SNAKE BOY | ep 27 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 2,5 тис.

  • @lemmyajabu8348
    @lemmyajabu8348 13 днів тому +831

    Tangu nianze kufautilia snake boy sijai pata like ata moja... 254 fans let's gather here

    • @zeyruqhassan4629
      @zeyruqhassan4629 13 днів тому +17

      Tuko

    • @BarackZephania
      @BarackZephania 13 днів тому +10

      Huo ni ushamba kiwango cha lami

    • @SHEDDTz-k8g
      @SHEDDTz-k8g 13 днів тому +4

      Weee ni mshamba

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 13 днів тому +4

      Hovyo kenge manyoya inaomba like 😅utadhani kacheza 😅vya bure utauponza mk... We omba tu

    • @gracedzombo5772
      @gracedzombo5772 13 днів тому +4

      Huwa mkipewa hizi like munashiba ama😂😂😂😂

  • @khalifkhalidsalah
    @khalifkhalidsalah 13 днів тому +127

    Achilieni mara mbili kwa wiki jameni hii inachelewa sana kama mnaniunga nipe like❤

    • @LewiiBrizy
      @LewiiBrizy 13 днів тому +3

      Pia na kubaliana na wewe .....msichukue mda mrefu kuwachilia iyo sehemu ingine.....sinema zote za kakoso na zipenda Sana ..asanteni wausika wote ..

    • @saidathmurekatete938
      @saidathmurekatete938 12 днів тому +1

      Kweli wanatukawiza sana

    • @Merry-ek5mj
      @Merry-ek5mj 12 днів тому +1

      Kabisa yani wanachelewesha sana angalau kwa wiki mara mbili

    • @AugustinNduwayezu
      @AugustinNduwayezu 9 днів тому +1

      Nikweli

    • @iqttanzania
      @iqttanzania 7 днів тому +1

  • @AdrianodePaul
    @AdrianodePaul 13 днів тому +135

    Hongera snake boy ina views weng kuliko nyimb za bongo flavour wapi team clam🎉🎉🎉

    • @janviernzosaba7145
      @janviernzosaba7145 12 днів тому +1

      Big up sana clam vevo unakipaji ca hali ya juu sana

    • @Mr.D.N.A
      @Mr.D.N.A 11 днів тому +1

      Unajisahau sana wew,sensema siku Moja ilikua na viewers 1M

  • @jordanbarweta3429
    @jordanbarweta3429 13 днів тому +33

    Kuna jamaa mmoja ana manywele kibao na mandevu mengi amevaa kanzu fulan hivi sijui anaitwa Tanna sijui nan Dah Jamaa anaigiza vizur kinoma,Ana composer sana mwamba maua yake❤❤❤ 🔥 🔥

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 13 днів тому +408

    Nilisema kwamba NTANZI ajamezwa na nyoka ile ilikuwa ni ndoto, kumbe ni mawazo na MWASI, leo mmeona acheni kuomba likes tu, muda mwingine toeni maono ndugu zangu.
    One love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @jacksonmassato8017
    @jacksonmassato8017 13 днів тому +317

    Tunaosubiria vita ya zinga na chief, gonga like hapa

    • @Kingmbayo
      @Kingmbayo 13 днів тому +4

      😂

    • @CandyLoud
      @CandyLoud 13 днів тому +3

      😂🤣🤣😂😂 ila yahitaji wanao ona mbali ndo wataelewa nini umemaanisha😜

    • @bashirunakona2945
      @bashirunakona2945 13 днів тому

      Zinga kaenda kujipanga

    • @jescahaule4802
      @jescahaule4802 12 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @hamisichipa9008
      @hamisichipa9008 10 днів тому

      Na inapoelekea Zinga atashirikiana na Ntanzi. Itakuwa noma

  • @MtiliCharles
    @MtiliCharles 10 днів тому +7

    Tangu nianz kufuatilia snake boy sijai pat like at moj from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @aishasyala1547
    @aishasyala1547 13 днів тому +40

    Siku bila akikufa naacha kuangalia snake boy....."waachaaa".....nampenda sana bilaa

  • @mauaharun5564
    @mauaharun5564 13 днів тому +314

    From Kenya kama wakubali snake boy gonga like tukipita🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦

    • @holykidke
      @holykidke 13 днів тому +1

      From kenya 🎉🎉clam snake boy the best

    • @GilbertKasina
      @GilbertKasina 13 днів тому +1

      Nakubali

    • @mtasha5886
      @mtasha5886 13 днів тому +1

      😂 😂 Ruto must go..... Anguka nayo

    • @user-ck8ld8nz6o
      @user-ck8ld8nz6o 13 днів тому

      Ww uliekuepo kenya unapata angalau kuanglia snake boy naona mupo vitani saivi sizan kam munaweza shuhulikia filam

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 13 днів тому

      ​@@user-ck8ld8nz6oTuko Kwa vita na nani wakati mandamano yenyewe tuko na simu na power bank data ikiwa on

  • @DonMapro-d6y
    @DonMapro-d6y 13 днів тому +105

    Waliogundua camera ya Leo ina balaa weka like

  • @sivamusic2234
    @sivamusic2234 11 днів тому +16

    Dah mbn mnabagua jamani ebu nipe like ata 1000 kama kweri ww mfatiliaji mzuri wa #snakeboy #sivamusic #mama #mamaamina

  • @ArafaKajoki
    @ArafaKajoki 13 днів тому +22

    Nilikuwa nasoma comment tu lkn niwambieni kuwa naipenda sana snake boy, mungu awabaliki wahusika nawafatiliaji poa❤️‍🔥

  • @Mzalendotanzania
    @Mzalendotanzania 13 днів тому +291

    Kama unamkubali clam weka like hapo

    • @IsackDevidiMc
      @IsackDevidiMc 13 днів тому +7

      🎉

    • @Sempai_Adui
      @Sempai_Adui 13 днів тому +6

      Mwambie awaishe kaziiii,asikae muda mrefu

    • @Maunya530
      @Maunya530 13 днів тому +5

      Tunasubr hd tunasahau matukio yaliyopita.

    • @nyereremkama3845
      @nyereremkama3845 13 днів тому +4

      Toa na wewe like na watu wakupe usiwe mchoyo wakati wewe unataka like

    • @hansmgaya4704
      @hansmgaya4704 13 днів тому +2

      Tuna sahau matukio ya nyuma

  • @KizaRachid
    @KizaRachid 13 днів тому +145

    Namimi leo naombeni like zangu vipenzi vya snake boy japo nimechelewa dakika 40 tu a boy from 🇱🇷🇱🇷

  • @djsonofficial5487
    @djsonofficial5487 13 днів тому +46

    Kazi nzuri sana clam👋ila director😂😂waliopenda namna singo(bubu) alivyoweza kuongea like zenu hapa😂👉

  • @ErickEzekiel-lj8mu
    @ErickEzekiel-lj8mu 12 днів тому +9

    Clamo vevo na timu nzima hakika mmeuwa sana snake boy bonge la movie haijawahi tokea yani inafatiliwa na Africa nzima pig up sana kaka clam 🔥👍🙌

  • @pkcamlesh2465
    @pkcamlesh2465 13 днів тому +60

    Hivi hizi likes mnaombaga huwa mwazipeleka wapi,Clam much love from Kenya 🇰🇪nakukubali sana

  • @julzproperties3744
    @julzproperties3744 13 днів тому +37

    Nimekuwa wa kwanza leo Director Kasoso nipe like zako from Kenya 🇰🇪 twawatazama

  • @machotz1113
    @machotz1113 13 днів тому +13

    This is the real meaning of series
    I never thought of return of SHAHIDI and his family
    Ngoma inazidi kunoga

  • @abudailamy2577
    @abudailamy2577 13 днів тому +24

    Huyu jamaa ni fala sana yaan ameigiza ufala sana yaani mkewe amekuwa dadake fala sana

    • @AminaSadallah-yi1dv
      @AminaSadallah-yi1dv 12 днів тому

      Wee aseme ili afe kumbuka nabii Ibrahim na mkewe

    • @EnikahGeorge-fj6ow
      @EnikahGeorge-fj6ow 11 днів тому

      So sad

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 9 днів тому

      ​@@AminaSadallah-yi1dv Ep iliyo pita mwanamke Ali mtoa Mumewe sadaka kwa mizimu ili Laaana itoweke kwa Hiyo jamaa yupo Sahihi tu..kusema huyo Ni Dada yake..una weza kuvimba mwishowe kifo ksicho na Faida yoyote..

    • @PetroMarko-x3g
      @PetroMarko-x3g 9 днів тому

      Kaka hiyo nizuri sasa ila unaichelewesha sana

    • @PetroMarko-x3g
      @PetroMarko-x3g 9 днів тому

      Kaka wahi kuitoa hiyo inayofuata

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 13 днів тому +52

    Snake boy nikama haitawai isha kila siku iko tofauti, mko sawa sana

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 13 днів тому +31

    Moto ni ule ule ukija kuuzima umekoleza zaidi😂😂

  • @user-dq8sy1ey5u
    @user-dq8sy1ey5u 13 днів тому +10

    Wenye hawakwamini mtanzi alimezwa na nyoka mpo,hongera sana Clamvevo❤❤❤

  • @rachelpaul460
    @rachelpaul460 12 днів тому +16

    Wanaoumia kuona snake boy wanachelewa kutoa vipande wa like ili watuwahishie kaz

  • @shebbylegrand
    @shebbylegrand 13 днів тому +100

    Wakenya wenzangu wa Team Vevo,gonga likes zako hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @user-he3nz6gt3d
      @user-he3nz6gt3d 13 днів тому +2

      Pamoja sana

    • @DausiDausi-n2g
      @DausiDausi-n2g 11 днів тому +1

      hahahahah nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 13 днів тому +85

    Clam unakitu baba utafika mbali Kaz nzuri sana mungu akuongezee ubunifu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sweetbabymwangi8373
    @sweetbabymwangi8373 13 днів тому +28

    Maskini Ntanzi. Nakuhurumia. Hii Snake Boy inazidi kuwa tamu. Ama kwa hakika mna ubunifu wa hali ya juu. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-zq9fi4io2i
    @user-zq9fi4io2i 12 днів тому +10

    Aliowaza sanura yupo kwe kipande kijacho gong like❤🎉

  • @sergesntunzwenimana
    @sergesntunzwenimana 13 днів тому +48

    Leo ndohuu Mimi snake boy 2ep27 nigonge like

  • @Walao9Abu_maurice
    @Walao9Abu_maurice 13 днів тому +38

    Kazi_njema_vijana_mnajitahidi_ila_sijapata_sifa_zangu_zakutajwa_huko_sisi_wakongomani_tunao_fuatililia❤

  • @BacarDaudo
    @BacarDaudo 13 днів тому +21

    Eu só de Moçambique mais essa história gosto manique boa história bata palmas para Tanzânia❤

  • @user-xb3nk9cl6d
    @user-xb3nk9cl6d 12 днів тому +7

    Utawa wa kibabe kwenda mbele jaman mtu anatetemeka had mke Anasema dada kwa uwoga ama kweli snake boy inafunza sana clam pokea🎉🎉🎉 yak

  • @BRARITOHCOMEDY
    @BRARITOHCOMEDY 13 днів тому +29

    Nimeingoja kwa hamu sana na kwa hakika imefika.asante sana group wa clam vevo..wap likes zangu kutoka kenya kisii

  • @mash02canada
    @mash02canada 13 днів тому +38

    Mimi ni wa kwanza leo mnipe likes from Canada 🎉

  • @Rigobertpanga9
    @Rigobertpanga9 13 днів тому +41

    Nimeisubiria hii snake boy Kwa mda mrefu sana nimeukubali sana na wewe kama umeikubali mwaga like yako apa😂😂😂

  • @yassinmuoki9982
    @yassinmuoki9982 13 днів тому +10

    Nilikua Nisha Anza kusema Kama jamaa kamezwa Sito angalia tena. Leo nime enjoy nika mkoko umeanza UPYAAA😂😂😂

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 13 днів тому +24

    Kumbukumbu zangu zinanambia wewe n Odama,,,,sio wageni machoni mwangu.
    Ziambie zikwambie zaidi.... 😢😢 Noma sana aisee. Big up VEVO from+254🇰🇪

  • @muhiirwasadiki448
    @muhiirwasadiki448 13 днів тому +19

    Congratulations, may Allah protect you and guide you in your activities. I am Congolese I really like your talents 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kipkiruibrian
    @kipkiruibrian 13 днів тому +1

    🎉😂❤ wakenya mko wapi GENZ mnifollow 😮

  • @Christine-ho5us
    @Christine-ho5us 13 днів тому +6

    Kazi nzuri Vevo sijui mbona watu huomba likes si mnijanue guys 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @freddedresscode2951
    @freddedresscode2951 13 днів тому +147

    Wakwanza kutoka burundi Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipeni like zangu

  • @charlespatrick8632
    @charlespatrick8632 13 днів тому +67

    Ubuntu botho Leo tupo pamoja nipeni like nikupe like bega kwa bega

  • @user-eq6ju8qs2q
    @user-eq6ju8qs2q 13 днів тому +15

    Bom trabalho pessoal 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Cabo Delgado_Mueda...🎉🎉🎉🎉🎉🎉Moçambique❤❤

  • @BushiriLouis
    @BushiriLouis 13 днів тому +2

    Shaidi 😂😂😂 wewe ndie kiboko, nakukubali sana mshikajiwangu🎉🎉🎉

  • @MwanamisiBakari-xh3jo
    @MwanamisiBakari-xh3jo 13 днів тому +12

    Nakubali kazi nzuri clam n timu yote kwa kutuletea kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @AsiaOmar-mr7bk
    @AsiaOmar-mr7bk 13 днів тому +23

    Ilikua nimeacha kuwangalia muvi za kiswahili baada yakumfuwatilia clam saiv siwezi kosa kuangalia waswahili wamerudi kwa moto kuna clam " rk & kp mungu awape maisha marefu na afya njema wazidi kutuburudisha

    • @BeatriceEmanuely-ow9bj
      @BeatriceEmanuely-ow9bj 13 днів тому +1

      Fatilia ata mbwela media yuko vizur

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 8 днів тому

      Kabisa yn wote hawa wana vipaji wameamua kurudisha tasnia ya filamu Tz wanastahili tuzo❤🎉

  • @OmarJeshi
    @OmarJeshi 13 днів тому +5

    Imagine Mimi tangu snake boy ianze sijapata likes ata mia😢bs acheni roho mbaya kiasi hicho maana nyie na mandug 5:32 u❤

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 13 днів тому +16

    safi mkuu kiliochangu ni kile kile muweke subtitle ya lugha ya kiingereza

    • @h.ghoyaa1110
      @h.ghoyaa1110 12 днів тому

      Kwa ajili yako ama ndio world wide

    • @SobiTz
      @SobiTz 11 днів тому

      Wazo Zuri pia

  • @JescaIrakoze
    @JescaIrakoze 13 днів тому +28

    Kazi nzuili lakini mbona mmepunguza tena dakika afu munayuacha njia panda kuwa munawahi bana gonga like basi hap

  • @zephbaraka
    @zephbaraka 13 днів тому +22

    Very amazing..... following this episode all the way from Kenya .

  • @user-wh7jf1el8h
    @user-wh7jf1el8h 13 днів тому +3

    One love 💕💕 from ndola district of Zambia 🇿🇲💯💯💯

  • @user-gz5wr1bg3c
    @user-gz5wr1bg3c 13 днів тому +6

    Na Mimi Leo niombe like Moja wakubwa

  • @hammyboyofficial885
    @hammyboyofficial885 13 днів тому +52

    Wakwanza naombeni like zangu jamani...

  • @HappyNicholas-be2yn
    @HappyNicholas-be2yn 13 днів тому +43

    Nikisema wakwanza nitakua nawadanganya naomben like team vevo❤

  • @apendwemwamahonje7650
    @apendwemwamahonje7650 13 днів тому +4

    Watu wa mbaliz tujuan naifatilia San snake boy ❤❤❤❤

  • @NaaMakanu
    @NaaMakanu 13 днів тому +5

    Mm wa mwixho naombeni like zangu❤❤❤❤❤

  • @Shizzoh-f4k
    @Shizzoh-f4k 13 днів тому +31

    Kama unamini kuwa mungu anakupenda tujuane kwa like❤️

  • @user-nh5zw9fg1h
    @user-nh5zw9fg1h 13 днів тому +96

    Woyooo mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌🔥👌🔥👌🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👌👌👌👌👌👌👌gonga like hapa kama waipenda hii kazi❤❤❤❤❤❤

  • @EMANUELKibelenge-wr2ep
    @EMANUELKibelenge-wr2ep 13 днів тому +3

    Nice job ❤ God bless more work that mnayo fanya 👏👏

  • @DavidJoseph-u1e
    @DavidJoseph-u1e 13 днів тому +3

    Saizi naona mawenge mambo mengi manina 🙌

  • @alfredbaraha9244
    @alfredbaraha9244 13 днів тому +15

    Kila mtu wa kwanza mmh jaman nyie vipi bandugu , hongera VEVO boy❤❤❤❤

  • @MohamedKalivata-qr6sr
    @MohamedKalivata-qr6sr 13 днів тому +56

    Hana baya tajirii wanao amini snake boy ya moto wa like hapa

  • @JoshuaImanuel-fs6hq
    @JoshuaImanuel-fs6hq 13 днів тому +1

    Na nyie mnaenda kufanya movie iwe mbaya kila siku ntazi aponi

  • @SharifuAlbughuli
    @SharifuAlbughuli 13 днів тому +4

    Mbn kam adama kam Ana love bite 😂😂😂😂😂

    • @eviepretty2646
      @eviepretty2646 10 днів тому

      Inaonekan kabla ya kuingia location alipigw shoo Kali Jana yake🤣🤣

  • @ZulfaMjege
    @ZulfaMjege 13 днів тому +160

    Tulokuwa tunaisubri kwa ham snake boy tujuan kweny like ❤❤

  • @Krod23-p8s
    @Krod23-p8s 13 днів тому +28

    Uyo jamaa aliye mkana mke wake aseee💔🥺

  • @jaffariomar4250
    @jaffariomar4250 13 днів тому +3

    Hata kama kuigiza lkn hicho kipande cha kumkataa mke wangu hilo haliwezekani

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 13 днів тому +4

    Hii Kali caméra ya Léo daah nipeni like zangu wazee
    From m23

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 13 днів тому +30

    Mi wa kwanza Leo naomba like jamn ata mbili tu!

  • @Pazijr
    @Pazijr 13 днів тому +19

    Natumai na mm leo nitapata like maana kila siku mnaomba nyie tu😢

  • @abdullyza532
    @abdullyza532 13 днів тому +2

    yani snake boy inasisimuwa kila cku unatamani icmalize.....good talent creator director❤❤❤❤

  • @Daniel_kimambo
    @Daniel_kimambo 13 днів тому +2

    Kutoka marekani naomba like zenu😂😂

  • @LamaMandenga
    @LamaMandenga 13 днів тому +30

    Nakukbari sana pande za Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @FredYassineCheia-di7yj
    @FredYassineCheia-di7yj 13 днів тому +14

    Wa kwanza kutok mozambique nipeni like Zang 🇲🇿🇲🇿 good job

  • @raymondlangatofficial3825
    @raymondlangatofficial3825 13 днів тому +4

    Hii iko tamu sana naombeni likes jameni from Kenya

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 11 днів тому +1

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo ila?

  • @MayaOuthman-bd8bg
    @MayaOuthman-bd8bg 13 днів тому +15

    Kama umefurahi kumuona Shahidi nipe lnk❤❤❤

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr 13 днів тому +15

    Twende nalo big up kwa washirika wote🎉🎉🎉#ChingaKenboy

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b 12 днів тому +1

    mmh sasa baba ao na odama si alijinyonga akafa jaman 😂😂 kafufuka !!

  • @user-bz6bl1xo2k
    @user-bz6bl1xo2k 13 днів тому +2

    Aloooooo naona humu ndugu zetu wakenya mpo wengine kwer kwer dah mpaka tuajisikia faraja kwer yaan sis Tz kuwaona hum

  • @AlgaWazamba
    @AlgaWazamba 13 днів тому +8

    Number one from DRC je t'adore clam🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 13 днів тому +37

    Genz 👊 wapi kelele kw clam vevo weeee nawapenda nikiwa gulf 🇰🇪🇸🇦♥️♥️♥️♥️💕💕💕💞💞pamoja saaaana watu wangu nawapenda nyote gonga like tukisonga mbele

    • @sajentfurecomedymzarendo1270
      @sajentfurecomedymzarendo1270 13 днів тому +2

      Nime cherewa kidogo ira na mkubali clam vevo WACHEREWAJI KAMA MIMI LIKE❤❤ HAPA

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 13 днів тому +1

      💋❣️❣️ nkupenda bure ​@@sajentfurecomedymzarendo1270

  • @user-di5xq6xm3n
    @user-di5xq6xm3n 12 днів тому +2

    Clam vevo tengeneza ata vi chekesho kidog watu wanagombania msemo huku badala ya kufanya kazi😂😅😅 nyoo naijua iyooo😂😂😂

  • @user-gi1ov8of8d
    @user-gi1ov8of8d 13 днів тому +2

    Wanao ukubali ujio wa shaibu na wanawe kwenye snake boy gogeni like tukisonga na utamu snake

  • @herllizzythaanaplatnumz8154
    @herllizzythaanaplatnumz8154 13 днів тому +13

    Clam kazi iendelee nawapenda sana tena sana Mozambique

  • @user-km5lu2es2d
    @user-km5lu2es2d 13 днів тому +11

    Ayaaaa...
    Zinga atafutweeee😂😂😂
    .....................................

  • @davkatembobaba9338
    @davkatembobaba9338 10 днів тому +1

    Ongera sana kwa timu yote. Mchezo iko vizuri kabisa kabisa.🎉🎉🎉 Like moja itakuwa vizuri jamani

  • @kipendimusic6859
    @kipendimusic6859 13 днів тому +4

    Hii ya mfalme mpya kunyang'anywa mke imeni pain sana. Clam and your team mna akili nyingi atari. Big up!

  • @BahaDePrince
    @BahaDePrince 13 днів тому +11

    First to watch in Kenya, please Si leo ata mnipe like 😢 ata 20 tu juu mi ndio shabiki number Moja Kenya uko fb na hapa you tube

  • @directorjey4915
    @directorjey4915 13 днів тому +7

    Much love from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Kazi safi saana 😊

  • @user-rj8zh8ok7q
    @user-rj8zh8ok7q 13 днів тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥 kazi tume ipenda walio wengi

  • @KamselaOg
    @KamselaOg 13 днів тому +2

    Kuchukuliwa mke tu haitoshi hadi uwe mshauli

  • @OmegaMwakitalima-e5l
    @OmegaMwakitalima-e5l 13 днів тому +12

    Naombeni nam laik ata 5

  • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
    @AugustinhoManyangaunitedboetz3 13 днів тому +8

    Sanura is back kama unamkubali sanura gonga like kwa cram v❤❤

  • @EmmanuelCharo-to4ij
    @EmmanuelCharo-to4ij 13 днів тому +2

    Wakenya oyee tuko na snake boy paa mwisho tujuane apo

  • @KisamakaFrancine-mt8vp
    @KisamakaFrancine-mt8vp 12 днів тому +1

    Shadlove from America Yan ningekua najua kiswahili ningewashaur wayitoe marambiri kwa wiki kwamaana inacherea sana

  • @KlintonOwenss
    @KlintonOwenss 13 днів тому +26

    This guy is a genius 🎉,If you agree press a like button all the way from kenya 🎉❤

  • @abduladinane
    @abduladinane 13 днів тому +12

    Like nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🔥💯

  • @TantineKalumba
    @TantineKalumba 11 днів тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 naipeda sana kazi iyi ❤❤❤ naomba like zangu kutoka Congo 🎉🎉🎉🎉 Namipenda sana

  • @user-ks9uj2nc7r
    @user-ks9uj2nc7r 13 днів тому +9

    Ila Sengo et mama eeh inatoka mama weeeeeee😂😂😂😂😂😂🙌