bro mtafute kijana anaitwa #Kanganwa yy ni kijana ambae ni mzr kwa utangazaji katokea Kenya 🇰🇪

  • @waheedhamad4558
    @waheedhamad4558 2 роки тому +3

    Inshallah naamini ipo siku allah atakukunjulia na utafikia ndoto zako na mafanikio yako kwa uhalali kabisa.....

  • @ariseinspiration
    @ariseinspiration 2 роки тому +15

    Kutoka hapa Kenya hongera sana Kijana kwa ubunifu wako. Sisi wa bara la africa twatakiwa kuendeleza ubunifu wa aina hii na kuufanikisha

  • @faza4023
    @faza4023 2 роки тому +14

    Mungu akusaidie ufike mbali sanaaaa mdogo wangu, uwe unasali pia wanaobana ni wengi ila kamwe usikate tamaa,Kwa uwezo wako ilitakia uwe umefanya makubwa zaidi. Sio mara ya Kwanza kusikia mtanzania anakipaji alafu badae hakiendelei wala hatuoni faida yake, mzungu pia hapendi. Dogo mwamini MUNGU Tu, hakuna anaeweza kukuzima.

  • @justinegerald5095
    @justinegerald5095 2 роки тому +3

    Nimecheka sana kwa furaha sana,dogo nimekuvulia kofia, hongera sana kwa ubunifu

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 роки тому +5

    Duuuu huyu wala haihitajiki kumfungia,kama inawezekana tuwekee namba tuanze kukuchangia ujenge kituo cha kueleweka.

  • @philipongusa4463
    @philipongusa4463 2 роки тому

    Hongera sana kijana,sema huo mnara kuuweka juu ya paa la nyumba ni hatari kwa radi

  • @latjam188
    @latjam188 2 роки тому +5

    I can I support You Boy!!

  • @jonathantvonline4517
    @jonathantvonline4517 2 роки тому +1

    Hongera sana kijana pambania ndoto zako

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 роки тому +9

    Hajakosea kabisa ila kaonyesha uwezo wake cha msingi ni kumuelewesha zaidi

  • @godfreymsanya2726
    @godfreymsanya2726 2 роки тому +2

    Haya ndiyo mambo ya kuwatuma watu wasiojua kumpa moyo mtu mbunifu kama huyu mwandishi wa habari unamhoji dogo tena unamwambia makolokolo uchafu uachafu siyo poa kama angaekuwa Milad Ayo mwenyewe asingeongea hayo maneno ya kumkatisha tamaa mwandishi badilika muombe Mungu akupe maneno ya hekima unapomhoji mtu bila kujali ana mapungufu gani. Nashukuru amekujibu kwa busara

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 роки тому +6

    Daa huyu akiendelezwa ni mtu mwingine sana mungu amfungulie milango

    • @mnyongeiddi2454
      @mnyongeiddi2454 2 роки тому

      Shida viongozi wetu hawangalii wao wanawaza siasa vipaji kama hivi wanapuuzia

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 роки тому +49

    Familia za kimaskini ni mtihani sana kwani siku zote wenye hela ndio wanapata nafasi kila sehemu kwani wanasoma katika mazingira mazuri na shule za bei ghali tu na kivyovyote wanafaulu sana kwa force hiyo...But unfortunaley maskini wanaishia kufeli na kufa na vipaji vyao....Kiukweli inauma sana sana sana...Mda mwengine maskini analazimika kusoma asichokipenda kutoka na kutopata nafasi ya kuendelea na fani anayoitaka....Duh huyu dogo asaidiwe

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 роки тому +1

      Mtihani Serikali sio maskini ngoja TRA waende kumbeba koo. Loo kuzaliwa TZ mtihani Bora tungezaliwa Faru Johni

    • @alexwailod5589
      @alexwailod5589 2 роки тому

      Huku Mbeya umalila Kuna jamaa alitengeneza cha ajabu diwani akaenda kumfokea afunge mara moja daaa!!!

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      Na Mara nyingi utakuta walokua hawana uwezo Ata Ada inawashinda ndo wanakuaga na akili sana but wa nashindwa kosoma ama kufanya maendeleo ya vipaji kutokana na kukosa ela lakini uyu dogo nina Imani Atafika mbali in Sha'Allah maana tayari diwani keshamtembelea na wamemuahidi kumsaidia asome ili aweza kuimarisha kipaji chake

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 роки тому +6

    Nilisemaga Sana KIGOMA 🇹🇿 NI kisiwa Cha vipaji""Serikali ituangalie kwakweli,,na kijana awezeshwe ikiwezekana apewe redio kabisa daaa"homeboy nakubarii sana usijari MUNGU atakuwezesha tu maana studio ako niyakimataifa kwani hujawezeshwa ni upeo uliopewa na MUNGU,BE BLESSED BRO

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 2 роки тому +1

    Huyu dogo akiwezeshwa anaweza kuisaidia hii kwa asilimia kubwa sana naamini watu wa Dizaini wapo wengi sana hapa tz

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +26

    Serikal yetu wako na kina bongo zozo ndo wanawaona wa maana wanaacha kupambania vjana kama hawa wadogo wakomboz wa taifa la kesho 😢

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 2 роки тому

      Sasa hapo kipaji kipo wapi yani watanzania mnahemukwaa

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 2 роки тому

      Acha chuki ndugu,Mambo ya Bongo zozo na kipaji cha huyu dogo vinaingiaje?

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      @@Commentsplus we unaweza

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 роки тому

      @@Commentsplus kafie mbele uko na roho mbaya yako mxxx😏

    • @veronicanditeze425
      @veronicanditeze425 2 роки тому

      Kazi anayofanya bongo zozo sio ya kubeza

  • @frankbenandi8764
    @frankbenandi8764 2 роки тому +1

    watanzania tuko nauwezo mkumbwa san niviongozi kuweka nguvu kwetu vijana nawaweke imani kwawatanzania kua tunawenza bira ya msada mkumbwa sana kutoka nje ya Tanzania 💪

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 2 роки тому +19

    Nakubali sana, Dogo zidi kupambania Ndoto zako...Never give up.

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +39

    Kigoma ndo mkoa wakwanza wenye vipaji vyakila aina najivunia kuwa mwana kigoma mwisho wa reli🔥🔥

  • @northfixtz
    @northfixtz 2 роки тому +17

    Bravo,,nimependa sana confidence yako katika ubunifu,,Mungu akubariki zaidi ufikie malengo yako..

  • @KalilavKinyentam
    @KalilavKinyentam 4 місяці тому

    Mungu asaidie sana. Ila Asante kwa kuzaliwa kigoma

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 роки тому +6

    Watu kama hawa serikal haiwapi thaman wakina babalevo ndio wanapata ela

  • @majaliwa_tz5004
    @majaliwa_tz5004 2 роки тому +8

    Jamani Serikali Yetu Ya Tanzania Mko Wapi Vipaji Kama Hivi Hamuvioni Huyu Kijana Nawengine Wa Namna Hii Siyo Wakuishia Kusomeswa.Tu Inabidi Waendelezwe Kimasomo Na Kuwezeswa Mikopo Ya Hela Nyingi Ili Tanzania 🇹🇿 Tuwe Mifano Ya Mataifa Mengine🙏

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 2 роки тому +5

    Nchi zetu zakikolon unaweza tupwandani ukapewa kesi ya uhujumu uchumi watu Wana rohombaya sana nchii

  • @jumandagara1755
    @jumandagara1755 2 роки тому

    Nmekupata vzr mdgo wngu,,,M/Mungu akuzidishie Inshallah

  • @asherybigurube6140
    @asherybigurube6140 2 роки тому +3

    Lete namba dogo

    • @yousirsports7482
      @yousirsports7482 2 роки тому

      mbona namba imeoneshwa hapo mwisho wa mazungumzo

  • @hamidusibye5241
    @hamidusibye5241 2 роки тому

    ALHAMDULLILAH MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE,,,,AINUE PIA VIPAJI VYA VIJANA WENGINE TULIOPO NJE,,,AMIN

  • @maduhudaudi3799
    @maduhudaudi3799 2 роки тому +11

    Mim nilishaga wahi kufungua ilikuwa mwaka 2011 ila nilizuiliwa.
    Ila ongera kwa kazi nzuri.

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 2 роки тому

      Acha uongo

    • @abdulraufmohammedsalum6806
      @abdulraufmohammedsalum6806 2 роки тому

      @@captenndunga6745 😆😆😆😆😆😆

    • @hussenhemed1050
      @hussenhemed1050 2 роки тому

      @@captenndunga6745 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @maduhudaudi3799
      @maduhudaudi3799 2 роки тому

      @@captenndunga6745 siyo uongo Kama unataka kuakikisha ingia UA-cam andika ( aka shegena ) utaona.
      Nilikuja kuhojiwa baada ya miaka 2 nikiwa tiyari nimefungiwa.

    • @gwaragwaratv8204
      @gwaragwaratv8204 2 роки тому

      😁😁😁😁😁😆iloooooo

  • @tiberiusdominic1108
    @tiberiusdominic1108 2 роки тому +1

    God bless you brother

  • @DirectorPhilosopher_OG
    @DirectorPhilosopher_OG 2 роки тому +71

    Aisee nimekubali sana huyu kijana, kwa kweli alivyosema atasikika kwa nchi za mbali ni kweli, nipo Nairobi na nimepata vizuri sana, anafaa kupata support ya kutosha ana ubunifu wa hali ya juu, yani huyu ni full house, nakumbuka nikisoma historia ya kina Microsoft walikuwa hadi wanalala ili waote jinsi ya kuunda kumpyuta hadi wengine wakienda India kuwatembelea Bhuda ndo wapate ufahamu ila huyu IQ yake ipo juu sana, TCRA Imupe vibali bila masharti. He need unlimited and condition-less freedom.

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +1

      Exactly my dear friend

    • @paschaljoh5729
      @paschaljoh5729 2 роки тому +1

      kwa Tanzania yetu hasa TCRA ndo wakwanza kuuwa vipaj kama hiv badara ya kuvikuza, lakn nafikir ni kwasababu ya kuona wataaibika wanao jiita Ma engineering na Mawazir lakn hawaja buni kitu chochote so wataona dogo anazingua Mashart yatakuwa mengi Mwisho wa siku dogo atapotea hii ndo Tz hii ndo Africa....

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 2 роки тому +3

      Nipo Oman nimesikia Nchi yangu Tz
      Hongera sana Bro.

    • @admushionlinetv5669
      @admushionlinetv5669 2 роки тому +1

      @@saumusalimuhassan2499swaumu

    • @chagaboy768
      @chagaboy768 2 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Badoo tunaa naishi kwenye Slave
      Hivyoo hatuna jins yakuishi kwa aman sikuzote Tunavipaji tuna Ubunifuu tunaweza nani hahika tunawezaa sisi sio wakuishi masikin kias hikii sisi siio wakutegemea vya wenzetuuu Why Tanzania why 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 2 роки тому +7

    genius 👏🏽👏🏽😢😢😢😢 Mungu amfungulie milango insha'Allah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 роки тому +22

    Nimemkubali Sana Huyu Kijana Mungu Aliempa Hichi Kipawa Akamfanyie Wepesi Katika Hili Lengo Lake Litimie Na Akafanikiwe Kwa Jina La Yesu Kristo Amen

    • @KATOPE1
      @KATOPE1 2 роки тому

      Kwani yesu ni mungu😫.Kama lipo andiko kwenye biblia naomba

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому +3

      @@KATOPE1 hiyo sio Kaz yangu pambana na imani yako mpendwa

    • @KATOPE1
      @KATOPE1 2 роки тому

      @@listerlujiso6009 hujui imani yangu ndio nataka nijue je yesu ni mungu kwani ukinifahamisha siutapa baraka kwa roho safi tu

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 роки тому +1

      @@KATOPE1 hatupo kwenye mjadala wewe ulivyoelewa ndo hvyo na mm ninavyoelewa ndo hvyo ukitaka kuelewa zaidi mtafute mchungaji akueleweshe vzr

    • @muhammadsalim1301
      @muhammadsalim1301 2 роки тому

      kwa jina la mungu sio yesu,yesu mwenyewe Ana mungu wake,pale aliposema mungu wangu,munguwangu mbona unaniacha.

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 роки тому +1

    unaweza mwqnangu

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 роки тому +7

    Pia Nimependa Anavyojiamini Alafu Hana Hofu Ata Kidogo Aisee Mungu Ni Mwema Kila Wakati

  • @evafrance5865
    @evafrance5865 2 роки тому +1

    Hongera kijana hata mtoto wng anakipaji umaskini tatizo

  • @amansaid4607
    @amansaid4607 2 роки тому +4

    Big up bro

  • @achieversKENYA2
    @achieversKENYA2 2 роки тому +2

    I appricaite my question is where did you get the frequency.........(?)

    • @janethjackson7704
      @janethjackson7704 2 роки тому

      "I converted the radio instead of receiving the frequency it send the frequency" he said. This is totally true you can try this,take any mp3 player and play the music then take FM radio switch it on and search the frequency put it near the mp3 player,the music of mp3 Plyer it will play in your FM radio at a certain frequencey,nahic utakuwa umeelew bos

  • @hamidusibye5241
    @hamidusibye5241 2 роки тому +3

    SIJAJUTIA KUTUMIA MB ZANGU KUANGALIA HII VIDEO,,,,,,,MAASHAALLAH

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 2 роки тому +2

    Dogo Genius sana Aisee daah.! 🤔🤔🤔

  • @necromanger272
    @necromanger272 2 роки тому +17

    Wooooow magnicent brain 🧠 and talent , this young boy really need the government support to go further, tanzania 🇹🇿 government please support this wonderful talent, stay bless young man

  • @sinarahaissa7927
    @sinarahaissa7927 2 роки тому +5

    Hongera Sana kijana......🙏🙏

  • @bongoreview1738
    @bongoreview1738 2 роки тому +4

    Dogo yupo vizuri Huku dar Vijana wapo bize na ubishoo kidimbwi , madada wa telegram na kuangalia porn

    • @ahmadyusuphu3033
      @ahmadyusuphu3033 2 роки тому

      Tanzania y viwanda ndio hii sasa so kwanin mnashindw kuwashik mkono hawa kw kuwasomesh.. mko tial pesa za umma ziliwe tu na mafisad badala y kuwasomesh hawa watoto wa kitanzania

  • @africangoldenmusic8061
    @africangoldenmusic8061 2 роки тому +2

    Kurudi kwake kijijini ndo bahati yake.Asingerudi,asingefikiria kuhusu ubunifu huu.....big up bro

  • @wilsonmikate861
    @wilsonmikate861 2 роки тому +6

    Kigoma nihabari nyingine

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 2 роки тому +19

    Wazungu wakimjua huyo dogo watamuiba wampeleke kwaoo😂😂🤗🤗

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому +13

    allah kareem azid kumpa nuru daima

  • @naamanidamasi6125
    @naamanidamasi6125 2 роки тому

    Serikali yetu jamani pesa hiyo jamani muwezesheni Tanzania ipate wabunifu wa Mambo mbalimbali na pia itokee miaka kadhaa nasi tuwe tunamiliki vitu vikubwa kama nchi zingine,( wazo langu) ukute nchi hizo zilizo endelea serikali zao ziliwasapoti wabunifu wao mpaka wakaweza kufikia katika nchi zenye maajabu...mfano urusi.. silaha. Nakadhalika .naomba tusiishie kwenye sifa tutengeneze pesa .thanks 🙏
    Mungu akubariki Sana ndugu.maombi yangu kwako.i like it

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 роки тому +7

    Safi sana kijana tunahitaji vipaji

  • @antonydangote5879
    @antonydangote5879 2 роки тому +2

    Kumkamata hawawez ila watampa onyo Kali...kuna mashart ya kumiliki vituo vya radio .....Ila Hata serikali yetu ni sijui ipoje haina habari na vipaji

  • @onexofficial95
    @onexofficial95 2 роки тому +4

    Anifanye niwe mtangazaji wa radio yake Tuanze na ubunifu wa vipindi😂😂😂😂😂

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 роки тому +6

    Serikali hapo ni kuunga mkono tu kazi iendelee

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 роки тому +7

    Huyu dogo angekua nchi za wenzetu angekua bonge moja la mtu aisee yani huyu ni zaidi ya prof

  • @F.DYoungDavo
    @F.DYoungDavo 2 роки тому +6

    He need to be supported to progress his dreams his talented

    • @frankmwinuka6298
      @frankmwinuka6298 2 роки тому

      Sidhani kama atatoboa hapa bongo maana yupo aliyetengenezahelkopta mpaka leo sijui alipo ana hali gani

    • @josaphatlukwaro2378
      @josaphatlukwaro2378 2 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @leonardmayenga499
    @leonardmayenga499 2 роки тому +3

    Dogo Kwa hatua hiyo wahusika watalifanyia kazi, ufike mbele zaidi

  • @KalilavKinyentam
    @KalilavKinyentam 4 місяці тому

    Asante Mungu. Kwa kuzaliwa kigoma