KILIMO BORA CHA MAHINDI EP3: FAHAMU NAFASI UNAZOTAKIWA KUTUMIA KATIKA KUPANDA / KWA MAZAO MENGI
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kutumia nafasi sahihi shambani ni jambo la lazima katika kupata mimea yenye afya. Hivyo nafasi sahihi hua na mchango mkubwa katika kuleta mazao mengi shambani. Kufahamu nafasi hizo na mambo mengine ya msingi unayotakiwa kuyafahamu, tazama video.
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI
-----------------------------------------------------------------------------------------
KWA USHAURI NA MIONGOZO YA KILIMO NA UFUGAJI WASILIANA NASI
EMAIL:rubabaimani@gmail.com
PHONE: +255 764 148 221
WEB: Www.tanzaniana...
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
#KilimoBoraChaMahindi #EP3
@millardayoTZA @SimuliziNaSauti @habarikwanza @ikulutanzania255 @Wasafi_Media @globaltv_online @seoulTBSefm @dplatnumz @joelnanauka @farmingleaderOfficial @BBC @MetropolTVKenya @kenyacitizentv
@CLOUDSMEDIA
Kaka uko fresh umeupiga mwingi
Thanks alot bro
Kaka nimekuelewa
Hamna group la whasp jaman
Wasiliana nasi 0764 148 221
nimeipenda hii
🤝
Inamaelekezo ya kina na nimependa. Je unazungumzia hekta au Ekari? Nashauri utumie ekari maana wengi ni wakulima wadogo
Sawa tunashukuru kwa maoni mazuri
Nirudishe shule mkuu hekta moja ni sawa na heka ngapi?
2.5