Aaamen amen amen ubarikiwe sana Masihi wa BWANA, hakika Umeaminiwa Mbinguni Jina la BWANA libarikiwe, tunamtukuza Aliye juu kwa ajili yako amen, Neno hili ni Roho tena ni Uzima, amen.
Bwana Yesu tunakushukuru kwa ajili ya mtumishi wako uliyemwamini kuinena Injili hii kwa kizazi hichi, injili ya kweli iletayo mabadiliko kwa kila anayeisikia na kunyenyekea mbele zako Bwana Yesu. Tusaidie tusisikie tuu bali tubadilike kweli, tuwe waaminifu kwa sadaka na maombi tukufurahise wewe Bwana. Mlinde na kumtunza Mtumishi wako Amen
Walio wa Bwana wana ya elewa, mafundisho haya, hakika sifa na utukufu, ni kwa Mungu, alie muumbaji, Mungu akubaliki sana, pia Mngu atubaliki wote, tunae ya fuatiria mafundisho haya mazuri, ya ssiyo goshiwa, Mungu atusaidie kuya elewa na kutekereza. Amina.
Injili ya bwana ndio hii sasa Mungu akulinde na akubariki mwl.tengwa
Amen MUNGU atukuzwe kwa injilii hii na kanisa la Bwana likasikie na kupona mlinde na Mtumishi wako Mwl Tengwa katika jina la Yesu Kristo
Amen!! Bwana Yesu tusaidie kuyatenda na kuyaishi haya tuyasikiayo. Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
Aaamen amen amen ubarikiwe sana Masihi wa BWANA, hakika Umeaminiwa Mbinguni Jina la BWANA libarikiwe, tunamtukuza Aliye juu kwa ajili yako amen, Neno hili ni Roho tena ni Uzima, amen.
Bwana Yesu tusaidie kuielewa hii injili na kuiishi katika matendo.Bwana Yesu akutunze mpakwa mafuta wa Kristo Yesu
Hakika Jina la Bwana wetu YESU, KRISTO litukuzwe, kwaa jili ya mtumishi wake, Mwl, Tengwa, Mungu akubaliki na akutunze, amina.
Asante Yesu kwa neno hili Mtunze mtumishi wako BWANA
ROHO Mtakatifu tusaidie kulielewa neno la Ufalme wako. Bila wewe Mimi siwezi nisaidie kwa utukufu wa jina la YESU KRISTO Amen Amen haleluya
Bwana Yesu tunakushukuru kwa ajili ya mtumishi wako uliyemwamini kuinena Injili hii kwa kizazi hichi, injili ya kweli iletayo mabadiliko kwa kila anayeisikia na kunyenyekea mbele zako Bwana Yesu.
Tusaidie tusisikie tuu bali tubadilike kweli, tuwe waaminifu kwa sadaka na maombi tukufurahise wewe Bwana.
Mlinde na kumtunza Mtumishi wako Amen
Walio wa Bwana wana ya elewa, mafundisho haya, hakika sifa na utukufu, ni kwa Mungu, alie muumbaji, Mungu akubaliki sana, pia Mngu atubaliki wote, tunae ya fuatiria mafundisho haya mazuri, ya ssiyo goshiwa, Mungu atusaidie kuya elewa na kutekereza. Amina.
Asante SANA mwl Tengwa, barikiwa sana.MUNGU AKUTUNZE WEWE NA FAMILIA YAKO
Amen amen mtumishi Tengwa
Jina la Yesu litukuzwe milele Amina
Bwana YESU KRISTO ,bila wewe hatuwezi kuwa waaminifu,, tusaidie
Mungu azidi kukuinua kwa utukufu ww Jina lake..
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ameeen jina la bwana yesu liinuliwe.
Bwana nisaidie niwe mwaminifu ktk sadaka na maombi
Amen asante Mungu wetu maana unatupenda
Asante YESU KRISTO
Jina la Bwana lipewe sifa ,
Amina
Ooh Bwana Yesu turehemu
Mungu utusaidie
Amen,Amen,Amen
Amina
Amen karimbu
Amen
Haleluya
Ameen
Tutapataje kupona?tusipojali neno hilli la wakati?
Amina
Amen
Ameen
Amen
Amém