USIFANANISHE MAULIDI NA TAWHIYD || Muhammad Bachu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 199

  • @abdallahmungwana8667
    @abdallahmungwana8667 2 місяці тому +21

    Sheikh Muhammad bachu umefanya mtu kama mimi nimejifunza mengi sana alhamdulillah Allah akuzidishie maarifa

  • @AbbasFadhiliAbdallah
    @AbbasFadhiliAbdallah 2 місяці тому +3

    Wallahi najifinza sana vitu vingi kupitia maneno yako bacho, hakika uko juu sana kielimu na ufahamu Allah kakupa. Hawa wamesoma lugha lkn ufahamu wao ktk dini ni watupu kbs

  • @HemedRamadhanJuma
    @HemedRamadhanJuma 2 місяці тому +7

    Allah akuzidishie iman akupe nguvu akupe afya njema nakupenda sana kwa ajili ya Allah unafahamika sana ndugu yangu Alhamdulilah

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 2 місяці тому +2

    Diwani anaona sifa lkn hajui km anafanywa ubao wa kusomeshea watu shukran sana akhiy bachu....

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 2 місяці тому +3

    Shekh Bachu unafaidisha umma Allah akuhifadhi akulipe thawabu kwa kazi kubwa unayoifanya MashaAllah tunafaidika.

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 2 місяці тому +7

    BACHU NI CHUO MASHAA ALLAH, MGANGA WA KISHIRIKINA,HAJUI HATA KUTUMIA COMPYUTA BADO ANATUMIA UBAO UKUTANI ELIMU YAKE YA KIZAMANI NA BADO HATAKIKUSOMA

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 місяці тому +2

    Ni sheikh wangu , elimu ndogo ni makero sana nakukubali sana sheikh Muhammad bachu Allah akupe wepesi zaidi

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 2 місяці тому

      Hawa Waganga Washirikina hawana Hoja zaidi ya Matusi, Porojo na Utapeli tu Kwa Kutetea Utapeli wao/Maslahi yao ya Dunia tu na Kuisahahu Akhera 🙌
      Hata ktk Swala ktk Kukuh na Kusujudu tunamhimid Allah mara Tatu ktk Kila Kipengele (Lukuh na Sijida) je, ni Utatu/Ukristo?!

  • @ibrahimmaabadi1586
    @ibrahimmaabadi1586 2 місяці тому +1

    Hafidhaka Allah ya Muhammad Bachu . Allah akimpenda mja humtumia. Bila shaka Allah anakutumia kubainisha haki.

  • @Captainome
    @Captainome 2 місяці тому +1

    Ma shaa Allah watakuelewa shekh Muhammad bachu tumia elimu yake kuwasokesha wengine,ila tumwite tu jina lake diwani hili la mganga kwa heshma yako ni kubwa sana kwa jamii,mwache tu yeye asema majina ayajuwayo yeye lakini usimwite mgaga achana nae shekh wangu,tushajua mambo yake mengi sana.Allah akuhifadhi.

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 2 місяці тому

      Hajakosea shekhe kumuitaivo maana yeye nikweli ni mganga kakangu

    • @Captainome
      @Captainome 2 місяці тому

      @RamadhaniShembilu-l1e sawa lakini tushajua tabia zake ndio hizo za uganga ramli ramli hzii,ispokuwa lele neno tu yeye shekh Muhammad bachu kwa jamii Allah ashamtambulisha so kwa wenye akili ndogo wataona mbona wakejeleana hawa haina hajankuskiza coz twataka elimu bachu kweli elimu Allah amemruzu vitabu avijua diwani ni mtu wa kawaida tafsiri yenyewe balàa so asishidane nae.

    • @Captainome
      @Captainome 2 місяці тому +1

      @RamadhaniShembilu-l1e au diwani kumwita mwanaharamu shekh Muhammad bachu kwa family yake kwa jamaa na marafiki pia watu wasiomjua itawaacha na ? So twendeni kielemu MAJINA HAYAA MWANAHARAMU MGANGA SIO POA BROTHER TUNAKUTAMBUA WE RESPECT U AND UR KNOWLEDGE .

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому

      @@Captainome
      Amwite mganga wamjue watu,maana kajifichankatika kondoo

  • @abuujamsheed2345
    @abuujamsheed2345 2 місяці тому +6

    Jamaa hao walishanipoteza masufi Allah kanifanyia wepesi alhamdullilah na hao nao Allah awaongoze

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 2 місяці тому

    Unatunufaisha sana shekh muhammad Allah akuhifadhi na waganga na wachawi

  • @saidmduchu8100
    @saidmduchu8100 2 місяці тому +4

    shekh alhamdulillah tunakuelewa sanaaaa zaidi ya sanaaaaa

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 2 місяці тому +2

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته شيخنا الفاضل شكرا وجزيت خيرا ألف مرة....

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y 2 місяці тому +3

    Mashaallah tunapata elimu kubwa kwa wenye mazingatio kwa uwezo wa allah

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 2 місяці тому

    Baaraka llahu fik,sheikh Muhammad Nassoro Bachu nakuelewa mno,ndani ya dkk 9"7 umeshanikinaisha,yani sijui watu wanafeli wapi kukuelewa,alhamdulillah Allah kunijaalia ufaham

  • @ahmedmalau1791
    @ahmedmalau1791 2 місяці тому

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad Bachu

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    Shekh Bachu Allah akuzidishie kila la kheri kwa kuwaadabisha hao wapiga ramli

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 2 місяці тому +1

    InshaAllah Sunnah ya mtume swalallahu alaih wasalam itashinda tu

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 2 місяці тому +5

    *ALLAH AZIDI KUKUPA NGUVU AL AKHY MUHAMMAD BACHU*

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 2 місяці тому +2

    Asalaam alaikum sheikh Mohamed Bachu, tulifurahi ulipo fununua uharamu wa kutumia mapete kwenye mambo ya kinga na kufunguwa rizki kwenye khutba ya ijumaa , kwa hio tafadhali sheikh tunataka khutba ya kuharimisha kutafuta msaada kutoka kwa Majini ili kutimiza mahitaji ya Mtu, Khassatan kuna aya inasema hivi; Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi. --al_jinn 6

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 2 місяці тому

    Hao watu huku kwetu Burundi ni ma shaffi waimba kaswida na milango ya 1hadi yamwisho😊Allah akuhifadhi cheik bacu twasoma kwako pia twa faidika mengi

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 2 місяці тому +3

    Mashaallah endelea kumnyosha kw kila ambae anaharib dini bila ya ushahid wwte InshaAllah

  • @capitalistcapital8879
    @capitalistcapital8879 2 місяці тому

    HUYU SHEIKH DIWANI, ANATUKANA SANA.
    SIONI MAJIBU WALA MAALUMAT YA ILMU AKIYATOA KUJENGA NA KUVUNJA HOJA
    YEYE NI MATUSI MENGI TUU HADI ANAKERA
    MPENI USHAURI AFUNGUEE COMMENT KWA CHANNEL YAKE APATE MAONI KAMA KWELI TUMEELEWA AU LAAA
    PIA TUTAMKUMBUSHA AMBAPO AMESAHAU KUPAGUSIE.

  • @djumasuleimanisuleimani2724
    @djumasuleimanisuleimani2724 2 місяці тому

    Uko muongoni mwa masheikh nawo wakubali apa duniani mwalimu Wang nakukubali sana

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu 2 місяці тому

    HAWA MASHEIKH WA MAULIDI WENGI WAO FALISAFA ZAO NDOGO ; SANA SANA WANAKUWA NA MIHEMKO NA USHABIKI...

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 місяці тому +1

    Shekh wetu USİCHOKE
    RADD ZAKO ZİNAATHAR KUBWA SANA KWA MASUFİ
    siku hizi wamepunguza sana
    1- kuimba inba misikitini
    2-Uganga na kudanganya watu
    3-Khitma kunuti tarkini 40 ...zotee wameacha
    watu wameelewa

  • @AbuuKiweru
    @AbuuKiweru 2 місяці тому +2

    Mashallah huyo jamaaa ataelewa 2 nahat yey akijifanya haelewi wengi allah atawap ufaham nawachane nahizo itikad zahuyo jamaa

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 2 місяці тому +1

    A.alaikum
    Shukran tunafaidika sana kwako
    but this time umekaa sana inshaAllah Allah Akujalie wepesi ili usichelewe ivyo kutuelimisha.

  • @MohamedHassan-kk5te
    @MohamedHassan-kk5te 2 місяці тому +1

    MUHAMMAD BACHU NAKUSHAUR USIWE UNAAPA VIAPO VBYA KWAYUSUF DIWAN UWEZO WAKE KWENYE QUR'AN WW HUMSHIND NAWW YUWAWEZA KUKUPA AYAAH USHINDWE COZ MAULUMAT ANAYO TUNAONA LIVE

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 2 місяці тому +2

      Diwani nifundi sana katika mambo ya nyota na ramli

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 2 місяці тому +1

      Kumbe unatafta mshindi?okey yeye na nyie wanafunzi wake shindeni ila sisi tunajifunza,😊

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 2 місяці тому

      Yusuf UBAO umekubali kuwa ubao ili watu wengine tusomeshwe asante SANA

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h 2 місяці тому

      Huyo diwani rabda umuliize uganga na nyota ndo analolijua

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 2 місяці тому

      Dhahiri siku mkijua mtasema Astaghfirullah
      Na Allah yeye ndiye ghafur rahiym atawasameh.

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 2 місяці тому

    Allah akuhifadh sheikh bachu

  • @binismail2029
    @binismail2029 2 місяці тому +1

    Munaiharibu DINI ya ALLAH WALA HAMKUTUMWA KUONGEZA UJINGA KATIKA DINI ILIYOKQMILIKA. MLICHOTAKIWA NI KUTEKELEZWA MLIYOAGIZWA NA MTUME (S.A.W) TU, HAYO NDIO PIA WALICHOFANYA MAHODARI ZAIDI MASWAHABA WAKE. MNAIDHALILISHA DINI. DINI IMEKAMILIKA, HIVYO FUATENI KAMA WALIVOFUATA MASWAHABA. HAWAKUOATAPO MUDA KUONGEZA UJINGA WOWOTE. JEE HAYO MALEMBA YENU MAKUBWA NDIO DALILI KUWA MNAJUWA ZAIDI KULIKO MASWAHABA.

    • @NassorrajabJuma
      @NassorrajabJuma 2 місяці тому

      Nenda darasan ndugu yangu isije ukapotezwa

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 2 місяці тому +1

    mashaaah mm nimeelewa sana huyu shekh❤

  • @AwadhTariq
    @AwadhTariq 2 місяці тому +2

    Allahuma barik sheikh

  • @aliykhamisi1431
    @aliykhamisi1431 2 місяці тому

    Asante sana Sheikh Mohammad teach him a lesson

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 місяці тому +2

    Nimejifunza mengi kupitia hii channel alhamdulillah tupo pamoja from 🇲🇫

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 місяці тому

    Hakuna Tauhid 3 na ANAEAMINI Tauhid 3 ni sawa na Yahud na Naswara Mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu, Tauhid 3 ni kufru na shirki iliyo chupa mipaka kuliko hata kuabidia sanamu la Bikira Maria

    • @MakameAdam-c1f
      @MakameAdam-c1f 2 місяці тому

      Allah akuongoze, ili usiongee tena maneno mazito kama haya

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    HUYO SHEKH MGANGA ALISHAPIGWA NA SHEKH BACHU KTK MUNAAQASHA NA ALIKOSA HOJA KABISHA,LEO ANAKUJA NA HOJA YA VIGAWANYO VYA TAWHEED DAH!

  • @OmaryHussen-i6g
    @OmaryHussen-i6g 2 місяці тому

    Poleni sana mungu awape ufahamu

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 місяці тому

    MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH

  • @Tolleiyss-g6b
    @Tolleiyss-g6b 2 місяці тому +1

    Asanti my sheikh Mohammed bachu

  • @abdallahcharif8252
    @abdallahcharif8252 2 місяці тому

    Nakupenda sana brother

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 2 місяці тому +1

    Sijui ni kitu gani watu kinachowafanya waendelee kuwa majaheel sijui wameshapigwa mihuri katika mambo yao ya kishirikina sielewi 😂 ama ni vile binaadamu tunavyotofautiana katika uelewa
    Ila kiukweli haihitaji uwe na akili nyingi sana kumuelewa Shekh Bachu kijana anazidi kutuonesha madhaifu ya washirikina kama kina diwani na kundi lake wengine imewachkuwa mda sana kumuelewa shekh bachu ila sasa tunamuelewa Alhamdulillah dawa iendelee na wengine watachomoka huko

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 місяці тому

    Yusuf Diwani hana tofauti na Aduii Chongo

  • @binismail2029
    @binismail2029 2 місяці тому

    YAA KUITANGAZA HAKI PANAHITAJIKA SUBRA KUBWA. ILA TUTAFIKA IN SHAA ALLAH

  • @NassorrajabJuma
    @NassorrajabJuma 2 місяці тому

    Hahaaa waganga wanabisha na wasomi kwa elimu zao za vitabu vya halibadir huyu diwan anaonekana hana elimu hata kidogo jaman tusomen dini yetu tutapotezwa na watu kamaha kina diwani wapo wengi hao nawezi wao kina dokta sule.

  • @abuunabil1090
    @abuunabil1090 2 місяці тому +2

    Mashaallh nilikuw nikisbr kwa hamu kubw

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 2 місяці тому +1

    Jazaaka llahu khayra

  • @shabaniadam7015
    @shabaniadam7015 2 місяці тому +1

    Mashaallah

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 2 місяці тому +1

    بارك الله فيك

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 2 місяці тому

    Masheikh wengi wa Kisufi wanasifa na tabia kama huyu mpiga ramli na haya yote ni kwasababu ya kutoifaham Tawhiid ktk ufahamu wa sawasawa.

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 2 місяці тому

    Hamna kazi zakufanya hayo ndo matokeo ya wayahudi kweli kazi

  • @Muswlih
    @Muswlih 2 місяці тому

    فأنت سلفي الآن ماشاء الله لا شك فيه

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 2 місяці тому +1

    Shukran ❤

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 2 місяці тому

    Bismillah maashallah

  • @badrumulinda7349
    @badrumulinda7349 2 місяці тому +1

    Tunashukuru sana

  • @Muswlih
    @Muswlih 2 місяці тому

    ماشاء الله تبارك الله

  • @MakamekidawaMwiga-l2i
    @MakamekidawaMwiga-l2i 2 місяці тому

    Da sheikh muhammad ww sema vyovyote lakini vigawanyo vya Tawheed ni bid'atu

  • @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk
    @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk 2 місяці тому +1

    Masha الله nimeupata faida kubwa ahy

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 місяці тому +1

    Nyinyi wote munajitahidi kuitete hoja kila mtu anavutia upande wake ,, sasa basi andaeni mjadala sisi waumini tufaidike na hoja hizo ,,

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 2 місяці тому +2

      Masufi wote wanaleta vurugu kwenye mijadala kwaiyo haitafikiwa lengo Kwa mijadala hapa raddi itakua mtandaoni tu

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 2 місяці тому +1

    Awa watu elimuyao ni ndogo halafu hawaruhusu koment mana wanajua wangesemwa sana na watu

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 місяці тому

      ⁠@@SaidMadaimbona wewe umekuja kucomment huku,harafu kule kwa Diwani kafunga watu wasicomment.

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 2 місяці тому

    Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh Sasa ndo naanza kujua matatizo yalioko kwenye dini chanzo n nini ikiwa diwani anaongea machafu ya kupinga haki na ako n wanafunzi je kesho hao waliokaa chini yake hatma ya kizazi kijacho itakuaje ndo unaona uzushi mwingi biashara ya utapeli imekidhiri Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na pia wao wajue wafanyayo ni upotovu muogopeni Allah enyi wazushi,,sheikh Allah subhannahu wa taala akuhifadhi n sisi pia

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 2 місяці тому

    Anapiga tahuid 3 kwasababu yauganga

  • @iddijuma1428
    @iddijuma1428 2 місяці тому

    Mashallah

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 2 місяці тому

    Yap,endelea ivyo ivyo bachu hakuna kupumua ...hawa wameuchafua uisilamu mpaka inaonekana dini ya waganga n majini...pumbaaav..zao.

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 2 місяці тому +2

    Maneno ya Shekh Diwani Yana mazingatio makubwa sana Kwa wenye akili. Maneno ya Sheha Bachu yana udanganyifu mkubwa Kwa wenye elimi.

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому

      Diwani akisema majiyabahari yana sugaring wewe utaamini,
      Murakab wewe

    • @saadaAbdalla1371
      @saadaAbdalla1371 2 місяці тому

      Wana macho lkn hawaon, wana maskio lkn hawaskii na wana mioyo lkn hawazingatiii hao ni km wanyama bali wanyama nibora zaid yao

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 2 місяці тому

      Hii tunaiita EGO

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 місяці тому

      @@FarahJey Huu utatu wa TAWHEED kuufanya ni Dini ni UZUSHI
      Maana ili mtu awe muislam ni atamke كلمة التوحيد
      Ambayo ni لا إله إلا الله محمد رسول الله ukisema Mtu hawezi kuwa muislam lazima awe na Tawheed 3
      tunaomba kauli ya wazi kutoka kwa Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى au Mtume wake ﷺ
      na kama hajasema haya basi kwa kauli yako umezusha na Allah na Mtume wake ﷺ wameshindwa kuukamilisha uislam maana kuna mambo hayajakamilisha kama TWAHEED 3 na nyie mnasema yapo kwenye dini.
      Je Mtume ﷺ alisahau kufikisha ujumbe ?
      Mwisho kabisa, Mambo kama haya ndio Imam Shafii رحمه الله aliyaepuka sanah ambayo yamenukulia kwenye سير أعلام النبلاء ـ الإمام الذهبي
      Katika jumla ya maneno alonukuu kwenye mlango huo KATIKA VITU ALIVIOGOPA IMAM SHAFII رحمه الله na kuwatahadharisha watu ni swala la kuvamia mambo ya elimu zinazohusu uungu na kumjadili mungu (uungu wake) MASWALA AMBAO ALIOGOPA ndo huku mnapoenda ndugu zangu .
      Imam Maliki رحمه الله kwa sikio la Imam shafii kasikiwa akisema
      Mtume ﷺ kafundisha kila kitu hadi kwenda CHOONI jinsi ya KUCHAMBA,
      ‎ عَنْ سَلْمَانَ قَالَ قَالَ لَنَا الْمُشْرِكُونَ إِنِّي أَرَى صَاحِبَكُمْ يُعَلِّمُكُمْ حَتَّى يُعَلِّمَكُمْ الْخِرَاءَةَ فَقَالَ أَجَلْ إِنَّهُ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَهَانَا أَنْ يَسْتَنْجِيَ أَحَدُنَا بِيَمِينِهِ أَوْ يَسْتَقْبِلَ الْقِبْلَةَ وَنَهَى عَنْ الرَّوْثِ وَالْعِظَامِ وَقَالَ لَا يَسْتَنْجِي أَحَدُكُمْ بِدُونِ ثَلَاثَةِ أَحْجَارٍ
      ‎262 صحيح مسلم كتاب الطهارة باب الاستطابة
      (Kiakairi za kibinadamu) tukileta na jambo lenu la TAWHEED 3 (ndo unakua muislam)
      Hapa Imam Maliki رحمه الله anaonyesha haiwezekani Mtume ﷺ leo asahau JAMBO KUBWA KAMA TAWHEED kutuambia ni 3 au kutufundisha Tawheed kwa UKAMILIFU WAKE.
      Baada ya yeye kufa watu ndo waje kutufundisha TAWHEED NI 3 na asiekua nazo hizi sio MUISLAM
      HICHI KITU HAKIWEZEKANI… Hii itakua ni kumsingizia Mtume ﷺ kuwa kafanya hiyana kwenye kulete UJUMBE ALIOTUMILIZWA.
      maneno ya Imam Maliki رحمه الله yakaendelea kusema “TAWHEED ni ile ilofundishwa na Mtume Muhammad ﷺ akaeka hadith hii ⤵️
      ‎أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ الْمُشْرِكِينَ حَتَّى يَشْهَدُوا أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ
      Nimeamrishwa nipigane na washirikina mpaka washuhudie kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja na Mtume wake.
      HIYO NDIO TAWHEED (huyo ni Imam Maliki), Hilo neno mtu akisema akaliamini MALI YAKE ITAKUA IMEHIFADHIWA NA DAMU YAKE PIA, na akamalizia kwa kusema Hiyo ndio TAWHEED YA HAKIKA.
      Imama Al-Muzani رحمه الله amefundishwa na Imam Shafii رحمه الله kutoka kwenye maneno hayo
      HAKUNA KIGAWANYO WALA KITU CHOCHOTE HAPO
      Ingekua mtu ushuhudie TAWHEED ZOTE 3 ile ue muislam
      Ukishuhudia TAWHEED 1 uislam wako utakua ni pungufu na hapo utapingana na hadith ya Mtume ﷺ kwa waziwazi.
      ITAKUBIDI Ushuhudie ruboobiyyah, al-uloohiyyah na al-asma’ wa’s-sifaat.
      Namalizia kwa kusema
      Hapa tumejifunza TAWHEED na pia ili uwe muislam ni nini kinahitajika na ili utoke kwenye uislam ni nini kinahitajika.
      sheikh kama nimekosea kwako nipo tayar kusoma nifundishe haya MATAWHEED MA3 yana toka kwa mtume ﷺ au Kwa Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى
      Tupe kauli ya wazi sheikh TUNUFAIKE
      Tusije pingana nayo KUMBE IMETHIBITI
      Ntakuomba nijue TWAHEED GANI NDO NAINGIA NAYO KWENYE UISLAM ?
      Na Kauli kutoka kwenye kitabu na Sunnah
      Maana nyie salafi sio wazushi ni watu wa kitabu na sunnah. Nasubiria majibu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

      Jamani m,bachu yy anafikisha tu, Wala hakulazimishi ufuate haki,hivyo basi ewe khurafi usipandwe na jazba ukajikuta umejinyeya!mambo ni taratibu usije ukajinyonga bure

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому

    Bachu jibu na clip ya haji upepo kuhusu aqsaamu tawhiyd

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 2 місяці тому +3

    Tunataka ushahidi wa Qur'an na Hadithi usillete mbwembwe hapa

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому +1

      Makafiri walisema hatuamini mpaka kiteremke kitaabu haswaa kutoka mbinguni walishike waking,hivi ndivyo wataka wewe,kama kina abujahli

    • @maximusalnono6425
      @maximusalnono6425 2 місяці тому

      Jamaa unajina zuri sana sema tu ujaheel unakusumbua inawezekana kabisa hii video na elimu aliyoitoa Shekh bachu umeirukiarukia tu kuwa katika subra uipitie tena hautaweka comment ya kijaheel kama hii

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому

      @@maximusalnono6425
      Ujahili kivipi ustaadh almaalim

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому

      @@maximusalnono6425
      Sema kivipi

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 місяці тому

      @@maximusalnono6425
      Kuna maemo wakiarabu wasema hivi asaata fahma fa asaata ijaaba, kwanza ungelielewa nimeongea nini na kuhusu nani,kisha ndio uje ukejeli.
      عرب وين وطنبورة وين.انا في واد وانت في واد آخر

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 2 місяці тому +1

    Yusuf diwani anafanywa ubao

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

    Mimi natoa rai kwa al'akh m,bachu allaah amlinde,hawa akina yusuph d,na mfano wake walichokosa ni ufahamu tu lakini wanajuwa fika tawheed 3 ndani ya qurani! Na ndomana ukiwaulizaga allaah ametaja vitu vingapi ktk hiyo aya ilioko ktk suratu maryam hawakujibu!!inamaanisha wanajuwa wanachopinga! uwelewa tu ndio shida,hivobasi ndugu m,bachu achana na maneno kumwita mganga mpiga ramli kwani hujui kuwa allaah kaishawatambulisha waja wake kuwa hao ni waovu kw hiyo kazi wanayoifanya?wasiojuwa ni wachache sana nawao pia watakuja fahamu inshaa'allaah, kwani huikumbuki aya inayosema(msiwatukanie miungu yao((hao washirikina)watamtukana allaah bila wao kutambua (bila ya kujali Wala kuogopa))) hivi ndivyo mfano wa kinadiwani,,,,,, ukiwaita kwa majina mabaya nawao itakuwa ni ngumu kuifuata haki hatakama wataijua na kuiyona, hatimae watakujibu kwa matusi bila kujali,lamuhimu tahadharisha hayo mambo yao kwa ujumla ya wanaofanya hayo bila kuwainisha mtu fulani,na inapobidi kumtaja kama dharura basi mtaje lakini isiwe ni ada, tunataraji ipo siku wataelewa inshaa'allaah na watakiri makosa yao bado ni waislamu hao,ikiwa kafiri anautukana usilaamu waziwazi lakini kunasiku anaelewa haki na anaingia kwenye usilamu kwa tawfeeq ya allaah, itakuwa muislamu?na utambue kuwa uko kwenye vita vikali mno kwawewe kuitangaza tawheed! Kuliko anaeamrisha sala ua funga au zaka,,,!kwasababu tawheed inapingana na kila aina ya ubaya!na ndio jambo ambalo mitume wa allaah liliwatoa jasho kuwAmrisha watu wao wampwekeshe allaa kwa nyanja hizo tatu hasa ya ibada,kwahivo usipandwe na hazba hata kidogo atakae elewa ni faida kwa nafsi yake atakae puuza ni hasara kwa nafsi yake!

  • @shaphishaphi6782
    @shaphishaphi6782 2 місяці тому +2

    Toa hoja kutoka kwa mtume tauhid ni ibada kubwa kabisa au mtume kasahauu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 2 місяці тому

      weeee kweli mbumbumbu akili matope unamaskio ata husikii unamacho atahuoni Allah si ndoalosema muwaulize maulamaa ikiwa hamjuwi yaani ww bogas waelimu kwelikweli😂😂😂

    • @saadaAbdalla1371
      @saadaAbdalla1371 2 місяці тому

      Kwan lengo la Mtume kutumwa hapa ulimwengun ni nn c kuja kuwaongoza watu wamuabudu Allah peke yake na wasimshirikishe na chochote

    • @saadaAbdalla1371
      @saadaAbdalla1371 2 місяці тому

      Nyie mnaakili pofuuuu

  • @FeisalVan-t6k
    @FeisalVan-t6k 2 місяці тому +3

    Shekh la dunia

  • @jamalabdillahi3575
    @jamalabdillahi3575 2 місяці тому

    Allah Akbar

  • @Muswlih
    @Muswlih 2 місяці тому

    أصبحت سلفيا الآن يا الشيخنا

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 місяці тому

    أسأل الله أن يرفع درجتك❤❤❤❤

  • @kassimalimasoud915
    @kassimalimasoud915 2 місяці тому

    Wapi majibu kwa haj upepo. Ni kweli makafiri wana tawheed

  • @shadhilfaki1457
    @shadhilfaki1457 2 місяці тому

    kwani mpaka hapa sasa hao wanataka nini tena??

  • @Haji-yt8hm
    @Haji-yt8hm 2 місяці тому

    Nnachokiona ni ushabiki mtupu juu ya tawhid hatukuona ushahidi wwte ila maulamaa ni warithi wa mitume

  • @AbdiMohamed-r5o
    @AbdiMohamed-r5o 2 місяці тому

    Bachu anajilazimisha asifahamu walah yeye hujikinayi ni mtihani kwa zama hini jihatarishani.

  • @kassimalimasoud915
    @kassimalimasoud915 2 місяці тому +1

    Hakuna aqsamu tawheed katika Qur'an. Ila anayesoma Qur'an na maoni ya aqsamu basi ataona aqsamu kina mahali.
    Wala kusema kuna mengine pia yaligawanywa si dalili na uhalali wa kugawanya tawheed.
    Leteni wapi kipenzi cha Allah aligawa tawheed. Wa illa ni bidaa ni bidaa ni bidaa.
    Kukataa kwa mjonjwa kuwa hana ugonjwa si dalili kuwa ana siha. Na maanisha bachu anaposema hii sio bidaa si dalili kwamba sio bidaa ila alete dalili kwamba aqsamu tawheed sio bidaa wala sio kuorodhesha mengine mengi yalio gawanywa. Wa billahi Tawfiq.

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

      Ndio nn sasa mbona hakuna elimu ulio tumia hapo? Njoo kielimu na kwa istimbatwi za wanavioni warithi wa mitime,

    • @kassimalimasoud915
      @kassimalimasoud915 2 місяці тому

      ​@@HassanIddy-v1b
      Alaa yahitaji wanazuoni mtu kuelewa tawheed.
      Ana yahitaji wanazuoni mtu kuelewa aqsamu tawheed.
      Sijui wataka ilimu Gani kukwepa bidaa kwenye msingi Wa tawheed mulioileta.
      Jee nikisema siamini aqsamu tawheed Kuna shida. Allah Ni mmoja yeye ni Ilah Na Ilah ndie Rabb.
      Mbona mwajificha kwenye Mambo ya kifikihi. Tawheed Ni aqeedah hakuna kuweka istinbaat kwenye aqeedah.
      Mtume s.a.w alifundisha aqeedah Na ikaeleweka hatuhitaji wahabi tukuelesha aqeedah.

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 2 місяці тому +1

    Ni kweli akhy Muhammad umeachana na wakina Barahiyani na sasa hakuna tena mambo ya Salafy jadida?? Kama hivyo Allah akuongoze in shaa Allah

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому +1

      Kaachana kweli mbona hatujaona taraja yake

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому

      Au kawakataa kimya kimya atujaona taraja yake

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 2 місяці тому

      @@AbdulIssa-o7e kama kweli kawakata atakiwa kutaraajaa hadharani

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому

      @AlmasAbdallah-r3g .ndy tujue kuwa kaachana na ma ikhwani wa answari sunnah, yule mzee saivi hazingatiwi amedanganya watu salafiya jadida salafiya jadida yameishia wapi, watu wamempuuza na wengine wanamkata saivi, bachu kule hakumfai wale answari ni watu wanaoshilikana na kila mtu masufii, ndo kabisaa wengine wanaowatetea kama kaka yake kishki yule ni ukisiliza fatuwa zake unajuwa hamna sunnah pale, kishki mwenyewe Amna sunnah pale maslahi zao binafsi tuuh,mashule na kila kitu ndiomana wamejuzisha hadi khitima, mawlid wanaona ni Jambo la ikhitilafu tuu

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 2 місяці тому

      @AbdulIssa-o7e Kabisa hata kaka ake huwa fatwa zake hazinyooki Wallah

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z 2 місяці тому

    Kuna kitabu hiki: سير اعلام النبلاء kamsome imamu dhahabi wakati ana mzungumzia الإمام الشافعي رحمه الله تعالى imepokolew kutok kwa المزني kutok kwa الشافعي kutok kwa مالك kaizungumza tauhidi vizuri anaetak kujuw haki atapata faida kubwa ndani ya kitabu hiki vilevile mtume (saw) kazielew vzr aya hizi kuliko sisi kwasbb هو الذي بعث في الأميين رسول منهم يتلو عليهم آياته و يزكيهم ويعلمهم الكتاب والحكمة mtume kazifaham vzr aya hizi hakuona mgawanyo huo halafu kinachopingwa si majina الربوبية الوهية اسماء و الصفات hapana so hicho kinachopingwa nynyi mnaitakidi makafiri wanayo tauhid rububiat kwaio mtowe dalili wapi mtume kafundisha hilo 2: mnaitakid katk vitabu vyenu allh anayo mikono uso miguu na nafsi mnatakiw mtowe dalili 3: nynyi mnaitakid tauhid 3 ni wajibu mtu kuwa nazo leten dalili wapi mmelipata hilo.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 місяці тому

      Wewe una tauhidi ngapi katika hizo vigawanyo vitatu wanavyosema? Na hawa hawasemi tauhidi zipo 3 ila wanasema tauhidi imegawanyika sehemu 3 na sio zipo 3.

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 2 місяці тому

      @rogertuga007 nani kagawanya hizo tauhid 3

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 2 місяці тому

      @@rogertuga007 tatizo hamjuwi kutofautisha kati ya اقسام na الجمع na التفريق emu someni balagha vzr Aya hizo hazizungumzii vigawanyo Bali zinazungumzia الجمع mkusanyiko ukisema الله na رب nd huyo huyo hamna mgawanyiko na ndoman mtu anaposilimu anatamka اشهد ان لا اله الا الله واشهد أن محمد رسول الله kwa sababu neno الله jina la asli ya majina yote ya allh na limekusany sifa za الوهية ربوبية اسماء و الصفات mtu anaposilimu halafu akafariki mda huohuo huyu tayr ni muislamu na amefariki na tauhidi kwassb ya kalmat tauhid na tauhidi ilio sahihi amesema imamu maaliki tauhidi sahihi ni ile alofundisha mtume saw mtume hakufundish mgawanyo wa tauhid 3 katu.

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

      Nilichogundu kwa huyu jamaa ha maarifa ya kielimu,anabwabwaja mambo,nika bani israail walimuambia Musa hatukuwamini mpaka tumuone allaah live! Wakajikuta wameangamizwa kwa upumbavu wao huo, sasa nanyinyi makhurafi ngojeeni Aya itakayo washukiya live inawaambieni tauhidi ziko tatu kwa kauli ya waz ndio muamini!!!halafu msubiri kitakacho wakuta maana mnajitia upofu kabisaa,

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 2 місяці тому

      @@HassanIddy-v1b hakuna Aya iliogawanya tauhid 3 tatizo lenu hamjuwi balagha ya Kur an hio ndo shida yenu hamjuwi nn التقسيم Wala الجمع Wala التفريق hivi mtume hakufahamu tauhid 3 kwann hakufundisha na hizi Aya zote zimeteremka kwake tauhid sahihi ni ile alofundisha mtume saw someni balagha msipotoshe watu.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 місяці тому

    Nataka nipange kwa qarama zangu mashindano ya qur'an kati ya Mohamed bachu na Yusuf Diwani, kama wote wako raadi

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 2 місяці тому

    SHEKH WANGU LILE JINIII LA KIBIDA YAAN LIDIWAN UKWER TUMEPATA KUONGOKA KUPITIA TAILA HILO KABS JINSI UNAVYO LILIPUA ADI TUNAFURA SAN PIGA MPKA LIMUFTI LAO

  • @binismail2029
    @binismail2029 2 місяці тому

    Hiyo itabakia kuwa Ni Bidaa Tu mwamba wewe, tena usitafute kumuudhi ALLAH NA MTUME WAKE (S.A.W). UNAPAPIA UZUSHI, INA MAANA MTUME NA MASWAHABA WAKE HAWAJUI MPAKA NYNY MKAPIGILIA MISUMARI UJINGA NA MABIDAA

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb 2 місяці тому

    Usimuache kwa ujinga wako.ila ukisoma hutaropoka hovyo

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 2 місяці тому

    Uyo ajitambui

  • @DenisTaki
    @DenisTaki 2 місяці тому

    Leo si lazima mtume abainishe kwa hiyo ulama akichambua tu amepatia

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z 2 місяці тому

    Ningeomba tu ukasome بلغ kasome علم البديع ukatazame nini التقسيم na ni nini الجمع والتفريق utawez kuelew aya hizo hamna vigawanyo hapo.

  • @chinammasai9967
    @chinammasai9967 Місяць тому

    Sass km hakufanya mtume basi hio ni bidaa na kwa muktadha huo hata maulidi iwe yanafaa kwa sababu maulidi ni mashairi ya kumsifia mtume na hata masahaba ilikua wanatunga mashairi ya kumsifia mtume sasa kwenu nini tatizo kwenye maulidi?

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 2 місяці тому +1

    Swali langu kwako sheik je jambo ambalo Mtume hakulifanya wala kulitenda wakaja kufanya na kulitenda watu wakarne zingine je hilo jambo huwa linaitwaje kisheria?

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 місяці тому

      Jambo hilo ni la namna gani linalohusu ibada katika dini au jambo la maisha ya kawaida?

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 2 місяці тому

      @@rogertuga007 Jambo la kidini

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 місяці тому

      @@IsmailSanga Nimekuuliza jambo hilo linahusu IBADA katika DINI? Zingatia neno IBADA

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому

    Bachuu jambo kugawanya tawhiyd si jambo lenye ikhtilaaf kati ya الأشاعرة na الماتريدية. Hilo mbona hulisemi inswaaf iko wapi?
    العلم أمانة

  • @saidimohamedi
    @saidimohamedi 2 місяці тому

    Yani nimecho kiona wewe ujajibu ulicho ulizwa wapi mtume kagawanya tauhid..? Kama huna jib sema sijui au najua na kama wanazuoni ndo wamesema basi sema wao ndo wamesema ili uma uelewe kuliko icho unacho kileta wewe kurudisha swali kwa mtu alie kuuliz na pia alikupa offer ya munaqasha kwenye mada ya kugawanya tauhidi na yeye ana shida na maulamaa wewe ni kujib swali NAJUA AU SIJUI BC

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 2 місяці тому

    Uyo mganga shekhe wa kueti michezo

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 2 місяці тому

    Duu masufi ni hatari ubishi umewajaa sna

  • @AnwarLali-y8u
    @AnwarLali-y8u 2 місяці тому

    Jibu maswali ulioulizwa

  • @shaphishaphi6782
    @shaphishaphi6782 2 місяці тому +1

    Huyo bachu ni mubtadiu adhwaaalun nkubwa sanaa hana hoja kwa tauhid

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 2 місяці тому

      Wew mwenyewe hoja mnaosema kuwa tauhid Tatu ni bidaah twambiye nani aloo azisha iyo bidaa ba imeanza mwaka gan

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 2 місяці тому

      Dawa imekuingy kwenye mshono

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 2 місяці тому

      @@mfalmenajjash2128 shekhe iyo coment yang umeniyelewa au unaropokwa t wew heb soma vzur kwanza

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 2 місяці тому

      Mim nimemjbu uyo aloosema kuwa bachu Hana hoja ndonikamwambiya yeye mwenyewe hoja km.anasema tauhid 3 ni bidaah atuwambiye iyo bidaa nani kaiyanzisha nashangaa wew Ata hujaelewa unajbu t

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 2 місяці тому

      @@HarithAlyhamadi samahan akhyy naomba kjwasilisha

  • @kassimalimasoud915
    @kassimalimasoud915 2 місяці тому

    Wapi mashwahaba wazungumzia aqsamu. Ni uzushi ni uzushi na uzushi....

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

      Huwezi kuelewa ilemu ulionaya ni kidunchu sana waache wenye elimu watabahar,

    • @kassimalimasoud915
      @kassimalimasoud915 2 місяці тому

      ​@@HassanIddy-v1b
      Elezea tuu Kwa maslah ya wengine wataelewa inshaAllah. Mbona hii bidaa munayo ndani ya aqeedah

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 2 місяці тому

      Tatizo lako hufuatilii mada

    • @kassimalimasoud915
      @kassimalimasoud915 2 місяці тому

      Saidia Basi ili Mada ilileweke

  • @masudiathumani9716
    @masudiathumani9716 2 місяці тому

    Unachouliza ww ndio unahcho ulizwa na haji upepo mbona hujajibu

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 2 місяці тому

    Sheikh anaambiwa atoe aya ya TAWHEED 3
    Anasema mambo ya WALI KWA MAHARAGE MTAMU 😂😂
    أَعُوذُ بِاللَّهِ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْجَاهِلِينَ

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 місяці тому

      Kuwa muelewa ww!!hiyo ni Moja ya mifano alio tua mbona mifano mwinginne hutajin!?nakupa zawadi hii allaah anaesema((موتوا بغيظكم)) Yani maana yake(kufeni kwa chuki zenu),

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 місяці тому

      @ Huu utatu wa TAWHEED kuufanya ni Dini ni UZUSHI
      Maana ili mtu awe muislam ni atamke كلمة التوحيد
      Ambayo ni لا إله إلا الله محمد رسول الله ukisema Mtu hawezi kuwa muislam lazima awe na Tawheed 3
      tunaomba kauli ya wazi kutoka kwa Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى au Mtume wake ﷺ
      na kama hajasema haya basi kwa kauli yako umezusha na Allah na Mtume wake ﷺ wameshindwa kuukamilisha uislam maana kuna mambo hayajakamilisha kama TWAHEED 3 na nyie mnasema yapo kwenye dini.
      Je Mtume ﷺ alisahau kufikisha ujumbe ?
      Mwisho kabisa, Mambo kama haya ndio Imam Shafii رحمه الله aliyaepuka sanah ambayo yamenukulia kwenye سير أعلام النبلاء ـ الإمام الذهبي
      Katika jumla ya maneno alonukuu kwenye mlango huo KATIKA VITU ALIVIOGOPA IMAM SHAFII رحمه الله na kuwatahadharisha watu ni swala la kuvamia mambo ya elimu zinazohusu uungu na kumjadili mungu (uungu wake) MASWALA AMBAO ALIOGOPA ndo huku mnapoenda ndugu zangu .
      Imam Maliki رحمه الله kwa sikio la Imam shafii kasikiwa akisema
      Mtume ﷺ kafundisha kila kitu hadi kwenda CHOONI jinsi ya KUCHAMBA,
      ‎ عَنْ سَلْمَانَ قَالَ قَالَ لَنَا الْمُشْرِكُونَ إِنِّي أَرَى صَاحِبَكُمْ يُعَلِّمُكُمْ حَتَّى يُعَلِّمَكُمْ الْخِرَاءَةَ فَقَالَ أَجَلْ إِنَّهُ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَهَانَا أَنْ يَسْتَنْجِيَ أَحَدُنَا بِيَمِينِهِ أَوْ يَسْتَقْبِلَ الْقِبْلَةَ وَنَهَى عَنْ الرَّوْثِ وَالْعِظَامِ وَقَالَ لَا يَسْتَنْجِي أَحَدُكُمْ بِدُونِ ثَلَاثَةِ أَحْجَارٍ
      ‎262 صحيح مسلم كتاب الطهارة باب الاستطابة
      (Kiakairi za kibinadamu) tukileta na jambo lenu la TAWHEED 3 (ndo unakua muislam)
      Hapa Imam Maliki رحمه الله anaonyesha haiwezekani Mtume ﷺ leo asahau JAMBO KUBWA KAMA TAWHEED kutuambia ni 3 au kutufundisha Tawheed kwa UKAMILIFU WAKE.
      Baada ya yeye kufa watu ndo waje kutufundisha TAWHEED NI 3 na asiekua nazo hizi sio MUISLAM
      HICHI KITU HAKIWEZEKANI… Hii itakua ni kumsingizia Mtume ﷺ kuwa kafanya hiyana kwenye kulete UJUMBE ALIOTUMILIZWA.
      maneno ya Imam Maliki رحمه الله yakaendelea kusema “TAWHEED ni ile ilofundishwa na Mtume Muhammad ﷺ akaeka hadith hii ⤵️
      ‎أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ الْمُشْرِكِينَ حَتَّى يَشْهَدُوا أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ
      Nimeamrishwa nipigane na washirikina mpaka washuhudie kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja na Mtume wake.
      HIYO NDIO TAWHEED (huyo ni Imam Maliki), Hilo neno mtu akisema akaliamini MALI YAKE ITAKUA IMEHIFADHIWA NA DAMU YAKE PIA, na akamalizia kwa kusema Hiyo ndio TAWHEED YA HAKIKA.
      Imama Al-Muzani رحمه الله amefundishwa na Imam Shafii رحمه الله kutoka kwenye maneno hayo
      HAKUNA KIGAWANYO WALA KITU CHOCHOTE HAPO
      Ingekua mtu ushuhudie TAWHEED ZOTE 3 ile ue muislam
      Ukishuhudia TAWHEED 1 uislam wako utakua ni pungufu na hapo utapingana na hadith ya Mtume ﷺ kwa waziwazi.
      ITAKUBIDI Ushuhudie ruboobiyyah, al-uloohiyyah na al-asma’ wa’s-sifaat.
      Namalizia kwa kusema
      Hapa tumejifunza TAWHEED na pia ili uwe muislam ni nini kinahitajika na ili utoke kwenye uislam ni nini kinahitajika.
      sheikh kama nimekosea kwako nipo tayar kusoma nifundishe haya MATAWHEED MA3 yana toka kwa mtume ﷺ au Kwa Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى
      Tupe kauli ya wazi sheikh TUNUFAIKE
      Tusije pingana nayo KUMBE IMETHIBITI
      Ntakuomba nijue TWAHEED GANI NDO NAINGIA NAYO KWENYE UISLAM ?
      Na Kauli kutoka kwenye kitabu na Sunnah
      Maana nyie salafi sio wazushi ni watu wa kitabu na sunnah. Nasubiria majibu

  • @masudiathumani9716
    @masudiathumani9716 2 місяці тому

    Bachu tattoo lenu mnawatukana wana wazuoni alafu huku mnawategemea hao vipi hamueleweki

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 місяці тому

      Mwanazuoni akileta kitu ambacho hakina asili katika Quran na Sunna,tunamrudishia mwenyewe.