Sheikh c mmeambiwa muinishe mimacho yenu chini kubalini tu kazi huwezisisingie wanawake bure watu mmeacha kula vyakula vya asili inatengemea utakuwa na nguvu kweli halafu ni wanaume wamjini tu ndoo hawana nguvu za kiume
Ukiegemea upande mmoja bado si Suluhu ndo maana Mungu akahitaji pande zote mbili ziwajibike zihusike yaani mwanamke ajistir na mwanaume naye ainamishe macho. Tofauti na hapo ni balaa tupu.
@sadikiissa7756 nyie mmezidi umalaya umesikia anachosema eti ooo ataongeza mke sasa ww huna nguvu za kiume kimoja chali dakika mbili uongeze mwingine kwani mnakatazwa uwezo wako tu nguvu na kihali kitu kingine wanaume wa mjini hawana nguvu kutokana na vyakula vijijin hakuna kitu kinaitwa hawana nguvu za kiume husiki jiulize kwa nn uwe mjini tu wanaume kulen vyakula vya nyumban asili
Usiseme vyakula, lishe ni ile ile inayopatikana !! Maisha ya mjini yana stress na yana changamoto, vijijini watu wameridhika ndo maana hausikiii malalamiko hayo
Kweli kabisa
Nicheke mie 😁😁 tunajua umbea na vikoba

Embu taja ivo vyakula asili
Usiseme vyakula, lishe ni ile ile inayopatikana !! Maisha ya mjini yana stress na yana changamoto, vijijini watu wameridhika ndo maana hausikiii malalamiko hayo
Aoe c ndoo hulka yenu kwani unamkomoa nani kuhudumia juu yako kwa hiyo ongeza shida nyingine uzidi kukosa nguvu za kiume kwa mawazo utawahudumia vipi