MOYO WA CHUMA PART { 5 }
Вставка
- Опубліковано 20 тра 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Wakwanza leo kutoka kibaha nahitali like zenu kwa wingi sana
DIRECTOR GOZI nakubali sana unacho kifanya one love salute for you 🙋
🙏🙏🙏
Goziiiii fupi sana uwe unaongeza muda kidogo
Nzuri
Nyumba ya gozi ni ile ya chado kwenye problem kama na wewe umeona nyumba 1 movie 2 gonna like
Mashaallah kknga Gozi unajua kupnga kazi yako ila kuchelewa nako daah nakukbali san Allah azidi kukpa Afya njema 🇰🇪🇸🇦
DIRECTOR GOZI nakubali sana unacho kifanya one love salute for you. Pia salute kwenu wote sema mmefupisha tena dakika
Tutaongeza hii inatokana na changamoto za location
Hannifa badilika sasa umeshapata sehemu ya kuhifadhiwa gozi ndio mtu sahihi kwako
Move Mzur sana Ila Mnatucheleweshea sana
Wau kazi nzuri sana much love from kenya congrats❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ww Gozi ww,, unajua mpaka unajua tena 😊😊
Moyo wa chuma umekua wa plastic very good imeisha hiyo gozi kafunguka ya moyoni😂😂😂😂
Mbona kidogo hivi gozi ebu ongeza mzigo tuenjoy 😅😅😅
Masha Allah nawapnda hanifa na Gozi hamna baya❤❤huku 🇰🇪
Usiombe ukawa upo ugenini halaf uko bored na hauna bando. Gozi you are always give me a company by your work
Wow imependeza kweli 😋😊😊😊😊😊😊gozi nakupenda sana ❤😊😊😊
Gozi salut sana kuwa na mtoto mzur muendelezo usichelewa chato
Mautam kw wingi,pokea maua yako gozi na khanifah❤❤❤❤❤❤❤
Chelewa lakin ufike leo wa 96 hanifa mama uko vizur umechachuka❤❤❤
Kazi nzr sana hii gozi❤🎉
Nimewai kbx wa nne gozi big up San from burundi 🇧🇮
Bona kimya sana ama kuna matatizo kwa hio sinema ya moyo wa chuma
Sijahi enjoy love story like the way they uou guys made it this is how i met with boyfroend
Gozi unatuchelewesheaa bhanaa movie tamu san
Wapi likes kwa watu wa kutoka Kenya🇰🇪, movie nzuri kaka sangu kutoka tz
Mov nzur Ila mnachelewesha San mpk tunasahau tulipoishia
Gozi mashallah unasauti ya mamlaka
Mbona hautoi kazi Tena ndg yangu
Ishanoga unakatisha utamu
Waaaah gozi Leo analala miguu minee😂😂😂
Aweeee the first
mi nampenda sana dady natama anioe jaman
Pambana mwanangu kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉
Goz nakukubali San hua unacheza nafas yako kwa umakin san
😂😂😂atahanifa alikuwa anasubilia hilo neno❤
Naipenda sana move
Gozi kuengezee muda jaman hata dakika 20 sio mbaya 😊😊😊kazi nzur hata hutamani iishe dakika 12 hazitoshi 😢😢😢
Wapendw sezon zenu nzuri ila mnacheleweshakutuma inayofuata
Wow wow nakubali
Kz nzuri sana ❤❤❤
Kibaha finest Gozi la mamba Mc kwa mziki maarifa kwa movie ni Cram vevo na gozi la mamba
Wao gozi leo umejiongea😅😅
Hii movie inanikosha sana nafurahia sana
Hizi ni handsome aki
HANIFA HANIFAA HANIFAAAAA NAKUITA MARA TATU...UMELIWA HANIFA TAYAR AHAHAHHAHA OLEWENU IWE NDOTO...
jamani Gozii upewe mauwa yako 💯
Kazi nzuri Mr Gozi❤❤
Nawakubali sana tu❤❤❤
Maashahlla Allhamdullillah
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
Mapema ndio best from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jameni niombeni likes hata Tano tu😢
Njoon muchukue ila mm nauza zakwangu hhhhhhhhh moj kwa alfu mumi mwenye kua tayar akuj 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@user-hm6hy6rr1h tena 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
Kazi nzuri
One love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
Eeee kabeba na zigo lake😂😂😂😂😂
Kazi nzur sana ❤❤
Nimewai wakwanza leo
❤
Mbona fupi jamani utamu mwatukatizia
Watch from Kenya 🇰🇪 mnajua hata mmepitiliza guys
Kazi kazi mjomba 💪🏻💪🏻💪🏻🙏🙏☝️☝️
Inapendeza❤
Nice ❤🇹🇿
Ila gozi handsome jmn😍😍
Yaan anavitia sanaa
Yaan anavutia sanaa
Ila wanatucheleweshea utam wakitoa kipande kimoj leo mpaka wiki mbil nzma hawajatoa chengine
🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤
Wow Gozi ❤❤
Tafadhali msinikanyake fateni mstali Leo nimewahi naombeni like please 🙏
Gozi akiigiza kama mume wa anifa uwa mnapendeza
❤Big up xana gozi
nampenda dady ❤😢
Very good gozi
Nice movie ❤❤❤
Good job ❤❤❤
Good job ❤❤❤❤
Bravo 🌹🌹🌹
Tamu lakin fupi🙈🙈🙈
Good work ❤
Gozi Leo umeongea kiume, hayo ndo maamzi cy ufuge ng'ombe Alf wengne watoke huko waje kukamwua maziwa kwk, honger sanaa
Good job 👏
Nice work
Haya nimekua wa mwisho ila inasemekana chelewa ila ufike nipeni like zangu pia nawapenda bure❤❤❤
Asanten jaman
Keep the starndard ..you are doing the best...but just for the sake of your fans around the world can you try and interpret the language to english....l love this all the way from zimbabwe🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Msicheleweshe part 6 maaanakee imenogaaa
Kazi plz usichelewe kutulitea part 6😢
Nzuri
Nimechelewa kidogo nipeni like tuuu
Nimewahi
Ongera kwa kazi nzuri ongeza muda tafadhali
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nomaaaa
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
Nyumba hii nimeiona kwenye problem
Kwel yenyewee
Moto moto moto🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
Goz umempeleka wap anifa
❤❤
Oya mwamba alicha kofia anavyo kimbizwa lakini apo alivyokutana na gozi ana kofia
Tazama vizuri aliokota akakimbia nayo
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂