Bwana Yesu Kristo akubariki mtumishi wa Bwana. Bwana tusaidie tujazwe na Roho wako Mtakatifu Ili tukuelewe ee Bwana maana hizi ni siku za mwisho sana tusije tukakosa mbingu.
Naam Yesu Kristo analo neno la uzima na maziwa yasiyogoshiwa ya akili ili tupate ufahamu namshukuru Mungu sana,na abarikiwe mtumishi wake tengwa Bwana akupe kuendelea mpaka mwendo uumalize na imani kuilinda amen.
Ukweli wa Mungu unapo funuliwa ,Adui hupenyeza Maajent kwenye kwa maneno yao ili kufuta Tunayo yapokea ,Amtukuza Mungu kwa Ufunuo huu kupitia Mtumishi wake Tengwa
ROHO Mtakatifu azidi kukufunulia tafsiri Ili thmuelewe MUNGU analosema nasi kupitia wewe mtumishi wake TENGWA BWANA YESU KRISTO Asante Kwa zawadi nzuri ambayo ni sanduku lako la Agano uinuliwe utukuzwe wewe peke Yako Kwa upendo wako kwetu kumtuma mtumishi wako TENGWA Amen
Ameen,Imani ni kupoteza,maneno haya ni mazito na matamu.Yanaeleweka kwa watoto tu hayawafai watu wazima(watu wazima wamefunga kupokea ufahamu)Mungu azidi kukutumia kusema nasi Mwl.
Kama huelewi usisikilize maana pengine wewe ni ajenti wa ibilisi usikomentu upuuzi kwa mtumishi wa kiristo huna msaada wowote kwake acha Wana wa mungu wasikilize

ubarikiwe sana mtumishi nashukuru nakuelewa sana Mwl Tengwa
imani ni kupoteza ,ukipoteza ndiyo utapata ameen
Ahsante mungu wangu uliembinguni kwa upendo wako umetufunulia mengi na tunaendelea kukujua na kuijua kweli yako.
Mungu akubariki Mtumishi 🙏🙏🙏🔥
Aminaaa mwl Mungu akupiganie
ubarikiwe sana mwl nakuelewa sana
Atukuzwe MUNGU wa mbinguni na KRISTO YESU kwa injili hii kupitia wewe mtumishi wake Mwl Tengwa
Ashukuriwe Mungu aliye juu katika jina la Yesu Kristo
Ninatubu kwa Mungu katika Yesu Kristo kwa wote niliowambia nina imani na Mungu Baba, kumbe bado kabisaa.
Amina mtumishi wa MUNGU.MUNGU AKUBALIKI SANA KWA INJILI YA MATENGENEZO NA UWAMSHO.TUJUWE KUWA IMANI NI KUPOTEZA UBALIKIWE SANA SANA.
Ukweli wa Mungu unapo funuliwa ,Adui hupenyeza Maajent kwenye kwa maneno yao ili kufuta Tunayo yapokea ,Amtukuza Mungu kwa Ufunuo huu kupitia Mtumishi wake Tengwa
ROHO Mtakatifu azidi kukufunulia tafsiri Ili thmuelewe MUNGU analosema nasi kupitia wewe mtumishi wake TENGWA BWANA YESU KRISTO Asante Kwa zawadi nzuri ambayo ni sanduku lako la Agano uinuliwe utukuzwe wewe peke Yako Kwa upendo wako kwetu kumtuma mtumishi wako TENGWA Amen
Ameen,Imani ni kupoteza,maneno haya ni mazito na matamu.Yanaeleweka kwa watoto tu hayawafai watu wazima(watu wazima wamefunga kupokea ufahamu)Mungu azidi kukutumia kusema nasi Mwl.
Kwakweli Roho Mtakatifu anatembea ktk ufunuo wake ambao kama siyeye kufunua tungepotea maadamu yuko kazini nimekubali kukaa naye.
Kwa neno hili nimepokea uponyaji .Ameeeen
Ahsante Yesu
Hii ni Injili ya moto haijawahi kuhubiriwa na haitahubiriwa!! "JINA LA BWANA LIMETUKUKA!!"
Ameen Mtumishi,Mungu aturehemu
Amen
Mungu atusaindie sisi atuwezi pekeyetu amen 🙏
Ameeeen ameen ameeen ameeen ameeen ameeeen and ameeen
Amen 🙏
Vitu 6 vilinyo nyuma ya Bwana,
Hakika nakuelewa mtumishi,
Haleluya
Kama huelewi usisikilize maana pengine wewe ni ajenti wa ibilisi usikomentu upuuzi kwa mtumishi wa kiristo huna msaada wowote kwake acha Wana wa mungu wasikilize
Barikiwa Kwa kumjibu huyo ajenti wa shetani katumwa huyo...
Mtu asiyeielewa hii injili itakuwa haimhusu
Maneno mengi sana mpaka unachosha...!
Ongea point ndugu...hatuipati ile maana ya hoja yako.
Ni kheri uache kumsikiliza kama huelewi, jiangalie sana
Yaaan Ana pepo huyu na unatakiwa utubu
Hizo hoja zako nenda TBC utazipata so hapa
@@GraceMamaDeborah-he3my wewe.ni wakuonewa huruma sana...!
@@felisterligazio7151 leo nikisimama hukumuni...nina cha kujetetea...!

Amém