Nyimbo pendwa za kwaresma katoliki.. John Maja.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @theresiajoseph6381
    @theresiajoseph6381 Рік тому +2

    Unihurumie mimi Bwana, nimetenda dhambi nyingi 🥲

  • @JoachimJoachimmwambali
    @JoachimJoachimmwambali 9 місяців тому +1

    Good songs. My lord god bless you

  • @wesleyrogito8326
    @wesleyrogito8326 10 місяців тому +1

    mungu atulinde atuongosee kwa wakati huu wa kwaresima tunaansa kesho

  • @fredmkude8181
    @fredmkude8181 Рік тому +3

    Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri zinazobariki

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому

      Amina Mjomba najua hizi ndio zile unazozipenda

    • @fredmkude8181
      @fredmkude8181 Рік тому

      @@JohnMaja kabisa mjomba

  • @juliusngaga-te8jl
    @juliusngaga-te8jl Рік тому +2

    Mungu akubariki ni faraja kuu kwangu

  • @israeldanda7789
    @israeldanda7789 Рік тому +7

    Ndugu katika Kristo, daima kazi zako zinaachia upako na baraka sana ndani mwangu...Mungu aendelee kukuongoza na kukusimamia katika utume huu. Amina!

  • @jacobd.kasofu2204
    @jacobd.kasofu2204 Рік тому +3

    Safi Sana Hii Mwalimu Maja....Mungu azidi Kubariki Kazi zote Za Mikono yako....

  • @isaackkwayu9429
    @isaackkwayu9429 Рік тому +1

    Voco imekaa vizuri, hongera sana broo, ujumbe wa Mungu umefikia barabara!

  • @desderipatrick8392
    @desderipatrick8392 Рік тому +4

    Hongera kaka nabarikiwa sana kwa nyimbo zako

    • @rosaliasaid
      @rosaliasaid Рік тому

      Naomba mwimbo nimeumbwaniumbwa kwajiriyako

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 Рік тому +2

    Nakushukuru sana hasa unapoimba nyimbo zile Za zamani zinakuwa Mpya na zinanigusa kweli naamini pía zinagusa wengi ,,Mungu akuzidishie nguvu ya kazi hii njema

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому +1

      Amina

    • @sabinamwanga5733
      @sabinamwanga5733 Рік тому

      Mtumishi wake Bwana MUNGU nyimbo zako zinanipa hisia kuwa Mungu anasikia maombi ya watu wake na anawahurumia. Asante sana Mtumishi wake Bwana Mungu.

  • @jemapaul-vy1cr
    @jemapaul-vy1cr Рік тому +2

    Hongera sana kaka kwa nyimbo nzuri

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому

      Asante sifa kwa Mungu na hongera pia kwatusikiliza endelea kuifatilia Chanel yetu Ina Mambo mengi Mazuri karibuni

  • @jaspermakala
    @jaspermakala Рік тому +1

    ❤❤❤

  • @jonathanjuma-vv9ty
    @jonathanjuma-vv9ty Рік тому +2

    Thanks IAM blessed much God guide you for that

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +1

    Nimebarikiwa nyimbo nzuri sana

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому

      Amina sifa kwa Mungu Juu

  • @richardbenezeth2279
    @richardbenezeth2279 Рік тому +2

    Good songs, be blessed my brother hongera sana

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому

      Asante sifa kwa Mungu Anayetujalia yote haya

  • @gracefaida2317
    @gracefaida2317 Рік тому +1

    Hizi nyimbo hunirudisha uweponi uzid kubarikiwa

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  Рік тому

      Amina mpendwa sifa shukrani na utukufu Ni kwa Mungu atubariki sote

    • @eliasmethod123
      @eliasmethod123 Рік тому

      Nyimbo zimekaa vizuri safi sana mungu akutie nguvu