WANAOPINGA KUWAOMBEA DUA MAITI, MAULIDI HILI SIO TATIZO KWAO, JE LINAFANYIKAJE? - SHEIKH MZIWANDA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 103

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +6

    Masha Allah, shekhe Jazzaka Allah kheri.

  • @jumanneshabeni2009
    @jumanneshabeni2009 Рік тому +5

    asante shekhe mziwanda الله akupe umri mrefu tunufaike na elimu yako

  • @west5897
    @west5897 Рік тому +1

    Mimi nataka kujua hapa tumeambiwa Mtume Muhammad (s.w.a) Aliondoka dini imekamilika .na tumeambiwa kwenye dini ya kiislamu hakuna kuengeza kitu ambacho hakimo wala kupgunguza kitu ambacho kimo .na tuliambiwa njia ni mbili ni sunna na faradh Sasa je maulid yamo katika dini na Kama yamo je ni sunna ama faradh

  • @mageh8655
    @mageh8655 Рік тому +1

    Mashaallah shekh umetumalizia hili tatizo ALLAH akulipe kila la kheri

  • @abdulkadirshora3080
    @abdulkadirshora3080 Рік тому +2

    Mashaa sheikh ALLAH atuzidishie

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl 8 місяців тому

    Shukran Sana Sheikh Wetu kwakutuelimisha na Tunakuomba usife moyo kwasababu hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa shukran sana Allah akuhifadh

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 Рік тому +5

    Doooooh Wallah Allah awaweke masheikh wetu tuzidi kufaidika na elmu zao

  • @auazenafusse134
    @auazenafusse134 Рік тому +1

    sawa kabisa shekh Allah akuwoze

  • @jumahory859
    @jumahory859 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi hakika unavitu vyakipekee mpaka nahau

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому +3

    Shegh tunakuelwa sana unafafanua vizuri sana na pia wale watu wakadiria wanafafanua vizur sana.hoja nzito sana

  • @fardboy7043
    @fardboy7043 Рік тому +2

    Masha Allah

  • @binbaya923
    @binbaya923 Рік тому +1

    Maa shaa Allah

  • @hasanisaidishabani3879
    @hasanisaidishabani3879 Рік тому +3

    Allah akupe umri mrefu

  • @ramadhaniddsalim2201
    @ramadhaniddsalim2201 Рік тому +3

    Alhamdulillah

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi shekh ili tuzidi nufaika

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому +2

    Wallah shekh usipoacha kuzid kutangaza bidaa utaangamia Allah akunusur

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 Рік тому

      Ibunu Taimiya si kasema maulid siyo haram njoo Tamta Tanga tukuthibitishiye na huyu si ndiyo hana kasoro kwenu

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 Рік тому +3

    Unaona shida awa watu wanaleta mzaha kwenye vikao vya dini eti kama mayere dah mtihani

  • @saidally9896
    @saidally9896 Рік тому +1

    Masha allah

  • @anksusiabdurashid114
    @anksusiabdurashid114 Рік тому +2

    Mashallaah akurehemu Allaah

  • @sulekato4330
    @sulekato4330 Рік тому +2

    Allah akuzidishie na akuhifadhi

  • @mubirirashidi
    @mubirirashidi Рік тому +1

    Mashaaallah ❤️❤️❤️

  • @ushindiushindi5749
    @ushindiushindi5749 Рік тому +4

    Huwa nakkubali sana mziwanda lakin kutetea mauld hapan

    • @user-br6er7zf5z
      @user-br6er7zf5z 28 днів тому

      Nyie ni wanafiki tu wapuuzi kamà hamjui maana yamaulidi kaeni kimya au kalaleni

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 Рік тому

    Mashallah 😊

  • @travellertraveller4505
    @travellertraveller4505 Рік тому +1

    ماشآءالله

  • @user-qq6no9em1f
    @user-qq6no9em1f 7 місяців тому +2

    wallaah mziwanda unaijua hakki ispokua unafanya unafanya makusudi kwa kufuata matamanio

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 Рік тому +3

    Mbali Sana hapo sheikh.
    Kwa niwajuavyo mimi hapo hawafiki.

  • @sabdiduwil8436
    @sabdiduwil8436 Рік тому

    Ibrahim Alivyoomba mwenyezi mungu nijaalie niwe miongoni mwa wema. Ndipo alipooteshwa amchinje mwanae. (Alivyo amini) ndipo alipoonyeshwa mnyama,ndipo alipo barikiwa nabii Is-haqa mwema. mingoni mwa kizazi chake wapo wema,na wenye kudhulumu nafsi zao. Shekhe hapo umekosea maiti hasaidiwi kwa kusoma qur-anni, ili imuonye aliye hai (Yassin)

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e Місяць тому

    Endeleni kupotosha watu maana allah kawatoa aibu kama mtume mmemsingizia mtashindwa kusema urongo siku zinavyoenda wanawakimbia hawo munao waringania uzushi mtajikuta mmebaki wenyewe muogopeni mungu dinni haikuwa na ziada ya kuongeza mambo baada ya mtume

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 Рік тому +2

    Mziwanda wewe ni msomi mzuri sana, tatizo lako tu haupo katika haki ingawa unaijua haki. Na Allah akupe muongozo InshaAllah.

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 Рік тому

      Yaani unakubali Elimu anayo lkn unamkata jina kama mtoto wako kwasabu mumehitafiyana lkn ujuwe kuhitaliyana ndiyo kukuwa kwa Dini yetu kwasabu watu watasoma zaidi

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 Рік тому

      Kwaiyo kafili au dah nyie waislam wa ni shida sana aya wew mcha mungu mungu akujalie

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 Місяць тому

    Sheikh hapo umedanganya,kwenye neno على نشاطه Makusudio yake yapo hapa صل قائماً.... Na kuendelea kwenye hio hadithi. Wallahi nukupenda kwa ajili ya Allah. Lakini hapo umechemsha Sheikh makusudio sio idadi za rakaa

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 10 місяців тому

    ‏لو كان خيراً لسبقنا إليه الصحابة
    ‏قال الإمام ابن كثير -رحمه الله- :
    ‏《 وأما أهل السنة والجماعة
    ‏يقولون في كل فعلٍ وقولٍ
    ‏ لم يثبت عن الصحابة : هو بدعة ،
    ‏لأنه لو كان خيراً لسبقونا إليه ،
    ‏لأنهم لم يتركوا خصلةً من خصالِ الخير إلا وقد بادروا إليها 》.
    ‏ [تفسير القرآن العظيم (١٣/١٢)]

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 Рік тому +2

    Leo umefundisha kama mwalim wa Mathematics Mashaallah ila hao wanaoongeza na issue za mayele ndo wanao fanya watu wa maulidi kuonekana wahuni we unampenda mayele kuliko mtume na maswahaba

  • @homeboyvr8184
    @homeboyvr8184 5 днів тому

    Maneno yk ni ya hovyo nasikuoni ila nmtu wa shari

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 11 місяців тому

    Masheikh wakiwahabi wanaopinga waende semina wakaelimishwe

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes Рік тому

    Me nauliza swari kabla ya sijacommenti mauridi ayo anayo zungumzia shekhe Ni pamoja na madufu ama maaridi kisomo tu?

  • @user-qq6no9em1f
    @user-qq6no9em1f 7 місяців тому

    KUWAFANYA WATU MAZUZU SASA MAMBO YA NDANI UNAFANANISHA NA MAULIDI YA NJE

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 10 місяців тому

    .shekh juzi kaeleza kwamba aliekataa khitima ni imamu shaafii allah amreh .
    Leo atuambia namna yakuomba kukusanyika kumuombea maiti .imeachiliwa .
    Swali khitima watu wakikusanyika wanafanya nini!
    Na ww umesema madheheb yako ni ya kumfuata imamu shaafii .

  • @hashimkhamisi8291
    @hashimkhamisi8291 Рік тому

    ASANT

  • @mgosilawanukoviri2734
    @mgosilawanukoviri2734 Рік тому +1

    Mdathiri soma acha kulalama elimu pana ndefu wewe umechota kijiko kwenye elimu wanzako wanna ndoo mapipa mito someni acheni ushabiki wa ki itikadi

  • @issanasir3583
    @issanasir3583 Рік тому +1

    Kufata sunna na kuacha shubhaat ni bora Zaid...sio kutafuta vichochoro vya kufanya bid'a

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому +2

    Asiye elewa sjui ni mtu wa aina gani

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 Рік тому +1

    Twayyib

  • @rahimaabdillahi6287
    @rahimaabdillahi6287 6 місяців тому

    Shekhe uyu kijana alomaliza thanawi ivi masualiyake huyasikii au ni kiburi ebu mtwange ktk ayomasualayake tuonee ww mziwanda ni kidume unaogopa nn ebu jibu basi

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Місяць тому

    Dalili

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 7 місяців тому

    Sasa unajifunga mwenyewe kama haguna dua alio waombea wazazi wake na yeye ndio kiigizo chema wewe umepata wapi

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba 9 місяців тому

    Sheikh mbona ww muongo ktk suala maulidi mtume(saw)
    hakusheherekea Bali mtume(saw )alifunga ibada hii aliifanya kw kuifunga wewe ni muongo na mzushi.

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 Рік тому

    Shehe kaongea vzuri sana lakini sijafahamu vtu viwili (1)dalili ya kuonesha Maulidi ni sunna. (2)dalili ya kuonesha Maulidi ni sunnatul Mutwlaka.

  • @abubakarshaban6118
    @abubakarshaban6118 Рік тому

    Haya Acha hiyo ya dua kwa wazazi.. Je maulidi?? Na hiyo ya kula ubwabwa kumsumbua mfiwa..

  • @hamischuga6320
    @hamischuga6320 Рік тому +1

    Mayele kaingiaje msikitini
    Ushenzi huo

  • @ibrahimmussa7069
    @ibrahimmussa7069 Рік тому

    Swala kumsalia ishu je yana uhalali uhalali wake up wapi shekhe usizungushe watu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Місяць тому

    Wadanfanya watu

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 Рік тому

    .

  • @rashidsaid9409
    @rashidsaid9409 9 місяців тому +1

    Ni kweli maneno ya Imam Shafii Allah amrehemu. Amesema (lau kama mtu ataingia ktk usufi mwanzoni mwa mchana basi haitofika Adhuhuri atakuwa mpumbavu) bila shaka ni kama huyu. Sufi. Hii ni talbis iblisi.

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 5 місяців тому

      Na wafuasi sasa waio kuwa na tahadhali ya elmu wanacheeka tuuu

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 Місяць тому

      HEBU LETE HICHO KITABU UTUONYESHE NA UKURASA ULIPOYATOA
      TUONE KAMA HUMO YAPO HIVYO UNAVYOROROMA WEWE

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 Рік тому

    Mziwanda kuna na kesho

  • @TahfifuAlly
    @TahfifuAlly 3 місяці тому

    Huyu n kenge jmn Murakkab

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 Рік тому

    Hakuna iyo sh ambalo hakulifanya mtume swallahu alaihi wasallam haliwez kuwa ibada leo

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 Рік тому +1

      Yahya Rashid
      Umesema : ambalo hakulifanya mtume ﷺ haliwezi kuwa lbada leo.
      .
      Twayyib : kufundisha kitabu (( بلوغ المرام)) sio lbada kwa7b mtume hajafanya ??
      Kujenga ((markaz)) tukazipa majina ya masheikh waliokufa mtume hajafanya jee halifai ??
      Pia : Tunaomba utupe taarifu (difinition) ya lbada .. ni nini lbada ??

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 Рік тому

      Hawezi kukujibu mpaka akamckilize shekhewake

    • @mickdadymwinyi1936
      @mickdadymwinyi1936 Рік тому

      @@saidihaji3739 Kwa ushauri tu kaa chini usome acha janja janja ktk dini, hivi kujenga Markaz na kuipa jina ni ibada?

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 Рік тому

    Ni uovu kumsemea Allah.
    Kwamba kama ombolezo baya anaadhibiwa maiti.
    Kwanini ikisomwa Quraan asisamehewe.
    Suala la Allah kumsamehe binadamu ni mapendeleo yake sio kwasababu umesoma Quraani ndo asamehewe.
    Allah akitaka inakua asipotaka haiwi hata ufanye nn.
    Cha msingi fanya alicho fanya mtume na alicho fundisha.

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 Рік тому

      Ndiyo maana tunamuomba huku tukitarajiya msamaha kwake tunajuwa kuwa humsameh amtakae lakini Allah hachoki kuombwa na waja wake tafauti na sisi mtu akikujiya mara 3 mara mtu anachukiya

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 Рік тому +1

    Kuweli wwe ni musomi

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 Рік тому

    Watu kuleta mayele kwenye maulid na madufu yao ndio usahihi wa hadithi.maana mtu kasema BIDAA zote mwisho wake ni upotevu zaidi Kama huko kuleta mayele.shida wa mashekhe wa BIDAA wanakiswahili kingi iv ww unazani huyu shekhe hajui ukweli,jiulize tu mbona makka na Madina huko alikozaliwa mtume mwenyewe hawasomi haya maulidi ukipata jibu ndo utaelewa.

    • @hamadomary3308
      @hamadomary3308 Рік тому +1

      Mbona maka na Madina hawafuati mwezi ulioandama nchi icyokuwa yao,
      Wakat ww unafata wao,

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Рік тому

      @@hamadomary3308 mh,lako jipya kwaiyo kila miaka unaonekana hapo,iv tz tushawahi kuwatangulia kufunga au kufungua makka unaongea tu bidaa zimekushika SAUDI huwa wanataka Hadi sehemu au nchi ambazo mwez umeonekana

    • @gaboudghussein527
      @gaboudghussein527 Рік тому

      Hivi unajua Imam wa Makka amefungwa miaka 10 jela? Sasa usiseme usichokijua. Huko maulid yanasomwa pia

  • @husseinbutoyi8675
    @husseinbutoyi8675 Рік тому

    MZIWANDA, UJANJA MTUPU NA HAMNA JIPYA HAPO.

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 Рік тому

    Ujanja ni mwingi 😢 sijuwi lipi alifikisha

    • @shebymilanzi8716
      @shebymilanzi8716 Рік тому

      Tulia Kama uelewi mfate akufundishe

    • @saidsheha-wn4qw
      @saidsheha-wn4qw 9 місяців тому

      Kuna ujanja gani hapo. Mbona maana mkaambiwa mkasomehwe. Nyie hamtaki.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому +1

    Tunaelewa shegh ufafanuzi mzur sana,kuna vichwa haviwezi kuelewa sababu wanachoamini sivyo unaamini wewe shegh….

  • @bakarimabele9295
    @bakarimabele9295 Рік тому

    Tuache upaulo kwenye dini ya Allah ndugu zangu

    • @aljabery.binruz
      @aljabery.binruz Рік тому

      Upaulo Nani na tuache nini fafanua tukuelewe, nn kibaya alio kisema?

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 Рік тому

      Huja hamna na mashekhe wenu wapo kimya inaonesha wazi dawa imewaingia nyie viclili mmeachwa njiapanda

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      KWELI TUWACHE UPAULO TAWHEED TATU (MUNGU BABA, ULUHIA. MUNGU MWANA, RUBUBIA, MUNGU ROHO MTAKATIFU, ROHO NA SIFA ASMAU WA SWIFWATI) KATIKA UISLAMU. upo sahihi. Tuwache ulokole wa tawheed tatu

    • @bakarimabele9295
      @bakarimabele9295 Рік тому

      @@hilalkhalfan1452 shukran sheikh leo nimepata kufahamu mungu mwana kwa kiarabu ni rabi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@bakarimabele9295 sio rabi, ni rubu. Hio sio rabi bia. Hio ni RUBU BIA.
      RABI- NI MWENYEZIMUNGU
      RUBUBIA - NI UWILI WA MWENYEZI MUNGU YAANI MUNGU MWANAE.
      Rabi ni Mwenyezi Mungu na wakiristo huita Mungu baba. Wanakusudia huyo Mungu mwenyewe kisheria. Sasa unapoendelea kugawa tawheed ndipo unapofanya utopolo wa Paulo.
      Alikatazwa Paulo kufanya tawheed ni Tatu Sasa waislamu wamejifanyia wao tawheed Tatu. QUR-AN hawaridhiki mayahudi na wakiristo mpaka mfate mila zao za tawheed Tatu ili mkufuru pamoja nao.
      Qur-an "WALAA taquulu thalatha" yaani MSISEME TAWHEED NI TATU KAMA PAULO.
      AU UNAYO HADITHI IMESEMA TAWHEED NI TATU IKAIPINGA HIO QURAN ILIOKATAZA TAWHEED TATU?

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому

    Uko mbele ya majabari wa maulidi na mahitima thubutu useme ukweli!!!? Ndio unabaki kuyakoroga na mifano ya kijingajinga

  • @yusuphj2357
    @yusuphj2357 Рік тому

    Taratibu wanazd kuelewa kuitambua bida'a

  • @ibrahimmussa7069
    @ibrahimmussa7069 Рік тому

    Unazunguka sana mauligi yana shirki nyingi shekhe

  • @mummy-qg6tt
    @mummy-qg6tt Рік тому

    Siku nyingine nyoosha maelezo ya mada

  • @user-yh5fu5lo9r
    @user-yh5fu5lo9r 8 днів тому

    Jirongo ivi wewe nae nimtu au mtumba Huoni kuwa Allah ndio alileta hiyo habari sasa Abraham hakuwepo anasemewe hii nikauli taarifa Tena anasema nime ona ktk ndoto walasio kwa tafsiri Yako hio chafu unapingana Mungu wako kafiri wewe

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 Рік тому +1

    Vikao vya watu wa bidaa ni kuongeza chumvi tu

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 Рік тому

    Shekhe kazi yenu ni kuleta ujanja wa nahwu ili kuwachanga watu , mwenye kuzua yasiyo kuweko haponyoki