En tout cas vous aimez tellement commandé la vie des autres, vous voulez qu'elle fasse votre volonté sans connaître les tenants et les aboutissants hein 😂
Boss kabaki kufanya kiki ila kumpromote msanii wake Lavalava hawezi ila angekua ndio konde anayafanya haya mbona vinuka midomo yangewatoka mengi ama ndio tuseme nyani haoni kundule 😅😅😅
Zuu pole sn ila ww unampendo mondi sn hnazidish sikuu moja utakuj kufa jili ya mondi pol sn ntafuta mwengin zuu utapat so mondi mwenyew tuu tafut unapat pol apo na bado
Zuchu kakazaa mara hii ht baada ya kuombwa msamaha hakumshobokea kumrukia kumkumbatia . Km kamshit flani anaona km anamlaghai tuni km mara hii kawekeza kwenye kazi yake
Aki mapnz yamekuathiri zuuuu au muamala ndio unakuzubaisha tuseme,,,,,jus try to move on and mind your pez darling 💕💕💕 ,,,anakuchukulia mjinga Kati ya wanawake wajinga duniani,,,,nipo pale mtakuja kunambia
Wewe unalaumu wanawake ulioachana nao wewe mwenyewe umejiona una pesa ukawatumia na kuwaumiza na kuwaacha kama takataka lakini hujioni hizo pesa zitakwisha siku moja.
Umri inaenda na wakati, Sasa Nasibu ndo anaongea 👏👏👏Next put a ring on it❤❤❤❤❤❤❤❤❤Hongera sana both
Diamond you are a true man! Men apologies when they do something wrong,You are a real man!!
Kiki hizo
😂😂😂😂😂😂
He is the definition of a true pathological narcissist liar and Zuchu ako very weak kabisa atatumiwa mpaka afe
@@sponsalfaThedjalfaniacha wivu
Muoe zuchu mond anakupenda❤❤❤🎉
Msamehe zuu, tunawapenda sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ni kweli anatukwana sana juu Yako wewe😢
My favourite couple 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zuchu is the true lady of Tanzania am proud of her
❤😂
Mondi badilika ety me napenda uhusiano wenu na zuuh❤
He is not done yet Zuchu wake up see musicians girls outside Tanzania they're doing good think big aim higher u have a very long way to go. Wake up
En tout cas vous aimez tellement commandé la vie des autres, vous voulez qu'elle fasse votre volonté sans connaître les tenants et les aboutissants hein 😂
Show ya jana iyo Kendwa nimeiyona ilikuwa pw sana zuchu kapiga sana shwoo mondi nae anampenda sana zuchu jamani
Diamond and Zuchu the undisputed Coyle of East Africa
Badilka daimond ❤❤❤❤❤❤
Kama movie la kihindi 😀
Love it ❤❤❤❤❤❤❤❤
Muowe atoke midomoni mwa watu khaa😊
Zuchu ujaliwe na akili na nguvu za kuwacha huu mchezo. Unahitaji mwanamme mwenye heshima kabisa
When a man lovesssss
Zuchu will break diamond until he will know that how it feels to be betrayed 💔 looks like
😂😂😂
Nawapenda sana jaman muoane 2 jaman
All man are the same but not all😢
Lakin Simba wamuumiza mwenzio kwakwel ...lakin nawapenda Sana mukiwa pamoja
Ww tumekuzoe ni kuku wakawaida lakini zuchu atakuja choka siku moja
Simba ni mwamba wao❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
POLE ZUCHU NI KUTUMIKA KWA KWENDA MBELE
Mwanaume siku zote kuomba msamaha ni kawaida ila Zuchu angalia mbele acha kudhalilishwa
Zuchu achana na huyo malaya.ana kupotezeya muda wako bureee😢.Omba Mungu akutumiye Mume bora !!!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ them
Uko sawar brooo
Zuchu.. Userudi.. Faiti. Maishayako😢
Watu wakoment punguzeni ushari muenjoye mziki mzuri maisha yao mengine hayawahusu.😂
Nmependa jinsi simba alivyo omba msamaha na jinsi jinsi daa zuchu alivyo pokea msamaha mpk nmetoa machozi 😅 hebu pitisheni ndoa mudekezane
Zuchu utasameh leo,kesho,utalia,ulie na ulie tena diamond sio mwanaum wakupend ka mamy 😢ila pol
Et c'est toi qui l'aime certainement....
wahuni hawaelew eti buuuh mnatuzinguwa😂😂😂
Wake up and smell the coffee Zuchu.
He'll step on you over and over again.
Haiyaeee
Kuna siku Zuchu ataolewa…..na kijana mwenye hikma kama Baba yake.
Ataolewa na Mondi tuu
Kabisa yn
@@BarbaraPatience-qt9cc Mungu ndiye anaye juwa zaidi sisi tunabahatisha tuu.
Baba yake hana hekma, alimtelekeza zuchu, unawezaje kuzaa mtoto halafu humtunzi?
@@BarbaraPatience-qt9ccHuo ndio ukweli ulio uchi zuchu atakuja kuolewa na mondi mchana kweupe wanafiki hawataamini macho yao niko paleeeeeee!
Altona zuchu anamkwepa mondi tujuane😂😂
And top of that kwanini wanazini na wazazi wao wanatazama tu au ndo maokoto dini pembeni
Ameenda kumshika shika ukweni ningekua baba zuu hapo jukwaani pangechimbika 😢😢😢
😅😅😅😅😅😅
Yaani ni dhaifu sana kuregea, tukio anapigwa hasikii, ndio mana ni king'nga mange hajakosea 😂😂😂
😂😂😂
Hao waume n viuno jamaniii 😂😂kwisha
Next time zuchu vaa hata dera mambo gani haya show nzima kupandisha longi
Acha kuongopea watu unampenda mbona huoi
Kama kweli unampenda muoe
Kuna siku hazitawafaa MALI zenu zitakuwa kama mavubi. FANYENI HARAKA SANA KURUDI KWA ALLAH S.W
Kweli kabisa
Aaaah jamaa mnafiki kila corner
Mond stop using her for ur own benefit pls.
❤❤❤❤❤❤❤
Hamna kitu… iz ni showbizz…
Unapenda kiki wewe kijana😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤
Amempenda vile alivyoo
Ayo ni maneno baada sho
Mmmmmh akiamung mapnz uchiziiii
Zuchu kifua pia hamnaa😂😂😂
Wanya harusi 😂😂😂😂marry zuchu😂will know the truth
HahhHa eti unatuzungua yakawaida hayo
Sisi wazanzibar ni wema sana tena sana popote tunachukua ushindi wa heshima na Busara na ukarimu na ustahmilivu hiyo ndio sifa yetu wazanzibar
Mwenyew hapo k yke yot imelowa hpo kuona rah anavozungumzia😂😂
Sijui chizi ww di
Umemutchezea sana mtoto wawatu Bana sumuowe jamaniii
🤝
Anamchezea tuu na kumdanganya
Polezuchu
😕😕😕😕😕😕😕😕
😕
Mm najua malaya ubadilika zucha anaeza fanya Mondi aache umalaya juu ata Mondi awez kua kijana kila siku muda unaisha
MUOGOPENI ALLAH S.W
😢
I don’t understand the language but I know Diamond is lying!😁🙌🏾
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂
Mamae, upo magomeni apo
dah ogopa siku mwanamke akichafukwa wanakuaga na roho mbaya kwaiy sk mond imefika mwisho utakoma
Zuchu alukie wap ww mwanaume star, mwenye Hera anakuomba msamaha utarukia wap😂😂😂
😂😂😂 alooooohh
Mtu gani anaomba msamaha kavaa miwani, msamaha wa kinafiki.
Boss kabaki kufanya kiki ila kumpromote msanii wake Lavalava hawezi ila angekua ndio konde anayafanya haya mbona vinuka midomo yangewatoka mengi ama ndio tuseme nyani haoni kundule 😅😅😅
Ww boya huyo mvuta bangi wako kawafikisha wapi wasanii wake
@@giztony2009 si uvute na wewe pumbavuu kwani kakushika mdomo,ngedere wewe chefuuuuu
Mondi mungu anakuona acha unafki bhana ww mapenzi wapi na wap ww kaz yako ni kunyandua na kuwabwaga
Munafki ni wewe! Hutaki waludiane!!! Kwenda kabisa
@@BarbaraPatience-qt9cc hivi mondi tokea lin akaweka kambi kwa mwanamke?
Yaani huyu Zuchu hawezi ku trend mpaka alete kiki alikuwa anajuwa show yake itabuma wakaleta usanii wa kiki yaani mmeishiwa nyie wajinga
Zuu pole sn ila ww unampendo mondi sn hnazidish sikuu moja utakuj kufa jili ya mondi pol sn ntafuta mwengin zuu utapat so mondi mwenyew tuu tafut unapat pol apo na bado
Tuache utani huyu mwanamke anautamu sio rahisi mwanaume aropokwe ivo
😂😂😂😂😂😂
Hahaaa
Akikuzalisha utoamini kama niyeye wakuomba msamaa
Una mambo Zuhura
Kumbe ilikuwa kiki ya kupush show😂😂
Kabisa
Mapenzi ujinga tuuuu
Simba ni muongo bana😂😂
@ Drezzy radio please come and see how this game is played eeeehhhhhh!!!!
Drezzy ndio nini hana lake
Zuchu kakazaa mara hii ht baada ya kuombwa msamaha hakumshobokea kumrukia kumkumbatia . Km kamshit flani anaona km anamlaghai tuni km mara hii kawekeza kwenye kazi yake
Aki mapnz yamekuathiri zuuuu au muamala ndio unakuzubaisha tuseme,,,,,jus try to move on and mind your pez darling 💕💕💕 ,,,anakuchukulia mjinga Kati ya wanawake wajinga duniani,,,,nipo pale mtakuja kunambia
Uyu amerogwa
Zuchu aolewe buana
mashabiki waliokuwepo kwenye show walikuwa hawataki mond asamehewe
Wewe unalaumu wanawake ulioachana nao wewe mwenyewe umejiona una pesa ukawatumia na kuwaumiza na kuwaacha kama takataka lakini hujioni hizo pesa zitakwisha siku moja.
Ukweli utakuweka huru simba anasimama kwenye ukweli mpaka
Kwasababu hiyo diamond kwanini amuoi na uwezo wa kukaa na mke anao shame on him
Acheni kiki za ujinga weye Diamond ju ya show ya zanzibar unaunga buvitu bya watoto kimapenzi 😅
Ipo siku moja watajuta
wazinifu wakubwaa
Takia hata adui yako mazuri
Huyu mond kimuziki basi tena jua lishakua la jioni aendelee tu na hizi kiki za kijina
Mapenz yanaum boya ww,ach kuksrk fal ww
Nyinyi niwazinifu tu hakuna chochote hapo
MOND ACHA TABIA MBAYA
Nihatari
Bongo bana ..ujinga ujinga tu
Mondi anajua kucheza naakili za mabinti, Ila nazani pia pesa Inaongea
Mbn tumbo la zuchu limetepeta hta mtoto mmoja hana au anatoaga?
Nilikuwa natafuta hii comment😂😂😂
Ata mm😂😂😂
UOGOPENI MOTO
Simba dwanzi sana nowadays
USIMTESE ZUCHU
Hivi kuna anae amini kua eti wameachana hizo ni kiki zao tu za kijinga lao liende