May Almighty God bless u Bi Mkasa and your familly to continue insparing us with good news,continue with that spirit .I am A kenyan watching from Saudi Arabia Riyadhi.
Ee Bwana unifadhili asanteni sana familia bora ya mwalimu wetu Bernard Mukasa Kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Hakika Mukasa Mungu amekujalia kipaji. Kitumie kwa ushupavu maana ni wengi wanabarikiwa na kazi zako. Ashukuriwe yeye aliyekutuma kwetu kutuburudisha kupitia nyimbo zako. Amina
This is so amazing talents please I pray God to give confidence to follow your inspirational may God bless your family your teaching us how to rise and shine no matter how old 😍😍😍😍😍😍😍
This song ❤️✌️ I really love how mama Mukasa sings Her vocal cords are just awesome More so when she says ' Kwa maana wewe Bwana U Mwema... Umekuwa tayari kusamehe' Indeed God is ready to forgive us our mistakes Let's accept we're sinners :- Repent and go back to Christ Ee Bwana Unifadhili kwa maana nakulilia wewe mchana kutwa
Mungu Awa bariki wazazi wangu nyinyi ambao mwa nifariji kwa nyimbo mimi ni mukristo katoliki toka inchini Congo
B Mkasa na Familia yako Mungu awabariki Sana kwa Uimbaji wenu,,!!
Haki afadhali kuwa Godside always good song keep up
May Almighty God bless u Bi Mkasa and your familly to continue insparing us with good news,continue with that spirit .I am A kenyan watching from Saudi Arabia Riyadhi.
Nice song Mungu yupo taari kusamehe na ni mwingi wa huruma🙏🙏🙏💜💜💜💜💜💜
Ubarikiwe Sana benard kwa family yako yenye upendo na furaha ya kristu bwana awenawe daima
Mungu awabariki katika kazi ya uimbaji mzidi kuinjilisha Kwa njia ya kuimba
Mr Bernado Mukasa kaka
May God bless this family for spreading good gospels through songs ❤
What a wonderful song ,,,just listen to the words❤
Mungu abariki hii familia imenijenga sana kirohoooooo
Ee Bwana unifadhili asanteni sana familia bora ya mwalimu wetu Bernard Mukasa Kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Mungu atazameee shughuri yakoo
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu amina
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Mungu nakuomba unibariki na familia kama hii🤲🙏
May god bless you
Hongereni sana Bwana aendelee kuwajalia nguvu za kuendelea kumsifu daima
Kwa kweli Ndg.Bernard Mkasa umejaliwa kipaji pamoja na familia yako. Mnatuinjilisha kwa kweli Mungu azidi kuwabariki zaidi na zaidi
God bless u guys i love ur songs
Nice keep it up
He is a good singer
Mungu akunariki sana mtumishi kupitia ujumbe wa kwaya
Mie nawapenda had naumwa Mungu awajaalie awalinde Amiina
E2
Kazi zuri.
Nice
Nam I congrate much your effort..,let our God to be blessed
Blessings
The family, the voices......AMAZING!
Mungu abariki kazi yako Benard nyimbo zako kusema kweli Zinanifariji !
Kuimba raha sanaa
God bless you
I can't resist this
Bwana mukasa na familia yako umebarikiwa sana mungu ni mkubwa katika familia yako
Jaman wimbo huu sichok kusikiliza mung awabarik na family yako
Big up kwa uimbaji mzuri na familia yako nasi tunajifunza saunt nzuri kama yako mungu awabariki
I'm so blessed when I listen your songs, I'm so proud of you may God grant you long lives in your family, be blessed.
They have a good talent keep it up 👍👍👍👍👏👏
Mungu azidi kukubariki ww Mukasa na Familia yako kwa Utume wenu uliotukuka.
Nimeanza kusikiliza wimbo huu tangu saa sita za mchana mpka sasa ni was tatu kasoro za usiku. Sitamani kuacha. Very nice song
Mbarikiwe familia ya mukasa kwa nyimbo nzuri
Saudi tamu
Thanks for your inspirational songs.. You are a Blessing to us..Keep this God given talent.
Hongeren xana kwani nyimbo zenu zanifariji sana
Good sana mwl b mukasa
Mungu ni mkubwa, mwenyi haki, muumbaji, mwenye vyote, tumwimbie utukufu wake milele.
Mungu awabariki mnaimba vzur
Nyimbo zenye mafunzo zemekuza Imani yangu asanteni sana na Mungu wetu awabairki sana
May God be glorified for ever amen
Mungu awabark
Great song a blessing to me
this young boy always impress me with his confidence...he might be greater than his father some time❤❤❤
He is doing good. I could not miss the moment at 0:44. Brilliant.
Wonderful,keep the spirit burning dears,amen
Hakika ukimtumaini Mungu huwezi anguka. Mungu awahifadhi miaka 100.
you are really a blessing to God's people may God continue to bless you as you praise him through singing
Very nice voices
Keep it up, l love your songs
Familia iliobarikiwa. Nyimbo tenzi nzuri sana zenye jumbe na mafunzo tele. Umeweza kuimarisha neno la Mungu na sifa yake kupitia mtindo huu
Hongera kwa uinjilishaji mzuri
Kwakweli umejaliwa kipaji cha kipekee
Mungu akubariki wewe pamoja na familia yako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏Blessed song
Hakika Mukasa Mungu amekujalia kipaji. Kitumie kwa ushupavu maana ni wengi wanabarikiwa na kazi zako. Ashukuriwe yeye aliyekutuma kwetu kutuburudisha kupitia nyimbo zako. Amina
Safi sana
Like this
Sauti nzuri sana ,hongera Mungu akubariki pamoja na familia
Ahsante mungu kwa ajili ya watumishi wako hawa zidisha rehema na baraka zako juu yao wazidi kuyatenda yaliyo makuu kadili ya mapenzi yako ee bwana,,,,
Mungu, awabariki katika utume wenu
Sawa mkasa wangu nakuelewa sana
Sweeet sounds praising our living God..blessed family may God continue blessing u
Obviously is blessed family
ever good song
So touching song,I learn a lot from you guys ,you are the best when it comes to sound production!!!!!Kuddos Mukasa Family
Kiukwelu baba pamoja na familia yako mko vizuri mungu awabariki sanasana
Kuimba Ni kusali x 2 nyimbo hii inanibaliki Sana
Uko vzr kwa uimbaji br.
God bless you and your family ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asanteni, Mungu aibariki na kuilinda kazi yenu.
Mungu awabariki sana ...
U r really blessed with ur family
Yan huu wimbo nataman niujue wotee
Barikiwa sana
I love there songs very much
Merci Frère Mukasa !!!
Magnifique vraiment
Mungu azidi kukubariki akupe na afya nimebarikiwa sana
Wonderfull !! I'm so pleased to wear this .may the Lord bless the one who sung it
Good Singing is prayers multiplied. Thank you for the wonderful voices and msg
Wow wonderful 💞
Lovely song
Good vocals
Halleluyiah glory be to God our Saviour
Thanks for the beautiful reflections. God bless you and give you the necessary materials for continuing His mission.
Sauti mzuri🙏🌹❤️
Hakika kazi nzur ya kumtumikia Mungu, Mungu azidi kuwainua kwa kumtumikia katika roho na kweli
Akh mungu awazidishie hicho kipawa... U that a blessing to many
My favorite song.
Pamoja sana, ubarikiwe
Mungu mzuri
Hongerani sana wanafamilia malaika mlinzi awalinde
so encouraged by this
They should try to sing kubaki kitini
🤣 wanaimbaga zao
Beautiful family. God bless you all for serving the Lord.
Very nice and encouraging God bless you
This is so amazing talents please I pray God to give confidence to follow your inspirational may God bless your family your teaching us how to rise and shine no matter how old 😍😍😍😍😍😍😍
This song ❤️✌️
I really love how mama Mukasa sings
Her vocal cords are just awesome
More so when she says ' Kwa maana wewe Bwana U Mwema... Umekuwa tayari kusamehe'
Indeed God is ready to forgive us our mistakes
Let's accept we're sinners :- Repent and go back to Christ
Ee Bwana Unifadhili kwa maana nakulilia wewe mchana kutwa