KISA WIVU DIAMOND AINGILIA KATI SHOO YA ZUCHU NA DVOICE, AMWAGA HELA ASHINDWA KUVUMILIA AMUIMBIA ETI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 136

  • @rachelheckles9429
    @rachelheckles9429 9 місяців тому +7

    nampenda zuu sana mwanamke sio sura na shepu muone zuu anatamba ❤❤❤❤

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 Рік тому +53

    Kama mnamkubali d voice ka mie apa tumpe like 😂

  • @princessenanze
    @princessenanze 17 днів тому

    Zuchu j t'aime beaucoup ma belle

  • @JoseMillanz
    @JoseMillanz Рік тому +11

    Mapenz sio sura jaman

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Рік тому +9

    Nimefurahi sana Zuu acha kabisa DiaHuyo wako tuu

  • @GeradoGeraldo-o9i
    @GeradoGeraldo-o9i 2 місяці тому

    Nakupenda bure we dada nimekubali show yako

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Рік тому +18

    Mwache kabisa Zuu wangu wewe❤

  • @zulfa2
    @zulfa2 Рік тому +19

    Zuchu ni mrembo sanaaa❤❤❤❤

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 11 місяців тому +3

    B zuu unajua kudengua unapozi zuri❤❤❤❤❤❤❤

  • @shabanikhamis6278
    @shabanikhamis6278 Рік тому +2

    ❤lovely specialy for zuuu wang

  • @HappyAgilityPuppy-zh3ly
    @HappyAgilityPuppy-zh3ly 2 місяці тому

    wimbo mzuri sana

  • @SabinaKasambala
    @SabinaKasambala 11 місяців тому +2

    Penda mno zuu❤

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Рік тому +12

    Nakupqenda.Zuu❤❤❤❤❤❤

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit Рік тому +12

    Yaani hadi Raha daimond akiwa na Queen yaani yule dada ndio dada wa daimond hajui kumsaliti yaani yule dada anampenda daimond na kumuheshimu Kakà yake wa damu ila esma mnafki sana yaani kwenda kwa Harmonix e adui alitemponda Kakà yako duuh WANAWAKE muwe mnachagua madudu

  • @NaimaMohamedi-f7v
    @NaimaMohamedi-f7v Рік тому +10

    Zu mzuri sana hajichubui we ndio uoni

  • @AmuzaJuma
    @AmuzaJuma 4 місяці тому

    Nakupenda sana zuchu niko Moçambique

  • @ismailebani5262
    @ismailebani5262 Рік тому +3

    Kazi nzur D voice na Zuchu goma Fulani hv la maadhi ya Pwani hatariiiiiiiiiiiii

  • @RosmaryKanda
    @RosmaryKanda Рік тому +1

    Ngoma nzuri wcb,,dvoice ❤️

  • @julsonnzanzu
    @julsonnzanzu Місяць тому

    Lov you❤❤

  • @HidayaWilley
    @HidayaWilley Рік тому +4

    Zuu❤❤❤

  • @zazalareine257
    @zazalareine257 Рік тому +8

    D voice karibu WCB❤❤🎉

  • @kaniki-o3c
    @kaniki-o3c Рік тому +2

    Mmmmmwwwaaaaa zuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ashoreomar7896
    @ashoreomar7896 Рік тому +11

    Nakupenda zuu wang❤

  • @HawaIsiaka
    @HawaIsiaka Рік тому

    Duuu❤❤❤❤❤❤

  • @nirrahtyseiph4774
    @nirrahtyseiph4774 Рік тому +5

    Yan sijui kwann hii couple naipenda wallah

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Рік тому +2

    Nice song 🔥🔥🔥🔥

  • @CatherineSindbard
    @CatherineSindbard Рік тому +1

    Alafu haringii Yani nampenda bureee

  • @JamilaAmani
    @JamilaAmani Рік тому

    Ilove ❤

  • @Mariam-qi2eb
    @Mariam-qi2eb 6 місяців тому

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ramlaramlashabani5870
    @ramlaramlashabani5870 Рік тому

    mashalha mashalha 🙏

  • @faithtalangi4081
    @faithtalangi4081 Рік тому +1

    They look together

  • @MaryMtui-u2t
    @MaryMtui-u2t Рік тому +3

    True love zuu❤❤❤

  • @AnithaEmmanuel-d1j
    @AnithaEmmanuel-d1j Рік тому +4

    Jamni nakubali

  • @saumumasha-in2qw
    @saumumasha-in2qw Рік тому +4

    🔥🔥🔥

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit Рік тому +2

    WANAWAKE WA kitz wajifumze kwanzuchu uvunilivu yaani mke bora haka kadem😊

  • @ShamilaThemi
    @ShamilaThemi Рік тому +2

    Penda sana zuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd Рік тому +1

    Alooh

  • @SalmaDunduka
    @SalmaDunduka 8 місяців тому

    Mzur zuch jaman

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c Рік тому +17

    Yani uyu ndoo kalelewa kwenye maadili ya kislamu ata wasimfananishe na wenye kulelewa katika maadili ya kislamu ukiambiwa mtu ukifa ndoo utajua dunia silolote sichochote maisha ya milele ahela utakipata ulicho vuna duniani

  • @HakunagukuluMdala
    @HakunagukuluMdala Рік тому

    Yote maisha uenda shida ndoo

  • @MysarahHassan
    @MysarahHassan 7 місяців тому

    No comment

    • @MysarahHassan
      @MysarahHassan 7 місяців тому

      Naumia Sana d voice usijifananishe na mtu brooh

  • @sarahmasuba
    @sarahmasuba Рік тому +1

    D voice anaheshimu chombo ya boss

  • @SabinaKakusi-nx6lh
    @SabinaKakusi-nx6lh Рік тому +4

    D voice ukishika zuu unauliwa na diamond

  • @jackywambua917
    @jackywambua917 Рік тому

    Zuchu ❤❤❤❤❤❤❤from 254

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani 11 місяців тому

    Wcb aina muzaa kabisa. Tupo sana

  • @mohamedmbarak5677
    @mohamedmbarak5677 11 місяців тому

    Wanaimba tarabu wore wao

  • @Paulina-e1l
    @Paulina-e1l Рік тому +2

    Sura yako ikoje wivu tu

  • @tabiangonyani3526
    @tabiangonyani3526 Рік тому +4

    Yani nawapenda hadi naumwa ukiingia wasafi kwa mwanaume lazima uvae nguo zilizokuzidi umri ni moja ya heshima😂😂😂😂😂

  • @AnithaEmmanuel-d1j
    @AnithaEmmanuel-d1j Рік тому +5

    D voice

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu Рік тому +1

    mijee ya mondi hiyo anakuchagulia tu 🤣🤣😅 piga kz

  • @AsmaShabani-m5x
    @AsmaShabani-m5x Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤

  • @Mamazgal
    @Mamazgal Рік тому

    Kipendacho roho hula nyama mbichi

  • @Kwazulu1
    @Kwazulu1 Рік тому +4

    Taarabu world. Mumekosa nyimbo?

    • @arnhemzuid8885
      @arnhemzuid8885 11 місяців тому

      Taa'rabu ndiyo jadi ya Coastlines, hakuna mbaya. Shida wasio wa Pwani mkiiga ndiyo havimogi 😮😅

  • @nurusofia-od4kj
    @nurusofia-od4kj Рік тому +3

    Ila zuchu kumbe kampenda diamond ukweli😂😂😂

  • @saidaidaprincess
    @saidaidaprincess Рік тому +2

    Lkn huyo D voice ndio kavaaa nini ee...

  • @azizamohammed583
    @azizamohammed583 Рік тому +2

    ❤❤❤😂❤

  • @feihfaih254
    @feihfaih254 Рік тому

    Mr bite yupo bize na meseji😂

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani 11 місяців тому +1

    Iyi ni chuma kabisa

  • @zukramnzava9467
    @zukramnzava9467 Рік тому +3

    Penda Sana wajina napenda hiyo couple jamn

  • @nassirjuma5780
    @nassirjuma5780 Рік тому +1

    Mondi kwa maiki tena

  • @AllyWema
    @AllyWema 6 місяців тому

    Uyo m2 au ngongot

  • @selemanomary4467
    @selemanomary4467 Рік тому

    Aucho

  • @DaudcosmasClement
    @DaudcosmasClement 9 місяців тому

    Mh

  • @dachaashaa3323
    @dachaashaa3323 Рік тому +2

    Uku kwetu laha to kama zote zuuh

  • @antonywilliama2868
    @antonywilliama2868 10 місяців тому

    hata ww utakufa unachuki huyu ni mwanamziki ww unaleta wehu

  • @sophiashirima4986
    @sophiashirima4986 Рік тому +1

    Zuukweliwewenimzuri

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 Рік тому +1

    Diamond kama kamuoneya zuchu wivu basi ni bangi kavutaaa 😢 sura gani ya zuchu 😢😢😢😢 kijusoooo😅😅😅

    • @jescachandarua5898
      @jescachandarua5898 Рік тому +4

      Ivi ubongo wako upo timamu kabsa au ni maji taka umejaza🙄sura mbaya je wako mzuri uliemuumba yupo wapi?? Na aliekwambia kila mtu huangalia sura katika mapnz n nan?? Fuck*

    • @MwanaharusiShabani-ou2eb
      @MwanaharusiShabani-ou2eb Рік тому +6

      Acha wivu mbona zuchu ni mzuri tu na upendo hauangalii sura bali ni moyo wa mtu ila roho tu inakuuma kuona zuchu anapendwa na diamond muache aenjoy ndio wakati wake na sio vizur kumwambia binadamu mwenzio hana sura kwan wewe unasura gani hapo ulipo mmh acha wivu . diamond na zuchu hongereni na pendaneni

    • @jamilarajab6352
      @jamilarajab6352 Рік тому +1

      Mbona binadamu mnapenda kumkosowa Mwenyezi Mungu ambae ndiye aliyetuumba.

    • @rabiaidrisa5871
      @rabiaidrisa5871 Рік тому +2

      Kwanza wewe nimwanamke au mwanaume sura ata mbuzi anayo Acha wivu wewe ushamba unakusumbua

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Рік тому +2

      ww mwenye sura nzur kwa mfano unamzidi nn zuchu hela huna na hiyo sura yako nzuri ingawa hujainyesha tuione kama ni nzuri kweli

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit Рік тому +1

    Chezea mtoto wa Malika alitepitia vitumutimu 😂😂😂tutasubiria sanaa tutabakua kuona ila zuchu yupo paleeee ..yaani chezea bibkharijaaa kooaaa ..❤❤❤😂😂🎉🎉m'ama shikamoo nakuoenda sana. Unamdunda mwanao vizuri Hakuna mwanaune wa pene yako na wanaume wqnabaeirika wqkipata mke mvumilimu Sio mwenye mashindano ya mabwana maana mwanaune anaweza kwenda na WANAWAKE hata 10kwa siku ila kinga condom muhimu sa ana sema wewe mwanaune ukapigwe pumbuu na wanaume 10huko kwa Bibi pakoje pataluwaje ndani ya mwaka huna habari ..na operazione yake ipo ulaya bei yake Sasà hahahahahah uwezi kutengenezwa chini pakiachia watanakia kukata mashavu yakiolembeteka kwa miduuu tofauti na shimo lako wazi muwaxhe kutombwa tonbea mbanie wanaume msitie toe mtajiharibu .watoto wasikuizi mbele hapajulikani wala nyumba poté pwaah nani hatakuoa utachinaa😅😂😂😂 wataolewa wazee wa mipaka 1980

  • @ErickNassy
    @ErickNassy Рік тому

    Niku penda Zuchi

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger Рік тому +2

    😅😅😅baba levo bna

    • @khamisjuma3742
      @khamisjuma3742 Рік тому +1

      mondi unapepo yako ww kwakusaidiya masikin

  • @JamilaAmani
    @JamilaAmani Рік тому +3

    Ilove ❤

  • @FaizaYahya-vk9xk
    @FaizaYahya-vk9xk Рік тому +2

    ❤❤

  • @louloubika8603
    @louloubika8603 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HalimaHamisi-r3g
    @HalimaHamisi-r3g Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @christiancharlies
    @christiancharlies Рік тому

    ❤❤❤

  • @rashidfatma2137
    @rashidfatma2137 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @JacklineJohn-w9i
    @JacklineJohn-w9i 11 місяців тому

    ❤❤

  • @SakinaAlfan-oy9ff
    @SakinaAlfan-oy9ff 6 місяців тому +1

    ❤❤

  • @inessdiomande6355
    @inessdiomande6355 4 місяці тому

    ❤️❤️❤️❤️